kala mungu akubariki kwa kuwakumbuka hawa waliosahaulika...nami nakuombea usisahaulike siku atakayokuja mwana wa adam kwan umewatendea mema hawa wadogo kama ilivyo maandiko...mungu akutie nguvu in jesus name
jamani kala!nimefurahi sana nahisi nimechelewa kuusikiliza tunakuombea kaka yangu Mungu aendelee kuinua kipaji chako thanks nimeupenda sana wimbo wako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!its real lazima tuwasaidie yatima maana ni thawabu mbele za Mungu.
ME BINAFSI CWEZ CHOKA KUSIKILZA NA KUTAZAMA MUZIKI UNAOFANYA WEWE KALA..MUNGU AKUBARIKI HUNAGA MZAHA KTK KAZI MUNGU AKUPE UMRI MREFU...ALWAYS HUWA UNAIMBA FACT,,
Katika vijana wa Kitanzania walio na nyimbo zinazofundisha na kutoa hamasa pia kuongeza Busara,Hekima, na Akili ya kutokata tamaa Kala Jeremiah unaongoza Mungu akupe maisha marefu sana ili uendelee kuipa Tanzania funzo kupitia nyimbo zako I love u brother from another mother my Hood boy-Rock city Mwanza Video kali na nzuri pia much appreciate to Miriam u made it
I wonder why such kind of music doesn't get enough airtime on radios and TVs, they prefer Nigeria music instead, sometime their preference are meaningless. But trust me this is MORE THAN JUST MUSIC. Is so emotional, cool, with message, n everything, congrats bro...
duuh! wewe ni kiboko .....umewaza nini hadi kutunga pia umewaza nini kushilikisha huyu mrembo Miriam nampenda sana huyu mtoto na saut yake tam. .....imenoga kiukwel kaka hongera nyimbo nzuri sana. ...ufike mbali inshaallah
Unajua kala utabaki kuwa no:1 artist in hiphop side,maana unafundisha kwa tungo zako na hapa umetimiza usemi wa kazi ya fanani ni kufikisha ujumbe kwa hadhira wenye lengo la kuelimisha,kutia moyo,kuonya na hata kuburudisha,ni kweli #WANANDOTO. God bless you kala jeremiah
Hii ngoma ukiitizama kwa umakini nakusikiliza ujumbe uliomo humu utakubaliana namimi kwamba kamas na machozi vinajikuta vikidondoka vyenyewe kwa huzuni
Only God can over come brother kala Jeremiah yu av done enough BT wanajifanya hamnazo.I like the idea nice song strong messege thanks to MARIAM BEAUTIFUL VOICE NICE CHORUS KWELI MNAWEZA....
Asante kwa kumulka changamoto mbalimbali ktk jamii kuptia muziki na uo ndo muziki! Kazi nzuri brother keep it up,..tumeckia,...wameckia,..tuwasaidie! Mungu wabariki watoto yatima na wote walio ktk mazingira magumu,..ibariki jamii na serikali yetu hl kwa pamoja tuweze kuwasaidia watoto hawa waishi kwa furaha na kufkia ndoto zao,..Amina. Asante Kala Jeremiah, asante Miriam Chirwa! Am blessed wth the song!
Nafikiri Ni wakati Wa jamii kubadilika kutoa tofauti tulizonazo na kuangalia namna ya kisaidia jamii kubwa ya watoto inayotuzunguka kwa ajili ya kuwatengenezea njia bora kwa maisha yao ya baadae na kwa taifa kwa ujumla
Huwa haukosei kala...Mungu azd kukusimamia katka kaz zako...awasimamie na hao wadogo zetu na watt zetu kufanikisha ndoto zao....yu r wat we call superstar...
hapo ndo utachoka ule wimbo wa KIDOGO uliojaa pumba za kila aina watazamaji zajidi ya milion huu wimbo bado haujafika hata nusu yake hapa napo kuna ndoto za kugeuza akili za watu
Oy umeshoboka kishamba na wimbo huu ndo unaamua kumwalibia ngote alafu wanaku support . kila wimbo una ujumbe ila inafuatana unaupata VP , huu kala ameimba unahusu ukombozi wa watoto katka kuwawezesha nae platnum ameimba kidogo kwa ajiri ya kuburudidisha au huelewi kaz za fasihi , elimika ndugu wenzako walishatoka kimaisha alafu una undermine kaz yake bila point mhmh!
nyimbo hii inamiaka 100... nyimbo ambazo azitokuja kushuka adhi starehe..ferooz msinitenge.. prof jay wanandoto... kala jeremahi n.k. package ni living.
