Angel Nyigu - Siwezi Fanya Kazi Na Ali Kiba Au Konde Gang

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 102

  • @paulkantai2454
    @paulkantai2454 3 года назад +2

    Ww sio class ya mfalme tulia Dada ,uko mbali sana

  • @sarahmeshack3842
    @sarahmeshack3842 3 года назад +1

    Yeye mwenyew hakuitaj acha kiki za nyumba kwenu wcb😅😅

  • @sharonkeya8090
    @sharonkeya8090 3 года назад +2

    Clemo na mwende mliamua kunona🤣🤣🤣🤣anyway si bora uhai

  • @jacobramale9685
    @jacobramale9685 3 года назад +10

    Huyu sister bado Sana, kuharibu kazi kisa utabaka, ety haezi fanya kazi na king au harmo Hapo katenganisha mashabiki kisa wcb ajue hao ni wa mda ajue hvy.

    • @jamalmullerjordan
      @jamalmullerjordan 3 года назад

      N mjinga hana hata llote alafu anaongea ivi

    • @user-jy6gn3kn9q
      @user-jy6gn3kn9q 3 года назад +2

      Atapata wap million Mia tano ya kuvunja mkataba😂😂 tushawajua wala hatuna shuhuli nao😁😁😁

    • @jamalmullerjordan
      @jamalmullerjordan 3 года назад

      @@user-jy6gn3kn9q umenichekesha sana🤣😂😂😂😂

    • @user-jy6gn3kn9q
      @user-jy6gn3kn9q 3 года назад +1

      @@jamalmullerjordan 😂😂njaa mbaya

    • @alibinali_
      @alibinali_ 3 года назад +1

      Wacha wivu wewe

  • @kimdavid1270
    @kimdavid1270 2 года назад

    Angle you are awesome

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 3 года назад +2

    Welcome to.kenya Angel mob love

  • @loisesamuel6124
    @loisesamuel6124 3 года назад +9

    Wala hajalazimishwa kufanya kazi na konde au kiba kuna dancers wazuri kumliko 😂😂😂😂😂😂

    • @raelotieno1373
      @raelotieno1373 3 года назад +4

      You can say that again 😂😂

    • @maryamjey6340
      @maryamjey6340 3 года назад +1

      Following Lucifer law's 😄😄 tumewajuwa

  • @angiewambui2206
    @angiewambui2206 3 года назад +2

    Nyce voice angel nyigu

  • @monikakimath3810
    @monikakimath3810 3 года назад +5

    We mwenyewe huna sifa ya kufanya kazi na king;

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад +4

      Kwani kunahitajika sifa gani kufanya kazi na Kiba?

    • @monikakimath3810
      @monikakimath3810 3 года назад +1

      @@BigZhumbe uwe smart kiakili

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад +2

      @@monikakimath3810 Kwaivo wewe ni daktari wa akili?

    • @monikakimath3810
      @monikakimath3810 3 года назад

      @@BigZhumbe yawezekana

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад +2

      @@monikakimath3810 Akili ni nini?

  • @juliusmlawa4036
    @juliusmlawa4036 2 года назад

    Hajielewi huyo nyigu choko

  • @juliusmlawa4036
    @juliusmlawa4036 2 года назад

    Mi sijakuelewa huwsz fanya Kaz na alikiba had harmo hujielew

  • @mercynthemba59
    @mercynthemba59 3 года назад

    Down to earth....I looove her and her dance classes❤️

  • @janethmchalumbi6412
    @janethmchalumbi6412 3 года назад

    Wee n mshamba xana

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 3 года назад +5

    Kwanza hata hujukikani halafu eti huwezi fanya kazi na Kiba ushabowa kabisaa ushaaanza na Kiki ya kujigawa badala ya kuondoa issues za uteam

  • @mwangekatabia9136
    @mwangekatabia9136 3 года назад +1

    Huyu mwendee😀😀😀😀

  • @saidbwanamdogo3297
    @saidbwanamdogo3297 3 года назад

    Good Angle , keep it up

  • @nussah3158
    @nussah3158 3 года назад

    Mdomo koma. Aijuaye kesho ni Mola. Mtu hatakiwi ajiamini sana

  • @littlemissmegan6132
    @littlemissmegan6132 3 года назад +2

    I love Clemo's voice

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 3 года назад

    Mrembo saanaa

  • @yusrambarouk313
    @yusrambarouk313 3 года назад

    Dansa gani unaechanguwa kufanya kazi

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 года назад

    She is amazing 👏

  • @BombasticNewsChannel
    @BombasticNewsChannel 3 года назад +5

    Angel nyigu 🔥🔥

  • @sampizohtv
    @sampizohtv 3 года назад

    Angel big up sanaa

  • @jamalmullerjordan
    @jamalmullerjordan 3 года назад +6

    Ata simpendi tena ww mwenywe hauna llote alafu unasema eti huezi fnya kaz n mtu flan ata umeniboo

  • @yusrambarouk313
    @yusrambarouk313 3 года назад

    Unajitia bei bei umeninunuliwa wasafi

  • @kiki16805
    @kiki16805 3 года назад +5

    U can't work with them coz diamond will make you pay 600m😂😂😂 shida unayo

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 3 года назад +13

    🇨🇦Kwani kiba amekualika 🙄…!!?? Wala hajali, yuko zake busy

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 года назад +1

      Kaulizwa swali lazma ajibu achaneni kumjaji mtu mjibuni huo upuuzi qliyomuuliza why talking nonsense 😏

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 года назад +1

      Maskini hii yote ni shauri ya utumwa mamboleo. Akiongea mema kwa upande mwingine atafukuzwa Wasafi sasa bora abakie utumwani tu.

