Pole ndugu yangu kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha ipokee hali ya tatizo lako kula vizuri kunywa maji kwa wingi na matunda fanya mazoezi haya magonjwa siyakucheka Wala kumnyanyapaa mtu nilichojifunza nikuomba mungu kutwa kucha Allah atuhifadhi na maradhi makubwa makubwa na madogo madogo
Pole sana kaka Mungu akupe shufaa kwa myaka 26 ulikuja kupata ukimwi 2012 inaonesha kama ulianza kufata na naye ukiwa na myaka 14 sizani ila pole sana M mungu akupe shifa ya mbiyo
Hata mimi najiuliza hapo lakini nikakumbuka aliposema alikua kama kibetein pia alipopima alikua hana mara ya pili akakuta positive yaani inaonesha kama kweli aliambukizika basi alipata age ndogo sanaa yaani kama ni kweli inasikitusha sana mama huyo ni muuwaji amempatia ukimwi mtoto mdogo
Hata mm najiuliza toka elf2012 alikua na miaka mingap maan saiv ana miaka 16 kwahiyo aliambukizwa mdogo sana huyo mama hana huruma mtoto wa miaka 14unampanulia uchi
Pole Kaka angu Kwa mitihan in shaa Allah mungu anakupima Imani na ukifaulu hiyo Ndio Pepo Yako Allah atakusimamia Kwa Kila hatua ya maisha kaka angu na atakuwafu pia na utapata msaada wa watanzania utatulia
Pole sana ni ukosefu wakufikili Kwa wazazi wetu maana ata kabisa mtu unazaliwa unafata kabisa wakati mtoto nae ni binadamu na anahaki yakuchagua anacho Amin ama anacho penda mm Sina dini namuamin mungu tu na Wala Sina kabila ni mtanzania na wazazi awaniingilii maana ni choice yangu pole mdogo wangu mungu atakusimamia na utayashinda hii mitiani
Usimtolee siri mama yako Mama ni mama. Mmungu akupe afya njema kuugua sio kufa Allah akufanyie wepesi.huo ni mtihani na mapito asaa yatapita na utakuwa na furaha.
Allah akuponye mdogo wangu pole sana kwa. Mtihani huu Allah akubariki sana kaka zahir una roho ya kipekee pia akipata room. Na kazi amlete mkewe na mtoto ili wawe pamoja kwa kupambana
Dah jaman pole sana kaka inasikitisha sana sana kiukweli inauma yaan inatoa machoz mwanzo wa story ad mwisho inauma sana, mungu akufanyie wepes utapona tu kakaangu, na mungu ambariki huyu alokustiri na kaka zahili mungu akubariki sana uwe na maisha marefu kaka
Pole Sana ,ila Kuna kitu kinajificha hapa aseme ukweli,,,ila Sisi wakristo hatutachanga basi.. tabia nyingine imeanza ya kuulizana makabila ukisaidia mtu sio Lazima ujue kabila Lake,, watanzania hiyo sio tabia yetu
@@aishaissa2724 vijana wakike na wa kiume tujichunge chupi zinauwa mimi huku ulaya nikitoka kazini nyumbani sitoki nikitoka nimeenda dukani au kazini chupi zote hatari za kizungu au nyeusi
Maradhi niibada km utafanya km aliyotufundisha mtume so usiihangaishe imani yako kwakwenda kuombewa nawatu wenye dini tofauti naimani yako ilinde imani yako sababu tunaishi tunaishia namwisho wamaisha yaduniani kitakachotusaidia mbele niimani zetu allah atujaalie mwisho mwema inshaallah
Maisha ya mseleleko sio mazuri vijana fanyeni kazi na kuanza ngono kwenye umri mdogo ni hatari acheni tamaa inshaallah mungu atakuponya ukimwi hauuwi tumia dawa kwa mpangilio kula vzr ondoa stress utaishi vzr
