POLISI WAMALIZA UPEKUZI NYUMBANI KWA BONI YAI, WAKILI WAKE AOA TAMKO...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 202

  • @dannywandiba910
    @dannywandiba910 Месяц назад +19

    Hongera jambo Tv mnajitahidi kutupa updates kila dakika kila sekunde kazi nzuri

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 Месяц назад +12

    Mwenyekiti Chadema Dar, Umeongea vizuri sana. Kweli Kabisa sasa hivi Taharuki kubwa nchini na Wananchi Wengi hatuna Imani na Utendaji kazi wa Jeshi la Polisi

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Месяц назад +1

      @@johnmlangi6890 Nani anasababisha taharuki kati ya anayezuia polisi kufanya KAZI zake na polisi anayetekeleza

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 Месяц назад

      Police wanapotimiza wajibu wao mnaona kama wanaonewa wananchi, tuwe positive kusikiliza pande zote

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

      ​@@godwinshoo5032ni wasiojulikana wanaoleta tahaluki na kuichonganisha selekali na wananchi maana binadamu mwenzio anapouwawa na kutupwa kama nguluwe haivumiliki haikubaliki

  • @christophermatupila7165
    @christophermatupila7165 Месяц назад +22

    hao polisi wangekuwa ivyo kuwatafuta na watekaji ingependeza sana

  • @JoisSebastian
    @JoisSebastian Месяц назад +27

    Mimi nashangaa kwajeshilapolice mbona kauli mbayazilizosemwa na makadawaccm hatujaona wanakamatwa au kuhojiwa?

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Месяц назад +2

      Tatizo la viongozi wa chadema ni kujifanya wanajua kila kitu!Pia wanataka kupotosha kila jambo hapa Tanzania! Kama hapa wanataka kuwafundisha polisi kazi (wafanye wanavyotaka wao)

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Месяц назад +2

      Tena kuna walosema hadharani kabisa kuwa wao ndo chinja chinja wao ndo wanapanga matokeo lkn hatujasikia kukamatwa

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Месяц назад +2

      ​HAKI HUINUA TAIFA

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Месяц назад +3

      ​@@godwinshoo5032kwaiyo wewe uko upande wa polisi na unaona kabisa polisi wanafanya kazi kwa weledi?

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Месяц назад +3

      ​​@@godwinshoo5032kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao kazi ya polisi siyo kupambana na chadema na kulinda ccm unatakiwa ulielewe hilo. tangu lini polisi wamepambana na ccm unataka kusema viongoz wa ccm hawafanyagi makosa wanaofanya makosa ni chadema tu miaka yote?

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 Месяц назад +10

    Chuki inazidi kuwa kubwa kwenye jamii, watawala wamejisahau sana

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Месяц назад +11

    Hakuna polisi hapo ni wale wale wasiojulikana wa ccm

  • @HawaKibela
    @HawaKibela Месяц назад +14

    Wew mama samia unanyanyasa watu ipo mungu yupo atkuuriza wew sio malaika eti haukusorewi wew nani kwanza umekuwa mungu

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg Месяц назад +2

      Mkapa alieza wapinzani akina lipumba mkasema mungu yupo, kikwete alitesa wapinzani mkasema mungu yupo, Jpm pia alitesa wapinzani mkasema mungu yupo na leo Samia anawatesa wapinzani na bado mnasema mungu yupo hili neno mungu yupo haliwezi kutoa matokeo kama hamchukui maamuzi

    • @philemonsnyanda9450
      @philemonsnyanda9450 Месяц назад

      Lisu alisema hakuna cha maliziano wala mapendano

  • @ordafabian5172
    @ordafabian5172 Месяц назад +7

    Rais sijui anawaza nni, kunawatu walisema walishiriki kwenye chinjachija, jeshi lipo halihangaiki na mtu, mnahangaika na wasiokua na hatia

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 Месяц назад +5

    Mungu ajalibiwi tumeanza kuona ee mungu tulinde

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 Месяц назад +4

    Yaani nchi ya dhambi nchi ya waovu kutumia nguvu NYINGI kuwatese wanaoyakemea maovu Ila mwisho wa ubaya aibu CCM na serikali ijiandae kwa aibu kubwa

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Месяц назад +3

    Kwani hawa jamaa zangu kwani wakimuandikia barua na kumwita mtuhumiwa kituoni si anaenda!!!!! Au 😢😢

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Месяц назад +4

    Huo ni udhalilishaji kwa viongozi wa upinzani vitendo vya police vya namna hii unapaswa kulaniwa

  • @salama1113
    @salama1113 Месяц назад +4

    Hilondo lilikuwa lengo lao wamteke sema mungu kawalani damu yayule baba haitawacha salama😢😢😢

  • @kalebiestomihi
    @kalebiestomihi Месяц назад +2

    ccm.wanaiogopa.chadema.ndio.mana wanatumia.nguvu.ya polic.ipo.siku.mungu。atawajibu.hao.polic.wamezidi.kutuonea.sana

  • @evaemil856
    @evaemil856 Месяц назад +4

    Majina Ya Hao mapolisi mmeyachukuwa? You have done a great job Boniface and wananchi Safi Sana.

