YESUUU!!..MWIZI ACHOMWA MOTO DSM Usiku huu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 241

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 4 дня назад +10

    Poleni sasa Wanafamilia Mungu awape Subra

  • @JosephKiweri-w7o
    @JosephKiweri-w7o День назад +1

    pole dadayang
    Jamani mungu
    Akutiye nguv

  • @franciscanyangayi1269
    @franciscanyangayi1269 2 дня назад +5

    😢😢😢 My dear you are strong woman

  • @SaSdeb
    @SaSdeb 39 минут назад

    Mungu na asikie kilio chenu Dadangu🙏🙏

  • @MwanaidyKilango
    @MwanaidyKilango 2 дня назад +2

    Poleni my dear mpare mwenzngu

  • @JosepgGeorge-xu2ie
    @JosepgGeorge-xu2ie 3 дня назад +3

    Pole sana dada yangu na wanafamiliya ote

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 4 дня назад +12

    Sasa mlio kazana kwamba anaroho ngumu mnataka awe anagaragara ndo mjue anauchungu.

  • @ElizaMwangaba
    @ElizaMwangaba День назад

    Pole sana dada mungu ukufanyie wapes

  • @MariamMgeni-w4d
    @MariamMgeni-w4d День назад

    Poleni sana Familia yote . Ila MUNGU yupo na atatenda haki kwa damu ilio dhurumiwa.😭😭😭

  • @MichaelFussi-w7e
    @MichaelFussi-w7e 4 дня назад +8

    Hii nchi utafikiri hakuna serikali😭😭

  • @GLORYOMARY-s3k
    @GLORYOMARY-s3k 4 дня назад +1

    Pole dada mungu akufanyie wepesi

  • @FatumaAbdalah-sj3dz
    @FatumaAbdalah-sj3dz 4 дня назад +3

    Emwenyezi mungu tupe mwisho mwema mana huku tuendapo sijui nchii yetu kila mtu anamuwa anavyo taka😢😢😢😢😢

  • @georgenyoni9879
    @georgenyoni9879 3 дня назад +1

    Huyu dada ndio alivyo an smile all the time msimjaji

  • @enockmbise
    @enockmbise 2 дня назад +1

    Pole sana mdogo wangu.

  • @ThomasMarutu-t7o
    @ThomasMarutu-t7o 2 дня назад +1

    Duuh polen sana jamani ndugu ila sijapenda kwann wamchome 😭😭😭

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 2 дня назад +2

    Sasa shs laki moja unamchoma mtu kweli,,,afe ....hapa kuna mambo ya mazombi Zombo....huyu mwanamke kuna kitu ajasema.

  • @fettyhamis4267
    @fettyhamis4267 4 дня назад +9

    Dah mke wa marehem jasir

    • @omarymbaraj8072
      @omarymbaraj8072 2 дня назад +1

      Ashalia sana Hellen bora ajikaze tu

    • @AnnaPaul-o9k
      @AnnaPaul-o9k День назад

      Ni kher ww unayekijua hilo​@@omarymbaraj8072

  • @EstherSamwely
    @EstherSamwely 3 дня назад +1

    Inasikitisha sana na inaumiza sana 😭😭 jamani😭😭

  • @BrendaMash-i6l
    @BrendaMash-i6l 3 дня назад +1

    Pole sana😢😢😢😢😢

  • @lizzybenny9368
    @lizzybenny9368 3 дня назад +2

    Eeee YESU damu hiii inene juu ya hao walio fanya tukio hili pesa itoe uhai wa mtu jamani kitu kinacho tafutwa kweli daaaaah DAMU hii isinyamaze milele juu ya maisha ya hao watu

    • @EuniceDaniel-p4o
      @EuniceDaniel-p4o 2 дня назад +1

      Siku ukiibiwa wew ndo utaelewa mwizi Hana maana

    • @lizzybenny9368
      @lizzybenny9368 2 дня назад +2

      @EuniceDaniel-p4o ooooooh kumbe kwako wewe pesa ina nguvu kuliko uhai et?

