PASTOR NDACHA AITWA NA WAKRISTO ISIOLO BAADA YA MUNZUNGU KUSHIDWA KUJIBU MASWALI YA YUSUF WAMBUGU(1)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 327

  • @countercheck887
    @countercheck887 2 года назад +25

    Pastor Ndacha Mungu akubariki na akulinde kwa kazi nzuri unayofanya kuelimisha wapinga Kristo. Kristo ndie Njia na uzima wa milele

    • @abdirahmansiat6
      @abdirahmansiat6 Год назад

      Munugu akuongozee

    • @Jabaman207-ue6sk
      @Jabaman207-ue6sk 7 месяцев назад +1

      Ukitupwa kwa moto ndio utajuwa ukweli

    • @countercheck887
      @countercheck887 7 месяцев назад

      @@Jabaman207-ue6sk kuni za Jehanamu wote mnaopinga Kristo.
      Tubu na ufuate Yesu ndiye Njia ya Uzima.

    • @HNs-px8mz
      @HNs-px8mz 7 месяцев назад

      Allah awaogoze kwan ukweli umedhihiri uogo umejitega

    • @countercheck887
      @countercheck887 7 месяцев назад

      @@HNs-px8mz allah hawezi ongoza sisi, ataongoza tu vipofu waliokataa Yesu.

  • @tutukagara9452
    @tutukagara9452 9 месяцев назад +4

    Hapa naweza toa sadaka thank soo much God bless you...

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 года назад +25

    Jina la bwana yesu na liinuliwe milele na milele,na liparikiwe,I love you Jesus,umenitowa dhambini ,siyuko tena chini ya dhambi,I love you Jesus you are My heart,

    • @janetwekesa2247
      @janetwekesa2247 2 года назад +2

      Poleni sana,and Jesus is Lord no body who will change him,mumeumia tangu mwanza na bado

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 2 года назад +6

      Endelea kujipa moyo hvyo ila wenzio tunazid kutoka huko

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад +1

      @@janetwekesa2247 baki na iman yenu kwamba yesu ni Mungu,,, Mungu ni mmoja hana mtoto wala hajazaa wala kuzaliwa

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +1

      @@janetwekesa2247 sahau neno hilo kama wewe huna dhambi.
      Kumbuka Yesu kasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.

    • @patrickmaina9085
      @patrickmaina9085 Год назад

      Jjfújjjjdfjkdjk4jjjdkj4jjjdffrxu did crrdj lot justdjdurrj look lol 🥳🥳🤣🥳🥳🥳🥳🥳🤭🤭😉😢 jxxxu cc😂

  • @millicentmuia5652
    @millicentmuia5652 Год назад +4

    YESU apewe utukufu milele nashukuru Mungu kwakukuinua wewe chombo chake kufanya kazi yake kwa ujasili God be with you .

  • @MONICAWACHIRA-g6r
    @MONICAWACHIRA-g6r Год назад +16

    I thank God that All this Ndacha is doing is not in vain. I got to know Ndacha through a Muslim friend...She told me i listen to Him and she will tell me what she and her husband has decided... i did. and She later told me that they have decided to follow Ndacha Church. I couldn't believe that. Today they are 7th day Adventist followers they we baptized last year Nov. Thats what God does. Hata mmoja kuamini ni jambo la kushukuru.

  • @hamisikassimmwatamu7949
    @hamisikassimmwatamu7949 2 года назад +14

    MashaAllah Sheikh Yusuf Allah akuongoze Kwa Kila jambo na akupe afya uzindi kulingania watu katika dini ya Allah inshaAllah

  • @walidrubeya9946
    @walidrubeya9946 2 года назад +15

    Wallahy uislamu ni ne'ema kubwa.. alhamdulillah.. Allah akulinde na akuhifadhi sheikh Yusuf.. laailaha illa Allah itafika pande zote za Kenya In shaa Allah.

    • @walidrubeya9946
      @walidrubeya9946 2 года назад +2

      Ndacha atakuja kuchoka very soon.. inaonekana wazi analipwa huyu just kuongea porojo maneno yasiokua na mbele wala nyuma..

