Yaan Leo ndo nimeamua kutumia MB zangu for singeli coz ya ujumbe umewazid hata baadh ya waimbaji wa injili wanabaki kufariji fariji dhambi hawakemei wanabaki inspiration song tu wakiogopa kupoteza mashabiki but kaka umehubiri moja kwa moja hata kama inauma lkn ujumbe umefika
Mwanangu unajuaaaaaa sanaaaaa hujawah kuniangusha huu mwaka goma langu pendwa. Na kuanzia leo sidhuruma ....nmependa uliposema tufanye yote lakn tukumbuke kuna MUNGU
Follo me on Instagram instagram.com/balaa_mc?
Icon
Moro than 🔥
Nakubali
26 kipaji nakubali kazi zako sana Kijana Endele kupambana boy
Nouma sanaa Kaka inakueje tutajibu nin kwa Mungu dah.! Kali sanaa
Hit Hit Hit BACK TO BACK hatari sana 26KIPAJI.Nikipata Bajaji lazima PICHA YAKO IKAE NYUMA.
Kwa mara ya kwanza nimeskiliza wimbo wa singeli kwa kuutafuta kabisa na kurudia mara kadhaa, jamaa ana ujumbe na mashairi adhimu sanaa
Safi. Sana tunakufuatilia huku malawi tuko kikazi tukiludi home 🏡 tutakutafuta mc baraa
Hatuanzi na olololiloliloliloooooooh HARAMU umetisha!!! SANA
Yaan Leo ndo nimeamua kutumia MB zangu for singeli coz ya ujumbe umewazid hata baadh ya waimbaji wa injili wanabaki kufariji fariji dhambi hawakemei wanabaki inspiration song tu wakiogopa kupoteza mashabiki but kaka umehubiri moja kwa moja hata kama inauma lkn ujumbe umefika
Nafuatilia sana ngoma zako mwamba, hunaga kazi mbaya mzee baba , singeli zako zinaujumbe kalibia zote kaza mwanangu💪💪🔥🔥
Wew ni bonge la msanii unajua ndugu upo YUNIQ zaid
Vizur single iko pw sana mng tusaidie tuwe waelewa
SAFI SANA UJUMBE MZURI SANNA KAZI KUTEKELEZA TU!!!
Dah balaa ww nikichwa good job asante,
🙏🏼🙏🏼🙏🏼my bro,,,nitajibu nn mie sk ikifka jmn😭😭 duh
Nkukubari xan balaa mc 26 kipji unacho mdg wang
Kazi imesimaa vyema kwani kila lililopo humo ndani ndiyo yanayotokea kila siku; Nakukubali kitambo
Kabisa
Daah ww Kuma nakukubali sana father
😂😂😂😂😂😂Daaaaaaa
Daaaaah hapa kwelii umeongea
Safi sana ujumbe umefika mkuu
Diblo endeleaaa kunyanyasa maana wamekuitaaa wenyewe ahaaaaaaaa
#waswahili wote hapa
Dundo online.
Hongra kaka kazi nzur
mziki mzuri wenye ujumbe wa kwenda big YES
Ukweli unauma nalijua ilo ndio maana hii nyimbo sijaanza oliloliooo,
Wee jamaa ni fani sana kwa staili za uimbaji
Mungu Akuzdishie ili undelee kukumbsha so wat wamesahau km kuna mungu heshima kwako balaa kaz mzri
Mmmh, mi mwenyewe sijui itakuaje.
Huna bayaaa Togo yes chama
SIPENDI SINGELI ILA HUYU BALAA MC KWELI ANAIJUULIA HII KAZI...✍️
Mkuu hii umetisha...
