RAIS WA WANAFIKI DUNIANI NI ABDALLAH/ SHEIKH KIPOZEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 33

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110 2 года назад

    Jazakallahu khaira ya sheikh

  • @alisaleh2507
    @alisaleh2507 2 года назад

    ALLAH AKULIPE KHERI

  • @saidkibwana9207
    @saidkibwana9207 2 года назад

    Mashallah

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 2 года назад

    Huyu sijui Visa vyake anatoa wapi maana wanafiki tokea wakati wa nabii nuh walikuwepo ss yy anatuambia Abdallah ni mnafik wa kwanza dah mtihani kweli

    • @abdirahmanatosh151
      @abdirahmanatosh151 2 года назад

      Waa kwanza waa uma huu waa mtume muhamad saw ndio ana maanisha

    • @mwinyikadhi2870
      @mwinyikadhi2870 2 года назад

      Cc tunamuongelea . mtume Muhammad huyo Nuhu Zama zake sio zetu

    • @sahiyaali4466
      @sahiyaali4466 Год назад

      Hajakosea yupo sahihi mkuu wa wanafiki ni Abdullah bin salul

  • @georgemark6874
    @georgemark6874 Год назад

    Dulla kama Abdallah 😂

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 2 года назад

    Mnafki wa kwanza kumbe muslam

    • @hameedhumayd8979
      @hameedhumayd8979 2 года назад +1

      Mnafiki ni anaeficha ukafir na anadhihirisha uislamu
      Mnafiki sio muislam, hujiingiza katika waislam kwa ajil ya kuwachunguza na kuwafanyia fitina

    • @ernestkatyega5781
      @ernestkatyega5781 2 года назад

      @@hameedhumayd8979 umepanic shekh

    • @hamynas
      @hamynas 2 года назад

      @@ernestkatyega5781 actually omar ni katika hao wanafiki. na sababu hudhaifa alipewa majina na kuambiwa ni siri ni kwa sababu majina hayo yanawahusu vigogo waliokua wakijinadi kuwa ni makomredi wa dini ya kiislamu na walikua wana ushawishi mkubwa katika jamii.
      omari alikua anajua jina lake lipo ila hudhaifa alitimiza wajibu wake wa kukaa na siri hiyo mpaka mwisho nda ndiyo maana aliaminiwa kupewa majina hayo

    • @suleimanhamad9479
      @suleimanhamad9479 2 года назад

      Uislam sio jina so usihadaike na jina Abdalla. Mnafik ni mtu anayedhirisha uislam na kuficha ukafiri, yaani anajifanya muislam kumbe sio muislam

    • @alhimnamussasaid3619
      @alhimnamussasaid3619 2 года назад

      @@hamynas acha ujinga omar hakua mnaafik asinge bashiriwa pepo na mtume