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  2 года назад

      Amin sote

    • @bienvenueitangishaka7015
      @bienvenueitangishaka7015 2 года назад

      Ivi waisilam nilinimtaelewa ili muokoke?

    • @sirpurkinje2836
      @sirpurkinje2836 2 года назад

      Mashetani

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 13 дней назад

      ​@@bienvenueitangishaka7015😅 wakiristo musidanganyike hakuna kuokoka kabla hujafa

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 года назад +6

    Yesu mwana wa mungu aliinuliwa juu,jina lake lina ushindi,wapenda kukaa kwa kiza hawawezi kumupenda yesu,mwana wa mungu,

  • @annkinyanjui9163
    @annkinyanjui9163 Год назад +6

    Pastor ndacha Mungu akuengeze hekima Na maharifa ikusaidie kutoa ukweli Wa Kristo yesu kote duniani

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  Год назад

      Mathayo 24 :24

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 Год назад

      😂😂😂Wewe soma Bibiliaa yko msifu bbko unamsifu mtu anatumwa na wazungu

    • @andrewnjuguna688
      @andrewnjuguna688 6 месяцев назад

      ​@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapppoint yako ni ipi?

    • @everlynewanyama
      @everlynewanyama Месяц назад

      Wee ukisifu Muhammad ata unamswalia kwani si mtu nae katumwa na wazungu pia maanake si Mungu kamtuma kuwa mtume ​@@aliroro9344

  • @faridbashuu
    @faridbashuu 4 дня назад +1

    Top Class Teachings from Ust. Yusuf Wambugu and Ust. Said
    Barakallahu feekum.

    • @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      @YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp  3 дня назад

      Amin

    • @faridbashuu
      @faridbashuu 3 дня назад +1

      ​@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
      I always Re Visit/Re-Play these Videos Maashallah...Malipo yenu yako Kwa Allah. Mumefanya kazi nzito Wallahi...

  • @AAl-xx8rh
    @AAl-xx8rh Год назад +2

    Mashallah!Allah akubarik Yusuff kwa kumnyoosha Ndacha.....Ndacha anasumbuliwa na njaa tu anajua ukiristo ni biashara so ako kimalengo but umemnyoosha vzur sana

  • @mekoplaza3688
    @mekoplaza3688 11 месяцев назад +2

    What I love about a debate is that the JUDGES are the listeners.... Not the spokesmen!!!

  • @isayaogola8733
    @isayaogola8733 Год назад +4

    Ndacha Mungu akubariki unaiubiri dini ya milele

  • @haronkimutai4993
    @haronkimutai4993 5 месяцев назад +4

    Endelea kuwafundisha watu na kuonyesha watu ukweli uliofichwa na ibilisi. Mungu anakusudia watu wote waokolewe

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 года назад +7

    Mashallah Mashallah Mashekhe wetu Allah awaweke.

  • @passlinemedia6657
    @passlinemedia6657 Год назад +29

    Ndacha is so brave not afraid to proclaim the name above all names the name of Jesus christ.

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 Год назад

      Kafiri mkubwa ww waamini utatu wakati yeye hata hajui story za utatu anasema hakuna mungu baba, Mungu mwana wala mungu roho.Hvyo ndio ukristo umepotea mkristo wa kweli ni yupi wa jumamosi ama jumapili?

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад

      Akili hana huyo kwasababu angekuwa na akili angefata haki

    • @passlinemedia6657
      @passlinemedia6657 Год назад +2

      @@nooor1120 haki ni bibilia anayoitumia wewe ndo unafaa kufuata haki

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад

      @@passlinemedia6657 hebu tuliaaaaa ukae uisome biblia kwa makini bila ushabiki mstari bada mstari usi skip chochote km una akili kweli utaona biblia sio kitabu sahihi,kina makosa mengi sana hakijapinga wenyewe. Soma utafute ukweli ndugu ni bora kwako.

