HIZI NI DALILI KUBWA ZA KIAMA //SHEIKH OTHMAN MAaLIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 96

  • @ngirimanadjuma2598
    @ngirimanadjuma2598 Месяц назад +4

    Ya Aĺlah,Allah ukupe umri mrefu wenye barakat na kheri

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Месяц назад +4

    Shukrani sheikh Allah qkufanyie wepesi kwa kila jambo

  • @jamilahali-jg8er
    @jamilahali-jg8er Месяц назад +4

    Allahu akbri Allahu akbri Allahu akbri ❤

  • @Fatum112
    @Fatum112 Месяц назад +2

    Allahu Akbar Allah tuajalie mwisho mwema

  • @faizabaishe22
    @faizabaishe22 25 дней назад +1

    Mashallah, shukraan ustadh

  • @SalmaMohamed-z8e
    @SalmaMohamed-z8e 7 месяцев назад +19

    Subhan Allah yaraab tujaalie tuwe wenye kutenda mema Sisi sote umati Muhammad S A W Amiina yaraab 🤲. Shekh Othman maalimu jazzakallah Allah akupe mema hapa Duniani Na kesho akhela mawaidha yako mazuri Sana ❤❤❤❤❤

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq 7 месяцев назад +6

    Subhaanallah 😭 ewewrabbi zithibitishe nyonyo zetu ktk twaa yak n mtume wake tuwe waja wema ktk hii dunia n akhera Yaa rabbi amiin yaarabbali ghalamiina 😢😢😢 shukran jaziylla shekh wetu OTHMAN naswaha nzito mola atulinde na dhiki ya dunian na dhiki ya yauma liqayama amiin uhibukii fiy laah kathiyra shekh wetu

  • @Kondoa805
    @Kondoa805 7 месяцев назад +9

    Subhanallah Allah atujaalie mwisho mwema

  • @UmuQueen-l4y
    @UmuQueen-l4y 6 месяцев назад +3

    Mungu tujalie mwisho mwema

  • @saumu7760
    @saumu7760 7 месяцев назад +3

    Subhanallah MWENYEZI MUNGU atupe mwisho mwema

  • @ZainabuMazehebi
    @ZainabuMazehebi 6 месяцев назад +2

    Subhanallah! M'mungu atufanyie wepesi tufanye ibadat kwa wingi

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 7 месяцев назад +2

    Subhunallah, tunacheka utazani nifurah kumbe kiyama. Lailahah illalah.

  • @NickyKaznugu
    @NickyKaznugu 12 дней назад

    Jazzaka allah kheri sheikh allah azidi kukuifadhi inshaallah ❤🙏💖

  • @NimcoSMursal
    @NimcoSMursal 7 месяцев назад +1

    SubhanAllah yarabi tuepu nashari masihi jijaali 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @MariamAlly-l9p
    @MariamAlly-l9p 7 месяцев назад +4

    Subhaana lwaaha allahummabihusunil khaatima,Allah!akulipe kheri kwa nasaha nzuri.

  • @aishadaba7045
    @aishadaba7045 6 месяцев назад +1

    May Allah Subhanahu Wata'Alla grant us husnul khatimah Aaamina

  • @AnlyAbudo
    @AnlyAbudo 7 месяцев назад +3

    Raby tupe mwicho mwema❤❤❤

  • @ZainabRashid-ru6zy
    @ZainabRashid-ru6zy 6 месяцев назад +1

    Subhannallah.allah.tujaalie mwisho mwema

  • @zainabolenga2829
    @zainabolenga2829 6 месяцев назад +1

    Amina yaarabil laalamini Allah akulipe kheri.

