Dr. Chris Mauki - Sababu 3 Zitakazo Kufanya Ukataliwe na Mwanamke

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Najua kukataliwa kunauma ila ni vema kujua kwa nini umekataliwa ili ujitahidi kiji rekebisha. Je umewahi kupotezewa na mwanaume? Ulijua ni kwa nini? Hizi hapa sababu za mwanaume kukukataa

Комментарии • 8

  • @kharifasiraji3446
    @kharifasiraji3446 8 месяцев назад +1

    Sema Dr Charles fanya mpango wa group tuwe tunajumuika uko wengne

  • @fredricklazaro-ex7dk
    @fredricklazaro-ex7dk 8 месяцев назад

    Big up broo🎉🎉

  • @maryah4601
    @maryah4601 8 месяцев назад

    Sure my brother

  • @jessicamasepo8320
    @jessicamasepo8320 8 месяцев назад

    👏👏👏Dk.

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 8 месяцев назад +1

    True 😅

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 8 месяцев назад

    Kwani huna kitu kengine watu wakajifunza ukiachana na khabar za mahusiano hususani wanawake?? Blaza waambie tuu suluhisho na kumpata mwenza mzuri ni kumtanguliza Mungu tuu, kila kitu kitaflow chenywe unawashauri watu wanaoamini miujiza, nd mahusiano, ndoa hazidumu. Huu ushauri wako unapoteza muda unless unatafuta likes na views.

    • @VelvetVoice-bc2ub
      @VelvetVoice-bc2ub 8 месяцев назад

      Wivu utakuua 🥹

    • @AnthonySindabaha-de3xb
      @AnthonySindabaha-de3xb 8 месяцев назад

      @@VelvetVoice-bc2ub pointless elewa kilichoandikwa wabongo mnakulupuka sana. Jibu kwa hoja nikuone una ubongo unafanya kazi lol