😭😭😭😭😭😭😭 daaaaaa pole sana mdogo wangu nashindwa kusikiliza mpka mwisho nabaki nalia na kuumia tu daaaa kijana bado mdogo kweli ila wazazi saa nyingine jamani 😭😭😭😭😭😭 kutengana na mzazi mwenzako isiwe chanzo cha kuwatenga watoto wetu
Maashallah kikubwa niuhai kuugua sindiyo kufa. Kuna mama namjua mgonjwasasa hivi unafika miaka 17 yupo na anaendelea vizuri tu maashallah kikubwa. DUA NA IMAN
@@مباركا-ر3ف ujue ukishakua na ugonjwa wa ukimwi unapata maradhi mengine hata uyaelewi mm toka nimepata ukimwi nilianza kuumwa moyo mara kizunguzungu macho kuvimba TB kila siku unaumwa nimebadilishiwa dawa mpaka basi hali nilivyozoea naona kawaida tu hata Corona ilinipata kirahisi mno yani mpaka naogopa kuzaa naona nitakufa ugonjwa mbaya sana huu usiombe ukupate ndo mana wengine ujuuwa aswa mm niliambukizwa nilishakunywa sumu mara tatu ila sikufa nikaona mungu anampango na mimi Acha naishi mpaka siku yangu iliyopangwa itapofika
Polee sanaa kaka,history yako imenikumbusha mbal sanaa,ata mm nishawahi kukataliwa na Baba angu mzaz lakn kwa uzr mama angu akanipigania nikaja uarabuni had leo niko salama na Baba akie nikataa akaniomba msamaha asaiv tuko vzr,Mungu mwema kabsaa kiukwel nashukur, ila imeniuma sanaa kwa changamoto unazo pitia😥😥😥😥
Hivi vitu vipo kabisa,me mwenyewe baba yangu mzazi ametutesa vya kutosha tangu nikiwa mdogo Hadi leo hii naitwa mama,kila kitu kuhusu chakula,malazi na mambo mengine hajui chochote full kujipigania wenyewe,ndugu wenyewe wa kuzaliwa tumbo moja ni changamoto hatupendani hata kidogo,kuna muda napitia magumu mwenyew mpaka nakata tamaa ya kuishi,leo hii mzee kastaafu hana chochote,kawa ombaomba kwa kila mtu.wale ndugu aliowathamini kuzidi family yake hawamtaki tena.
Iyohali namimi imekua inanitokeya yangu namaliza shule yamsingi hospitali wamenambia shida moyo unashuka haraka awe ana tumiya cumvi na kila mbogamboga na soda ya cocacol itamsaidi na dawa zahosupotali Mimi Sasahivi havinitokeyi kilamaranaweza kuka myaka 3 bila kunitokeya mungu atamsaidia . apunguze mawazo na iyohali iki mtokeye awahi kulamba cumvi na soda ya cola
Tafuta kazi nakushauri ndugu yangu ,ukimwi hauwi ila ukifuata nashariti hutoteseka kabisa ndugu yangu, ndo ushaupata huna jinsi muombe mungu wacha mawazo , Siwezi kukusema sana ila jamani kulelewa same time ndo mtihani wake sijui ulirogwa?
Miaka.26.inauma.ungefanya kazi.ungerudia.hata.mara.mia.ungepata.pesa.vijana watanzania wamama hao wanaowapa hela ni mafreemason.acha.kuishi.bila.utaratibu wa Mungu imeandikwa usizini kwenye.uzinzi.kuna mambo huyo mama kachukua nyota yako.kakurushia magonjwa una loho ya kunyenyekea tubu ukaombewe nenda kwa.gwajima
Pole sana kaka yangu Allah atakupa shifaa muombe Allah sana Wala usikate tamaa ya maisha duniani tunapita tu na Kila mtu na mitihani yake asohili na lile Tumia dawa Kwa makini Wala usikhofie maneno ya waja
Waislamu ndugu yetu huyu tumsaidie na tumtie moyo asije akabadili imani mana shetani ana njia nyingi hiyo mitihani dogo anayopitia ni funzo kwa wale wenye mpango wa kukengeuka dini ya kweli ni uislam na mwenye kuitaka dini tofauti na uislamu ana hasara mbele ya mungu.