+Kala Jeremiah wewe ni komandoo! nikichoka kula theories in this university of Nairobi nakula ngoma zako pamoja na za Roma! umetisha sana mzazi! hongera pia kwa kumsuri mtoto afunge shule! kufanikisha hili songi la kisomi! yes, l agree that the song will forever appeal to the heart of oyr human societies since generations come & go with their peculiar challenges that come forth with each historical page! daima sana mtu wangu wa nyumbani! Am a Marxist BUT Still Jah is real!
daaaa usijuw uliwaza nn mungu akubariki sana hiy nyimbo yako wana ndoto haujakosea hata kidog kaz mwanangu big up sana kala mungu afungue milango yako utoke katika maisha amen
i cant know why other people start to dislike this song! i do know in which group those people can be grouped, even i want to cry when see those dislike
Sijawahi kupost comment on you tube, ila kwa nyimbo hii Kala nakupa BIG UP sana, wimbo na mashairi yako poa sana. umewatendea haki watoto pamoja na kazi yako ya usanii....
Nilikuwa nasubiri muda mrefu kusikia wimbo kama huu mana nimechoka kusikia nyimbo za mapenzi na watu wamesahau kama kuna vitu vya muhimu vya kuimba hongera sana Kala nakuomba Usibadilike na ukaze kwenye Matatizo ya Kijamii.... Wimbo mzuri hadi machozi yanatoka
This song is epic, n Kala umefanya kitu ambacho kitakuwa reference uko mbele.ure so talented Africa still tunahitaji vitu km hivi sio kuimba starehe tu. we h still have a ling way to go
Yan hii nyimbo inagusa moja kwa moja mtanzania coz alichoimba broo it's the truth 100% bt ndoto zao zote huisha wanapoamka usingizin na kukutana na watu wasio thamin ndoto zao.Good job Kala, we need tens of you kuchange society
kala nyimbo hii inanifanya mpaka.nimelia..sijui kwann inanipa hisia sana hii nyimbo..sio siri umeimba kitu ambacho ni kimekutofautisha sana na wasanii wengine..coz wasanii wwngine washazoea kuimba mapenzi tuuu wanasahu kuwa there smthng else apart frm mapenzi..big up bro!
Leo nimeamua kuirudia hii ngoma kwakuickiliza upya, Bigup sana broo Kala na Mirium. Bro kala tengeneza ngoma nyingine na huyu mtoto. Mbarikiwe sana hizi ndizo jumbe ambazo jamii zinahitaji.
kala mungu akubariki kwa kuwakumbuka hawa waliosahaulika...nami nakuombea usisahaulike siku atakayokuja mwana wa adam kwan umewatendea mema hawa wadogo kama ilivyo maandiko...mungu akutie nguvu in jesus name
Najua wengi wetu tunaingalia hii ngoma 2019 like zenu tu ni uzibitisho tosha.
Mm nipo 2024😂😂
Wanaongalia hii Ngoma 2024 tujuanee😂😂😂
Wenye tuko hapa 2024 naomba likes zenu❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nimelia mpaka kichwa chaniuma nikikumbuka wazazi wangu pengine nisingekua hivi nilivyo,big up kwa kazi nzuri,Mungu awe nawewe
Pole Dada...ndio maisha yalivyo.
Usijali
@@youngsachafurniture5482 pole
Pole sana ndio maana wapo watu hawa
h
kiuhalisia Kala Jelemiah ndio msanii bora wa miondoko ya hip hop,kila wimbo wake una Ujumbe.Hongera sana Kala J
True
Activist
Paul Nambari hongela kaka jele
hongela kaka jele
Sanatuuu
Mbona wengine wana dislike this wonderful song. I love songs with messages. Lyrics on top too. Keep it up!
