KUTANA NA KIJANA MWENYE KARAMA KUBWA KATIKA DUA AKIENDESHA DUA MBALIMBALI ~ SHEIKH SHARIFF FIRDAUS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 67

  • @HashimRamadhani-q5f
    @HashimRamadhani-q5f 2 месяца назад +2

    Nakuhusia upo kwenye upotevu nahawo unao wadanganya wote mnafanya maasi ,,mcheni Allah acheni bidaa shiriki naushenzi

  • @AineCrkz-pf9xm
    @AineCrkz-pf9xm 2 месяца назад +1

    Subuhanala 😭😭😭 kwl Mimi naumia kwa hiyi nirikuwa Naona mapasta wanafanya. Kwl na mashehe ndo hivi musiba huyu kwl. Mamuombe Allah aniepushe a ibi bitu🤲🤲🤲

    • @MOSHIMAGOTTI
      @MOSHIMAGOTTI Месяц назад

      Mwenyeezi Mungu atuzidishie ilmu , na we jitahid some, mbona kasoma kama ilivyoelekezwa?

  • @SalumuMakanzile-hn8dt
    @SalumuMakanzile-hn8dt Год назад +2

    Yani kijana huyu namkubali sana sheikh firdaus mungu akuweke miaaka mingi

  • @shabanegaddafi1511
    @shabanegaddafi1511 2 месяца назад +1

    Allah akupe nguvu pia akulinde na shari zawanafiki na madui wanyi kijicho kibaya pia Allah ashushe Fiki katika mambo yako atupe mwisho mwema

  • @FatmaKhamisi-vu3gb
    @FatmaKhamisi-vu3gb Год назад +2

    Mashaallah kijana huyu nizawadi katuletea allah atuseidie

  • @glorymathias7961
    @glorymathias7961 Год назад +2

    YAA ALLAH ANAYETAJWA NA KUTUKUZWA NA KUHIMIDIIWA ALLAH.

  • @yahyarajabu5839
    @yahyarajabu5839 Год назад +2

    Wasalm warku shehe

  • @halimaYusufu-th6mk
    @halimaYusufu-th6mk 11 месяцев назад +1

    Mashaallah mwenyezi mungu akuweke

  • @MohamedIssa-n5j
    @MohamedIssa-n5j 18 дней назад

    Waislam tujishughulisheni na masomo ili tumjue Allah na kumtegemea yy tu kwa kila jambo, tofauti na hapo, fitna za ibilisi zitatupoteza.

  • @yusufmod1437
    @yusufmod1437 11 месяцев назад +2

    Waeza niombea dua n mm shekh

    • @Nagmah-gf4lp
      @Nagmah-gf4lp 9 месяцев назад

      Ya sheikh naomba dua zako sana mungu akuguse ❤uone shida zangu uniombee yailahi

  • @ZariaAbdullah-r5t
    @ZariaAbdullah-r5t 27 дней назад +1

    Shirking mbaya sana

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 Год назад +1

    Maashaallah❤❤

  • @SaumuKidunda
    @SaumuKidunda 7 месяцев назад +1

    Allah akubariki xana🙏

  • @MOSHIMAGOTTI
    @MOSHIMAGOTTI Месяц назад

    Jazaaka llahu khaira.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 27 дней назад

    Mimi nnakubali karama zipo ,ila sijajua kiundani zinatokana na nini ,mana hata family yangu zipo ,nao nimasharifu maarufu hapa Zanzibar ,ilasijajua undani haswa lkn karama zao nazijua

  • @sheikhfirdaus9857
    @sheikhfirdaus9857 Год назад +2

    Mashaallah

  • @ALANPEEK-x1m
    @ALANPEEK-x1m 3 месяца назад

    Mashalla

  • @yahyarajabu5839
    @yahyarajabu5839 Год назад +2

    Kwajina naitwa saum kiruwa mwenyezimungu akujariye maisha marefu

    • @sheikhfirdaus6491
      @sheikhfirdaus6491 Год назад

      Aminna

    • @sghdrdhidf7603
      @sghdrdhidf7603 9 месяцев назад

      Nakufatilia sana.napata ushawishi nikufate ofisini kwako nikiambatana na family yangu kikubw mwenyezi mungu akuzidishie umri mlefu sana naitwa subira ila nina nazito