Huyu anatatizo la kifafa anatakiwa pia atumie dawa za kifafa huko kudondoka huwa kunafanya akili zipungue na pia kuhusu H.i.v pole yake endelee kutumia dawa na apunguze stress
pole Sana Kaka Kwa wakujitakia mtihani ulikupata haya ndio madhara y kukatazwa kuzini tena kijana wakiislam tubia sasa kakaangu mola atakukubalia toba yake .... lakini siku zote mtu akikupa hela n misaada mingine bc juwa hy mtu anakitu anakihutaji kutoka kwako akukupa tatizo kama hili mwenyewe Una maradhi yk 😢 kuna binadamu n wakati sana
Ndugu huu si muda tena wakumlaumu ni muda wakumtia moyo sio kumyanyapa jambo likishaandikwa halikwepeki tusimnyanyapae na Wala tusimpe maneno ya kuumiza kwani Mimi na wewe hatujui kesho yetu tumuombe e bwana Ashraf Allah amjaaliye shifaa nasie Allah Atujaalie mwisho mwema Amyyn yaraaby
@@azizaabeid2055 umeongea point,maana wanaozini wapo wengi lakini hawajapata maradhi kama haya,kwakuwa yy ameathirika tusione kwamba ni adhabu,haitakiwi! Tunapaswa kumtia moyo kama ambavyo ingetokea kwenye familia zetu tusingeweza kutamka maneno ya kuumiza
TUMA MCHANGO WAKO KUPITIA NAMBA
0769364674
HUSSEIN NKANA
VODACOM MPESA
TUMA CHOCHOTE MUNGU ALICHOKUBARIKI TUWEZE KUMSAIDIA KIJANA MWENZETU
zahir nipatie namba zake
namba zake hizo hapo juu zinapita chukua mtafute
Pole ndugu yangu kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha ipokee hali ya tatizo lako kula vizuri kunywa maji kwa wingi na matunda fanya mazoezi haya magonjwa siyakucheka Wala kumnyanyapaa mtu nilichojifunza nikuomba mungu kutwa kucha Allah atuhifadhi na maradhi makubwa makubwa na madogo madogo
Anaonesha huyu kua alikua mstarabu Tena sana daa pole brother kwa mtihani Allah atakuonesha njia sahihi hiyo kwako ni Sawa na jihadi
Pole sana mungu ndiye anaye juwa imani yako Allah atakufanyiya wepesi swali uombe mungu yote ni mitahani
Kaka Zahir Mwenyezi akujaalie kila la kheri dunia mpaka akhera. Akupe maisha marefu uwendelee kutusaidia .Amiiin🤲😭😭😭🤣🤣
🤣😛😛😛😛😛😛😢Kupenda uraisi wa maisha ndio Shida hii
Vijana waskuiz wanapenda kitonga sn
@@nasraabdallah850 sanaa wadada tupo hatuolewi vijana wanaoa mimama
@@زيتونتنزانيا huyu hakuwa na pakuishi akikuowa atakupeleka wapi
@@زيتونتنزانيا kma Izak aloowa yule mmama wa miaka 49
Pole san kaka angu wa dini moja hongera kwa badili dini tunakupenda kwa ajili ya allah allah yupo nawe allah hamtupi mja wake😭😭kk mzr tu jaman mpole
Kuwa na uhai na mzima wa afya ni neema ya Mungu na sio ujanja wetu binadamu.... ukijiona ni mzima wa afya mshukuru Mungu!
Nimejaribu kuvaa kiatu cha Huyu kijana kwakweli hakitoxha.pole Sana mdogo Wangu Mungu akupe wepesi
Pole sana kaka Mungu akupe shufaa kwa myaka 26 ulikuja kupata ukimwi 2012 inaonesha kama ulianza kufata na naye ukiwa na myaka 14 sizani ila pole sana M mungu akupe shifa ya mbiyo
Hata mimi najiuliza hapo lakini nikakumbuka aliposema alikua kama kibetein pia alipopima alikua hana mara ya pili akakuta positive yaani inaonesha kama kweli aliambukizika basi alipata age ndogo sanaa yaani kama ni kweli inasikitusha sana mama huyo ni muuwaji amempatia ukimwi mtoto mdogo
Hata mm najiuliza toka elf2012 alikua na miaka mingap maan saiv ana miaka 16 kwahiyo aliambukizwa mdogo sana huyo mama hana huruma mtoto wa miaka 14unampanulia uchi
@@balqisabdullah6200 Inauma
Mtihani pole sana ndugu yangu usikate tamaa mwenyezi mungu atakupa riziki yako
Pole bwa Ashraf mung atakufanyia jambo atakupa afya utasimama kak
Pole sana baba angu Allah atakufanyia wepesi kwa kila hali unayopitia inshaallah🙏🙏🙏
Mtihani huo wazee hawezi kusaidia mtihani ukifa utapata nafuu akhera utapata janat fidaus ishaalah usijali mungu yupo
Pole Kaka angu Kwa mitihan in shaa Allah mungu anakupima Imani na ukifaulu hiyo Ndio Pepo Yako Allah atakusimamia Kwa Kila hatua ya maisha kaka angu na atakuwafu pia na utapata msaada wa watanzania utatulia
Pole sana ni ukosefu wakufikili Kwa wazazi wetu maana ata kabisa mtu unazaliwa unafata kabisa wakati mtoto nae ni binadamu na anahaki yakuchagua anacho Amin ama anacho penda mm Sina dini namuamin mungu tu na Wala Sina kabila ni mtanzania na wazazi awaniingilii maana ni choice yangu pole mdogo wangu mungu atakusimamia na utayashinda hii mitiani
Usimtolee siri mama yako
Mama ni mama.