Nyimbo kama hizi ndo zinatakiwa jamani zinajenga jamii na kufundisha! Nimebarikiwa! Mungu akufikishe mbali Kala Jeremiah!
Huu wimbo una haki ya kupigwa hadi madhabahuni, una ujumbe mzito sana had choz lnatoka
Teh teh teh appo umenena
kweli kabisa
kwer kara jellemia watt wana teseka sana sio mjin wala vijjn
+nuru Reuben hii ngoma ni kiboko uko vizur xana
davidson maluka sana..kafanya kazi nzuri
Bonge La Ngoma !! Bonge la Meseji ..Bonge La Project.. Much Respect Kala , Jah Bless You
jamani kala!nimefurahi sana nahisi nimechelewa kuusikiliza tunakuombea kaka yangu Mungu aendelee kuinua kipaji chako thanks nimeupenda sana wimbo wako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!its real lazima tuwasaidie yatima maana ni thawabu mbele za Mungu.
Nani mwengine amekuja kuangalia hii ngoma 2021 tujuan kwa like
Here
Asanteni sana kwa comment nzuri zinanipa nguvu sana.
karibu...kazi nzuri! Gdluck brother.
Wew jamaa unajua sana... Safi sana!
kaka unaweza. una akili sana mkuu. hii idea nzur, umenifanya nione siifanyii kitu jamii
Lord bless you man for speaking such hard truth in period like this,
bring more attention to people bruh
ME BINAFSI CWEZ CHOKA KUSIKILZA NA KUTAZAMA MUZIKI UNAOFANYA WEWE KALA..MUNGU AKUBARIKI HUNAGA MZAHA KTK KAZI MUNGU AKUPE UMRI MREFU...ALWAYS HUWA UNAIMBA FACT,,
Katika vijana wa Kitanzania walio na nyimbo zinazofundisha na kutoa hamasa pia kuongeza Busara,Hekima, na Akili ya kutokata tamaa Kala Jeremiah unaongoza Mungu akupe maisha marefu sana ili uendelee kuipa Tanzania funzo kupitia nyimbo zako I love u brother from another mother my Hood boy-Rock city Mwanza
Video kali na nzuri pia much appreciate to Miriam u made it
for God sake how on the Earth can someone dislike this? God bless you bro, am shading tears as watch it
Broh... remember people hated Jesus eh... so what about this one
It's just we humans are different very much..
I wish i could have the power to put many likes kwa hii song aisee,asante sana kwa wimbo mzuri
Dah, @Jeremiah, this song will last forever and i assure you our sons and daughters will listen to this song for many years. Big my real BSS winner.
I wonder why such kind of music doesn't get enough airtime on radios and TVs, they prefer Nigeria music instead, sometime their preference are meaningless. But trust me this is MORE THAN JUST MUSIC. Is so emotional, cool, with message, n everything, congrats bro...
Kala jeremiah u r a legend...it may take long but one day this message will be implemented..we have the dreams...
Leo nipo maeneo ya Uwata Boys High school......namuangalia Miriam Chirwa kwa television. May God grant you special place on heaven.
#Tunandoto
Nyimbo hii.naikubali.san uko juu bro kala jeremiah from ZANZIBAR
aki tuko na wasanii wetu Tanzania tuseme aje kwa wasanii wetu mungu awabaliki Sana 🙏🙏
big up KAKA FOR BEING THE VOICE OF THE VOICELESS
Mungu akubariki saaana
Hii nyimbo ni nyimbo flan ambayo inaweza ikakutoa mtu kwenye ulimwengu wa kawaida nakukupeleka kwenye ulimwengu flan wa tafakar nzito
Big up sana kala
Wenye wanna dslike hawana ndoto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chirwa n Kala keep it up .....
Hataree,big up bro Kala and the amazing little gal. The song Say's it all, our children are the tomorrow's future, let's all support them.