    • @MikeMwaibanje-nw6oq
      @MikeMwaibanje-nw6oq Год назад +1

      Waisilamu wameloha jamani wanaishia kusema mashalahh, takbal

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 Год назад +2

    ❤ past unanibariki sana Mungu akubariki Sana

  • @JumaKisaga-yc2yh
    @JumaKisaga-yc2yh Год назад +5

    Mashallah mungu awape Maisha marefu mashekhe zetu 🙏🙏

  • @BingwaWote
    @BingwaWote Год назад +8

    Ndacha is a great debater

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 Год назад +11

    I love this boldness from this pastor.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 2 месяца назад +1

    The chairman is extremely wise. I salute his courage to manage such a multitude

  • @calvinceochieng1023
    @calvinceochieng1023 Год назад +2

    Ndacha mungu akubariki

  • @nailahsaeed837
    @nailahsaeed837 2 года назад +6

    Mashallah shekh Yusuf muilimishe Ndacha Aache kupindisha maneno

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 6 месяцев назад

      😂😋🤣🤣 nimegundu mnapingana na vitabu vyenu ,Muislamu wa kwanza ni mwanamke

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 2 года назад +4

    Masha Allah Ustaz

  • @IbrahimHajj-q5g
    @IbrahimHajj-q5g 5 месяцев назад +1

    Umesahau kusema uislamu ndio dini pekee ambayo wana amini mtume wote walio tumwa.alhamdulila ya Allah you find me lost and you guided me

  • @Salachou
    @Salachou 2 года назад +3

    Masha Allah Tabarakah...Allah akuzishieni kheir na afya njema ma sheikh wetu.

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 года назад +4

    Asalam alykum www safi sana sheikh yesu uko vizuri sheikh wangu uyo pastor anacuki ya wislam mujinga sana na uyo murthad wake wanamutumiya kwa pesa

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 года назад +8

    Mashallah Allah ❤❤❤

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 2 года назад +4

    Mashallah Tabarakallah

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 года назад +2

    Yes,alisema sie kila aniitaye bwana bwana atayiingia katika ufalume wa mungu,ni yule atakaye tenda mapenzi ya mungu,ukweli ni kwamba,yesu Kristo ni moto wa kuotea mbali,

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 года назад

      😂😂kila saa yesu yesu yesu kwani yesu hajawahi taja wakristo...ama aliwasahau?

  • @charleskihumba2249
    @charleskihumba2249 Год назад +6

    Welcome you all to Bomet on 18 and 19th of February so you may see the work and the power of the blood of Jesus

  • @SamuelKimani-i1d
    @SamuelKimani-i1d 3 месяца назад +1

    mtumishi wa mungu nipekitabu namamdiko yakwamba mwanamuke afai kuigia Kwa mathabao bila kufunika kichwa

  • @KemeiSamuel-jd4xj
    @KemeiSamuel-jd4xj Год назад +3

    Kali sana

  • @MohamedSaid-wo2be
    @MohamedSaid-wo2be 2 года назад +4

    bro yusuf Mungu akupe maisha marefu ili uzidi kuitangaza dini hii ya haki ya uisalam

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 Год назад +6

    TAQBIR......ALLLAH AKBAR

  • @SamuelmuneneMuthoni
    @SamuelmuneneMuthoni 4 месяца назад

    Ubarikiwe sana ndacha watu waokoke waacha quran wapate yesu kristo

  • @LilyKangethe-hw2bw
    @LilyKangethe-hw2bw Год назад +3

    Taakbir Allah Akbar...❤❤❤

  • @nairobianbullet
    @nairobianbullet 2 года назад +4

    Sheikh wambugu mwenyezi Mungu akuzidishie

  • @zackok2592
    @zackok2592 Год назад +1

    Bwana Yesu asifiwe.