Mmungu akupe afya njema kuugua sio kufa Allah akufanyie wepesi.huo ni mtihani na mapito asaa yatapita na utakuwa na furaha.
Pole Sana Ashraf , mungu atakufanyiia wepesi , ila anaonekana mstaarab sn huyu kaka ,, kweli huyu kaka kaongea kitu asimia 95 nimekiona kipo sahiihi
Allah akuponye mdogo wangu pole sana kwa. Mtihani huu Allah akubariki sana kaka zahir una roho ya kipekee pia akipata room. Na kazi amlete mkewe na mtoto ili wawe pamoja kwa kupambana
pole sana kakngu😭😭ALLAH ATKFNYIA WEPSI🙏🙏NIKO NA IMAN FMLY YETU YA MAXMM ITAKUSDIA🙏🙏🙏
Huyo mchungaji Mungu amrehemu na amuongoze katika njia ya kweli Pole sana mdogo wangu Mungu mwenye haki atakupigania inshallah
Dah jaman pole sana kaka inasikitisha sana sana kiukweli inauma yaan inatoa machoz mwanzo wa story ad mwisho inauma sana, mungu akufanyie wepes utapona tu kakaangu, na mungu ambariki huyu alokustiri na kaka zahili mungu akubariki sana uwe na maisha marefu kaka
Allah ni muweza wa kila jambo in shaa Allah utakuwa sawa
Daaa pole sana kaka,huyu kaka kwa umbali anafanana na Zahir picha za kitambo
Pole Sana Kaka yng Allah atakufanyia wepesi inshallah kwa kila jmb
Polesana kaka angu mpelekeni kawe kwa mwamposa wengi wana pona ayo marathi watching from USA 🇺🇸
Pole Sana ,ila Kuna kitu kinajificha hapa aseme ukweli,,,ila Sisi wakristo hatutachanga basi..
tabia nyingine imeanza ya kuulizana makabila ukisaidia mtu sio Lazima ujue kabila Lake,, watanzania hiyo sio tabia yetu
Pole brother kua na ukimwi sio mwisho wa maisha ,ila tuu kufata maagizo ya daktari utaishi vizuri sana usife moyo
Pole saana, Allah akupe shiffa. Sasa mweye vijana mnapenda mteremko kwa awo wa mama
😭😭Daaaah subhannallah mitihani tumeumbiwa Allah atakufanyia wepesi utakaa vzr kk angu
pole sana brother mungu atakujalia utapoa ishalla
Mmmh pole na wamama as Basi MUNGU anihurumie mm MWENYE dhambi
Ulisilimu kuabudu watu na.ndio.maana uliendelea kuzin.mwe.inauma.sana.mge
Mtegemea Mungu.
Nikweli moyo ndo shida yote hata bodaboda hawezi kuendeshe hata kazi za ujenzi hawezi pole sana
Wajinaa
@@aishaissa2724 vijana wakike na wa kiume tujichunge chupi zinauwa mimi huku ulaya nikitoka kazini nyumbani sitoki nikitoka nimeenda dukani au kazini chupi zote hatari za kizungu au nyeusi
Pole sn kijana Mmungu atakufanyia wepec
Pole sana kaka angu mungu yupo pamoja nawe atakuafu utapona tu inshaallah🙏
Pole.sana.nenda.na.kanisani.kwenye.maombi.kawe.utapona.
