Shk Ali Abubakar. Watu watarika maulidi. Nataka uwazinduwe zaidi kwani mtume mohamed s.a.w Ameoneshwa Ayaat kubra.kuona mitume yote na kuoneshwa umaa wake mpaka mwisho wa duniya. Katika safari yake miraj
Kasome shekhe. Elimu yako bado. Huo utata aeza kukuondolea kilaza tu. Kifupi nenda mbele nani atae washifaia watu siku ya Qiyama alafu rudi kwenye lugha.
Wacha kudanganya watu ewe Wahhabi maulid yamepitishwa Na Jamhuri ya Maulama kina imaam assuyuuti Ibn Hajar Na wengineo kwahio Kua Na insaaf usi Talbiis Kwa awaam
Na nguwo wavazo katika maulidi ni kanzu mpiya na kofiya na vizibao na kashida zote mpiya. Mbona wakija msikitini hawavai. Kuswali haifaye nguwo mpiya.wa va nguwo kukuu
Kasomeni kiarabu وٱللغة ٱلعربية ترخصنا ٱلنسن داٱلفعل على غير فاعله ٱلمسمى بٱلمجارى ٱلعقلى Katafute maana ya hayo maneno. Someni kiarabu Kisha ndo mshike barzanj musome.Nyinyi mawahabi na huyo Khatibu wenu
شيخ علي بارك الله فيك عجبني موضوعك ماشاء الله الله يحفظك و يعطيك العافية
Ndugu yangu hivi ww kiama utamkimbilia Nan Kama so mtume au utamkimbia Allah jibu hapo
Ushasema
Tuacheni jamani
We hujui lolote
ww kuna nini hapo unaloona uyo shekh kalizua.
hio din yako niyetu sote..
ukikataa mawaidha skiliza nyimbo
Matatu ikikaaa kufunguwa malangoo shida Nini nilkkafunguwa malago maraja
Ntie musisome as tutasoma dhambi mwajua hiyo tu
Shk ali naomba no ya cm yako
Unapenda kugeuka geuka stail nimekupenda hiyo Mana kwa hiyo umefaulu
Sheikh naomba namba yako
Kasome kiarabu we wahabi
Sayyidnaa Aliy alimuita mtume swalla llahu alaihi wasallam yaa fidaaka ummiy wa abiy. Tafsiri na hapo.
Shk Ali Abubakar. Watu watarika maulidi. Nataka uwazinduwe zaidi kwani mtume mohamed s.a.w Ameoneshwa Ayaat kubra.kuona mitume yote na kuoneshwa umaa wake mpaka mwisho wa duniya. Katika safari yake miraj
Kasome shekhe. Elimu yako bado. Huo utata aeza kukuondolea kilaza tu. Kifupi nenda mbele nani atae washifaia watu siku ya Qiyama alafu rudi kwenye lugha.
Wacha kudanganya watu ewe Wahhabi maulid yamepitishwa Na Jamhuri ya Maulama kina imaam assuyuuti Ibn Hajar Na wengineo kwahio Kua Na insaaf usi Talbiis Kwa awaam
Na nguwo wavazo katika maulidi ni kanzu mpiya na kofiya na vizibao na kashida zote mpiya. Mbona wakija msikitini hawavai. Kuswali haifaye nguwo mpiya.wa va nguwo kukuu
Kasomeni kiarabu
وٱللغة ٱلعربية ترخصنا ٱلنسن داٱلفعل على غير فاعله ٱلمسمى بٱلمجارى ٱلعقلى
Katafute maana ya hayo maneno.
Someni kiarabu Kisha ndo mshike barzanj musome.Nyinyi mawahabi na huyo Khatibu wenu
Na wanapo kufuru kusimama kwenye maulidi wasema mtume aingiya mbona hawampi mkono.wamkuwana wenyewe kwa wenyewe