Ndugu yangu Rajabu, Mungu aendelee kukubariki kwa kila ukifanyacho kilicho chema maishani mwako, maana ulifanya kazi kubwa sana ya kuweka kumbukumbu hizi mtandaoni,ambazo hazita potea mpaka kuja kwake Yesu Kristo. Tunawaona wapendwa, pamoja na huduma tulizo zifanya hapo nyarugusu. Ni jambo nzuri kbs.
Amena sana mungu awabariki sana
Nawona muripendeza
Way to go.
Ndugu yangu Rajabu, Mungu aendelee kukubariki kwa kila ukifanyacho kilicho chema maishani mwako, maana ulifanya kazi kubwa sana ya kuweka kumbukumbu hizi mtandaoni,ambazo hazita potea mpaka kuja kwake Yesu Kristo.
Tunawaona wapendwa, pamoja na huduma tulizo zifanya hapo nyarugusu.
Ni jambo nzuri kbs.
Amena kubwa ubarikiwe pia
Praise the Lord.
Amen,I,m in Rwanda
Amenaaa