SIKIA SIMULIZI YA KUSIKITISHA KWA HILI LAZIMA UTOKWE NA CHOZI 😭😭 INATIA HURUMA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024
  • Usikose kufuatilia

Комментарии • 27

  • @alfredbyamungu8825
    @alfredbyamungu8825 2 дня назад +3

    Jipambanie bro watu wa ulaya hawatabiriki ,
    Kiongozi wa maisha yako ni wewe mwenyewe kwsbb maisha ukitegemea ndugu utafeli chapa KAZI,
    Life is not fair so don't expect too much from others you can die poor
    Stand up : WORK HARD BRO

  • @erkeyernest9073
    @erkeyernest9073 2 дня назад +4

    Pole abega mungu akusaidieee san

  • @MsambyaCharleselengelela
    @MsambyaCharleselengelela 2 дня назад +4

    Mmmmmmmmmmh 😢niatari udungu sio kufanana kweli

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet День назад +3

    Nakumbuka kipindi ABEDI anaenda kutoa damu hospital kwajili yakumuongezea mke wa mtoto wa kaka yake ambaye ni miongoni mwa ambao wapo USA kwasasa,siamini kama anaweza kufikia iyo atua ,ila maisha yana siri nyingi

  • @Heiskmb
    @Heiskmb 2 дня назад +3

    Nice

  • @MichelEsobepetro
    @MichelEsobepetro 2 дня назад +2

    Pole San bro
    Hilo linauma kweli 😢

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 2 дня назад +6

    Inamaana wewe maisha yako niyakutegemea kupewa msaada na mtu mwingine pole sana.wewe bado kijana jipambanie maisha yako mwenyewe.vijana wakibembe mnamatatizo makubwa sana kwenye maisha yenu

    • @MichelEsobepetro
      @MichelEsobepetro 2 дня назад

      Hata ww ulisaidiwa unatakiwa kutambuwa no body's perfect bro

    • @LWABULA528
      @LWABULA528 День назад

      @@MichelEsobepetrofact

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet День назад

      Hii comment inaonesha umeshajipata Ila tambua katika kujipata kwako hukukosa kutegemea mtu ,

    • @KolamuWabene
      @KolamuWabene 7 часов назад

      Yaani katika mahisha yako yote ahujawahi kupewa lolote,kila mwanadamu anategemea mwengine

    • @KolamuWabene
      @KolamuWabene 7 часов назад

      Ahanalolote,nayeye anategemea wengine tu ,mtu anapohitwa mkimbuzi kivipi aseme ajawahi kutegemea wengine

  • @alfredbyamungu8825
    @alfredbyamungu8825 2 дня назад +2

    You have to do something in order to turn that situation around, we love you bro
    FIGHT EVERYDAY BRO
    The Americans are unbelievable, you're the only one who can do something to change that situation

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet День назад +3

    Akuna mtu ambaye yupo ulaya ambaye hakusahidiwa kipindi yupo africa ,ivyo watu tunapopata neema yakuwa kwenye nafasi zakusaidiana tusiwe najisahau😢

    • @MadeleineLusambo
      @MadeleineLusambo День назад

      Mimi sikuwahi kusahidiwa

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet День назад

      @MadeleineLusambo Kama ulienda uko ukiwa mdogo inamaana wazazi wako hawakukosa kusaidiwa ,ongea na nafsi yako ujiulize Kama unachosema Ni kweli au🙅

  • @MichelEsobepetro
    @MichelEsobepetro 2 дня назад +3

    Bro sadi hipo sahii alaf maneno mazuri,,shida wanasaau undugu ila asikate tamaa kuongea na ndugu zake maana hipo siku watamuhitaji nayy

  • @JumaDelas
    @JumaDelas 2 дня назад +4

    It god

  • @sadatteloway
    @sadatteloway День назад +1

    Sadi tv
    Au charles
    Mwambie Mr Abega amtafute mdogo wng nipate kuongea nae kuus hilo swala aisee

  • @MbavuMoya
    @MbavuMoya 2 дня назад +2

    Mbavu moya see it

  • @AnyesiRobert-r9f
    @AnyesiRobert-r9f День назад

    Pole San bro 😢😢😢😢😢😢🙏

  • @sadatteloway
    @sadatteloway День назад

    Duuh pole San mwana

  • @LoiManase-e1l
    @LoiManase-e1l День назад

    😢😢😢