  • @KhamisAli-yk3fc
    @KhamisAli-yk3fc 7 месяцев назад +2

    Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema na ww sheikh othman uwe na afya njema uzidi kutukumbusha yalokua mazuri

  • @abubakarmuhoza1548
    @abubakarmuhoza1548 7 месяцев назад +1

    Waleikoumsalam warahmatullah wabarakatuh mdogo wangu kwa ajili ya pombe za usiku na mchana umekuwa kama imeshindikana

  • @IbrahimMarashi
    @IbrahimMarashi 4 месяца назад +1

    Dahh allah tunusurr na adhab zako kwn hatun uwezo wa kuzimudu adhabu zako !! Tumche allah waislaam

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 месяца назад +1

    Allah tujalie mwisho mwema

  • @issadansa7692
    @issadansa7692 7 месяцев назад +1

    Mungu atujalie mwisho mwema🤲

  • @Hashim-p4d
    @Hashim-p4d 2 месяца назад +1

    Subhanallah SAW ❤😢

  • @IdrisaJabiri
    @IdrisaJabiri 6 месяцев назад +2

    Allihamdulilah. Jazakalau khell

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 7 месяцев назад +2

    😢😢 Allah atujaalie mwisho mwema mashekhe wanajitahidi Sana lakini maovu ndo yanazidi

  • @makalohassan
    @makalohassan 7 месяцев назад +1

    Allahumma barik laka yaarab.

  • @hattusilli2225
    @hattusilli2225 7 месяцев назад +2

    اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين

  • @muddypote8377
    @muddypote8377 7 месяцев назад +2

    Mwenyezi mungu atufanyie wepesi inshaallah 🙏

  • @SalmaMrembo
    @SalmaMrembo 6 месяцев назад +1

    Allah akujaalie kheri sheikh wangu

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 7 месяцев назад +3

    Allah atupe mwisho mwema inshaallah

  • @cyberswiss
    @cyberswiss 7 месяцев назад +2

    ya Allah tuajalie mwisho mwema

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 6 месяцев назад +1

    Amen 🕋 Hierdie 💙💙💙

  • @SalimAlhattali-j8e
    @SalimAlhattali-j8e 6 месяцев назад +2

    Subhanallah Allah tuna Kuomba utujaarie kufanya ibada kwa wingi Yarrab 😢😢😢

  • @SelemaniKizenga
    @SelemaniKizenga 6 месяцев назад +1

    Hakika ni muda wa kurudi kwa mwenyezi mungu kufanya mema ilikufanya maandalizi ya akhera

  • @BakariHassan-sb4bj
    @BakariHassan-sb4bj 6 месяцев назад +1

    Twakupend San maalim wet❤❤❤❤

  • @Aisha-q3c
    @Aisha-q3c 3 месяца назад +1

    Subahana llah 😢

  • @HusseniMsilimumbanachi
    @HusseniMsilimumbanachi 7 месяцев назад +1

    Mungu akubaliki

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 16 дней назад

    Nikiwa na uwezo SHEIKH OTHMAN MAALIM ntasikiza mawaidha yako kwa wingi na ninamuomba Allah aniwezeshe na niwaidhike kutoka kwayo

  • @ramlajuma5317
    @ramlajuma5317 7 месяцев назад +1

    Subhaanallah wabihamdihi subhaanallahu l, a, dhwiim

  • @BakariHassan-sb4bj
    @BakariHassan-sb4bj 6 месяцев назад +1

    Othman maalimmwenyenzimunn akulipe kwamchango wak mkubw kwa kuokoa Emma wa bwan mtume Muhammad( s.a.w)

  • @yussufdawe2125
    @yussufdawe2125 6 месяцев назад +1

    Allaha atuepushe adabu ya qiyama

  • @BakariHassan-sb4bj
    @BakariHassan-sb4bj 6 месяцев назад +1

    Ameen yarabil alamin

  • @zubedaalice8172
    @zubedaalice8172 6 месяцев назад +2

    jazakAllah kheir

  • @CityMuscat-vm1tq
    @CityMuscat-vm1tq 7 месяцев назад +1

    Subhana Allah

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 7 месяцев назад +1

    Allah atujalie tudum ktk kher kisitufikikie tukiwa ktk maasi

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 7 месяцев назад +1

    Shukurn sheikh wetu 🙏

  • @Dadytamal
    @Dadytamal 16 дней назад

    Allah akibar

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 7 месяцев назад +4

    Tujalie. Khussul khatma yarrabi😢😢😢

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 7 месяцев назад +9

    Sheikh Othman khutba yake naipata kwa ufasaha mzuri

  • @BakariHassan-sb4bj
    @BakariHassan-sb4bj 6 месяцев назад +1

    Twakushr San maalim othman

  • @MauaIzidori
    @MauaIzidori 7 месяцев назад +1

    Alllah tuhifadhi tuwe katka waja wako ulio wafurahikia sio wale ulio wakasrikia inshaallah

