Bado Kuna mambo ya hovyo sana kwenye vijiji na viongozi wanachangia migogoro wananchi pia wamekua waoga ndo maana hayo yanaendelea wasiwachague ili migogoro isiendelee wachague watu wenye utu
Mbona sasa wanakijiji wameandamana wanataka mtendajiwao aachiwe maana wamemuonea hayo mambo sio kweli,na hapa wapo wanakijiji wanashangilia sasa wanakijiji gani ni wakweli
Hawa wanaovaaga mavazi ya chama huwa wanajificha nyuma ya hayo mavazi lakini wana uchafu mwingi sana !! Hao ndio wanaosababisha chama kionekane kibovu !! Na hao watu wa namna hiyo upo uwezekano wapo hata vigogo wa juu wanaojificha nyuma ya chama lakini wanafanya uozo mwingi sana !! Natamani uwe Rais ili usafishe system yote ya chama ili wananchi turudishe imani katika chama tawala !!
Mimi ni chadema lkn kwahiki anachofanya makonda nikitu kizur sana
Kwanini watumishi wote wasifanye kama makonda
Hon. MAKONDA, you'll never walk alone! We are with you everywhere you go!
Watendaji wa chini jamani mnachafua chama cha mapinduzi na mnamchafua raisi...kwanini hamjifunzi tu
Bado Kuna mambo ya hovyo sana kwenye vijiji na viongozi wanachangia migogoro wananchi pia wamekua waoga ndo maana hayo yanaendelea wasiwachague ili migogoro isiendelee wachague watu wenye utu
Go Makonda! Gooooo'Mkuu wa mikoa ya Tanzania
Viongozi wengine sura zao zinaonekana kbs kumchukia Makonda
Be blessed 🙏🙏 makonda
Hawatangaziii makusudi
naomba tu makonda wamteuwe tanzania nzima iwe yake ataweza tu maana hawa wengine wanakula mishahara tu
Niko Burundi ila Makonda ananikosha mnoo.
Sijui kwetu tunakwama wapi
Huku ni Spna tu hakuna kucheka na kimaa.
Mbona sasa wanakijiji wameandamana wanataka mtendajiwao aachiwe maana wamemuonea hayo mambo sio kweli,na hapa wapo wanakijiji wanashangilia sasa wanakijiji gani ni wakweli
Hawa wanaovaaga mavazi ya chama huwa wanajificha nyuma ya hayo mavazi lakini wana uchafu mwingi sana !! Hao ndio wanaosababisha chama kionekane kibovu !! Na hao watu wa namna hiyo upo uwezekano wapo hata vigogo wa juu wanaojificha nyuma ya chama lakini wanafanya uozo mwingi sana !! Natamani uwe Rais ili usafishe system yote ya chama ili wananchi turudishe imani katika chama tawala !!
Awa watimish wengine wanatuumiza sana
Piga spana wote
Pilato nimempenda bule
Bwana Simon hiyo ndo Siasa.
na mkumbuka simoo ezi za makumira
Nchi imeooza
kijana wa makumira simoo
Ila ww makonda unaboa bwana
MAKONDA UKITEMBEA KUKAGUA KAMA DONAL TRAMP
Na kazi mwisho ni leo tupumue kidogo
Nchi imeoza sana
Nakupenda Sana makonda