KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 15/ 12/ 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 16

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath Месяц назад +1

    Nyimbo za zamani nzuri sana nimebarikiwa kweli leo Asante sana waimbaji wote

  • @Ola255rugey.
    @Ola255rugey. Месяц назад +1

    Nyimbo nzuri sana.. Old is Gold Kanaani Kahogo's Arusha

  • @tumwizachariah4322
    @tumwizachariah4322 Месяц назад +2

    Mara ya 5 narudi kusikiliza kwaya ya arusha WABARIKIWEEEEEE❤❤❤❤

    • @hannieadriano5972
      @hannieadriano5972 26 дней назад

      Mimi nahisi leo mara ya mia moja☺️❤️❤️

  • @sarahsamwely108
    @sarahsamwely108 Месяц назад +1

    Mungu awabariki sana kwaya ya chemichem ( kahogoz)

  • @rizikinasetsi4155
    @rizikinasetsi4155 Месяц назад +2

    Nyibo za upako hizoo....safi san

  • @imacanaofficial91
    @imacanaofficial91 Месяц назад

    Nyikbo za zamani ni Tunu safiii sanaaa. Kuna muda tunapaswa kusikia wapi wazazi wetu walipo toka, Kuna muda hata wao wakisikia hizi nyimbo fahamu zao zina kumbuka mbaliiiiii sanaaaa,

  • @bettykessy3728
    @bettykessy3728 Месяц назад

    Utume wa uimbaji ni utume Mtakatifu❤🎉 hongereni sana Cahogo's Kingdom

  • @IreneMungureEliphas
    @IreneMungureEliphas Месяц назад +1

    Mungu azidi kuwabariki watumishi wote wa kijitonyama kazi yenu ni njema mnoooo

  • @MerryKimei-oz9iu
    @MerryKimei-oz9iu Месяц назад

    Amin

  • @CalvinSilayo-o8p
    @CalvinSilayo-o8p Месяц назад +1

    Nabarikiwa sana

  • @FridaLaizer-mu2kz
    @FridaLaizer-mu2kz Месяц назад

    Nyimbo za baraka sanaaa

  • @naomimarck-ub5we
    @naomimarck-ub5we Месяц назад

    Mmeuwaaa hongeren san

  • @rizikinasetsi4155
    @rizikinasetsi4155 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath Месяц назад

    Amina Amina

  • @ruthmjema4612
    @ruthmjema4612 Месяц назад

    🙏🙏🙏🙏