DJ MAPODA AMUONESHA DJ MISO MISONDO KWAMBA YEYE NOMA ZAIDI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 190

  • @kisakaungo1903
    @kisakaungo1903 Год назад +1

    Oya wee achen ushamb mwataka mlinganish kifo na usingiz missond nomaaaa ❤❤

  • @EliasiGissaGissa
    @EliasiGissaGissa 9 месяцев назад +1

    Mapoda noma Sanaaaa miso akasome maan miso saut ya kuimba Hana huwezi ukamlinganisha na mapoda nyie acheni utan

  • @jonijomk3107
    @jonijomk3107 Год назад +5

    Tukubaliane kama taifa kwamba mpaka sasa bado hakuna anayejua miso anapigaje😅😅😅

  • @JacksonCharles-nq1zt
    @JacksonCharles-nq1zt 11 месяцев назад +2

    Kwan ndo Nan mbona simfaham af Hana vibe la miso Mzee wa umepigaje hapo😅😅

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 8 месяцев назад

    Misondo unaki2❤ jaributena

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 11 месяцев назад +1

    Misso anatisha sana wazee wa makoti hadi rahaaaa❤❤❤

  • @zawadkimaka22
    @zawadkimaka22 Год назад +3

    Nimetoka huku nimeenda kwa dg misso missondo allooo huyu dg missondo nihatareee anakiwasha piah huyu jamaa nae yuko vzr lakn yule anavyotengeneza ile kitu nihataree sana miso missondo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thedickisonilinusi
    @thedickisonilinusi 11 месяцев назад +1

    We miso missondo umepgaje apo!!!!!!?? 🎶🎶🎶🎶🎸🎸🎺🎤🎺😛😛😛😛😛😛

  • @MagdarenaLunyalula
    @MagdarenaLunyalula 10 месяцев назад +2

    Waswahili bwana tayari mmeshammulika miso wa watu zamani mlikua wapi acheni kutembelea nyota za wenzenu kea miso misondo bado sanasana mtasubiri

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 Год назад +5

    😂😂😂😂 misso ni namba chafu wewe

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk Год назад +4

    Hiyo poda Awapelekee watoto sisi watu wazima bado tuna jiuliza yule dj misso misondo alipigaje pale🤔🤔🤔🤔🤔

  • @djjohn255tz9
    @djjohn255tz9 Год назад +3

    mstulete upuuz dj misso n namba nyingine hiyo
    🤒

  • @MichelEliya
    @MichelEliya 10 месяцев назад +2

    Sema nn mwenetu tunga chako huwezi kua malufu

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 Год назад +29

    Unafananisha kibajaji na selela,,unajua mpakaleo watu hawajajua misio alipigaje pale?????????😂😂😂😂 miso noma

  • @hemedmganga8536
    @hemedmganga8536 Год назад

    Kilichopangwa na mungu mwanadamu Awezi kupangua,, miso misondo Ni Mmoja 2 APA Duniani

  • @AmiduIrakoze
    @AmiduIrakoze Год назад +1

    Hamtayaweza kushindana Na misso nyie Makelele tu misso IS Genius Achana Na misso

  • @hassanrucovic5309
    @hassanrucovic5309 Год назад +3

    Jinsi anavyopiga misso mashabik tunakubal sana cause ile ni Radha na pia wale madancers wanatia mvuto sana

  • @Kassimngonyani
    @Kassimngonyani 11 месяцев назад +1

    Huyo Bado sana missondo no 1

  • @Lilylove-y1j
    @Lilylove-y1j 11 месяцев назад

    Bado hujasema ... Iyo midundo ya Kawaida sanaaaa... Hujamfikia misondo Kuna namna anapiga vyenye unaskia raha😂😊

  • @AbuuMtea-qi9yf
    @AbuuMtea-qi9yf 11 месяцев назад +2

    Nyota imewaka tu kwa miso hila hana maajabu kwa ma djs wa kusini hata top 10 hakamati huyo mis😂

  • @JumaMatandika-m9l
    @JumaMatandika-m9l Год назад +2

    Mapoda unauwa ❤❤❤❤

  • @ZAMZUNZAMIRU
    @ZAMZUNZAMIRU Год назад +2

    Hakuna kitu hapo bado hajasema yaani mpaka msemee

  • @mtamimuMgidange-cd4hi
    @mtamimuMgidange-cd4hi 9 месяцев назад

    Be huwezi ebu kakae na miso boy akuambie alipigaje pale, miso noma Sana achana naye