Dah mzee umeuwa
Namkubali mbagala boy
Singeli inapumua kwa ajili yako .....wew pekee ndo mwenye singeli bongo asante kaka.....nakukubali 🔥🔥🔥
Dondosha livideo sasaa🔥🔥
Mwanangu unajuaaaaaa sanaaaaa hujawah kuniangusha huu mwaka goma langu pendwa. Na kuanzia leo sidhuruma ....nmependa uliposema tufanye yote lakn tukumbuke kuna MUNGU
Huyu ni mtume
Ngoma kali
Hii ndiyo maana ya kioo cha jamii. Sijui itakuajeee
Sifatiliaga singeli ila balaa mc 🙌 hongera sana
Uyu Ni Balaa wa Kwenye Muvie ya Bahubal Atar.
Hiingoma ni moto ww ndio king wa mziki wauswazi
Sisikilizagi singeli naogopa matusi,leo hii nimeisikia kwa daladala nikaamua kuifwata huku,iko poa sanaaaaa
Bonge la ngoma nakubali Sana mwamba nipo chalinze nakufatilia sn kaka
SHIKAMOH balaah.....# nilikwambia meng inxta
Uko sawa
Ngoma kali Sana dogo, usilewe sifa❤
Saaaa itakuaje olilolilooooo
Wimbo mzuri na ujumbe mzuri 🔥🔥🔥
Singeli music toka tanzania
𝚜𝚒𝚓𝚞𝚒 𝚒𝚝𝚊𝚔𝚞𝚊𝚓𝚎𝚎
Kama kawa
We jamaa ni nomaa melody yako ya kipekee
Daahhh jamaaa ni noumaaaa NAKUBALI
Umenitisha mwenetuu
Maisha ooh yameniponza mi🎼🎵..hii Ngoma kaimba dogo gani jamani? Naitafuta
VP mziki utaacha linii etiii
kaka kaz zur🌹🌹🌹🌹🌹
Wakumbushe babarababa nakubar""
balaaa mc 26 kipajiiii 🎶🎶🎶
Baba HATAR kitaaa Kama VP pandisha video youtobe
Unajuwa mkuu we pekeyako ndo unajuw singeri ifanye nini ili iende
Fundi sanaaaaaa
Nakubal sana umeuwa mzeee baba 💥💥💥💥💥
Itoshe kusema wewe ndio unaibeba Singeli 🙏
Daa baba mi supingi we ndo king of singeli wengine wanakufata mze baba nakukubali sana
Chakujibu atuna vijana
Ngoma kari sanaaaaa
Tanzania one
Humu kuna unyama mwingi🔥🔥🔥
Eeeh bana eeeh bonge la ngoma
Nakukubali sana
Saf sana
Hapa ujumbe umefika
Utajibu nini 🙆
We umbwa unajua Sana 💯💯💯 God Bless kamanda Balaaa MC
Vyema kukumbushana kaka, 26 kipaji
Hit song from 26kipaj tesm ile ile😭😭 utsjibu nini ❤ from Tanga 🔥🔥
Dah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢🙏🙏Nihuzuni kwa kweli
Nimeipenda kaka god bless you
We dogo big up
Acha vyote Mzee .
Waimba singeli wote hawajawahi kuwaza hii kitu bora wewe umetukumbusha hata kwa nyimbo
Msanii pekee aliyenifanya kidogo niielewe singeli
Nime kupali❤️
Nakubali mwamba balaa mc 26 kipaji
Oya mwanangu pepon umeenda Tisha Sana 🎶🔥
Ni shida
Balaaaa akili mingi sante brooo .....msanii pekee wa singeli tanzania inspiration team💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥
Ujumbe
Kaka balaaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Siku pigi . Duuuh🥰🥰 we fundi san.
Booonge kanileta hapa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 umemaliza yoteee
😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼nakubali sana
Sikuping dady
Dude kama dude
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubali sana ulipo sema ukweli unauma nalijuw hilo na ndo man hii yimbo sijaaza na wololiloliloooh🙌🙌🙌🙌
daaaaaa mwanangu we nomaaaaaa
Kaka nakuona kwenye level za mbaliii
Mesejiiiiii
Atareee
Kali xanaaaaaa
Daaaahh inauma saner ukifikiria
Sana kaza za mwendo maisha bdo mungu yuko nawe