NDIYO NI KWELI KBISAA KAKA SHABIBY HAO MAWAZIRI WANAANGALIA SASA TUU AWAANGALII MIAKA IJAYO . YAANI TANZANIA NI UPUUZI MTUPUU. YAANI SERIKAKI IKO KWA AJILI YA KUCHOTA PESA TUU HIVI KWELI NYINYI NI BINAADAMUUU? KWELI .. HALAFU WANAJIITA ETI WASOMI- WENYEWE WANAZANI SISI WATANZANIA NI WAPUMBAVU.
Congratulations 👏
namwona tale katulia anasubiri kusaini asepe
Una akili sana mh. Shabiby
Shabiby uko vizur sana hawa biashara hawajui
Akili nyingi Sana shabibi
Namwelewa sana mbunge wangu
Mh.uwe mshauri wa uchumi ofisi ya raisi
Uwelewaa mkubwa snaa
Ni dhahiri Tanzania yaongozwa n'a watu wajinga sana, almost illiterate!
Wambie
Bunge likianza lazima nitafute clip za SHABIBY, KISHIMBA, MSUKUMA, TABASAMU, NICODEMUS na GETERE tu, wengine vihio
Naomba update list yako ongeza na Kishimba
Bashe je
@@Frazztraveller Bashe ni maneno mengi tu kama alivyokuwa CHARLES MWIJAGE alipokuwa Waziri lakini Hana maono ya mbali
@@GhostGhost-cb5gb kumbe kishimba hayupo kwenye list, namkubali balaa ngoja niEdit
NDIYO NI KWELI KBISAA KAKA SHABIBY HAO MAWAZIRI WANAANGALIA SASA TUU AWAANGALII MIAKA IJAYO . YAANI TANZANIA NI UPUUZI MTUPUU. YAANI SERIKAKI IKO KWA AJILI YA KUCHOTA PESA TUU
HIVI KWELI NYINYI NI BINAADAMUUU? KWELI .. HALAFU WANAJIITA ETI WASOMI- WENYEWE WANAZANI SISI WATANZANIA NI WAPUMBAVU.
😅😅
hahahah😂