MAGOVINDA na Shishi Baby | SEX TOUR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024
  • Shishi Baby(Shilole) akiongea na Idris wakati wa chakula katika restaurant yake ya SHISHI FOOD, mada kuu ikiwa ni umuhimu wa kufanyiwa tohara hasa kwa faida yake katika kujizuia kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi(VVU).

Комментарии • 284

  • @mariyahhussein1636
    @mariyahhussein1636 6 лет назад +16

    Super proud of you! Finally it’s happening ♥️

  • @gideongeneration.4999
    @gideongeneration.4999 6 лет назад +1

    Campaign iko vizuri sana. Nimeipenda binafsi kwanamna ya pekee. Ninaimani itafanikiwa kwa asilimia zote hivi.
    #idrissultan
    #shishibaby.

  • @swahiliacademy
    @swahiliacademy 6 лет назад +4

    idris and shishi u killed this one....u hv got the marvelous chemistry........kip the vibes wasee

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 6 лет назад +26

    Hii Epsod Siyo Ya Kuangalia kama Unanjaa

  • @jamesdavidkawongajr4418
    @jamesdavidkawongajr4418 6 лет назад

    Sounds funny but this is so good , educative,informative and encouraging evryone..... nadhani Idriss mngejaribu kuongeza media coverage.... radio is better kwa sababu inakwenda mbali zaidi...

  • @zenadaudzena2849
    @zenadaudzena2849 6 лет назад +18

    Kwa kweli wema alichezea bahati Idris ni mwanaume wa kweli

  • @dr.a.s.mwinyi8143
    @dr.a.s.mwinyi8143 6 лет назад +2

    Sio kweli kwamba ukiwa umefanyiwa tohara huwezi pata magonjwa ya zinaa. Unaweza pata ila kuna uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa hayo ukiwa hujafanyiwa tohara.

  • @tunnaika
    @tunnaika 6 лет назад

    more mukbang videos..Idris.basi pia utuoneshe munakula niniii😁👑👑👑

  • @abbacabdul8475
    @abbacabdul8475 6 лет назад +20

    shishi ungekuwa unakula na wale machalii wa chuga sijui kama ungeongea ata neno moja

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 6 лет назад

    Uyu doctor vipi jameni kwany simu niya jamii 🤣🤣🤣🤣🤣🤔Part two basi 🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️🤸🏽‍♀️

  • @ashaswaleh3281
    @ashaswaleh3281 6 лет назад +13

    Shishi tonge km mtoto wa kiume🤣🤣🤣🤣 nakupenda bure

  • @navongelysrlynsozsye8494
    @navongelysrlynsozsye8494 6 лет назад +15

    Le Idris iko lamba lamba ndole sana wakati ya kula...haipo nzuri bhanaaa🤣🤣

  • @joemnyama6627
    @joemnyama6627 5 лет назад +2

    Kama unamuelew idriss gonga like apa

  • @swahiliacademy
    @swahiliacademy 6 лет назад +1

    with this level u hv got my subscription freely.......the show is superb.....kip the vibe mze baba

  • @dinamicheal5154
    @dinamicheal5154 6 лет назад

    Nimecheka sanaaaaaaa yan ww idriss mungu anakuona eti inakua kama rocket

  • @barakachaula7050
    @barakachaula7050 6 лет назад +4

    😂😂😂😂😂kam umesikia ety mlisafisha na steel waya aaah kumbe unaongea na Shem😀😀😀
    Like twend sawa....🙌🙌

  • @tittodascott939
    @tittodascott939 6 лет назад +3

    Mzee unaramba mno vidole unao kula nao wana mind aibu tu kukwambia

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 5 лет назад +1

    How I wish Wema could marry this guy😥😥so handsome 😘 loving 😘 happy always 😂ooh my God😎nampataje Wema nimwambie😥😥😥

  • @princengombaniza4080
    @princengombaniza4080 6 лет назад +25

    Mbona shilole anangewe au macho yangu😩😩😩 au kapigwa na uchebe

  • @msjammie9260
    @msjammie9260 6 лет назад

    Finally Sex tour imeanza ❤
    Hongereni sana, am sure itakuwa nzuri sana

  • @peseopio5281
    @peseopio5281 5 лет назад

    Khaa, sasa miwani hadi wakati wa kula? Sijui ni ushamba ama

  • @latifajafari3784
    @latifajafari3784 6 лет назад +3

    Nyie mnahatari 😂😂😂😂
    Afu shishi anakijipu usoni pole sana

  • @nagmynamahin2463
    @nagmynamahin2463 6 лет назад +1

    Shilole umekua mama saiv mashallah

  • @ackshuba8679
    @ackshuba8679 6 лет назад +7

    hivi ni tohara au Tohala
    shishi kizungu hujui na kiswahil pia hujui

  • @alicebahadia5529
    @alicebahadia5529 6 лет назад

    Its amazing this episod .yani nikama maisha yalivyo kweli usani pembeni Safi sana kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂shishi nae sio tonge ilo

