VIDEO: POLISI KENYA WALIVYOTIMUA MBIO KUJIOKOA, WANANCHI WAWAZIDI NGUVU, WARUSHIWA MAWE KAMA WEZI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 209

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 2 дня назад +9

    Kenya Hongereni sana i wish if Tanzania could be like this.. Wangenyooka na hiyo serikali yao ya mchongo 😂😂

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 2 дня назад +33

    Ongereni sanaa wakenya

    • @user-he7nv8no3e
      @user-he7nv8no3e 2 дня назад +2

      Jaman 😂😂Tanzania tusiombe tuta Kuja kufa

    • @JustinePatrinius
      @JustinePatrinius 2 дня назад

      Hongera kwa vibaka..... Kweli Tz tuna vichwa maji wengi sana

    • @tumlakimwaitumule
      @tumlakimwaitumule День назад

      @@JustinePatrinius KIbaka nani zaidi ya wanao iba hela za Wananchi

  • @ButoyiThierryve
    @ButoyiThierryve 2 дня назад +7

    Kenya nawakubari sana mmefanya kazi zuri

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 2 дня назад +9

    Kazi ya police ina MTIHANI 😅 utafikiri hata wanapenda

  • @roselineanyango5008
    @roselineanyango5008 2 дня назад +4

    😂😂😂😂😂 Kenyans never disappoint 🎉🎉🎉🎉 . Sendhi one love Kenya

  • @yuahahmad6651
    @yuahahmad6651 2 дня назад +12

    Da!! Nimecheka kwa sauti ila inasikitisha

  • @Eric_MO
    @Eric_MO 2 дня назад +25

    Wasafi wa Tanzania nyinyi endeleeni na usafi wenu. Sisi wakenya ukicheza chafu twakuchezea chafu pia.

  • @user-ib2ew9ec3d
    @user-ib2ew9ec3d 2 дня назад +7

    Wakenya wanaumoja sana jaman nawaombeni MJE nakuku tz mtusaidie bhana maana huku tunaogopa maji ya police

  • @popod177
    @popod177 2 дня назад +17

    Katiba na uhuru wakujieleza ndo tunaringia..hao polisi pia wanajua huo mswada ukipitishwa bungeni hawana chao..😂😂

    • @JustinePatrinius
      @JustinePatrinius 2 дня назад

      Uhuru gani kama sio ujinga

    • @groovy5357
      @groovy5357 2 дня назад

      ​@@JustinePatriniushawa polisi wanaua waandamanaji, ndio maana pia hao wanakipata

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 2 дня назад +7

    safi sana ndugu zetu wa kenya.

  • @swalehemusa4546
    @swalehemusa4546 2 дня назад +2

    Matanzania kazi yao ndiooo nakupiga makofi kma matahira aliyesoma na asie soma hawana tofauti

  • @carolyneashimosi8605
    @carolyneashimosi8605 2 дня назад +1

    Mungu ajaze hawa vijanga nguvu na awalinde. Hawa vijana wanatetea haki yetu wote.

  • @ClaveryJackson
    @ClaveryJackson 2 дня назад +6

    Hii hari siyo yakufurahisha sana maana hayo yote ni machukizo mbele ya mungu yatupasa kumuomba mungu atuepushe na kila ghasia ya namna hii mungu wasaidie wakenya na amani ikarejee Kenya ,mungu ibariki tanza nia nchi yangu ya amani ibariki africa

  • @hannan4508
    @hannan4508 2 дня назад +6

    Tunajielewa hakuna kukaliwa chapati, power belongs to the people viva gen, z

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 2 дня назад

      Kenya hakuna polisi ni mgambo tu FFU akimbie raiya Tena kabeba Mawe Utajuta kilichokutuma kuingia Barabarani mbona huku wanaandamana Kila siku Tena wanalindwa na polisi kwa Amani kabisa ukileta vurugu ndio utawaelewa

    • @groovy5357
      @groovy5357 2 дня назад

      ​@@MnubiMmhuku polisi hawalindi waandamanaji, wanawapiga au ata kuua, ndio maana wakipatwa wanacharazwa vilivyo