Pole sana kiukweli unacho sema kuwaacha watt bilakuwa tengezea mipango mizuri kimaisha ndiotuna poteza watt wetu wamama tujitahidi kutunza watt wetu wasiangukie pabaya
Pole sana mdogo wangu kwa tatizo la moyo ila ukimwi ina dawa tuu ukifatilia vizuri unaishi miaka mingi kushinda hao wazima
Maradhi niibada km utafanya km aliyotufundisha mtume so usiihangaishe imani yako kwakwenda kuombewa nawatu wenye dini tofauti naimani yako ilinde imani yako sababu tunaishi tunaishia namwisho wamaisha yaduniani kitakachotusaidia mbele niimani zetu allah atujaalie mwisho mwema inshaallah
Pole sana kwa yaliyokukuta lakini mtu wa miaka 50 sio jimama hata kwenye pensheni hajaingia
hahahaaaaa
@@nadyasalim7956 kweli aisee hata mimi hilo limenishangaza sana! Miaka 50 ukamwite mwenzio jimama kweli?! Ashindweee
pole sana kaka angu mungu ndo anajua kesho yako
mungu aendelee kukupa ujasir japo umepitia changamoto nyingi sana tupo p1 kaka
Usijali nina iman ipo siku dawa ya ukimwi inaenda kupatikana inshaalah🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Maisha ya mseleleko sio mazuri vijana fanyeni kazi na kuanza ngono kwenye umri mdogo ni hatari acheni tamaa inshaallah mungu atakuponya ukimwi hauuwi tumia dawa kwa mpangilio kula vzr ondoa stress utaishi vzr
Pole sana kakaangu mungu atakusaidia kaka zaili tunsaidie hyu kijana
😭😭😭😭😭😭😭 daaaaaa pole sana mdogo wangu nashindwa kusikiliza mpka mwisho nabaki nalia na kuumia tu daaaa kijana bado mdogo kweli ila wazazi saa nyingine jamani 😭😭😭😭😭😭 kutengana na mzazi mwenzako isiwe chanzo cha kuwatenga watoto wetu
Daaa AISSEH Inauma sana mzazi unaliziki unashindwa kumtibu mtoto jamani roho Inauma sana
Pole bro, kudondoka kwa miaka 14 na huna makovu?
Pole sn mdg wang mola yupo pamoja nawe 🙏🙏🙏
Pole kaka yangu mm naishi na HIV toka 2010 mpaka leo nipo vizuri na afya tele maisha yanaenda ni kuomba uzima tu
Maashallah kikubwa niuhai kuugua sindiyo kufa. Kuna mama namjua mgonjwasasa hivi unafika miaka 17 yupo na anaendelea vizuri tu maashallah kikubwa. DUA NA IMAN
Allah akupe afya njema yakuondokee matatizo yote.Ameen
Huyu kinachomsumbua sio ukimwi huu moyo mwenyeez mungu ampe shufahaa kwa uwezo wa Allah
@@مباركا-ر3ف Amyn yarabiaalamyn🤲
@@مباركا-ر3ف ujue ukishakua na ugonjwa wa ukimwi unapata maradhi mengine hata uyaelewi mm toka nimepata ukimwi nilianza kuumwa moyo mara kizunguzungu macho kuvimba TB kila siku unaumwa nimebadilishiwa dawa mpaka basi hali nilivyozoea naona kawaida tu hata Corona ilinipata kirahisi mno yani mpaka naogopa kuzaa naona nitakufa ugonjwa mbaya sana huu usiombe ukupate ndo mana wengine ujuuwa aswa mm niliambukizwa nilishakunywa sumu mara tatu ila sikufa nikaona mungu anampango na mimi Acha naishi mpaka siku yangu iliyopangwa itapofika
Mashallah kumbe umeslimu Allah akulipe kheri
Pole mpendwa mungu akuponye,naamin utakua sawa
masikin kijana mstaarabu mpole mzur
Fanya ibada sana omba maghfira kwa allah inshaallah kwa uwezo wa allah kila kitu kitakaa sawa never give,up
Polee sanaa kaka,history yako imenikumbusha mbal sanaa,ata mm nishawahi kukataliwa na Baba angu mzaz lakn kwa uzr mama angu akanipigania nikaja uarabuni had leo niko salama na Baba akie nikataa akaniomba msamaha asaiv tuko vzr,Mungu mwema kabsaa kiukwel nashukur, ila imeniuma sanaa kwa changamoto unazo pitia😥😥😥😥
Haw wazaz wallah mtihan san
Hivi vitu vipo kabisa,me mwenyewe baba yangu mzazi ametutesa vya kutosha tangu nikiwa mdogo Hadi leo hii naitwa mama,kila kitu kuhusu chakula,malazi na mambo mengine hajui chochote full kujipigania wenyewe,ndugu wenyewe wa kuzaliwa tumbo moja ni changamoto hatupendani hata kidogo,kuna muda napitia magumu mwenyew mpaka nakata tamaa ya kuishi,leo hii mzee kastaafu hana chochote,kawa ombaomba kwa kila mtu.wale ndugu aliowathamini kuzidi family yake hawamtaki tena.