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 Месяц назад +5

    Jeshi linazalilisha sana wapinzani

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Месяц назад +2

    Ahaaa wametumwa tayari police si tulijua Hawa police ndo wenye kufanya haya matukio kumbe kweli na huyo mkamuue Tena si tulisema nchi ya awamu 6 tutaona mengi

  • @B23-i8p
    @B23-i8p Месяц назад +7

    Watekaji aaaaah

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh Месяц назад

    Pole bony wangu pole baba eeeh

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 Месяц назад +2

    Tunahitaji watu waliosema wanapoteza watu pia mashughulikiwe.

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka Месяц назад +4

    Hawa polisi ni mapoyoyo sana linatakiwa liundwe upyaa

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips Месяц назад +4

    KWELI NIMEAMINI HAPA TZ KUNA POLICCM

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka Месяц назад

    We mungu wananchi tupo tunaangalia tunaopanga foleni siku ya kupiga kura tusaidie kuyatambua siku hiyo mapenzi yako yakatimizwe amina

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

    Mungu simama na wanaotetea haki ya mtanzania waovu wauaji waaibike mchana kweupe na mungu awalipe stahili zao kamili

  • @farajabinamsimchimba
    @farajabinamsimchimba Месяц назад +6

    Hao wote wanaotumwa kufanya hizo kazi ni masikini hata kwa macho choka mbaya

    • @mussakingazi8875
      @mussakingazi8875 Месяц назад

      Wewe una utajili gani

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

      ​@@mussakingazi8875kwani umesemwa wewe mbona unahamaki yaani sikiliza ni hao wanaotaka kutajilika kwa damu kuendeleza dhiki ndio wasemwao sio wewe punguza hamaki

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 Месяц назад +2

    Kusumbua watu tu. Ila wauaji, watekaji hatuoni muafaka. Jamani.

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Месяц назад +3

    Hasani acha ushabiki kwanini police ni binadamu pia wanapaswa kuhojiwa wao hawako juu ya sheria

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Месяц назад +2

    Mpaka waje na siraha nzuto huyo ni jambazi au uhaini

  • @StevenMgaya-h9l
    @StevenMgaya-h9l Месяц назад +1

    Duuuu!hii ni hatar sana,police msitumike vibaya ipo anaewatuma nanyie mnao tumwa itatakiwa mjibu mbele ya mwenyezi mungu

  • @LivingAlfons
    @LivingAlfons Месяц назад +4

    Hatutarudi nyuma,tena Bonifa apewe uongozi

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku Месяц назад +1

    Pole sana ndugu usiwe na hofu

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 Месяц назад +6

    Kosa la kimtandao unaenda kupekea nini nyumbani

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 Месяц назад +1

    Ni kweli nyinyi ndo mnamakosa kila kukicha au nyinyi si watanzania

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m Месяц назад +3

    Duuu mama Samia rais wetu laaa

  • @ChimijaJeremiah
    @ChimijaJeremiah Месяц назад +3

    Ngoja nikajiandikishe.. nipigie kura chadema

    • @mussakingazi8875
      @mussakingazi8875 Месяц назад

      Fanya kazi familia yako iishi vizuri,

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

      ​@@mussakingazi8875ndugu yangu mafanikoo pesa bila kutenda haki ni sawa na kupanda mchangani maana yupo hakimu asieonekana amewanasa wengi tunaowajua leo hii watoto wao wameishia aibu hivyo tujifunnze kupata kwa haki na kujiwekea akiba kwa kuwajali wanyonge pasina kibuli na majivuno

  • @JumaKitutu-t4s
    @JumaKitutu-t4s Месяц назад +2

    Sisi ni kuku tu tupo hatujui lini,nani anayefuata atakamatwa na kuchinjwa.
    (Nanukuu msemo wake Bon yai)

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Месяц назад +1

    Kwann hawawbdi kuwapekua makada wa ccm polisi wa ache unyanyasaji

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy Месяц назад

    Hivi mungu anaweza akageuza uchaguz ikawa si ccm hao polisi itakuwaje

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako Месяц назад

    Watekaji hao sio polisi tena endeleeni kulinda wahalifu wa ccm

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Месяц назад +1

    Mi nasema ivii ccm ndo aoao wauwaji Yani wakifanya wao c kosa

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад

    Hawa police watakua nataarifa zote za vijana wanaopotea inaonekena wapo vema sana.