  • @starlight8794
    @starlight8794 6 лет назад +4

    Mwenye ananichekesha hapo ni Idris sultan Tu wallah

  • @bililabilila5578
    @bililabilila5578 6 лет назад

    Mh! jamani kwanza mngemaliza kula halafu ndo mngeyaongea hayo mkazidi kuelimisha zaidi

  • @renatusaugustine3410
    @renatusaugustine3410 Год назад

    Dah Idris mlaaajiii hadi umenizidiiii

  • @dinamicheal5154
    @dinamicheal5154 6 лет назад +10

    Kama umeskia billnass umu ndan gonga like.....

  • @naomigodwin6232
    @naomigodwin6232 6 лет назад

    Can u give me water shishi sio PW mwez wa4 ukiendelea utakua muzungu

  • @fauziakatumbi7954
    @fauziakatumbi7954 6 лет назад

    Idris nakupenda😍😍😍😘😘

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 6 лет назад +3

    SHISHI BABY NANI KAKUPIGA HEDI JAMANI

  • @sizyeswapo3757
    @sizyeswapo3757 6 лет назад +1

    😂idris lakini ww umetahiriwa kweli ? Unajua hapa amenikumbusha vile huwa niko na wasiwasi katika changamoto wakati ukianza unahofu hofu

  • @furaharamadhani6648
    @furaharamadhani6648 5 лет назад

    I like u gyz...it's so wonderful,fun

  • @dominicadominica4976
    @dominicadominica4976 6 лет назад

    To be honest you guys mwani fanya nitamani Africa nikija Africa shishi baby I think I will pass by TZ aki Nile chakula chako paka ni test mapishi yako

  • @virginiadavila397
    @virginiadavila397 6 лет назад

    thoughtful

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 лет назад +1

    😂😂😂😂😂idris kapimwe akili,, et bilnas,,,, mara sudybrown

  • @mapishiwithsabrina87
    @mapishiwithsabrina87 6 лет назад +1

    hahaha nampenda sana shilole.....

  • @nobertmulesi3387
    @nobertmulesi3387 6 лет назад +1

    shishi mbona nundu kichwani kwenye utosi kuna nini?

  • @davidelijahlaiser4064
    @davidelijahlaiser4064 6 лет назад

    Shishi inakuaje umemuaxhia huyo jamaa bila testing au kazuga na hug!.Well-done all.

  • @lashymreal6555
    @lashymreal6555 6 лет назад

    Idris ukija Kenya ntakuhug na nkubusu ghafla sio Kwa kukupenda uku Baraka the prince Hajatahiri watu wab#Iringatunawajua

  • @sktz9030
    @sktz9030 4 года назад +1

    Good san dogo sulitanii idilisii

  • @hadjahassan9302
    @hadjahassan9302 6 лет назад

    Mwnaume akitailiwa mdg san ana asilimia kubw ya kuwa na kibamia mwnaume anatakiwa kufanyiwa tohara mkubwa kdogo like kwnzia Miaka 7 na kuendelea kama wamasai cjawah kuskia kama wanavbamia au wazee wetu wa zamn mmb ya vbamia hayakuwepo lkn kle ktendo cha mzzi kumfanyia tohara mtt akiwa kazalwa tu au ana mwaka mmoja huko mbeln tutakua na vibamia vya kutosha unamfanyia mtt tohara ilihali anajkojolea anajnyea unategemea nn tuache uzungu na tufkirie kwa kina

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 6 лет назад +5

    Hahahah yan mmekutana masela wote mpaka raha nawakubal sanaa nyiye watu

  • @debbiefrancore5897
    @debbiefrancore5897 6 лет назад

    Nawapenda hawa watu jamaniii shishi na idris sultan

  • @alnooroman1058
    @alnooroman1058 3 года назад

    😀😀😀😀😀😀😀😀😁😁😁😁 yani himada zurikwakweli du nomasan 😂😂😂😂😂

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 6 лет назад +2

    Siyo Kwa Nundu hilo shishi na hy miwani na hl lemb kuna namma hapo

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 лет назад +6

    Shishi nundu hilo vipi kwenye paji la uso uchebe alisha kubanjua nini 😅😅😅Iddris ume tahiliwa kweli???🤣🤣🤣