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 20 часов назад

      @@groovy5357 Hahahahaha poleni Sana

    • @groovy5357
      @groovy5357 20 часов назад

      @@MnubiMm pole ni kwa wenye wanakaliwa

  • @makongoronyerere1564
    @makongoronyerere1564 2 дня назад +1

    Nimefurh sna nipo Tanzania , Kaz nzr vijana wangu

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 2 дня назад +4

    Halafu unawepeleka Haiti acha kupenda Pesa Rutoo kama utakufa nazo😊

  • @user-bc5kt8hh6n
    @user-bc5kt8hh6n 2 дня назад +3

    Bado tz ndo tunajifanya wanyenyekevu pasipo, hongereni sana wakenya

  • @morganmutwirimukwanjeru6475
    @morganmutwirimukwanjeru6475 2 дня назад +2

    kenyan police,kenyan govt ni wezi ua ua wote,jinga sana

  • @bakarihaizer4645
    @bakarihaizer4645 2 дня назад +5

    Big up sana kwa kupambania haki yenu

  • @paschalkusolota877
    @paschalkusolota877 2 дня назад +3

    Kenya nimeipenda mwenzenu

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 2 дня назад +3

    Kenya is a crazy Nation.

  • @lusakokyando8693
    @lusakokyando8693 22 часа назад +1

    Polisi wa Tz hapo risasi za moto mngetembezewa😂😂

  • @ElizabethNafula-kd1qn
    @ElizabethNafula-kd1qn 2 дня назад +2

    Zakayo alizima atii finally ame shuka

  • @ibrahimmohamed7009
    @ibrahimmohamed7009 2 дня назад +3

    Watu washachoka kaka tuombe tusikie huko,

  • @user-ib2ew9ec3d
    @user-ib2ew9ec3d 2 дня назад +1

    Tz tunaogopa police Kenya wanaumoja Wana kimbixa police

  • @kelvinkangomba9590
    @kelvinkangomba9590 2 дня назад +7

    Hili tukio si ni la jana mbona wasafi hamutoi taarifa kwa muda sahihi?

  • @user-yj7vu1oe7j
    @user-yj7vu1oe7j День назад

    Ukambila wenye unakuhga kenya , bila viogozi tuneeza ichi vizuri, bana ,

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 дня назад +1

    Wakenya nawavulia kofia

  • @Shebbytvs
    @Shebbytvs 2 дня назад +1

    Idadi hyo ya askari kuwakimbia raia kama ingekuwa ni tz hao raia hata wangekuwa mara mbili zaidi ya hao usingemuona hata raia mmoja!! Cc watz kwenye kutafuta haki yetu ya msingi huwa tunageukaga MACHAWA na kujiita watoto wa mama KIZIMKAZI!!!

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 2 дня назад +3

    Ni mda wetu wabongo kumili magari ya bure kabisa kenya hawana habari tena

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 2 дня назад +3

    Hii sasa fedheha sana kwa jeshi ila wananchi wanazalilisha jeshi lao linaonekana la hovyo ngoja wapate shida wananchi watalikumbuka jeshi lao liwape msaada

    • @musiccaentertainment100k8
      @musiccaentertainment100k8 2 дня назад +1

      Enda kwa mamako ukale wali muoga wewe

    • @abigail3414
      @abigail3414 2 дня назад

      Hao sio jeshi ni anti riot police jeshi kuu liko barracks at the borders of kenya n in somali

    • @husseinadam4847
      @husseinadam4847 2 дня назад

      Wajua tofauti ya jeshi na askari? Ama una ongea tu

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 2 дня назад +1

    Mmm mtihani
    Police wanasepa

  • @user-nb2jw4km6f
    @user-nb2jw4km6f 2 дня назад +2

    Duuu!Hatari😮😮😮

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 2 дня назад +2

    Yaaani hapo wangekufa police wawili wa mfano ingekuwa safi sana .

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 2 дня назад

      Vipi mwanao angekuwa police utaomba Hivyo niambie mmwaga damu 😢

    • @MauFundiElectronics
      @MauFundiElectronics 2 дня назад

      @@user-nb6yh2bn9y baba uwa tuuuu angejifanya ana homa asiendee uko kwani hakuna kazi nyingine zaidi ya upolice 😂😂😂😂

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 День назад

    Msipige police wao wenyewe wna maumivu wnalipa kodi😂😂

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 2 дня назад +2

    Hahahahahaah hii ni maajabu😂😂😂😂

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 дня назад +2

    😂😂😂😂😂haki nimechekaa!! Polis wametoka mbio kama mbwa.kweli mkuna kakunwa leo.