    • @EuniceDaniel-p4o
      @EuniceDaniel-p4o 2 дня назад

      @@lizzybenny9368 huwezi elewa maumivu mpaka uibiwe my sister ubakishwe mtupu ndo utaelewa sahv wew ni kipofu

    • @EuniceDaniel-p4o
      @EuniceDaniel-p4o 2 дня назад

      @@lizzybenny9368 Kama uhai una nguvu atafute pesa kwa njia halali ukitaka mseleleko madhara yake ndo hayo akutafutie mwingne yeye abebe tyu umejua ameipataje? Jaribu Sasa kuiba uone Kama utaonewa huruma kwa kusema pesa Ina nguvu kuliko uhai

  • @JosephElias-n1k
    @JosephElias-n1k День назад +1

    Dada pole sana

  • @InnocentKapwani
    @InnocentKapwani 4 дня назад +4

    Tz watu wanatabia mbaya sana mtu akiwa nq maisha ya chini kila baya linalotokea kwenye jamii anashukiwa yeye acheni ushenxi huo serikali ichukue hatua kali kwrnye tukio hilo

  • @AlphonceLuteja
    @AlphonceLuteja 4 дня назад +2

    Pole sana inauma

  • @PascalElison-ki8oi
    @PascalElison-ki8oi 3 дня назад +1

    pole sana dada

  • @OmanSohar-d7z
    @OmanSohar-d7z 8 часов назад

    Ila tanzaniya bara wamezidi roho ngumu😢😢

  • @OmaryHamadi-g3y
    @OmaryHamadi-g3y 2 дня назад +1

    Pole xn

  • @ReginaManyangu-u4j
    @ReginaManyangu-u4j 3 дня назад +2

    Hao watuhumiwa kwa nini police wawalinde tatizo lushwa washapewa pesa kisha wanawalinda police mumuogope Mungu mkisha zika tu police watawaachia chap ndo mana mumeambiwa mzike.😢😢😢

  • @KuchumaAlfredMakesi
    @KuchumaAlfredMakesi 2 дня назад +2

    Hawa wahusika washughulikiwe huwezi kumchoma mtu gharama ya uhai wa mtu na hiyo pochi hebu binadamu kuweni na utu

  • @VeronicaPaul-l8m
    @VeronicaPaul-l8m 2 дня назад +1

    Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga. Haki itendeke jamani Tanzania

  • @SandraJaivan
    @SandraJaivan День назад

    Mbn mwanamke ana uchungu😮😮

  • @ZaharaQatar
    @ZaharaQatar 3 дня назад +1

    Sasa ndoatasimanzi kweli jamani Pete Pete atakuvua

  • @angelineatieno3891
    @angelineatieno3891 3 дня назад +1

    Hakuna haja wanted mpeleka polisi😢😢😢😢

  • @SalumuAbdurehemani
    @SalumuAbdurehemani 17 часов назад

    Mmmmmmmmh da binaadamu watu atar sana

  • @KwilasaNjingo
    @KwilasaNjingo 2 дня назад +1

    Daaahh inauma sana ila Mungu atawalipa

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 3 дня назад +2

    Awa wachukuliwe hatua la sivyo Hizi hali zitaendelea BIla maana

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 4 дня назад +5

    Jamani poleni sana ndugu waliopatwa na janga hilo tunaomba jamani hao walio mfanyia huyo kijana tukio kama hilo wachukuliwe hatua kali ya kisheria

  • @DevotaChiza
    @DevotaChiza 52 минуты назад

    huyo dada alikua Hana mapenzi na mume wake, ana sema wame fanya Kwa kustukiza kweli jamani

  • @HassanAhmed-gp5jt
    @HassanAhmed-gp5jt 2 дня назад +1

    Mnamhoji nini sasa kuna faida gani😊

  • @ABRAHAMSIAME-i7u
    @ABRAHAMSIAME-i7u 22 часа назад

    Heee pole yake

  • @NeemaLungwa-d3m
    @NeemaLungwa-d3m 3 дня назад +2

    Pole sana mke wamarehem

  • @agneskabalika800
    @agneskabalika800 3 часа назад

    Miaka 6 umefiwa na mume unatabasamu? Wonder shall never end 😮

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 дня назад +4

    Uyu mtoto jasiri Kwa kweli Yani yupo vizur Kwa kweli anaongea tu na tabasamu la kutosha 😢😢😢