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 6 лет назад

    Hatuli kushiba,tunakula kumaliza!!Sema wanaume wa Dar freemarket,tonge ndogo kama SUNGWI mzee Baba

  • @bamuurockstar2217
    @bamuurockstar2217 6 лет назад +1

    #Duh Shihy bby ww n #mukideeee kbsa

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 лет назад

    mnafundisha kitu kizuri Ila mnapotosha pia...tabia za mezani wakati wakula duuh!!!table manners...

  • @itsangystyle5498
    @itsangystyle5498 6 лет назад

    😀😀😀idriss kwa kweli you are so funny.nakupenda shishi baby.karibuni kwa channeli yangu guys

  • @stevenngaitv7001
    @stevenngaitv7001 6 лет назад +2

    Shilole kawashuri wasukuma wa kwenu ndo wenye magovinda

  • @edwinnsimba3173
    @edwinnsimba3173 6 лет назад

    Brother pt 2 yake

  • @nassraramadhans1074
    @nassraramadhans1074 6 лет назад +1

    jamani mimi nampenda sana idris sultani natamani nikuone japo siku moja

  • @matango63
    @matango63 6 лет назад

    Wote hawana table manner maongezi wakati wa kula huwa ni ya taratibu sio makelele na kupanua midomo wakati wa kula,pia huyo mwingine aache kulamba vidole!

  • @titusofficiall2926
    @titusofficiall2926 6 лет назад +6

    Shishi Taratibu mwanangu huo ugali 😂😂😂

  • @carlshiki
    @carlshiki 5 лет назад +1

    Id ni fala, eti inakua kama rocket. 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @isaacmayunga6503
    @isaacmayunga6503 4 года назад

    Shishi hivi kunigwa ni kiswahili au kilugha chenu hicho,🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nasirahassan9373
    @nasirahassan9373 6 лет назад +2

    😂😂😂😂😂😂 kama uyoga sio hanisi sana weeee

  • @zainabuyasin8189
    @zainabuyasin8189 6 лет назад

    shishii mnaenda na idrisa hakili mojaaaa mnafurahisha sana aiseee😂😂😂😂😂

  • @chikuamosi1419
    @chikuamosi1419 6 лет назад

    Shishi kovu la nn tena?

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 лет назад +1

    Hahahaha shishi nakupenda sana jamani

  • @shabanimoneyshabanimoney2145
    @shabanimoneyshabanimoney2145 6 лет назад +6

    Mkono wa sweta 😩😩😩

  • @ramadhankingumbwa5348
    @ramadhankingumbwa5348 6 лет назад

    Sasaa Idriss
    ulitailiwa ukiwa na umli gabii😁😁😁

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 лет назад

    Mi nikipata mtoto wa kiume anspozaliwa 2 pale pale afanyiwe 2 tohara akiwa mkubwa ataumia

    • @nadhlfasalmazena7444
      @nadhlfasalmazena7444 6 лет назад

      miaka tatu au nne tafadhaIi,naamin hata ww hapo uIipo hautaki kibamia,usimdhuru mtoto tafadhaIi

  • @emmanuelagustino513
    @emmanuelagustino513 6 лет назад +3

    inakuwa kama rocket ya Russia

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 лет назад +3

    Mbona ana Nundu Shishi

  • @mafedhakhalfan5167
    @mafedhakhalfan5167 6 лет назад

    Jamani bado tuuu unapigwa kinundu pole baby mwambie shem aache utoto

  • @johnmwakalosi4520
    @johnmwakalosi4520 6 лет назад +1

    Nasikitika kweli kuondoa sweta langu

  • @godfreypaul2551
    @godfreypaul2551 6 лет назад

    shsh anagopa kula bila miwani ana aibu kula bila miwani mbele ya kamera

  • @sixfingerthedon4907
    @sixfingerthedon4907 6 лет назад

    Bro kama jana nimekuona pande za msata bagamoyo sija fananishaa ni ww

  • @amriseif5584
    @amriseif5584 6 лет назад +1

    Shishi ndo maana huwa anawapiga watu sio kwa kula huko mwanamke Wa mkoa

  • @nathanlwango7870
    @nathanlwango7870 6 лет назад

    Hi

  • @modannygrafx737
    @modannygrafx737 6 лет назад +1

    😂😂😂 iv ambao hawajatairiwa ndo zinakuwaga kama exzozt ya vile vipkipik honda 110😂😂😂😂