  • @yachyach5619
    @yachyach5619 2 года назад +4

    Amazing ❤️❤️❤️💞💜💓🌷

  • @fatumaali7470
    @fatumaali7470 Год назад +1

    Takbir allahu akbar❤

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 9 месяцев назад +1

    Ubarikiwe sana NDACHA

    • @rubonezajeankaka
      @rubonezajeankaka 8 месяцев назад

      Iiukiiiiy😅86r 1:54 kk 1:56 bp😮iuiu😅😅iuuiuu😅nuu😅iuuui😊u😅ui😅😊u8uuuiiuuuiu😅

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 года назад +1

    Ndacha may God bless you,usiokope kuwaambia ukweli,👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 года назад +3

    Masha Allah

  • @mosobatv
    @mosobatv 2 года назад +2

    Amen. Ndacha amenyoosha Mada vizuri.

  • @josemu870
    @josemu870 3 месяца назад

    Allahamdhulla kwa neema ya uislamu

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 года назад +8

    Ndacha hearing the truth seems depressed

  • @ibrahimaii1402
    @ibrahimaii1402 Год назад +1

    Alhamdulillah ❤

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Год назад +2

    Ndacha hongera sana wewe ni Chombo kiteule Cha Yesu was Wanazaleti,

  • @NancyBunja-gd5vz
    @NancyBunja-gd5vz Год назад +2

    Ndacha mungu yuko nawe

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 2 года назад +9

    Asalamu alekum ndacha anajuwa ukweli lakini kaekwa kwa kuwapotosha wasio juwa ukweli na ndo mana wakambiwa mapadri wao wamewapoteza kwenye kitabu chao pia hawaoni hao walotajwa wanakupotezeni ndo pamoja na ndacha someni wenyewe sio kwenda kuimba tu kanisani nakutiwa mapesa mapesa tu ndo wanayo yataka ndacha ujuwe utakufa kama si leo kesho hiyo pesa inokufanza ukufuru utaiyacha hapa hapa utamkumbuka yusuf

  • @SamsonHumbe
    @SamsonHumbe 6 месяцев назад

    Nipo nakupata barabara, barikiwa sana na Bwana Yesu Kristo aliye Bwana wa mabwana.

  • @josephnkwamino6509
    @josephnkwamino6509 Год назад +6

    Sis wkristo hatuna vita na mtu ila tunakazi moja ya kuwafanya mataifa kuwa wafuasi wa yesu tukiwabatiza kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu

  • @sriprobhu557
    @sriprobhu557 2 года назад +3

    Waislamu wamechanganyikiwa Ile hamna

    • @jedielmutethia1842
      @jedielmutethia1842 Год назад

      Wakumbavu sana

    • @jedielmutethia1842
      @jedielmutethia1842 Год назад

      Ndacha Alisema kama kuna mahali imeandikwa kwenye torati huyu mwizi anasoma kwenye quran

    • @HNs-px8mz
      @HNs-px8mz 7 месяцев назад

      Kusema Mungu watatu kw umoja uko ndo kuchanganyikiwa.kasema yesu Mungu n wapekee mja tu

  • @moniskj7412
    @moniskj7412 9 месяцев назад +1

    ndacha Mungu akubariki

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 года назад +2

    Mashaalah

  • @samsonmutuma1872
    @samsonmutuma1872 Год назад +2

    these are two kingdoms racing

  • @kylo5418
    @kylo5418 Год назад +2

    Ukweli unakata roho kama kisu... Ndacha endelea kuwapa ujumbe wameze ama wateme ni shauri yao

  • @junicnamuwenge6957
    @junicnamuwenge6957 2 года назад +4

    Amen Amen in Jesus name 🙏🙏

  • @JacksonAbukuse
    @JacksonAbukuse Год назад +1

    Ndacha uko sawa.

    • @HNs-px8mz
      @HNs-px8mz 7 месяцев назад

      Ndacha amesma Mungu mwana n Mungu baba inamaana ngani?

  • @fauwilliam6780
    @fauwilliam6780 Год назад +1

    big up Ndacha

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +4

    Kumbe Ndacha ame rudi ku nyoroswa TENA!?
    Ustad ile speaker nyuma yako ina Buzz kila uki karibia na Mic.
    Move this speaker 4 metres to your left so that you are NOT standing in front of it while you are moving around the Arena with your Mic..
    If a person stands within 3 Metres in front of a speaker WITH a Mic in Hand, then there will be feedback noise.

