nakuunga mkono kweli yeye anaongea kiingereza halafu kiswahili kinawekwa pembeni baadhi ya hadhira hawaelewi lugha ya kiingereza kwani nini kusiwepo na mtafsiri kweli ili kila msikilizaji apate nafasi na yeye kwa yule ambae lugha ya kiingereza haijui
Hivi nyie mmeshindwa kuweka mkalimani Sasa sibola msinge mleta kafata nini sasa sisi huku ni WA Swahili ilitakiwa muweke mfasili Yani hata hili tuwafundishe
Allahumma barik
Very good teachings
Masha Allah ❤
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah
Ma Shaa Allah 🇹🇿 Jazakallah kheri
Allahu Akbar mashallah 🤲🤲🤲
MaaShaaAllah.
MashaAllah
Ufafanuzi kwa kiswahili sio in English
Kwa ugeni huo ingefaa angepatikana na mfasiri wa lugha ya Kiswahili ili ujumbe ufike vizuri kwa wazawa.