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati Месяц назад +5

    Hii nchi imekuwa mbaya sana saiz kwann mnatumia nguvu hivyo wakati huyo sio jambazi wala hajauwa

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale Месяц назад

    Kwa hiyo sasa wanashikwa raia cyo tena watekaj

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa Месяц назад +1

    Hao hao ndo wataekaji

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Месяц назад

    Kuna badhi ya Wana CCM wabaya sana,Ndiyo wanaotumia vibaya Jeshi letu zuri hayo mambo ya kisiasa,Angalieni sana Msichafue nchi yetu nzuri ya Tanganyika,Haya mambo hayako Zanzibar,

  • @WillbadBeda
    @WillbadBeda Месяц назад +5

    Wakati mnafanya hayo mnjua kweli ubaya nideni linalo subiriwa kulipia au

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d Месяц назад +1

    People powerrrrrrrrrrr

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo Месяц назад

    Mapolisi maseng# mno kama maseng# mengine!!!
    Hayaaminiki hayo yaweza kuacha bangi au chochote kichafu

  • @MtanganyikaTanganyika
    @MtanganyikaTanganyika Месяц назад

    Karibia kunakucha giza ni nene sana

  • @benjaminmeshack3922
    @benjaminmeshack3922 Месяц назад

    Duuuh hatali,

  • @CalistusTitus-s5o
    @CalistusTitus-s5o Месяц назад

    Majambazi kama majambazi hii nchi hii hii nchi hii

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 Месяц назад

    Tanzania tunamzidi yoweri museveni isipokuwa kwetubwanabadilishan ndan ya chama kimoja lakin uongoz ni mmoja

  • @FrancisThomas-jc8wq
    @FrancisThomas-jc8wq Месяц назад

    Nchi ngumu sana kwa wapinzani,Ila Mungu wa mbinguni Yuko upande wao na adhihakiwi.

  • @annamsigwa-z4q
    @annamsigwa-z4q Месяц назад

    Wakatutafutie waliotekwa kwa nini wasiingie polini

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 Месяц назад

    Ninachojiuliza kwanini kila siku wanaokamatwa ni wanachadema ccm wote ni wazuri kwa nchi hii

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl Месяц назад +2

    Wauwaji had

  • @ESTERMWAKAJUMBA-b6u
    @ESTERMWAKAJUMBA-b6u Месяц назад

    Siku vyama pinzani vikichukua mamlaka, cjui itakua je. Maana polisi wamekua tatzo.

  • @peterjosephat6685
    @peterjosephat6685 Месяц назад

    Utekaji umezidi jamani kilamtu anahofu

  • @AsmaKapaya
    @AsmaKapaya Месяц назад

    Wangapi wamekamatwa na nguo za maaskali na sio maaskali ,,,,nguo ya polis kwasisi mbugilambugila sio kitambulisho tosha Cha polisi ,,,,tumewachoka serikali hiii

  • @franklukumay1727
    @franklukumay1727 Месяц назад +1

    Hii nchi kama inamilikiwa na watu Fulani ila mwisho wao unafika soon inaudhi sana

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Месяц назад

    Walikuwa wanataka kumteka nimatekaji police

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 Месяц назад

    Walitaka kumteka Sima akitoka awe makini

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 Месяц назад +1

    Kwa nini chadema mnakaa mnakamatwa kamarwa shida ni nini

  • @Veni584
    @Veni584 Месяц назад

    Mwanza walizuia lakini Dar bado hawajaamka

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale Месяц назад

    MTU aliongea ukwel tu tayar polis WANAPENDA kumfuata nchi ya hivyo sanaa

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Месяц назад

    Awa police wakoje mbona akili ndogo wanataka nini

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki Месяц назад +1

    Kuna watu wanaofanya nchii ni Yao peke Yao pia huo ni ushamba wa kazi Bunduki za nn kwa ukamataji kwa mtu aside mwarifu

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 Месяц назад

    Sasa raia hawakuwepo

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha Месяц назад

    Kichwa hicho kinatikisa jiji la dar

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h Месяц назад

    Hilo ndo tatizo lenu watanganyika mtu anachukuliwa hakuna bom hata moja la machochi alishaondoka mtu mnaanza kuchonga

  • @ludovickmutalemwa4915
    @ludovickmutalemwa4915 Месяц назад

    Watanzania tupo nyuma yake tunamhombea na atatoka na atawashinda mwamba namkubali sana ktk uchunguzi wake

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 Месяц назад +1

    Hakumuona Mafwele humo hahaahahaha

  • @aminahamadi7198
    @aminahamadi7198 Месяц назад

    Walikua wanataka kumteka nawametumwa namafwele

  • @Uhuru-s8c
    @Uhuru-s8c Месяц назад

    Freedom is coming tomorrow

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Месяц назад +1

    Masika lini tuanze kulima naomba mbegu jamani

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf Месяц назад +3

    Kweli tanzania ina intelligence yani wamemfata muhusika mkuu wa utekaji

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba Месяц назад

    hiv kauri iliyotewa na kina nape DC wa longido jeshi la police wanazionaje

  • @saadune
    @saadune Месяц назад

    Lawless Tanganyika the police state

  • @HuseinMwakindole
    @HuseinMwakindole Месяц назад +1

    Wewe wakili mbona tunamuona amevaa station?