This is what we call real hip hop. Big up kala , this is the song of the year
duuh! wewe ni kiboko .....umewaza nini hadi kutunga pia umewaza nini kushilikisha huyu mrembo Miriam nampenda sana huyu mtoto na saut yake tam. .....imenoga kiukwel kaka hongera nyimbo nzuri sana. ...ufike mbali inshaallah
Nimeimisi hii NGOMA nikaja kuicheck tena. Kama bado unaicheck 2020 like zenu hapa👇
much love for miriam and kala jeremiah from Kenya. and if today miriam visits Kenya she would straight away be a celebrity.
so blessed to have that heavenly Angel Mirium Chirwa on the track,God bless u all
Amen.
Hii nyimbo nakumbuka mama alimpa Salam kala Jeremiah so naomba uwe na moyo uwo uwo ili twende sawa 🇹🇿🇹🇿🇰🇪🏋️🥰🐔🙋
254 wapi likes za kala
Ramadhani juma atar
Nice Broo will support you forever
Oy guy jamaa anajua xan2
This kind of song with the highest message should be sang in the schools whereby it will give them courage that yes they can
he is the best Tanzania artist ever his songs are inspiring 🙏✌😇 I miss Africa 😒😎
Unajua kala utabaki kuwa no:1 artist in hiphop side,maana unafundisha kwa tungo zako na hapa umetimiza usemi wa kazi ya fanani ni kufikisha ujumbe kwa hadhira wenye lengo la kuelimisha,kutia moyo,kuonya na hata kuburudisha,ni kweli #WANANDOTO. God bless you kala jeremiah
Hii ngoma ukiitizama kwa umakini nakusikiliza ujumbe uliomo humu utakubaliana namimi kwamba kamas na machozi vinajikuta vikidondoka vyenyewe kwa huzuni
Very nice song Miriam your vocals ziko sawa kabisa. We love you from Kenya. Salimia mdogo wako Obadiah na wazazi wako baraka tele
Miriam Love this kid used to take her pictures in Umiseta Yes we got dream we fight for
Only God can over come brother kala Jeremiah yu av done enough BT wanajifanya hamnazo.I like the idea nice song strong messege thanks to MARIAM BEAUTIFUL VOICE NICE CHORUS KWELI MNAWEZA....
This is the kind of music i live for, great stuff Kala. God bless.
kweli dunia yapotea..
badala ya kuangalia nyimbo ya kuelimisha watu mnakalia SALOME......ooh my God
big up brohh...
sanaa ni fikra,hii ni aina ya idea tulizozikosa kwa miongo kadhaa,
hii imeleta mchngo mkubwa kijamii na kiroho..
be blcd
huu wimbo ndio nimeusikia na umeninguza sana hadi nikamuomba SIR GOD Azidi na kunibariki ndiposa niweze kubariki watoto ka hao na wengine wengi.
Ujumbe mzito, check na watu wa unicef wanaoshughulikia maslahi ya watoto, mnaweza toa Wana ndoto Project.
I'm crying right now...I grow up orphan and no one was there to help me rather than my mum n god
Great song! I would love to have the original to add the subtitel in Dutch ! This could become a great hit in the Netherlands!
Kala Jeremiah. Kila nikifungua nyimba yako lzima inigusu. I wish all the Best brook!
great song, great lyrics, great beat, great msg and above all greaaaaat & clear video quality
Kala Karibu Kenya....N make sure you perform this song.... U r my Legend Bro!
Wimbo mzuri sana big up bro...... wanandoto
Asante kwa kumulka changamoto mbalimbali ktk jamii kuptia muziki na uo ndo muziki! Kazi nzuri brother keep it up,..tumeckia,...wameckia,..tuwasaidie! Mungu wabariki watoto yatima na wote walio ktk mazingira magumu,..ibariki jamii na serikali yetu hl kwa pamoja tuweze kuwasaidia watoto hawa waishi kwa furaha na kufkia ndoto zao,..Amina. Asante Kala Jeremiah, asante Miriam Chirwa! Am blessed wth the song!
You're so talented bro. best song with full message to our societies.