Iyohali namimi imekua inanitokeya yangu namaliza shule yamsingi hospitali wamenambia shida moyo unashuka haraka awe ana tumiya cumvi na kila mbogamboga na soda ya cocacol itamsaidi na dawa zahosupotali Mimi Sasahivi havinitokeyi kilamaranaweza kuka myaka 3 bila kunitokeya mungu atamsaidia . apunguze mawazo na iyohali iki mtokeye awahi kulamba cumvi na soda ya cola
Allaah tumshukur ni.kweli ni mgonjwa kwani hta moyo wake unapiga sana tumsaidieni jmni allaah atatulipa tumpe kile ambacho mungu amekuwezesha
Uyu kijana ameniuma sana allah mpe wepesi na umpe hafueni 😭🙏
Tafuta kazi nakushauri ndugu yangu ,ukimwi hauwi ila ukifuata nashariti hutoteseka kabisa ndugu yangu, ndo ushaupata huna jinsi muombe mungu wacha mawazo , Siwezi kukusema sana ila jamani kulelewa same time ndo mtihani wake sijui ulirogwa?
Maskin mwenyez mungu amsaidie sana huyu kaka wawa2
Pole sana Mungu akupe uponyaji
Daaah pole sana kaka angu mungu atkujaalia utapata pa kuish na utatulia pole kaka mungu yupo nae uxikate tamaa😭😭😭
Inasikitisha sana Allah atakufanyia wepesi amiin
Ukosahihi Zahiri kwakuuliza umesilimu kwaajili ya msaada au Imani yako
Uyu kijana Baba yake kamtoa kafala mwanae na ndio maana anadondoka dondoka.akienda kuombewa kwenye makanisa ya kweli atapona
Dini ni kitu kikubwa sana kwa waumini Mtoto akiasi dini uliyompa na nisawasawa kama kumvua nguo mzazi amekutunza na leo unamkosea ladhi huna
Mashallah Mungu akuongoze ktk dini ya haki
naomba namba yako
Imani yako itakuponya kaka🙏🏽
Subuhana Allah pole ndugu
Miaka.26.inauma.ungefanya kazi.ungerudia.hata.mara.mia.ungepata.pesa.vijana watanzania wamama hao wanaowapa hela ni mafreemason.acha.kuishi.bila.utaratibu wa Mungu imeandikwa usizini kwenye.uzinzi.kuna mambo huyo mama kachukua nyota yako.kakurushia magonjwa una loho ya kunyenyekea tubu ukaombewe nenda kwa.gwajima
Pole sana kaka angu Allah akufanyie wepec
Kijana mzuri sana Mungu atakusaidia In Shaa Allah.
Hapo hakuna mchungaji huyo mzee anatafuta pesa tu kanisani
Pole sana kaka yangu Allah atakupa shifaa muombe Allah sana Wala usikate tamaa ya maisha duniani tunapita tu na Kila mtu na mitihani yake asohili na lile
Tumia dawa Kwa makini Wala usikhofie maneno ya waja
Mimi ni wa kike 😂😂😂... Jamanii pole sana mungu atakusaidia kaka angu...
Pole kakangu
Pole sana mdogo wangu Allah akupe shifaa
😭😭😭😭😭😭 pole sana kaka. Mwenyezi Mungu akuponye.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@@ayshamahariq6665 za mda huu wangu. Umepotea kabisaaa.