  • @EmmySmmy-h8x
    @EmmySmmy-h8x 4 месяца назад +1

    Na Mimi naitaji kujivua ukristo niingie kwenye uislam mana umenivutia sana kwakweli

    • @zuberhamza7852
      @zuberhamza7852 4 месяца назад +1

      Allah akufanyie wepes nenda katika Mskiti ambao upo karibu nao Ukifika Muulizie Imamu wa hapo ukionyeshwa mfate umuelezee

    • @MOSHIMAGOTTI
      @MOSHIMAGOTTI Месяц назад

      May Allah grant you to jannah. Yaa rabbal aalamiin

  • @MariamuMachungwa
    @MariamuMachungwa 8 месяцев назад

    Allah akupe umri shekhe

  • @SaalimguzoMussa
    @SaalimguzoMussa 9 месяцев назад +1

    Sina shaka na usharifu maana Allah humpa amtakae ila ninashaka na Pete za sharifu maana uislam haujacha kitu umefundisha mpaka uvaaji wa Pete kwa waumini Pete za rangi hizo nizamajini

  • @MatariRashidi
    @MatariRashidi 23 дня назад

    Ila mimi sijafahamu ni kwanini katika usomaji wake wa qur-an hafati kanuni za kisheria kama alivyofundisha Mtume s.a.w.?na badala yake anasoma kama anavyojisikia yeye hii imekaaje hapo?

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 20 дней назад

    Huyu hamna kitu Dua zenyenye lafdhi mtihani

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu 10 месяцев назад +1

    Mara nyingi wanakuwa Wanawake ktk hizi mambo

    • @MOSHIMAGOTTI
      @MOSHIMAGOTTI Месяц назад

      Wapo in nature maashallah, mwenyeezi mungu ,awaongoze wanawake wote dunian.

  • @dragon4397
    @dragon4397 14 дней назад

    dahh njaaa imefika mpaka akilini acheni utapeli wezi na wa nafki.

  • @MakameMsafir
    @MakameMsafir 26 дней назад +1

    سبحان الله hawa watu hawajuwi na hata hawafikiri sheikh gani anae jaza mapete katk vdole na kuimbisha watu eti ndo dua tufuateni wa luqman jamni tusiwe wajinga na yot haya yanakuja kutokana na hatutaki kusom dini yetu ilivy ila n wakaid kwa ambao wanaisoma.....

  • @MatariRashidi
    @MatariRashidi 23 дня назад

    Na kingine ni kwamba hayo maji mbona naona yana rangi ya njano au yakosomewa ndio yanabadilika kwa karama?

  • @mozzaliuleiza9288
    @mozzaliuleiza9288 18 дней назад

    Sharif upako

  • @Users2523
    @Users2523 14 дней назад

    Huyu elimu hana. Sijui kawatekaje akili akina mazinge??.

  • @HusseinKilatu
    @HusseinKilatu Месяц назад

    Mnapatikan wap?

  • @shabanegaddafi1511
    @shabanegaddafi1511 2 месяца назад

    Mnao tukana hote ninawasi wasi nanyinyi niwachawi

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 20 дней назад

    Kwahyo maji ya upako Huwa wayasomea hivyo

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 11 дней назад

    Kama wewe umetumwa na mwezi mungu usaidie watu nenda muhimbili

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 11 дней назад

    😂mnafiki mkubwa habisi laamal

  • @sheikhibrahimkishki7592
    @sheikhibrahimkishki7592 Год назад +1

    Acheni ushirikina

    • @kitaaofficial4119
      @kitaaofficial4119 Год назад +1

      Weye Mchawi nin??

    • @RehemaRehema1
      @RehemaRehema1 9 месяцев назад +1

      Subiri yatakapo kkuta kisha utakuja mkumbuka huyo kjana coz huja chukuliwa nguvu za kiume na wanga na ukachukuliwa mkeo na jirani kisha ukatafuta tiba ndani ya miaka mikaka hapo ndio utujuwahujuwi

  • @SleimanMakame-u2v
    @SleimanMakame-u2v 18 дней назад

    wajinga ndo wanaoliwa

  • @almaarifonlinetv
    @almaarifonlinetv Год назад +4

    Huyu dogo mimi namjua. Hamna kitu kabisa.

