Asante sana kwa mangolibo nimeitafuta sana.. Maquiz walikuwa moto wa kuotea mbali sasa hivi watu wanacheza hawa walifanya kazi.Mziki mpaka kesho upo kwenye fomu. Banza mchafu kwenye bass gitaa, sauti safi ya adios, audax. acha bwana umenikuna sana
Wanamuziki wa Marquiz du Zaire - Chinyama Chianza, Tshinyama Katay, Tshimbuiza Tshinsense (Nhuza Viking), Mbuya Makonga (Adios), Tshibangu Katay, Ilunga Lubaba, Mutombo Lufungula, Mwema Mudjanga and Mwema wa Mwamba, wengine ni Dekula Vumbi, Illunga Banza Mchafu, King Kiki, Kasongo Mpinda, Thsimanga Assosa, Kasolo Kyanga, Dekula Kahanga na wengine wengi tuu. Maquiz ilikuja na mitindo mbalimbali ya muziki kama vile kamanyola, sanifu, ogelea piga mbizi, and zembwela n.k. Enzi Hizooo. SIJUI NI NANI YUKO HAPA NA MIMI KWA MWAKA HUU WA 2024 TUNAELEKEA MWISHONI MWA MWAKA SASA
Eddie Nassor, kazi njema, unanikimbusha mengi. Nauliza wimbo huu umeimbwa kwa lugha gani? Can you upload hizi nyimbo: 1) Kashasha (Tancut) 2) Mwanameka (Dar Inter)
Hapo anazungumzia aina mbili za ngoma yaani Madogoli na Mangolibo. Binafsi haya mangolibo sijui ni ngima gani. Maudhui ya kioande hiki anaposema *Nkhatitoa Madogoli, haya yetu ni Mangolibo." Anamaanisha "Hatupigi Madogoli, haya yetu ni Mangolibo."
Enzi hizo bwn! Nilikuwa ndio nipo form one Bagamoyo. Dunia ilikuwa tulivu isiyo na rabsha. Na miziki ivyo ivyoo. Acha sasa ni blaa blaa tuu...bora liende.
Dah " nakumbuka utotoni kila kt kilikuwa safi sana nawakumbuka na waliotangulia 😊😊
Nitumie bas huu wimbo mbn unakta kata siusikii vzr nakupenda sana naomba unitumie ful
Asante sana kwa mangolibo nimeitafuta sana.. Maquiz walikuwa moto wa kuotea mbali sasa hivi watu wanacheza hawa walifanya kazi.Mziki mpaka kesho upo kwenye fomu. Banza mchafu kwenye bass gitaa, sauti safi ya adios, audax. acha bwana umenikuna sana
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana, Hatari sana!!!!
Wimbo huu naupenda mpaka basi. Jamani bendi hizi zitarudi? Listening in Nairobi 2019
Nakumbuka mbali sanaaaaaaaa.
Mangolibo
Enzi hairudi,1978 kurudi nyuma,Whitehouse,Maquis hawapigi mziki nje ya dar
Anayejua maana ya huu wimbo atutafsirie
Dirice wimbo huo umeimbwa katika lugha ya Kibondei
Naomba angalau tafsiri kidogo nasikia ni kibondei
karibuni wageni hapa nyumbani tucheze ngoma ya mangolibo.. ukiaa unacheza ukisimama unacheza ni ngoma nzuri kwa wote wasichana na wavulana
Hebu tutafsirie hiyo lugha ya kibondei!
Those things were worth more than gold......
Wanamuziki wa Marquiz du Zaire - Chinyama Chianza, Tshinyama Katay, Tshimbuiza Tshinsense (Nhuza Viking), Mbuya Makonga (Adios), Tshibangu Katay, Ilunga Lubaba, Mutombo Lufungula, Mwema Mudjanga and Mwema wa Mwamba, wengine ni Dekula Vumbi, Illunga Banza Mchafu, King Kiki, Kasongo Mpinda, Thsimanga Assosa, Kasolo Kyanga, Dekula Kahanga na wengine wengi tuu. Maquiz ilikuja na mitindo mbalimbali ya muziki kama vile kamanyola, sanifu, ogelea piga mbizi, and zembwela n.k. Enzi Hizooo. SIJUI NI NANI YUKO HAPA NA MIMI KWA MWAKA HUU WA 2024 TUNAELEKEA MWISHONI MWA MWAKA SASA
kk Eddi mbona wimbo wa Marquiz makumbele no 2 nakuomba kila cku lkn hunitumii kwa nn.
mkuuu eddie nisaidie kibao cha mama kanji
Tulikuwa tupo polisi barracks kilwa road,siku hiyo sitasahau
Nitumie link ya Kashasha ulipo hewani. John Kitime anao wimbo kashasha ya LIVE. Sio clear vile. Jitahidi @Eddie ...
Kaka naomba radhi nilidhani nimeurusha zamani kumbe bado:Utakuwa hewani ndani ya nusu saa Mungu akipenda
Eddie Nassor, kazi njema, unanikimbusha mengi. Nauliza wimbo huu umeimbwa kwa lugha gani?
Can you upload hizi nyimbo: 1) Kashasha (Tancut) 2) Mwanameka (Dar Inter)
Kashaha upo hewani ndugu
Duu ni balaaaa
Wimbo umeimbwa kwa.lugha ya kibondei, kabila lipo Muheza, Tanga, Tanzania.
Ivi huu wimbo ni wa lugha gani?? Mangolibo maana yake Nini??
Kibondei
Hapo anazungumzia aina mbili za ngoma yaani Madogoli na Mangolibo. Binafsi haya mangolibo sijui ni ngima gani. Maudhui ya kioande hiki anaposema *Nkhatitoa Madogoli, haya yetu ni Mangolibo." Anamaanisha "Hatupigi Madogoli, haya yetu ni Mangolibo."
mangoribo ni lugha gani?huu wimbo wa marquis?
bado naulizia mangoribo umeimbwa lugha gani?mziki utafikiri unatoka kesho!hiyo ndio ilikuwa miziki
Dekula2 Habari mkuu nini maana ya hii wimbo?
Dorise Gasper kibondei
Enzi hizo bwn! Nilikuwa ndio nipo form one Bagamoyo. Dunia ilikuwa tulivu isiyo na rabsha. Na miziki ivyo ivyoo. Acha sasa ni blaa blaa tuu...bora liende.