Nafikiri Ni wakati Wa jamii kubadilika kutoa tofauti tulizonazo na kuangalia namna ya kisaidia jamii kubwa ya watoto inayotuzunguka kwa ajili ya kuwatengenezea njia bora kwa maisha yao ya baadae na kwa taifa kwa ujumla
hyo ngoma kalla unanikumbusha mbali sana maana hata mm nilikuwa na ndoto nyingi sana aiseee
Huwa haukosei kala...Mungu azd kukusimamia katka kaz zako...awasimamie na hao wadogo zetu na watt zetu kufanikisha ndoto zao....yu r wat we call superstar...
hapo ndo utachoka ule wimbo wa KIDOGO uliojaa pumba za kila aina watazamaji zajidi ya milion huu wimbo bado haujafika hata nusu yake hapa napo kuna ndoto za kugeuza akili za watu
kaka watu wanapenda upuuzi kuliko utunzi
kweli kabisa..
mambo
Oy umeshoboka kishamba na wimbo huu ndo unaamua kumwalibia ngote alafu wanaku support . kila wimbo una ujumbe ila inafuatana unaupata VP , huu kala ameimba unahusu ukombozi wa watoto katka kuwawezesha nae platnum ameimba kidogo kwa ajiri ya kuburudidisha au huelewi kaz za fasihi , elimika ndugu wenzako walishatoka kimaisha alafu una undermine kaz yake bila point mhmh!
+Gervas kweli binadamu hatuna jema hadi hili loooo
nyimbo hii inamiaka 100... nyimbo ambazo azitokuja kushuka adhi
starehe..ferooz
msinitenge.. prof jay
wanandoto... kala jeremahi
n.k. package ni living.
This song will last forever....Kala Allow me to do a cover for this...oh my God you are so talented.. much love from Kenya
thank you very much and youre wellcome. just do it sir
+Kala Jeremiah wewe ni komandoo! nikichoka kula theories in this university of Nairobi nakula ngoma zako pamoja na za Roma!
umetisha sana mzazi!
hongera pia kwa kumsuri mtoto afunge shule!
kufanikisha hili songi la kisomi!
yes, l agree that the song will forever appeal to the heart of oyr human societies since generations come & go with their peculiar challenges that come forth with each historical page!
daima sana mtu wangu wa nyumbani!
Am a Marxist
BUT
Still Jah is real!
I just lov this ujawahi niagusha
nimeelewa sana hii nyimbo imegusa kwenye ukuta wa moyo wangu..big up to Miriam..Kala umejielewa sana kumshirikisha mdogo wetu
Kenyans where r you?
Mungu ni mwema,ndoto zao zitimie,dah Kalla hii nyimbo inanipa nguvu na ari ya kuwasaidia yatima.
encouraging, inspiring above all perfect 🙌
Bado Ina pasua sana mitaani na imebeba ujumbe mzito sana MUNGU afanye kitu juu ya wimbo huu, 🔥🙌
Salute to you kaka...Thank you
nakubali sana hiii ngoma
Hip hop is proud of you Kala hujawahi kuniangusha.Hongera kwa kumshirikisha Mariam.
Yo gifted soul.
Bonge la ngomaaaaaaa
2019/20 bado naipenda Hii ngoma
daaaa usijuw uliwaza nn mungu akubariki sana hiy nyimbo yako wana ndoto haujakosea hata kidog kaz mwanangu big up sana kala mungu afungue milango yako utoke katika maisha amen
naomba orodha ya hao walio dislike hii nyimbo 😣😤
Khalfan Simba 😂😂😂😂 kabisa yaani watu wanadislike ukweli
kuna watu wanatia hasira Walah 😊😊😊
Khalfan Simba babu watu wanabonyeza tu hawajui wanahic pote ni sawa tu haha
come on this song should be a worldwide anthem . powerful love from 254. more views on this song.
Ngoma ina tungo kali na zenye mafunzo kwa jamii
kaka wewe hunaga baya 2024 bado ngoma yangu bora hii❤❤
Nice song! I don't know d meaning but I think it has a strong message. Please can anyone tell me what country this is?