  • @maryngatia2362
    @maryngatia2362 День назад

    Hapa mambo na police itachukua miaka 20 Daktari akuje hapo wenye kuchoma huyu mjamaa ajilete

  • @JeniphaElikan
    @JeniphaElikan 18 минут назад

    Aiseee hii dunia

  • @sharifuasali7834
    @sharifuasali7834 4 дня назад +4

    Mnaelaumu ,,eti halii unajuaje kama kalia sana na kapewa mawaidha maana kulia sio dawa bali unamuwekea mazingira magumu maiti

  • @ANGELMAJUTOMAJUTO
    @ANGELMAJUTOMAJUTO 3 дня назад +1

    Acheni huongo tukio la zamani sana ili hii video ya uyu mama anaye chomwa apa niya mda mrefu sana

  • @KIGOLAORGINAL-kw6fq
    @KIGOLAORGINAL-kw6fq 3 дня назад +1

    Dada pole sana Mungu akutie nguvu lakini kwakweli jeshi la polisi huko gogoni washugulike na hao Wajinga

  • @HatibuBaraka
    @HatibuBaraka 2 дня назад

    Hatibu baraka

  • @TheresiaKiritta
    @TheresiaKiritta 3 дня назад

    Mungu ndiye mwnye haki zote

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 дня назад +15

    Mtihani wallahi ila mwanamke mwenzangu unanguvu 😢😢😢😢mie nauliza huo ujasiri wakuongea ivo unautolea wapi

  • @vevo3130
    @vevo3130 День назад

    Kwanini mnaandika MWIZI mna uhakika ni MWIZI!!!! badilisha hicho kichwa cha habari haraka sana....mmeshaambiwa sio mwizi kwanini uandike mwizi!!!!!+

  • @DieudonneKambale-ep4tx
    @DieudonneKambale-ep4tx 4 дня назад +1

    Poleni jamani

  • @HijaSalimu
    @HijaSalimu 3 дня назад

    Pole

  • @nazzokenny
    @nazzokenny 2 дня назад

    tanzania bado ingali nyuma ,inchi ya ukatili haki zakibinamu hakuna

  • @hellenaalliy6507
    @hellenaalliy6507 20 минут назад

    MUNGU mpokee kwako na ushughulike nao waliomchoma huyo kijana wa watu MUNGU mpumzishe kwa amani

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 дня назад +1

    SASA MBONA MNAMWITA MWIZI?. ANGEKUWA MZIMA ANGETUAMBIA KILICHOTOKEA. SASAHIVI HATUWEZI KUJUWA UKWELI.

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 3 дня назад

    Sasa hiyo heading kuwa Ni mwizi una uhakika???

  • @AllyJohn-u5c
    @AllyJohn-u5c 4 дня назад +2

    Da noma sana 😢😢😢

    • @OmaryDoga
      @OmaryDoga 3 дня назад

      Dada anariho ngum sana ni mjasiri sana masikin

  • @YohanaMichael-q4g
    @YohanaMichael-q4g 4 дня назад +2

    Mbon mke wake anaongea huku anafurahi 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @CareenSilayo
      @CareenSilayo 4 дня назад +1

      Hata mim nimeona hivyo

    • @MwatanoMdege
      @MwatanoMdege 3 дня назад

      kabisa huyu dada kama vile anatambuwa ukweli wa swala mana haonyeshi maumivu kabisa

    • @jumasaid6073
      @jumasaid6073 3 дня назад +1

      Hapo hakuna mke, hakuna mapenzi, anazungumza kama sio jambo la kuhuzunisha!!

