Siku hizi Mungu anaongea mara nyingi na manabii na wachungaji kuliko wakati mwingine wowote. Inawezekana wako miungu wengi pia kuilko wakati mwingine wowote , la sivyo si kila anayetamka Mungu ana maana ni huyu Mungu wetu bali ni Mungu wao , maana kila siku kwa miaka hii Mungu anaongea na binadamu waziwazina, na inawezekana Mungu amehamia duniani .
Wacha kuita watumishi wa MUNGU Chawa. Yakitokea yametokea baya kwako unakimbilia kwa wa watumishi. Usishindane na MUNGU Tumepewa midomo ya kula na sii yakuropoka. ZIBA MASIKIO KAMA HUTAKI KUSIKILIZA.
Mnao amini hapa,mtaniambia siku moja...😂.Anayetaka kujua ukweli ,Tafuta kanisa la Full Gospel Fellowship (FGBF) popote ulipo.Ili ujifunze injili kweli kweli.Achana na manabii wa Uongo hawa!

Umeongea na mungu???uko vizuri
Asante
Umekosa kazi
Amen Prophet
we hanifa acha uchawa!
Amina
Wacha kuita watumishi wa MUNGU Chawa. Yakitokea yametokea baya kwako unakimbilia kwa wa watumishi. Usishindane na MUNGU Tumepewa midomo ya kula na sii yakuropoka. ZIBA MASIKIO KAMA HUTAKI KUSIKILIZA.
Mnao amini hapa,mtaniambia siku moja...😂.Anayetaka kujua ukweli ,Tafuta kanisa la Full Gospel Fellowship (FGBF) popote ulipo.Ili ujifunze injili kweli kweli.Achana na manabii wa Uongo hawa!
Musa wa TONGARENI Waziri mkuu wa Mbinguni
Mahubiri yake unayakejeli sana,si ungeachana naye mbona unazidi kumfuatilia kila kukicha
@@yudamwakatobe338 ananipenda ndio maana anatazama, ila hataki kusema nimekubali, anaona utafaidi akisema ukweli.😂