Allah akulipe kila la kheri shkh Abu Khaula, na huyu mwenye channel Allah akutakabalie jihad yako dhidi ya maadui wa sunna... شكر الله سعيكم وثبتكم الله على الحق.
Wallahi ingekuwa watu wa bidaa awawi kiushabiki ktk wakawa wanarudi ktk vitabu na wakatazama nukuu za sheikh alizo toa wallahi wabillah watallahi wote wangekuwa ktk njia ya wema walio tangulia wangeshikamana na manhaj ssalafy
Jee nyinyi ndio muna adabu na wanazuoni katika watu walokosa adabu na wanazuoni nyinyi ni wa kwanza kwenu hakuna mwa nazuoni alosalimika ambae ametofautiana na fikra zenu hamujambakisha kwa matusi makubwa makubwa kueni na inswaf
Hakika mashekhe wengi Allah kawanyima sana Hekma na hyo nkutokana na udogo wa kielimu..Naomba munikumbushe niwapi au ktabu gani au sura gani au hadithi gani inayo zungumzia RADDI kwa anae teleza ktk dini?? Huo ni uzushi ktk dini,,, haikuwah kutokea ktk uislam toka zama za mitume wala maswahaba wa mtume,,,,Kuna mambo mangapi tunapaswa kuyatafakari ktk dini yetu??? Dini yetu ina dhalilishwa ktk nchi yetu,,pombe kama maji,,madanguro na zinaa zmezagaa kla eneo,,,hivi hamuyaoni hayo?? Nyinyi kila sku Kuzungumzia Itilafu tuh!!! Waislamu tuamkeni tuwache kugawana gawana kama samaki au ndege,,,,Mashekh wetu hebu kae mutafakuri na sio siasa zenu na kutaka kila mmoja ajifagharishe kama kansoma
Mzee mche Allah, Qur'aan yenyewe imejaa RADDI dhidi ya washirikina, mayahudi, manaswara n.k. nakunasihi ukae chini uisome dini yako. Tatzo lawatu wengi hamjui maana ya RADDI ni nn, unataka watu wanaochafua dini ya Allah wanyamaziwe au?
@@ashrafuhussein224 Vijana wasikuhizi Utafutaji wa Elimu zenu umekuwa na vibri ndani yake,,,,Mtu akisha Soma kidogo tuh na kujua kuongea basi anatoa RADDI.Kwanza Someni ktk Marikazi zenu Muhetimu na Na muijue Dini kwanza na Musiwe Bendera ,,,,Elimu ina mawanda makubwa sana ndugu zangu,,,
@@ashrafuhussein224 Kwaiyo kila anae teleza ktk dini ni mshirikina au myahudi au mnaswara?? Tumuombe Allah sana ktk safari zetu za utafutaji wa elimu Allah atujalie ndani yake Hekma ,,hakika tutafauli lkn hizi zenye Vibri ndani yake basi hazito tuacha salama huko tunapo kwenda,,Astagharifu Allah,,,,Allah tusamehe waja wako
RUclips sio bidaa? Soma historia ya radio na TV kwa mara kuingia Saudi Arabia halafu uone masheikh walivyosema tv na radio ni shirki na bidaa mbaya zaidi..
We abuu haula acha kupotosha watu Yani zinaa iwe inafaa kuliko maulidi inaakili kweli wewe au njaa unatetea ugali kwawaarabu acha ujinga huo unaamasisha zinaa kweli niakili hizo
Waalabu kwani wao hawafanyi bidaa wwvipi hapa mm nipo Huko uwarabun. Lakini mwenyenyumbani mtu wa bidaa hivi wameenda humra kwajilihiyo yakuazimisha maulidi. Achahizo fara haki
Vyeo VYA ELIMU Munapeana tu. HADITHI zenyewe ukiuliza Utaambiwa zilianza kuandikwa baada MIAKA KUPITIA. Kukubaliana wanazuoni Bado HAIJAWA HOJA KWA MOLA. SIKU YA KIAMA KILA MJA ATASIMAMISHWA PEKE YAKE SIO KUFUATA MAKUNDI. WALA MTU HAWI MUOVU KWA KUKATAA MAWAZO(MAONI) YA WANAZUONI... UKISEMA ibnu Taymiya ametafsiri Hivyo Ina MAANA MTUME Aliacha Hakukamilisha KUTAFSIRI ALOTUACHIA
Watu wanatumia akili zao kuliko maandiko mbona hoja zake za kuonesha zinaa bora kuliko maulid ni dhaifu sana mbona haelezei malengo na faida za maulid yeye anaeleza mambo yanayoweza kutokea kitu ambacho c sahihi na ikiwa ndio hivyo huoni kama mmeamua kuhamasisha dhinaa, Abuu Haula sio shekhe ni mlopokaji asietumia akili mungu akuongeze na kumbuka dini sio siasa dini ni imani
Bora zinaa inajulikana na madhambi moja kwa1 hayo maulidi watu wamezua katika dini ya Allah maana yake wameingiza sheria zao ambayo ni hatari zaidi na hakuna kheri wala faida yyte ndani yake ikiwa hayajathibiti kwa wema walotangulia.