    • @RehemaRehema1
      @RehemaRehema1 9 месяцев назад

      Jitokeze ww mwenye kitu utusaidie daaa,Hadi vijana wana vijicho keee....haya muache mwana wa mwenzio na umuombe Allah akupee ama akufungulie chako kipaji sio kwamba hauna kipaji Ila kili shutiwa na wanga upooo...😂

    • @RehemaRehema1
      @RehemaRehema1 9 месяцев назад

      🤪🤪daaa wivu Hadi wanaume 😅😅

    • @JasbirSemby-ib4gm
      @JasbirSemby-ib4gm 5 месяцев назад

      Ww ndio unawazalau masheikh kwann

    • @AhmedHImran
      @AhmedHImran 4 месяца назад

      Kibri ni haram maana hata ibilisi alisema hivyo hivyo huyu namjua ulimuumba na udongo Mimi ukaniumba na moto Mimi ni Bora kumliko yeye sasa wewe unamjua lkn Allah anamjua na anajua alicho mjalie kuliko elmu yako uliyo nayo juu ya fridaus Allah atusamehe na atuondelee kibri

    • @ZainabuHassan-p7p
      @ZainabuHassan-p7p 2 месяца назад

      ​@@JasbirSemby-ib4gmasaramu araikum

  • @masjiddarulssalamsouthb5727
    @masjiddarulssalamsouthb5727 Год назад +1

    Mtu anapo jiombea yy ni Bora zaidi kuliko kuombewa Sasa hapo kuna duwa ama watu wanaimba singeli au nyimbo allah haombwi hivyo kwa fujo ata ukiwa wapi ata uombe ki Siri yy anaskia waachie kudanganya watu na ushenzi huu wanao fanya

    • @kitaaofficial4119
      @kitaaofficial4119 Год назад

      Mtume Muhammad (saw) akifanya kaz ya Kuombea Maswahaba zake

    • @hamisimanikana2125
      @hamisimanikana2125 Год назад

      Kinachokuumiza kitu gani si wameenda wenyewe ulitaka waende kwa wapiga ramli? Kaa kimya punguza wivu.

    • @abdikadirshariif5311
      @abdikadirshariif5311 Год назад

      Hio ndo kilichom poteeza sheitani. Na wewe ni mmoja yaao. Mtume kafundish. Mpaka ma as haaba 4 tuambiwa tuwafaate baada yaake mtume mmoja waawo ka ambiwa na mtume mtu fulani ukimkuta mambiye akuombeye. Lakini nyinyi mume acha mtume mkamshika Mohamad Ibnu Abduwahab. Na huyo kafundisha tu unafiki.

    • @RehemaRehema1
      @RehemaRehema1 9 месяцев назад +1

      Shushwaa mshipa na wanga kisha ujiombee upone,kee sijaona Muslim kukomet Jambo Baya kwa muislam wacha huyo mtoto afanye vitu vyake watu wapotea makanisani kwa ajili ya kutafuta uzima kama kwali wajuwa sisomama na Allah kaa kimya jiombee

  • @masjiddarulssalamsouthb5727
    @masjiddarulssalamsouthb5727 Год назад +1

    Watu wajinga sana mtaburuzwa mpaka lini allah anasema mtu akimuomba anajibu na mtu anakuwa karibu na mungu wake wakati anapo kuwa kasujudu anapo muomba allah hapo hujibuwa na sehemu nyingi zipo ambalo allah akiombwa hujibu kuliko sehemu zingine hujibu sehemu zote ila kuna sehemu inakuwa ni zaid kuliko sehemu nyingine

    • @kitaaofficial4119
      @kitaaofficial4119 Год назад +1

      Weye ni Kafiri ama vp😢?

    • @hamisimanikana2125
      @hamisimanikana2125 Год назад

      Punguza wivu wa kike

    • @hamisimanikana2125
      @hamisimanikana2125 Год назад +1

      Uwezi kuwaita watu wajinga hali ya kuwa wanaoenda hapo wapo watu walikuzidi umri jifunze kuwa na nidhamu mbwa wewe

    • @RehemaRehema1
      @RehemaRehema1 9 месяцев назад

      Kama una hofu ya mungu kaa kwa kulia hauja itwa

    • @yassinsalim4597
      @yassinsalim4597 9 месяцев назад

      Ni Bora ungetoa Eli KULIKO kuwaita watu wajinga na sio wote wanaojua KUSOMA na pia tueleweshe
      Kwa nn MTU asisomewe Kuna dhambi Gani ?
      Je MTUME hakuwaombea watu?