  • @jameskariuki7961
    @jameskariuki7961 11 месяцев назад +1

    Wambugu teach the word

  • @calvinceochieng1023
    @calvinceochieng1023 Год назад

    Yesu in Bwana

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 2 года назад +2

    Ndacha endeleya kuwafundisha wapinga Yesu Kristo

  • @henrynyerere6585
    @henrynyerere6585 2 года назад +1

    Sijui hakika ni nani anaweza kuokoa waislamu.Hakuna lugha hao husikia ata kiswahil cha hapa Kenya.Ni Nyerere(kitengela)

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 2 года назад

      Ukiwa ktk dini hii huwez kutoka toka zamn watu wanaingia tu ktk hii din lkn kutoka ni ngum maan unajua ukiingia huku nd unajua hak vizul lkn huko vurug tu. Ukiingia huku lzm akili yako ikuwe pana nd maana huwez kutoka huku

  • @poulmmalika4311
    @poulmmalika4311 Год назад +2

    Xhetani ndo kavuruga wanadamu tumfuateni mwokozi yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima

  • @aminaissa3721
    @aminaissa3721 2 года назад +3

    Asalaaam Alaykum,Haina sauti kabisaa

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 2 года назад +1

    Naam wajina wa Baba yangu

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 Год назад +1

    ALLAHU AKBAR

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 года назад +4

    Lazima mzungu yashinde kujibu masuala ya dini haswa dini ya ukristo ukristo sio dini hâta biblia haitabui ukristo lakini mnadanganya na kina ndacha ili mpotee. Ndacha amepewa héla nyingi na wazungu hasa wamarekani ili kuja afrika Kenya tanzania na nchi zengine ili ukristo usambae mana wazungu mashetani ya maframason wanaogopa usilamu duniani kwa.vile.hio ndo dini yahaki mbele ya mungu

    • @lailatlailat3850
      @lailatlailat3850 2 года назад

      Heee shetan ndiye ndiye anampinga kirsto kwaiyo yoyote yule ananae pinga kirsto ni shetan ndiyo maana kasilimisha majini alicho kikataaa mungu Muhammed kalalisha kingine kwa kitabu chenu kina jitetea etimungu ana mwana ww mwenyewe ni mwana wanann kwasababu wote tumeumbwa na mungu kwaiyo binadam yoyote nimwana wamungu lakini siyo kama ivyo fkir kuwa kuwanamwana mpaka uwe namke siyo kweli

  • @samxx411
    @samxx411 2 года назад +5

    Huyu Ndacha ashachusha tena wala hana vitu vipya, hata wakristo washamju ni mtu wa kuungaunga tu, siku hizi wakristo wanasoma na wanafanya tafiti ili waelewe dini zote mbili na wanauliza maswali ili wapate ufafanuzi mzuri.

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 Год назад

      Kabisa bro...Soma ujue ukweli uyuu ndacha muongo mkubwa

  • @CharoChengo-c2l
    @CharoChengo-c2l Месяц назад

    Endelesa hivyo hivyo kuwafundisha waslamu 5:18 5:28

  • @petermwelesa1749
    @petermwelesa1749 8 месяцев назад +1

    Great ndacha

  • @GeorgeOpii
    @GeorgeOpii Год назад +1

    Communication tafathali zingatia sauti.

  • @Annsikoboy-ut8bs
    @Annsikoboy-ut8bs Год назад

    MUNGU katika Ukristo ndiye MUNGU wa kweli. MUNGU wa kweli hana njia za kuzungusha au kuchanganya wanadamu. MUNGU alitupa njia Moja tu..... YESU. Iwapo kunaye aliye na njia mbadala hiyo ni wazi kuwa njia hiyo yao haielekei kwa Mungu wetu. Inawezekana wamo wanaionekana wens na hata kutenda mema machoni pa wanadamu ila, kama hawamjui YESU..... Njia zao zote ni bure.