  • @JacklineNgailo-t8i
    @JacklineNgailo-t8i 11 месяцев назад +2

    Mapoda jipange kwa misso haufui dafu

  • @jamesvunjabei1333
    @jamesvunjabei1333 Год назад

    Kaz nzur kaka🤙🤙

  • @Mrfurnitures1
    @Mrfurnitures1 Год назад +3

    Misso missondo is the best wewe acha wenge

    • @Gobolefilms
      @Gobolefilms  Год назад

      Nikweli ila uyo ndio mshindani wake kusini

  • @osumsafi2095
    @osumsafi2095 Год назад +2

    Misso the best dj 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @makobe.23
    @makobe.23 9 месяцев назад

    Achen utoto wakufananisha kuku na baba kuku😂😂

  • @annaswai5543
    @annaswai5543 Год назад

    Mm sio mpz wa mziki lkn misomisondo alinikosha hd nikadownload jinsi anavyocheza jmn miso ni balaaa achukue maua yake🌹🌹🌹🌹

  • @TOTOL92MBESATZ
    @TOTOL92MBESATZ Год назад +1

    Duh. Mapoda nae ni moto sanaaa piah ni mkongwe

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 Год назад +1

    😂😂😂😂😂 mnaigaa mnafikiria majizo atakujaa kuwachukuaa 😂😂😂😂

    • @Gobolefilms
      @Gobolefilms  Год назад

      Kwa ufaam wako unakupa labda huyu ana iga huyu ameanza muda kuliko Misso ila kila kitu na wakati wake nenda kwenye channel hii video za mwanzo kabisa mwaka mmoja nyuma utakutana na show za uyo jamaa

    • @abubakarbajun3503
      @abubakarbajun3503 Год назад +1

      @@Gobolefilms hahaaaaa Sasa mbona hakumchukua kachelewa na nyota yakee ya gizaa hiyo tunaijuaaa ndugu Kila mtu na rizki yakeeeee mbona siku zoteeee msiseme ni mkali kuliko misso nomaa Chali yangu imeisha iyoooo

    • @Gobolefilms
      @Gobolefilms  Год назад

      Bado sijakuelewa unaongea vitu vingi ambavyo viko nje na Video zangu mimi kazi yangu ni kuwasapot tu na sio mapoda tu mimi nawasapot wote kama ndugu zangu uyo misso mapoda kilaka na hata amondo wajua mchango wangu wa kufika hapo sasa naona unatoa povu kama tunashindana hapa wakati nimeongelea vipe navyo wajua mimi

  • @NassoroJNassoro
    @NassoroJNassoro 10 месяцев назад +1

    Hahaha bado sanaaaaa

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 Год назад +1

    Kwanza jina lenyewe miso missondo linauza kinoma hao wengine endeeni kusoma namba ya gari kwa nyuma namaanisha misondo kawaachia vumbi tu

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 Год назад +1

    Mnapga Kaz nzuri

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 11 месяцев назад +1

    Hamna kitu apo ....ashatoboa misso.

  • @RachelChakala-cr5wl
    @RachelChakala-cr5wl 11 месяцев назад +1

    🤣🤣🤣🤣mbav zangu mie

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 10 месяцев назад +1

    Intro tu ya "We Misso Missondo umepigaje hapo" ni kubwa kuliko huyu dj hata kama ni mkongwe😂

  • @joshuahmwita-hk4pm
    @joshuahmwita-hk4pm 11 месяцев назад +2

    pambana kijna usikate tamaa kwa maneno ya wat amin kuwa unawez

  • @SaidRajabu-of7ni
    @SaidRajabu-of7ni Год назад +1

    Mapoda ndo nani mm mbona namjua miso tu

  • @Emran-j4o
    @Emran-j4o 9 месяцев назад

    miso misondo unahatar nitakupa daada

  • @monandyshemwetah1284
    @monandyshemwetah1284 Год назад +1

    Tuache bwana bado tunajiuliza Miso amepigapigaje pale

  • @AyubKasirani
    @AyubKasirani Год назад

    Hizi ni singeli vibati...miso misondo mdundo wake unasikia kuna midundo ya kiasili kabisa ya mgoma za msondo ndani yaan miso kuna style yake anamix vibe la asili na vibe la ngoma za saii