    • @muhasatv9245
      @muhasatv9245 2 дня назад

      Jamaa angejuaaa​@@jumasaid6073

  • @lilianshao3685
    @lilianshao3685 3 дня назад

    Sio mwinzi

  • @KuchumaAlfredMakesi
    @KuchumaAlfredMakesi 2 дня назад

    Mbona anatabasamu huyu mfiwa macho makavu

  • @gracensumba1295
    @gracensumba1295 3 дня назад

    Mke wa marehemu ?

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 4 дня назад +1

    Wahusika walipswa kuchomwa moto nawawo kwann wachukue sheria mkononi

  • @pilimanyama3693
    @pilimanyama3693 2 дня назад

    Serikali ya tanzania. Iweke mkazo MTU kama.ni mwizi.asichomwe wengine ni fitina tuu kumuvamia na kusema mwizi kusudi ni fitina

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 3 дня назад

    Jamania watu mbona wamigiuka kuwa wanyama mungu wangu

  • @BeatriceLukumay
    @BeatriceLukumay 2 дня назад

    Heeee jmn jmn vp hawa walimaengu wanaenda wap

  • @ErastoMaridadi
    @ErastoMaridadi 4 дня назад +1

    Tumelaaniwa watz,vibaka wanachomwa moto,mafisadi ndio mashujaa ktk taifa hili

  • @ReginaNgailo
    @ReginaNgailo 4 дня назад +2

    We dada huyo mumeo na kaacha watoto kweli mbona unaongea kama unajua kulea watoto bila baba ni kula ugali na mlenda aseee 😢😢

    • @Nicetha-p2n
      @Nicetha-p2n 3 дня назад

      Anajikaza, kuna video nimeona anahojiwa alikuwa anashindwa ata kujielezea vizur, apa naona amekomaa Machoz yameisha, mpaka siku ya msiba

    • @QueenCharles-e1z
      @QueenCharles-e1z 3 дня назад

      Huwezi jua dear watu tunatofautiana namna ya kuumia kwahiyo usitake Kila mtu awe kama ww huwezi jua amehojiwa siku ya ngapi hata akigaragara itasaidia nn ataludi

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 3 дня назад

    Musimuhukimu musilojuwa huyo dada asikia uchungu ndania yaroho yake anajikaza tu

  • @katanabaya
    @katanabaya 3 дня назад

    Plz maoni yangu huyo asizikwe hadi hki ipatikane na uchunguzi uendelee kwa umakini na waliohuzika wachkuliwe hatua na shuhuli zote za mazishi washuhulke na bahati nzuri mnawafahamu bc! Serekali ifanye kazi yke hyo mama apate hki yke Moja na familia kwa jumla! Watoto bdo wadgo sna Hawa!

  • @IreneNgairo-l7o
    @IreneNgairo-l7o 4 дня назад +5

    Huyu ni mfiwa kweli? Na alimpenda mume wake kweli? Duh roho ngumu isio faa

  • @PeterMwasomola
    @PeterMwasomola 3 дня назад

    Mungu awalani wote

  • @SalmaSuleyman-w1n
    @SalmaSuleyman-w1n 3 дня назад

    Duh watanizania 2nakuwa wa coco

  • @nurumwene4421
    @nurumwene4421 3 дня назад

    Mke wake halikuwa ana hojiwa analia sana

  • @MwanavitaabdallahAbdallah
    @MwanavitaabdallahAbdallah 2 дня назад

    Unaroho yako unaulizwa unajibu MI siwez we eeee alafu una

  • @rosejohn8494
    @rosejohn8494 4 часа назад

    Huyu dada anavuta bangi hata kama hampend mume wake ndo acheke cjapenda

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 3 дня назад

    Wadishia wahabare mumsaidia sio masualia hapo msaada ni muhemu kaka

  • @AlfredMushi
    @AlfredMushi 4 дня назад

    Waliofanya tukio wako wapi au ndio washaachiwa?