@@Hamis-ks1sy Je unathibitisha kuwa Zinaa ni bora kuliko Maulidy?? Unaweza kunpa Hukumu kwa anaesoma Maulidy kwa Allah ? Na niipi hukumu ya Mznifu ktk Dini? Sheikh Ushauri wangu Rudi kasome bado weee,,,,,na usiwe benderaa
@@LovelyArchery-jq8qg Ipo hivi madhara ya kuzusha katika dini ya Allah ni makubwa zaidi kuliko zinaa.Kama ilivyokuwa madhara ya kusengenya ni makubwa zaidi ya zinaa lakini dhambi la zinaa ni kubwa zaidi kuliko kusengenya kwanini? Kwasababu ukimsengenya mtu toba yake inaanza kwake kisha umrejee Allah zinaa 1 kwa1 unamrejea Allah.Hayo maulidi ni uzushi na uzushi katika dini ya Allah ni hatari maana yake wewe unataka kutunga sheria zako katika dini ambayo imekamilika sasa sijui unavyosema nikasome wewe mwenzangu umehitimu au vipi? Au ndo katika walewale alowataja Imaam Shaafi kwamba waweza kuwa sufi mwanzoni mwa mchana na kabla ya kuingia adhuhuri tauari ahmaq? Shida mnatumia sana akili zenu eti hivi kweli Allah aniadhibu kwa kumswalia Mtume? Hautoadhibiwa kwa kumswalia Mtume Swallallahu alayhi wassallam utaadhibiwa kwa kuleta uzushi.
@@Hamis-ks1sy ama kweli ukijiiingiza kwenye uwahabi unakuwa mwenda wazimu hivi hata akili hatumii nikweli nikienda kwenye maulidi napata dhambi kubwa kuliko nikienda kuzini ? Kwenye maulidi nasikiliza quran mawaidha kuswalia mtume qaswida kucheza dufu lipi ktk ya hivyo mtume kakataza?
بارك الله فيكم hakika kila anaetaka Dini amepata Faida kubwa kwa maneno haya
Allah akulipe kila la kheri shkh Abu Khaula, na huyu mwenye channel Allah akutakabalie jihad yako dhidi ya maadui wa sunna...
شكر الله سعيكم وثبتكم الله على الحق.
Ndo nyiie wote munao penda zinaaa nyie
@@jumaajambiamusa8214 Bora zinaa kuliko kuzua katika dini ya Allah.
@@jumaajambiamusa8214 kijana mbona una matusi??? Nani kasema amtaka dadako bila ndoa? Hayo ni yako wewe pengine, fanya heshima...