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 дня назад

    Siku wenye nchi kwa wingi wao na umoja wao wakichachamaa,hawatotosha polisi wala vifaru

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 2 дня назад

    tuwaache kwa nni ssa,wao mbona wanatupiga mabomu kabiss

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 2 дня назад +1

    Hii nimeipenda

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 День назад +1

    2025 Ccm tutawafanya hivyo

  • @HasanSadala-rh5re
    @HasanSadala-rh5re 2 дня назад +1

    Hatari

  • @salcle9702
    @salcle9702 День назад

    Tz inabidi tuingoe Hii TRA kwa stail hii coz wafanyakazi wake wanajiona babu kubwaa sanaaa

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe 2 дня назад +2

    Safi SANA

  • @hafidhsalum-jp2mw
    @hafidhsalum-jp2mw День назад +2

    Hao askari izo bunduki hazina risasi nakwambia tz apo saiv tungekua tunaokota maiti

    • @ATHLETICSCOMRADES2010
      @ATHLETICSCOMRADES2010 7 часов назад

      Wewe huelewi wakenya, askari ni wachache,ukiua ndio unawapa vijana nguvu, hao askari wangeuwawa wote.

    • @eldios831
      @eldios831 7 часов назад

      Wataokota maiti ngapi kabla risasi kuisha...wacheni uwoga

  • @geraldjoshua1555
    @geraldjoshua1555 2 дня назад +1

    Kenya shikamoo

  • @dennisMae-j9t
    @dennisMae-j9t 2 дня назад +2

    Kama nko na akili andamaneni pia nyinyi muone Moto Tanzania huezi ilinganisha na Kenya we are free people mtanzania jaribu kutukana rais uone

  • @mr.mchambuzitv5293
    @mr.mchambuzitv5293 День назад

    Kenya wana wa chekea hao wana inchi tembezeni kipingo cha mbwa mwitu mtoto anapo kosa adabu niku muadabisha tu sio kumbe leza

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 2 дня назад +1

    Ogopa Kenya Gen z

  • @Fiirso14
    @Fiirso14 2 дня назад +1

    Wakenya ni kama wanacheza na amani.

    • @arnoldmwaisaka8459
      @arnoldmwaisaka8459 2 дня назад +1

      Amani haiji ila kwa ncha ya upanga, watu tumechoka aisee. Kunyanyaswa, punda amechoka

  • @bigruwas81
    @bigruwas81 23 часа назад

    Bill ikipita hatapolisi itamuhusu musione hivi hata hao polisi pia Wana sapoti hayo maandamano nivile wako kazini na hawawezi kuandamana

  • @heavydee2546
    @heavydee2546 2 дня назад +2

    Njege masanse wakwende😅😅

    • @omi_kiyaga
      @omi_kiyaga 12 часов назад +1

      Walijaribu kufinya watu kende😅

  • @user-bw5yr3wd6y
    @user-bw5yr3wd6y 2 дня назад

    😂😂😂Mbona police wanaogopa kufa🤔🤔🤔 wanatoroka mbio MUNGU saidiay

  • @briankalasho5521
    @briankalasho5521 2 дня назад +1

    reject finance bill ke

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 2 дня назад +3

    Nchi inaenda vibaya sasa😢😢😢

    • @NicohKizazi
      @NicohKizazi 2 дня назад

      Vitu vingine sio za kuamuriwa na serikali kutugandamiza tukiwa tumenyamaza

  • @deogmushi9591
    @deogmushi9591 День назад

    Unaweza kucheka kama ukitaka but kwangu hii sio Hali nzuri kabisa. It's totally bad situation.

  • @bakarihaizer4645
    @bakarihaizer4645 2 дня назад +1

    Tz tumekaa tu kila kitu ndio ndio

  • @mahmudmohammed2467
    @mahmudmohammed2467 2 дня назад

    Alafu wakipigwa risasi watasema wanaonewa

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 дня назад +2

    NLISKIA MPUUZ MMOJA ANAJIITA MSOMI ANASEMA ET KENYAN WANAJIELEWA KULIKO TANZANIA KO HUU UPUUZ NDO KUJIELEWA KWENYEWE AU😢😢😢😢

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 2 дня назад +3

    km ni znz raia wengeuliwa,na police

    • @majidabdul-wg8ww
      @majidabdul-wg8ww 2 дня назад +1

      Hata KENYA pia polisi wameua sana juzi ila bado tutaipigania haki 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 2 дня назад +1

    Wakenya wanatuzidi vingi hadi dhambi wanatuzidi 😂😂😂

    • @groovy5357
      @groovy5357 2 дня назад

      😂😂😂Achana na sisi
      Tumechoshwa

  • @user-fk1my9xc1k
    @user-fk1my9xc1k 2 дня назад

    Hshahaha hsta mimi nimecheka sana

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 4 часа назад

    Kwanini wasingeua maana wamezoea kuaga

  • @salama1113
    @salama1113 2 дня назад

    Kumbe nawao waoga wamevaa mavitu bado wanaogopa😂😂😂😂😂

  • @DM_15
    @DM_15 2 дня назад

    Haposasa usiombe askari aku notice my brother siku akikushika utaomba pooh nakuambia

  • @naibei_Tv
    @naibei_Tv 2 дня назад +1

    Tanzania mnalala 😅

  • @Marcsoundofficial
    @Marcsoundofficial 2 дня назад +4

    Sio sawa..polisi hawana makosa

    • @NicohKizazi
      @NicohKizazi 2 дня назад +1

      Tuulize sisi wakenya tunajua makosa yalipo😂

    • @groovy5357
      @groovy5357 2 дня назад

      Kwani nani ameua raia 20+ juzi?