  • @jerrywilliamz1795
    @jerrywilliamz1795 10 месяцев назад

    Unaiga bro humuwez miso

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Год назад

    Hilo piano mzee baba ni nomaa

  • @kingtboy8620
    @kingtboy8620 11 месяцев назад +2

    Uyu jamaa wa mda sana ila sas ni wakat w miso ila mwamba ana atari

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 Год назад +2

    Upepo s wake atulie atuachie miso

  • @WilliamNesty
    @WilliamNesty 7 месяцев назад

    Mapoda humetisha
    😂😂😂😂😂😂😂

  • @aureusnchimbi7243
    @aureusnchimbi7243 Год назад

    Hatujaona creativity yake ya kumtofautisha yeye na misso misondo

  • @masudykikumbi7375
    @masudykikumbi7375 Год назад +1

    Huyu bado sana ata dj wangu biano tyuu haingiii yani

  • @lukehaprimary2574
    @lukehaprimary2574 11 месяцев назад +1

    Misoo baba laooo

  • @frankmarmo8113
    @frankmarmo8113 Год назад +1

    bado hajasema mpaka aseme yaniii hapo bado,miso missondo kitu kingine bana

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co 11 месяцев назад

    We mapoda endelea kupa poda sisi tunataka miso😅😅😅

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 11 месяцев назад

    Hapa tunashindanisha bajaji na fuso kubeba mizigo, miso misondo ni fuso ile😂😂

  • @DavidSimon-e5c
    @DavidSimon-e5c Год назад +1

    Unapiga mwanang❤

  • @DjzombitzTz-wj2gq
    @DjzombitzTz-wj2gq 7 месяцев назад

    We jin mwanangu nakubal

  • @Laurentmselewa
    @Laurentmselewa Год назад

    Bd sana kumkuta miso misond

  • @Fundnlly
    @Fundnlly Год назад

    Hujui misi anajua

  • @jacquelinegaudence8756
    @jacquelinegaudence8756 Год назад

    Mbona beat zake za kawaida zinapigwaga sana na madj kalibia wote kasolo miso

  • @amidulyuma1833
    @amidulyuma1833 11 месяцев назад +1

    Mapoda sio pow

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 9 месяцев назад +1

    Umepiga je apo apoumecopy

  • @AziziJuma-kh7vx
    @AziziJuma-kh7vx Год назад +1

    Oyaaaa mapoda atengwe

  • @MatthewKiwinga
    @MatthewKiwinga Год назад

    Mapoda bado san unapiga kelele tu hapo kauze mapoda bado sana kumfikia miso misondo pambana sana

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 11 месяцев назад +1

    Bado Sana kumpata DJ MISSO

  • @rickierunyota3613
    @rickierunyota3613 11 месяцев назад +1

    Anajuaa

  • @SylvesterAmbokile-ur2vd
    @SylvesterAmbokile-ur2vd 11 месяцев назад +2

    Sidhani nia kufananisha bali nikuendekeza vipaji na ubunifu na utamaduni wetu.Hatuwezi kuwa na ngoma moja tu au mtu mmoja tu nchi nzima.
    Wanaoanza tusiwavunje 😂 moyo.Hata wanaowika bongo fleva hawakuanza wao.

    • @JoyceMpakulo
      @JoyceMpakulo 11 месяцев назад

      Halafu miso ni zao la mapoda waliopo lindi wanajua sema kwa kuwa kaanza miso kujulikana kwa media mapoda hata hafanyeje hataeleweka

  • @MathayoMulumbi
    @MathayoMulumbi 11 месяцев назад

    BADO CANA WEE MISO MISONDO UNAPIGAJE HAPO

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Год назад +1

    Miso misondo

  • @LucasNjozi
    @LucasNjozi 8 месяцев назад

    Naitwa dj krisi nipo daa nipigie.ila unajua

  • @poizonboy2780
    @poizonboy2780 Год назад +1

    Misso Missondo NI Jini

  • @kisakaungo1903
    @kisakaungo1903 Год назад +1

    Mtapat tabu san kwA missond

  • @GraceMadondola
    @GraceMadondola Год назад +1

    Misondo ni mmoja tu

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Год назад

    Bado hawezi kumpata mr misondo

  • @NizallyMoh
    @NizallyMoh Год назад +2

    Sema ukitoboa ndio Bax ila huku kusini kuna ma dj kibao wanakimbiza na kila dj ana hanga zake kwaiyo misso wakati wakw sahii ndio huu. Ila kuna .Dj.collar. Dj.Mapoda..dj kiduku..dj Man dizzo..na wengine kibao ila mapoda ndio katobolea aina mbaya kafungua milango kusini