Baaraka llahu fik,umemjibu kimakini,huyu sheikh kasim mafuta au?@@مبغضالبدع-ع9ص
Alhamndulillah
Allah akuhifadhi
Wallahi ingekuwa watu wa bidaa awawi kiushabiki ktk wakawa wanarudi ktk vitabu na wakatazama nukuu za sheikh alizo toa wallahi wabillah watallahi wote wangekuwa ktk njia ya wema walio tangulia wangeshikamana na manhaj ssalafy
Jee nyinyi ndio muna adabu na wanazuoni katika watu walokosa adabu na wanazuoni nyinyi ni wa kwanza kwenu hakuna mwa nazuoni alosalimika ambae ametofautiana na fikra zenu hamujambakisha kwa matusi makubwa makubwa kueni na inswaf
Mziwanda uwe unapekuwa vitabu kabla ya kujibu au kuzungumza
Huyu jamaa huwenda kashaanza kupatwa na uchizi mana amezidi kutukana
Kusoma ni muhimu kuliko kula jaman
Hakika mashekhe wengi Allah kawanyima sana Hekma na hyo nkutokana na udogo wa kielimu..Naomba munikumbushe niwapi au ktabu gani au sura gani au hadithi gani inayo zungumzia RADDI kwa anae teleza ktk dini?? Huo ni uzushi ktk dini,,, haikuwah kutokea ktk uislam toka zama za mitume wala maswahaba wa mtume,,,,Kuna mambo mangapi tunapaswa kuyatafakari ktk dini yetu??? Dini yetu ina dhalilishwa ktk nchi yetu,,pombe kama maji,,madanguro na zinaa zmezagaa kla eneo,,,hivi hamuyaoni hayo?? Nyinyi kila sku Kuzungumzia Itilafu tuh!!! Waislamu tuamkeni tuwache kugawana gawana kama samaki au ndege,,,,Mashekh wetu hebu kae mutafakuri na sio siasa zenu na kutaka kila mmoja ajifagharishe kama kansoma
Wewe mwenyewe hujui kwamba ulioifanya ni RADDI HII..
AJABU KWELI HII
Mzee mche Allah, Qur'aan yenyewe imejaa RADDI dhidi ya washirikina, mayahudi, manaswara n.k. nakunasihi ukae chini uisome dini yako. Tatzo lawatu wengi hamjui maana ya RADDI ni nn, unataka watu wanaochafua dini ya Allah wanyamaziwe au?
Kaachini usome
@@ashrafuhussein224 Vijana wasikuhizi Utafutaji wa Elimu zenu umekuwa na vibri ndani yake,,,,Mtu akisha Soma kidogo tuh na kujua kuongea basi anatoa RADDI.Kwanza Someni ktk Marikazi zenu Muhetimu na Na muijue Dini kwanza na Musiwe Bendera ,,,,Elimu ina mawanda makubwa sana ndugu zangu,,,
@@ashrafuhussein224 Kwaiyo kila anae teleza ktk dini ni mshirikina au myahudi au mnaswara?? Tumuombe Allah sana ktk safari zetu za utafutaji wa elimu Allah atujalie ndani yake Hekma ,,hakika tutafauli lkn hizi zenye Vibri ndani yake basi hazito tuacha salama huko tunapo kwenda,,Astagharifu Allah,,,,Allah tusamehe waja wako
Uzushi ktk dini nisumu
RUclips sio bidaa?
Soma historia ya radio na TV kwa mara kuingia Saudi Arabia halafu uone masheikh walivyosema tv na radio ni shirki na bidaa mbaya zaidi..
من هو ابن تيمية في شراءع الاسلام؟
Utamjua ibn Taymiyya siku ukijua kuandika vizuri!
Nenda ukasome kwanza unaandika makosa ndugu, umeshindwa kuelewa hadith za mtume na maneno ya maswahaba, umekumbilia kwa ibnu taymia 😂😂😂😂
Huyu mziwanda anamatatizo ya kulazimisha umaarufu
We abuu haula acha kupotosha watu Yani zinaa iwe inafaa kuliko maulidi inaakili kweli wewe au njaa unatetea ugali kwawaarabu acha ujinga huo unaamasisha zinaa kweli niakili hizo
Waalabu kwani wao hawafanyi bidaa wwvipi hapa mm nipo Huko uwarabun. Lakini mwenyenyumbani mtu wa bidaa hivi wameenda humra kwajilihiyo yakuazimisha maulidi. Achahizo fara haki
Vyeo VYA ELIMU Munapeana tu.
HADITHI zenyewe ukiuliza Utaambiwa zilianza kuandikwa baada MIAKA KUPITIA.
Kukubaliana wanazuoni Bado HAIJAWA HOJA KWA MOLA.