  • @jennifermrope1577
    @jennifermrope1577 6 лет назад +5

    "Idrissa"umesha wai ona wamasai wana pigwa panga jandon Ety Akipigwa panga Asipolie Anagewa cow😂😂😂😂😂😂😂😅😅😆😕😲😲Au ndo ushahid wa jehova😂😂😂😂😅

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад

    Raha sana chakula cha pamoja nawatamani

  • @madinamussa537
    @madinamussa537 6 лет назад

    Hahaha aise jama uyu uwaananifurahisha

  • @stevenshonza76
    @stevenshonza76 6 лет назад

    Kama umecheka kama mimi gonga like hapa

  • @pascaltv2456
    @pascaltv2456 6 лет назад +1

    Weeee mtoto mpe baba ako simu 😂😂😂😂😂

  • @dominicadominica4976
    @dominicadominica4976 6 лет назад

    Haaaaaa idris to be honest you are crazy you went out to make a fake call to be honest you are fun anyway I enjoyed to watch you guys well you are eating and talking haaaaa

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 лет назад +1

    Nyie mnavituko😂😂😂😂😂😂😂haya jamani bonyezeni picha msabusikraibu kwenye chaneli yangu huku vituko cha amba ruty eti🤣🤣🤣🤣

    • @sahera1125
      @sahera1125 6 лет назад +1

      Mama Franjo Vlog 😁😁😁😁😁😁cha amba ruty kweli

    • @mamafranjovlog72
      @mamafranjovlog72 6 лет назад

      @@sahera1125 😂😂😂😂😂😂manake bongo vituko vingi sana yani dah 😂😂😂😂

  • @omarpharrell5718
    @omarpharrell5718 6 лет назад

    Hahahaha love u guys my to best ppl in TZ

  • @zingahassan5851
    @zingahassan5851 6 лет назад

    Mwanamke NI tonge # SHISHI NAKUONA ..

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 6 лет назад

    Kula uku mnaongea mate yatakuwa yamejaa kwenye chakula 😒

  • @Mad1netv
    @Mad1netv 6 лет назад

    Linakuna na mikono miwili dih 😞

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 6 лет назад

    wallha nimecheka hapo Idris alivyo kata bonge la tonge ahahaha si mlisema aliugali

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 6 лет назад

    Shilole ushebe hasikuzoee kukupiga uso, ona manundu kichwani..not!!

  • @boniphacetv739
    @boniphacetv739 6 лет назад +1

    Wanaume wa Dar kwa umbea daah

  • @thomasnyemba4367
    @thomasnyemba4367 6 лет назад

    Eet kama uyoga daaaaaah nacheka sanaaa

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 6 лет назад +1

    Huo mgahawa uko wapi? Natamani kuja kuonja pishi la shishi

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 6 лет назад

    Shishi haifai kula tonge na maji kunywa maji nusu saa baada ya chakula.

  • @diamondplatinum4466
    @diamondplatinum4466 6 лет назад +3

    MME MWENZANGU😂😂😂

  • @satushin4516
    @satushin4516 6 лет назад

    Ustaraabu hamna mbele ya chakula talk abt kutahuriwa,
    Kila mazungimzo na mahali pake..

  • @manawaaporinary9635
    @manawaaporinary9635 6 лет назад

    Noma sana

  • @remmyremmy5560
    @remmyremmy5560 6 лет назад

    We fala mbona huli ugali ...unakula kuku tuu😂😂😂

  • @ramadhankingumbwa5348
    @ramadhankingumbwa5348 6 лет назад

    nambona hujamuuliza yeye shishiii
    aliye mtoa B na aliye mzalisha kwake nani awezii kumsahaauuuu🚴🚴🚴

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 6 лет назад

      Ramadhan Kingumbwa
      Mfatilie #Shishi utapata majibu, aliyemtoa B ndoalieye mzalisha 1st🤗🤗

  • @nelsonmsewa8385
    @nelsonmsewa8385 6 лет назад

    aniiii nyie nawapendaaaa

  • @emmanuelagustino513
    @emmanuelagustino513 6 лет назад +3

    idriss ww ni munoma 😀😀😀

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 лет назад

    mke wa mtu kweli wafanya maongez ya kipuz km hv !?