@@ayshamahariq6665 huyo profile ni wewe au
@@pilimusa3217 Alhamdulillah wngu
@@pilimusa3217 Npo wangu za maxku😍😍
Pole sana mungu atakuponya kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤
Waislamu ndugu yetu huyu tumsaidie na tumtie moyo asije akabadili imani mana shetani ana njia nyingi hiyo mitihani dogo anayopitia ni funzo kwa wale wenye mpango wa kukengeuka dini ya kweli ni uislam na mwenye kuitaka dini tofauti na uislamu ana hasara mbele ya mungu.
Acha upumbavu Kwa hiyo hiki kipindi kinabagua wakristu wanachanga wakristu wenzao na waislamu wanachanga waislamu wenzao? Huyu ametoka ukristo akaingia uislamu umeona wakristu tumeongea kumlaumu huyu? Why kuchangia unawaomba waislamu wachange Eti asije akabadirishwe Imani? Wewe changa Acha upumbavu WA udini
Pole kijana jitumen wamama wasiwadanganyeni kaka zangu starehe gharama 😥😥😥ona sas janga juu ya janga
Usimpe maneno kama hayo mpe pole na kumtiya moyo mitihani si kwake yeye tu leo yeye kesho wewe au mimi kubwa tumpe faraja ya kumpa maneno mazuri
Subhanallah Allah amfanyie wepes dada uc ongee maneno hayo
@@moanamohammed1406 amin
Pole broo Allah akufanyie wepesi
Amepata ukimw 2012 mana alikuwa na miaka 14 mana sahv ana 26 uwiii mbona aliwahii
Pole sana Ashraph mungu atakusaidia
Pole sana mdogo wangu daa inaumiza sana zaidi ya sana
Allah awabariki bro zahr naamini kupitia sauti yako atapata msaada In Sha Allah
Huyu anatatizo la kifafa anatakiwa pia atumie dawa za kifafa huko kudondoka huwa kunafanya akili zipungue na pia kuhusu H.i.v pole yake endelee kutumia dawa na apunguze stress
Pole kaka mungu yupo atakusaidia yot ni mipango ya mungu
Tafuta kazi nakushauri ndugu yangu ,ukimwi hauwi ila ukifuata nashariti hutoteseka kabisa ndugu yangu, ndo ushaupata huna jinsi muombe mungo wacha mawazo
Pole sana kaka Allah atakufanyia wepesi kua na ukimwi sio mwisho wa maisha. Unahuzunisha kwa kweli
Aisha upo mamy
Pole kakangu kwa mtihani.mungu yu nawe
Pole Sana kaka m/munngu akufanyie wepes😭😭😭
pole Sana Kaka Kwa wakujitakia mtihani ulikupata haya ndio madhara y kukatazwa kuzini tena kijana wakiislam tubia sasa kakaangu mola atakukubalia toba yake .... lakini siku zote mtu akikupa hela n misaada mingine bc juwa hy mtu anakitu anakihutaji kutoka kwako akukupa tatizo kama hili mwenyewe Una maradhi yk 😢 kuna binadamu n wakati sana
Ndugu huu si muda tena wakumlaumu ni muda wakumtia moyo sio kumyanyapa jambo likishaandikwa halikwepeki tusimnyanyapae na Wala tusimpe maneno ya kuumiza kwani Mimi na wewe hatujui kesho yetu tumuombe e bwana Ashraf Allah amjaaliye shifaa nasie Allah Atujaalie mwisho mwema Amyyn yaraaby
@@azizaabeid2055 umeongea point,maana wanaozini wapo wengi lakini hawajapata maradhi kama haya,kwakuwa yy ameathirika tusione kwamba ni adhabu,haitakiwi! Tunapaswa kumtia moyo kama ambavyo ingetokea kwenye familia zetu tusingeweza kutamka maneno ya kuumiza
@@jovanafidelis2802 kabisa ndugu
Pole sana bro Allah akupe shufaaa.
Pole haki nimelia sana
Nenda kwa mwamposa maji mafuta yameponya wengi 😭 pole sn😭
Pole kakangu mungu atakusaidia.
😂😂😂😂 sijacheka lakin kidogo nicheke kwa sauti🤣🤣🤣🤣 eti ni mm wakike 😂😂😂🙌🙌🙌 ALLAH AKUFANYE WEPESI KWAKILA ZITO UNALO PITIA BROTHER 😓😓😓😓🙏🙏🙏
Mtihani mungu atakuwafu ishaaalah
Pole sana Allah atakuponya
Ohh pole mpendwa
Subuhanallah pole kaka
Pole sana mungu atakusaidia