Tanzania
TANZANIA
He is a Tanzanian
h
Wewe ni mwambaji ambaye hutafanana na mwimbajii yoyote Tanzania Hongera sana kaka Kala
kazi nzuri sana
Timizeni ndoto za watoto wenu kwa kuwawezesha wengi wanaweza, WATANZANIA TUUNGANE KWA HILI
2024 ni mda sasa wa kuludi kwenye gem
big up dogo Miriam
i cant know why other people start to dislike this song!
i do know in which group those people can be grouped, even i want to cry when see those dislike
nice video ujumbe mzuri
Sijawahi kupost comment on you tube, ila kwa nyimbo hii Kala nakupa BIG UP sana, wimbo na mashairi yako poa sana. umewatendea haki watoto pamoja na kazi yako ya usanii....
dah hafu wanasema hamnakitu kipya cha kuimba..hongera sana Kala..huu ujumbe ni mzuri sana....ubarikiwe..hands down
I just run out of words.... mungu akubariki kala... kila comments humu ni touching dah.!!
Waat a chorus from Miriam daah nampenda sanaa huyu mtto asee Godbless her mungu asimamie ndoto yakee i wish awee vzurii
kaka kala asante sana kwa wimbo huu du! kiukweli umeandaa wimbo ambao umenigusa sana mungu aendelee kukupa mafanikio na maisha marefu kaka da!
Nilikuwa nasubiri muda mrefu kusikia wimbo kama huu mana nimechoka kusikia nyimbo za mapenzi na watu wamesahau kama kuna vitu vya muhimu vya kuimba hongera sana Kala nakuomba Usibadilike na ukaze kwenye Matatizo ya Kijamii.... Wimbo mzuri hadi machozi yanatoka
daaah siwezi sikiliza hii nyimbo mara moja ,,, tuungane na kala katika nafasi tulizonazo kuwawezesha
dunia ya leo ujinga unapigiwa chapuo kuliko vitu vya maana daah. I wish hii nyimbo ingekuwa na 10M views
This song is epic, n Kala umefanya kitu ambacho kitakuwa reference uko mbele.ure so talented Africa still tunahitaji vitu km hivi sio kuimba starehe tu. we h
still have a ling way to go
Yan hii nyimbo inagusa moja kwa moja mtanzania coz alichoimba broo it's the truth 100% bt ndoto zao zote huisha wanapoamka usingizin na kukutana na watu wasio thamin ndoto zao.Good job Kala, we need tens of you kuchange society
kala ww unafikiria sana yani nyimbo zako zina ujumbe mzuri sana.wewe ndio kioo cha jamii.pamoja kaka kala jeremiah. hip hop darasa huru
ningekuwa na uwezo ningekupa zawadi Kwa wimbo huu mzuri mungu aendelee kukupa uzima ili uendelee kuona matatizo wanayo pata hao watoto
Ni mwimbo mzurii sana.. Bora umewasemea na asilimia kubwa ujumbe utawafikia na mtu mwenye aibu na aya atachukua maamuzi au hatua... Thnx u kala
Hongera sana brother Kala unatunga nyimbo zenye ujumbe mzito na unaoeleweka. Heshima kwa i do appreciate you
You never go wrong with kala Jeremiah... Kenya wasija lini kala
kala nyimbo hii inanifanya mpaka.nimelia..sijui kwann inanipa hisia sana hii nyimbo..sio siri umeimba kitu ambacho ni kimekutofautisha sana na wasanii wengine..coz wasanii wwngine washazoea kuimba mapenzi tuuu wanasahu kuwa there smthng else apart frm mapenzi..big up bro!
Great song from great talented musician!! Many Congratulations to u Mr Kala A.K.A Mwanaharakati wa ukweli.
Keep it up my brother! Am so blessed b'coz of dic song. Thnx God! Plz, help these children urz dear Father.
kala.....sina mengi ila Mungu Akubariki....keep doing it bro...#AMBASSADOR WA WANYONGE....much respect all the way frm nai kenya. u r my role model
Leo nimeamua kuirudia hii ngoma kwakuickiliza upya, Bigup sana broo Kala na Mirium.
Bro kala tengeneza ngoma nyingine na huyu mtoto. Mbarikiwe sana hizi ndizo jumbe ambazo jamii zinahitaji.
kaka mungu akubarik kwa kaz nzur unayoifanya ya kuelimisha jamii na CIO kupotosha na saut nzur ya mtoto Miriam penda San wot hongeren
Huu wimboo una maudhuii ya maishaa yoteeeee ya nchi yetuu leo n 2022 lkn badoo mambooo yapo vilee vile ...kalaa big up bro