SIKU YA KIAMA KILA MJA ATASIMAMISHWA PEKE YAKE SIO KUFUATA MAKUNDI.
WALA MTU HAWI MUOVU KWA KUKATAA MAWAZO(MAONI) YA WANAZUONI...
UKISEMA ibnu Taymiya ametafsiri Hivyo Ina MAANA MTUME Aliacha Hakukamilisha KUTAFSIRI ALOTUACHIA
Nyie wapuuz mawahabi
Wewe piga na maneno ya mtume na maswahaba umekua mkristo wa krismas, hizbi we mwenye kujifananisha na mayahudi
@@sim9859wew hao watu wa maulid ndio waovu zaidi maana hawawezi kutubu na bidaa zao wanaona kwenye haqi
Acha kupenda kulaa
@@sim9859Hivi kuna wakristo kuliko mawahabi?
Watu wanatumia akili zao kuliko maandiko mbona hoja zake za kuonesha zinaa bora kuliko maulid ni dhaifu sana mbona haelezei malengo na faida za maulid yeye anaeleza mambo yanayoweza kutokea kitu ambacho c sahihi na ikiwa ndio hivyo huoni kama mmeamua kuhamasisha dhinaa, Abuu Haula sio shekhe ni mlopokaji asietumia akili mungu akuongeze na kumbuka dini sio siasa dini ni imani
Bora zinaa inajulikana na madhambi moja kwa1 hayo maulidi watu wamezua katika dini ya Allah maana yake wameingiza sheria zao ambayo ni hatari zaidi na hakuna kheri wala faida yyte ndani yake ikiwa hayajathibiti kwa wema walotangulia.
Kweli huyu mjomba nae mgumu kuelewa wallahi maulidi inafaida gani sasa
@@Hamis-ks1sy Je unathibitisha kuwa Zinaa ni bora kuliko Maulidy?? Unaweza kunpa Hukumu kwa anaesoma Maulidy kwa Allah ? Na niipi hukumu ya Mznifu ktk Dini? Sheikh Ushauri wangu Rudi kasome bado weee,,,,,na usiwe benderaa
@@LovelyArchery-jq8qg Ipo hivi madhara ya kuzusha katika dini ya Allah ni makubwa zaidi kuliko zinaa.Kama ilivyokuwa madhara ya kusengenya ni makubwa zaidi ya zinaa lakini dhambi la zinaa ni kubwa zaidi kuliko kusengenya kwanini? Kwasababu ukimsengenya mtu toba yake inaanza kwake kisha umrejee Allah zinaa 1 kwa1 unamrejea Allah.Hayo maulidi ni uzushi na uzushi katika dini ya Allah ni hatari maana yake wewe unataka kutunga sheria zako katika dini ambayo imekamilika sasa sijui unavyosema nikasome wewe mwenzangu umehitimu au vipi? Au ndo katika walewale alowataja Imaam Shaafi kwamba waweza kuwa sufi mwanzoni mwa mchana na kabla ya kuingia adhuhuri tauari ahmaq? Shida mnatumia sana akili zenu eti hivi kweli Allah aniadhibu kwa kumswalia Mtume? Hautoadhibiwa kwa kumswalia Mtume Swallallahu alayhi wassallam utaadhibiwa kwa kuleta uzushi.
@@Hamis-ks1sy ama kweli ukijiiingiza kwenye uwahabi unakuwa mwenda wazimu hivi hata akili hatumii nikweli nikienda kwenye maulidi napata dhambi kubwa kuliko nikienda kuzini ? Kwenye maulidi nasikiliza quran mawaidha kuswalia mtume qaswida kucheza dufu lipi ktk ya hivyo mtume kakataza?
Abuu khaula anapambania msharaha wake kukota kwa mawahabi wa uarabuni hasahasa suudia . Ni mfanya kazi huyu
mann ya mkosaji, ukishkua huna hoja ya kutetea ujinga wako yanafata maneno haya
Kama n mfanyakazi basi ANAIFANYA VEMA KAZI YAKE
@@suleymanurasa3207 huwa hata mlevi anamsifikia mtengeneza pombe .huna mashiko ,mafuta yatakapokauka saudia hutowasikia hawa mayahudi
Ni hadhayaan.
Huna adabu wew