  • @Rity-kimz
    @Rity-kimz 3 года назад

    Nampenda sana huyu dada,,

  • @jobnyamkeri1398
    @jobnyamkeri1398 Год назад

    I luv beb

  • @wazirijackson3137
    @wazirijackson3137 Год назад

    Hello

  • @alianzarodger538
    @alianzarodger538 3 года назад +4

    Yani mwende unakosa Ku interview Quincy Kabisaa sababu kuna mbongo apo

  • @annalfonce259
    @annalfonce259 3 года назад +1

    Sura yenyewe kama kinembe yangu blalifakini

  • @sakinaamani1486
    @sakinaamani1486 3 года назад +2

    Maskini kajifanyia matabaka mwenye kwani we nn?

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад +2

      @@fadhilaongezaongeza226 nashangaa akijishaua amuulize mwenzie keny

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 3 года назад +2

    Msenge uyo anachezaga za WCB pekee ngoja sku akifukuzwa atakoma

  • @patienceboke8072
    @patienceboke8072 3 года назад +1

    Yaani u guys u didn't interview quincy

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 года назад +3

    Dunia duara yuko wapi directa kenny eti huwez fanya kaz na alikiba na konde 😏😏😏

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 года назад

      Cjui wanamuonaje yule domo wao

    • @angelnyigu
      @angelnyigu 3 года назад

      SIO SABABU YA SIMBA YOU BETTER ASK THEM KWANINI HAWAWAPI KAZI WATU WOTE WANAO FANYA KAZI NA WCB... ASK THEM KAMA WANAWEZA NIPA KAZI MIMI

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 3 года назад

      @@angelnyigu haina haja ya kuizungumzia wewe tulia pia una safari ndefu katika mafanikio usiangalie nani kapewa kaz nani hajapewa jititazame wewe tuuu hayo ni maisha yako wewe na family yako binadam hubalika, pia binadam hatujui hatma yetu itakuaje piga kimyaa

    • @allyzulu5730
      @allyzulu5730 3 года назад +1

      @rukia iddy Hajaongea vbya Nyigu, ameongea kulingana na uhalisia ulipo hii tunaita Ukweli usiofichika...When it comes to Director Kenny hatujajua what happend btwn the 2 kitu chenyee tunaona ni picha ya juu tuu but ukwel wote wat happed but iko unreveal .

    • @nasseralhabsi4121
      @nasseralhabsi4121 3 года назад +1

      Mwacheni ajisheuwe tuu anajiona kauulamba sana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @thomaslengiteng2078
    @thomaslengiteng2078 3 года назад

    👏👏👏

  • @charlsemusina9698
    @charlsemusina9698 3 года назад +2

    Huyu ni nani sasa?

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад

      Best Dancer in East Africa

    • @patienceboke8072
      @patienceboke8072 3 года назад

      @@BigZhumbe Hata hajui kudance

    • @sylviaw4421
      @sylviaw4421 3 года назад

      @@BigZhumbe ati best? Kwani niko Africa ingine?

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад

      @@patienceboke8072 Wewe unajua kudance?

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 года назад

      @@sylviaw4421 Inaelekea uko Aftica nyingine

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 3 года назад

    🇹🇿🇯🇵🇰🇪🔥💥

  • @ramadhanzmlay1331
    @ramadhanzmlay1331 3 года назад +3

    Uyu alikua muuza k lkn kwa sasa n dancer

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 года назад +1

    Mpumbavu huyu

  • @petermachoka2977
    @petermachoka2977 3 года назад +1

    Huyo Dem ako na yeye ni lesbian. Mungu amsaidie sana

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 3 года назад

    Sisi pia atukutaki nyau wewe

  • @luckyboyietausi3930
    @luckyboyietausi3930 3 года назад

    Toto linajituma kweli kweli ruclips.net/video/yncCAHM4JZk/видео.html

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 3 года назад +3

    Angel u are just stupid u think Ali kiba anahaja u dance kwa video zake. Fala sana.

    • @tamaryraphael8129
      @tamaryraphael8129 3 года назад

      Hii n ufala...... Ali hapendi utoi kwa Ngoma zake🤣🤣🤣

    • @hussenhemed1050
      @hussenhemed1050 3 года назад

      @@fadhilaongezaongeza226 🤣🤣🤣🤣

    • @nasseralhabsi4121
      @nasseralhabsi4121 3 года назад

      Kaacheni ka kwendee huko

    • @hussenhemed1050
      @hussenhemed1050 3 года назад

      Yani haka kadem kanajiona star tyr kumbe bd sana acha kuweka matabaka wewe unatafuta pesa bado