    • @Marcsoundofficial
      @Marcsoundofficial 2 дня назад

      @@groovy5357 they were following orders

  • @user-sv8nq3fx1w
    @user-sv8nq3fx1w 2 дня назад

    Ongera wakenyaa

  • @user-qi5ii4pq5m
    @user-qi5ii4pq5m 2 дня назад

    Ila wakenya duu 😅😂😂😂😂nimecheka kinoma🇹🇿🇹🇿

  • @user-xv8rc9fu7p
    @user-xv8rc9fu7p 2 дня назад

    Aibu Sana

  • @user-ly9us4db3m
    @user-ly9us4db3m 2 дня назад

    Nimecheka kama mzuri jaman dar sio kwambio hizo Mungu awasaidie jamani kazi hizi heeeee

  • @djtashras
    @djtashras День назад

    😂😂😂Leo nikumoto mazee in stivo simple boy's voice 😂

  • @BenardNjeru-te5de
    @BenardNjeru-te5de 2 дня назад +1

    This is 254❤

  • @bornlychula7043
    @bornlychula7043 2 дня назад

    😂hawa ndio wanapelekwa haiti ama kuna wengine

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 дня назад

    Good

  • @faiditv5535
    @faiditv5535 2 дня назад

    Lini hii

  • @benardmudavadi8399
    @benardmudavadi8399 День назад

    🤣🤣😂policemen being arrested. Ironic

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 2 дня назад

    Wamepelekwa Haiti 🇭🇹 kwa barbecue 😅😅😅😅

  • @bigruwas81
    @bigruwas81 23 часа назад

    People's power

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 дня назад

    Hiyo ni mungiki

  • @user-ly9us4db3m
    @user-ly9us4db3m 2 дня назад

    Wewe kama mm yaani wametimua mbio baraaaaa

  • @FrolaMoses-zk6st
    @FrolaMoses-zk6st 9 часов назад

    😂😂😂😂😂😂 hahahahaha wamesha 🔥🔥🔥

  • @JohnFrancis-mv4yf
    @JohnFrancis-mv4yf 2 дня назад

    Very sad

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 2 дня назад

    Hustler yuko wapiiiiiiiiii😅😅😅😅

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 2 дня назад

    hapa nimkate umepanda bei sukri je

  • @hassanmoalimmuse6014
    @hassanmoalimmuse6014 2 дня назад

    Kama bongo tu

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 2 дня назад

    Polisi hawana makosa. Lazima wakimbie tu kujiokoa.

  • @gilbertlusiji
    @gilbertlusiji 2 дня назад +1

    Hunter's and the hunted😂

  • @user-wj7kc4sc1l
    @user-wj7kc4sc1l День назад

    😢😢😢😢😢😢

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 2 дня назад

    Wanachekelea ujinga wakiamuriwa watumie silaha mwanachi yupi atabaki hapo

    • @arnoldmwaisaka8459
      @arnoldmwaisaka8459 2 дня назад

      Wananchi wamekufa wengi jana lakini ilibidi ndugu yangu. Tumefika mwisho

  • @anastanciakerubo9016
    @anastanciakerubo9016 2 дня назад

    😂😂😂😂😂😂😂hii nayo imenichekesha

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 2 дня назад

    Hii ninhatari sana kwakweli

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 2 дня назад

    Wajaluo awatakagi USENGE

  • @alimasha-qh3vn
    @alimasha-qh3vn День назад

    Police wanakipata

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 дня назад +2

    😂😂😂😂😂😂 kenya bana

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 2 дня назад

    Soon

  • @roselineanyango5008
    @roselineanyango5008 2 дня назад

    Burukenge nyinyi 😂😂

  • @mathewungani9724
    @mathewungani9724 2 дня назад

    Wametimua Mbwio....

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 15 часов назад

    Media za bongo zina shobo

  • @abdiabdullahi3108
    @abdiabdullahi3108 2 дня назад

    Nikiwa na bunduki?????