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji Год назад

      Baba lao dj cola uyo miso misondo mapoda niwatoto kwacola wanamuogopa balaa

  • @ramadhanimbago2182
    @ramadhanimbago2182 Год назад +1

    Misosondo noma

  • @LeonceSaid
    @LeonceSaid 10 месяцев назад

    Mbona ata ajui kelele nyingi

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc Год назад

    Tz amani hamna mtutu wala bunduki hapo uongo😂

  • @SharifuAbdallah-g5k
    @SharifuAbdallah-g5k Год назад

    Mmmh bado sanaaaaaa

  • @andrewmartin796
    @andrewmartin796 11 месяцев назад +1

    Huna jipya miso tusha mpa mpaka dadazet bongo

  • @AbelItare
    @AbelItare Год назад +1

    Apambane labda atapata uyo miaka

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 10 месяцев назад

    wivu tu ulikua wapi

  • @abdul_aziz_tee
    @abdul_aziz_tee Год назад

    hawezi mfikia Miso misondo huyu bado sana

  • @kabamusitafa4432
    @kabamusitafa4432 Год назад +1

    Akuna mapoda Wala mekapu acha kabisa mnafanya vizuli ila kwa Yule dogo miss acha kabisa funga mlango usilale mlango wazi Kuna Simba utaliwa usimfananishe miso misondo na madijeis wengine bongo

  • @kantingasuleiman5483
    @kantingasuleiman5483 Год назад

    Bado sana kumfikia mwamba aisee. Aendelee kula vumbi kwanza muda Bado haujafika na hauji kirahisi namna hiyo...

  • @hatujuaniimani4425
    @hatujuaniimani4425 Год назад +1

    Ajaribu tena baadae kwa sasa hata robo ya miso haingii

  • @majidayubu8221
    @majidayubu8221 10 месяцев назад

    Miso nyota isha waka

  • @MichelEliya
    @MichelEliya 10 месяцев назад +1

    Aaa kweli maunga

  • @PascalGoba-sr5fg
    @PascalGoba-sr5fg 11 месяцев назад +1

    Anajitahidi lakini amuwezi miso alafu akitaka kufanikiwa asilete bifu na miso atapotea watu watamchukia cz wataona anatafuta kiki

  • @davcodavid8651
    @davcodavid8651 Год назад

    Achana na miso weweeeee

  • @AbilahUmande
    @AbilahUmande Год назад +1

    Miso hatari

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 Год назад

    wako wengi km hao sema miso nyota imewaka

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats Год назад +2

    Jamaaa anapiga hilo piano sio poa

    • @Gobolefilms
      @Gobolefilms  Год назад +1

      Noma sana Mzee please nisaidie ku share tuongeze watazamaji niendelee kupolomosha vitu

  • @margerithapaddy3157
    @margerithapaddy3157 Год назад +1

    Miso Misondo ni Taifa zima hana upinzani ni hatari kwa Dj wote wa kibati, Miso Misondo hadi sasa hatujui alipigaje hapo

  • @BabaFaa-k7i
    @BabaFaa-k7i 11 месяцев назад

    Bado sana tena sana tu

  • @idrisamapesa2732
    @idrisamapesa2732 Год назад +2

    Kwan huyu alikua wap kabla ya misso. Unazan hatukumuona

  • @AbduliDivice
    @AbduliDivice 11 месяцев назад

    Hana aidia miso ndo habar mjin

  • @constantinochalle856
    @constantinochalle856 10 месяцев назад

    Kachemka parefu sana

  • @kiatu
    @kiatu 11 месяцев назад +3

    Wote wanahitaji support yetu ili Singeli itoboe kimataifa. Tukianza na reporting za kishamba hivi hatutaenda mbali. Hawa vijana wote ni wa kwetu.

    • @JaklineMtaya
      @JaklineMtaya 11 месяцев назад

      Kwa .misondo utasubiri Sana na mapoda yako miso hapo umepigaje?!❤❤❤❤🎉🎉🎉

    • @SebastianDaniel-es4rf
      @SebastianDaniel-es4rf 11 месяцев назад

      sasa ww si msupport mkuu

    • @kiatu
      @kiatu 11 месяцев назад

      @@SebastianDaniel-es4rf mdogo mdogo hivyo hivyo 😂

  • @HamadiMwalimu-t1x
    @HamadiMwalimu-t1x 11 месяцев назад

    Angaliya bas hata vitu vyakufananisha

  • @kassimkikwete3357
    @kassimkikwete3357 9 месяцев назад +1

    Kila kitu amecoppy Kwa misondo

    • @Gobolefilms
      @Gobolefilms  9 месяцев назад

      kunakitu aujui ila una mapenzi ya seem fulani ni ngumu kukueleza

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 Год назад +1

    Ata anachokipiga sikielewi