    • @HNs-px8mz
      @HNs-px8mz 7 месяцев назад

      Nakuliza yesu ndie njia n uzima wa milele alisema niabuduni mimi ndie Mungu wenu?

  • @eddyblack2647
    @eddyblack2647 2 года назад +5

    Daah. Asiemuelewa huyu shekhe bc utakua na tatzo la ufahamu.

  • @mukanyemeraclaudine984
    @mukanyemeraclaudine984 Год назад +1

    Unafundisha mzuri

  • @wycliffew.woduor1748
    @wycliffew.woduor1748 2 года назад +2

    Masalamu Alei Kum Walihama mara tatu? Arabic or Kiswahili?

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 Год назад +3

    Jiulize simple question huyu mungu anayesikia watu kwa lugha moja ni mungu Gani ?? Yaani huwez swali kwa lugha yako ya mama Hadi kiarabu ndo mungu huyu anasikia ,mungu aliumba kila mtu amwabudu na kumuomba hivi Allah ukitaka kumuomba Hadi ukasomee kiarabu jaman mbona tudanganyane huyu Allah hasikii lugha nyengine ukimuomba??? Lengine huwezi face mahali popote pale ila huko kwenye jiwe jeusi aky jiulizeni nyie waislamu

  • @jacobking755
    @jacobking755 Год назад +1

    Amen and Amen 🙏 🙌 👏

  • @LudyJuma-t7z
    @LudyJuma-t7z День назад

    Bwana yesu atukuzweeeee

  • @severinaseverinanyoni707
    @severinaseverinanyoni707 Год назад +2

    Ndacha ni kiboko ya waislamu hata wakitaka mikutano km hiyo waislamu awamtaki Ndacha😂😂

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 года назад +3

    Tell them the truth,Jesus is Lord at all,

  • @ameali1251
    @ameali1251 Год назад +1

    Mbona Sauti sio safiii

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +2

    Ma sheikh wafundisheni hao wakristo maana wana macho hawaoni wana masikio hawasikii.

  • @barakafondo8090
    @barakafondo8090 Год назад +1

    Ndacha ni kiboko Cha waislamu wote

  • @jedielmutethia1842
    @jedielmutethia1842 Год назад +2

    Kumbukeni wakati wa corona wengi wao dio waliingia kanusani Kwa Siri tunawajua vizuri 😂😂😂😂😂👀

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 года назад +4

    lazima wamuit ndacha manake anajua kugeuza na kusoma maandiko nusu nusu na uongi mwingi

  • @MjInsightMedia
    @MjInsightMedia 21 день назад

    Hoja za waislamu nyepesi sana

  • @eglankamila987
    @eglankamila987 Год назад +1

    Kweli we umedaganga wakristo

  • @joachim5650
    @joachim5650 Год назад +1

    Yesu weeeeeee yesu weee makofi kwa ndacha

  • @abdisalammohamed7687
    @abdisalammohamed7687 Год назад +1

    takbirr

  • @abdullwaitta7305
    @abdullwaitta7305 Год назад +1

    Jamaa anaquote pop francis😂

  • @hotmovieshd1658
    @hotmovieshd1658 2 года назад +2

    Haina sauti shekh

  • @HabibaSaid-q1m
    @HabibaSaid-q1m 11 месяцев назад +2

    Ndacha wadanganye mtakuwa pamoja ckui hiyo lkn ujumbe umefika mwenye akili ajiongeze

  • @wilfredkerima9351
    @wilfredkerima9351 2 года назад +1

    Ndancha mwalimu

  • @emmymshomi8893
    @emmymshomi8893 Год назад +1

    mungu hana dini .. dini ni njia . kwahiyo dini inaweka mahusiano baana ya mungu na binadamu ...acheni mapambano kila nafsi itaichukua mizigo yake mwenyewe

  • @SCSI523X
    @SCSI523X Год назад +1

    Kaweza kutafsiri dini ni njia lakini kaficha nini maana ya uislamu

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 11 месяцев назад +1

    Ndacha we jasir xana unapiga injili kwa wasomali?