  • @kodyyiko
    @kodyyiko День назад

    hawa wakikamatwa wapelekeni na gari jeusi

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 2 дня назад

    Au alikuwa anaiba sim za watu

  • @ProfesorJulius-j6t
    @ProfesorJulius-j6t 3 дня назад

    Tanzania si nchi ya amani mwizi anauawa kwa sheria acheni izo manamba nyie

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 3 дня назад

    Kamateni hao watu wachomeni moto na wao

  • @JackMalima
    @JackMalima 2 дня назад

    Ila huyu dada kweli jasiri anaongea kama Hana majonzi vile duuu

  • @MariamMateo-i8h
    @MariamMateo-i8h 4 дня назад

    Dada naww ni mhusika namba moja,maana huna hata uchungu wwote,arusha amani imetoweka,maovu yameongezeka,

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 4 дня назад

      Soma habari vizuri, sio Arusha, ni Dar, kwani kila baya ni Arusha?

  • @SaidinaSaidi-v5q
    @SaidinaSaidi-v5q 4 дня назад

    Inauma sana

  • @HawaChaula-b6o
    @HawaChaula-b6o 4 дня назад

    Dunia Haina huluma hata mimi baba angu ame uwawa mrimba😭😭😭😭😭 hakuna hakiyoyote iliyo tendeka ilila nimemwachia mungu

  • @TumaBaby-d2b
    @TumaBaby-d2b 2 дня назад

    Huyo mume wake kweli mana anaongea hana hata hana maumivu anaongea vizur

  • @mluhyawarav4comedian4253
    @mluhyawarav4comedian4253 4 дня назад +6

    Mimi ni wa kwanza nipeni like zangu jameni

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 4 дня назад +3

      Mbwa mkubwa,sisi tunafuatilia vitu vya maana lenyewe linaleta lipewe hongera,mavi nn

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 4 дня назад

      Wakwanza kwenye mtihani wakwanza kuzaliwa​@@yukundapeter8200

  • @noushaddammam8805
    @noushaddammam8805 Час назад

    uyu mke wa marehemu mbona anaongea kama. ajafiliwa na mume wake ata uchungu aisi

  • @NoelaMkufiya
    @NoelaMkufiya 3 дня назад

    Duh jaman nitangulize polen Sana ndugu jamaa wote hikitendo chakumfanyia binadam mwenzenu me Ninachotaka naionekane siokutumia lushwa naikataa

  • @AshiraphLau
    @AshiraphLau 2 дня назад

    Oy awo waliomchoma Motokija huyo wakamatwe nawao wachomwe Moto hp

  • @JosephJackson-f1s
    @JosephJackson-f1s 3 дня назад

    Mbona huyu dada anaongea hana hata shida

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 4 дня назад +1

    Rekebisha hicho kichwa cha habari sio mwizi ni uonevu tuu haiwezekani mtaa mzima wamtetee mwizi hadi viongozi wa mtaa tumieni akili

  • @asiaibrahimasiaibrahim5418
    @asiaibrahimasiaibrahim5418 День назад

    Mbona huyu dad Ana nguvu

  • @MAILAGUN
    @MAILAGUN 4 дня назад

    Jamaa Sio mwizi asee daah

  • @GetrudeSimbeya
    @GetrudeSimbeya 4 дня назад

    Aiseee

  • @godfreyjames5218
    @godfreyjames5218 4 дня назад +1

    Jamani afu mbna mwandishi na wewe unamwandika mwizi 😢😢😢

  • @KingDrew-hw6uc
    @KingDrew-hw6uc 3 дня назад

    Jamani huyu mwanamke achunguzwe vizuri siamini kama mumeo amekufa Jana Leo unahojiwa unatabasam. Siokweli Kuna jambo hapo. Ebu muangalie rafiki anazungumza kwauchungu alafu mke yupo safi kweli

  • @andreamwampamba1039
    @andreamwampamba1039 4 дня назад

    Hivi huyo kweli ni make au maana kwa NGUVU hizo sijui

  • @MakameRashid-j3n
    @MakameRashid-j3n 4 дня назад +2

    Jamani labda ni nature yake tu lakini anaumia uyo

    • @FatumaMsuya-j5u
      @FatumaMsuya-j5u 4 дня назад

      Nilivo mskiliza Dada vizuri akili Aiko sawa jaman mstuko mkubwa😢😢