  • @joannoel-g3r
    @joannoel-g3r Месяц назад

    Viongozi wa nchi hii tunaomba mskie vilio vetu tunaharibu taifa letu , kama sio kelele leo hii ingesemekana mengine

  • @mohamedymussa7556
    @mohamedymussa7556 Месяц назад

    Mwehu nini acha polisi wafanye kazi zao musiwafundishe

  • @AmbakisyeSimion
    @AmbakisyeSimion Месяц назад

    Kama kipindi cha Idd Amin task force

  • @muddyausi8470
    @muddyausi8470 Месяц назад

    Kaz. imeanza

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 Месяц назад

    Nchi imekua ya ajabu kupata kutokea,

  • @ViolethMazengo-nd8cy
    @ViolethMazengo-nd8cy Месяц назад

    Kwan wale wauuwaje mzee wetu wa chadema wapo wapi? Wameshikwa jmn? Na wale wabakaji mpk sasa imekuwaje? Jaman hii nchi hivi samia mnamchagua kweli?

  • @NnalaNsangalufuMwangati
    @NnalaNsangalufuMwangati Месяц назад +7

    Sasa mtu mmoja wanakuja police wote hao tena kwa raia ambaye siojambazi hamuoni kama saiz hatuna jeshi lapolice wala usalama wowote nikuumiza watu tu 😢

    • @AhmedHassan-vl5zf
      @AhmedHassan-vl5zf Месяц назад

      Huyu NI zaidi ya jambazi NI terrorist

    • @thanksrjhood9508
      @thanksrjhood9508 Месяц назад

      akili ndogo

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

      ​​@@AhmedHassan-vl5zf hapo natia muhuli alichosema mungu ni kweli tupu hapa bado maana siku zinakuja waovu watatenda udhalimu mkuu huku wakijifaliji kwamba mungu wao ni mkuu na kujisifia udhalimu

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Месяц назад +1

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil Месяц назад

    Police Tanzania nimatako mbwa hawana akili wao wanatumiwa na CCM

  • @edistidiusmutalemwa5758
    @edistidiusmutalemwa5758 Месяц назад

    KUTEKA:Maana yake ni kukamata na kumtia mtu kizuizini KINYUME CHA SHERIA.

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 Месяц назад

    Sasa wanapekua nn wakat kesi ni taarifa za uongo?

  • @JejeOfficial-l1h
    @JejeOfficial-l1h Месяц назад

    Wanafata upendeleo mbona alie watuma walio mbaka dada wa yombo mbona walitumia balua kwann jacobo wajafany ivyo

  • @VedastusMtesigwa
    @VedastusMtesigwa Месяц назад +1

    KWA NINI POLISI HAWAKUMPA NAFASI YA KUTAARIFU NDUGU AU WAKILI WAKE JAMBO AMBALO NI HAKI YA MKAMATWAJI ?

  • @AbelJohn-tx4in
    @AbelJohn-tx4in Месяц назад +1

    Hivi nyie polisi mnataka kuleta machafuko au? mpaka sasa sijui kazi yenu ni nini hasa, maana siku hizi mmeacba kuzuia uhalifu kabisa mmehamia kuteka watu, tuambieni moja ili tujue mmekuwa majambazi

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Месяц назад +4

    Samia katoa agizo Jana Leo kimenuka aiseeee

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Месяц назад

    Futeni vyama vya upinzani tafadhali ili tubaki na vijana wetu kwa amani anzisheni utawala wa kifalme maana sasa hiyo siasa imegeuka shubili

  • @GhaniaSaid-u5k
    @GhaniaSaid-u5k Месяц назад

    Maisha tunapita tu maaskar

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o Месяц назад

    Ikibainika nyinyi chadema mnahuska na utekaji bas mtakuwa hamna utofauti na ccm

  • @kaitesilaurent8997
    @kaitesilaurent8997 Месяц назад

    Nimejiwuliza

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka Месяц назад

    Bony usijal wala usibabaishwe

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 Месяц назад

    Mapolisi wetu ni washamba na wapumbavu sana. Hawatumii hata akili, kutokana na haya madhila yanayosababishwa na wao hayajifunzi kabisa. Hata kama ni ma toilet paper ya ccm, wajue kabisa kwa sasa watanzania wameelimika kiasi cha kujua haki zao! Njaa mbaya sana aisee. Watekaji na wauaji wananchi tumesha wajua, sasa wao wanadhani wataishi milele?