Hatuwezi kufa wote kwa corona, wapo watakaobaki, na Kila mtu ana siku yake, si lazima iwe kifo Cha corona tu🌹🌹🌹kufa Ni faida na Ni lazima tufe siku ikifika. Usemayo Ni kweli kweli. Mungu aendelee kukuongeza siku zako ili uendelee kuihubiri injili ya Kristo.
nabarikiwa sana na uwepo wako ktk nchi yangu.TANZANIA.GOD BLESS YOU MY DADY.
Nadhani nimesha sikiliza hili somo karibu mala 100 sasa.
Nabarikiwa
Amina baba,
Amen baba
Hatuwezi kufa wote kwa corona, wapo watakaobaki, na Kila mtu ana siku yake, si lazima iwe kifo Cha corona tu🌹🌹🌹kufa Ni faida na Ni lazima tufe siku ikifika. Usemayo Ni kweli kweli. Mungu aendelee kukuongeza siku zako ili uendelee kuihubiri injili ya Kristo.
Amen mtumishi wa mungu balikiwa sana
Baba uishi maisha marefu
Huyu jamaa yuko vzr kwa kufundisha
Amina mchungaji🙏
Vizur
Tutashida tu Daddy, Mungu yupo anatuona Kila mmoja. Simama imara mteteeni Bwana Vita Ni vikali.
Sana
Ubarikiwe baba
ubarikiwe baba
Amen
Russia Ni super power na Putin ndio nabii wa kizazi hiki mbele ya mabii wa bahari
Vizur