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 7 месяцев назад +1

    Subhanna allah 😢

  • @Shabani251
    @Shabani251 6 месяцев назад +1

    Yaarab tujalie tufanye ibaada nautuepushe na mabaya

  • @zainabolenga2829
    @zainabolenga2829 6 месяцев назад +1

    Allah atuepushe na kila baya tufanye maamrisho tuache makatazo ya Allah
    Type mwisho mwemah

  • @AftinAbdiker
    @AftinAbdiker 7 месяцев назад +1

    Yarab atujalie

  • @jiwahassan
    @jiwahassan 7 месяцев назад +1

    allahu akbar

  • @lutfiamohammed7400
    @lutfiamohammed7400 4 месяца назад +1

    Nakweli safi watu wanajizalia na wasudia na wazungu

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 7 месяцев назад +2

    Naww kiamatuu

  • @aminahahlubayt7399
    @aminahahlubayt7399 7 месяцев назад

    Yaa allah tuhurumie 😢

  • @rizikirihani7903
    @rizikirihani7903 6 месяцев назад +2

    Yarabby tujalie mwisho mwema

  • @Ummusharifa
    @Ummusharifa 7 месяцев назад +1

    Maashaallah

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 7 месяцев назад +2

    Kuna kitu kinaiitwa TIK TOK SHEKH hatari sana

  • @MajaliwaRamadhani-z8r
    @MajaliwaRamadhani-z8r 7 месяцев назад

    Innalilahi wainnailayhi rajiun

  • @zuwenaissa3088
    @zuwenaissa3088 7 месяцев назад

    🤲🤲

  • @DiwaniHamisi
    @DiwaniHamisi 15 дней назад

    Munge turehemu ss nàwàzee wetu

  • @BakariHassan-sb4bj
    @BakariHassan-sb4bj 6 месяцев назад

    Twakupend San maalim wet

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 7 месяцев назад +1

    Ndomaana bi kungwi watotowake wamemkataza kuolewa nae ameacha.duh.

  • @MavenguTanga
    @MavenguTanga 7 месяцев назад

    Sio anawasema mna vitimbi vingi

  • @thamratalib6817
    @thamratalib6817 7 месяцев назад

    Yarabi tupe khatma njema na uturidhie ktk kifo chetu

  • @AminataHababa
    @AminataHababa 6 месяцев назад

    4:44

  • @AliMkanjima
    @AliMkanjima 5 месяцев назад

    Mkanjima

  • @AminataHababa
    @AminataHababa 6 месяцев назад

    Jua litatoka kila liende kushoto lini na dalili zake ni nili

  • @MaulidSleman-l7m
    @MaulidSleman-l7m 7 месяцев назад

    Yarab tujalie tuwe miongoni mwa waja wako wema ss pmmoja na vizazi vyetu😢

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 7 месяцев назад

    Kwahiyo hatuna makosa.tunatekeleza alama za nyakati

  • @karutomdee3107
    @karutomdee3107 7 месяцев назад

    mpaka kimbunga mtasema kiama yan nyinyi kilakitu chochote kikitokea tayari kiama aaa

  • @zulekhajama2894
    @zulekhajama2894 7 месяцев назад

    Subhanallah.
    Wanawake tu wasemwa? Janani kila jambo baya = wanawake..lol
    Sheikh mbona unatusema sie tu kina mama.

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 7 месяцев назад

      Kutokana na tabia za wanawake na ndio wa kwanza kuingia motoni ivyo unawajua wanawake vizur watathimin sana wachunguze utagundua kitu

  • @mwinyiidd
    @mwinyiidd 6 месяцев назад

    Instalation.kukumbusha.mwinyi kutoka.likoni

  • @RaibebeBebe
    @RaibebeBebe 7 месяцев назад

    Subhana llah

  • @MansoorHussein-h8y
    @MansoorHussein-h8y 3 месяца назад

    Yarabby tujalie mwisho mwema