Utafeli Forex Trading Kama Hujatambua Haya | full time trader?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 2,1 тыс.

  • @m.shamis
    @m.shamis 3 месяца назад +106

    Forex ni Biashara kama biashara nyengine, inahitaji muda wa kujifunza na mikakati madhubuti ili kuweza kuona faida yake

  • @JacksonFabian-df6nj
    @JacksonFabian-df6nj 3 месяца назад +45

    Ni kweli

    • @intelligencefx
      @intelligencefx  3 месяца назад +4

      Ahsante🤝🤝

    • @JacksonFabian-df6nj
      @JacksonFabian-df6nj 3 месяца назад +4

      Nilicho jifunza nikwamba mafanikio hayaji papo kwa papo hasa ya forex nikanachoitajika ni uvumilivu na kujitoa kufanya kitu then baadae utaona matokeo mazuri

    • @jacksonfabian3051
      @jacksonfabian3051 3 месяца назад

      Ni kwel kak

    • @Emmanuel-c3q4p
      @Emmanuel-c3q4p 3 месяца назад

      Uvumilivu muhimu

    • @Emmanuel-c3q4p
      @Emmanuel-c3q4p 3 месяца назад

      ​@@JacksonFabian-df6njuvumilivu muhimu

  • @_pogba_2020
    @_pogba_2020 3 месяца назад +47

    Nimejifunza kweny hii video kwamba forex trading au biashara yoyote ile inahitaji commitment, consistency and experience na nitaifanyia kaz kwa kuepuka comparison with other people. I will stay on my lane until i made it

  • @CaptainAlly-v6q
    @CaptainAlly-v6q 3 месяца назад +36

    Kak nikwmba maisha ya sasa tunapaswa kupambana na kutokukurupuka hasahasa forex

  • @GloseDesmond-f7y
    @GloseDesmond-f7y 3 месяца назад +4

    Forex trading is risky, but watching this video was helpful

  • @JulianaJoseph-tb5cg
    @JulianaJoseph-tb5cg 3 месяца назад +20

    Nmejifunza usiweke mayai yote kwenye mfuko mmoja
    Jifunze kuwa mbele ya muda be creative,tumia fursa na usichague kazi kama kijana
    Invest in yourself na mwisho kabisa usisahau malengo yako kama fx trader💪
    Usipojisaidia hakuna wa kukusaidia

    • @ChristineMtui
      @ChristineMtui 3 месяца назад +1

      Pia consistency is the key👌👏

    • @careyRodgers
      @careyRodgers 3 месяца назад +1

      Mambo mazuri yanahitaji muda

    • @NiwaellyFashions
      @NiwaellyFashions 3 месяца назад +1

      Kweli usitegemee chanzo kimoja cha mapato

    • @esteresther9164
      @esteresther9164 3 месяца назад +1

      Mike amemaliza yote kuwa na longterm vision n muhimu sana

    • @MuddyMnasha
      @MuddyMnasha 3 месяца назад +1

      Jicho lq opportunity ni la muhimu mno sema tunachkulia poa

  • @nicodemmgalla2996
    @nicodemmgalla2996 3 месяца назад +21

    Big lesson nimeipata ni kwamba fx trading ni process na sio biashara ya kulala masikini na kuamka tajiri inahitaji commitment, discipline with consistency. So ili kufanikiwa kwenye hili ni lazima ni sacrifice mambo yasiyo na ulazima kwangu ili nipate muda wa kutosha wa kujifunza zaidi.

  • @BlessedInnocent03
    @BlessedInnocent03 3 месяца назад +5

    I think it's all about setting trading plans and follow it consistently

  • @stevenswai4639
    @stevenswai4639 Месяц назад +1

    Thank you so much IFX kwa elimu nzuri mnayotoa. Actually mnatoa vitu potential mno, i will make sure nafuatilia series zote za video zenu na kuwashirikisha watu wengineo.

  • @4i6Buzz
    @4i6Buzz 3 месяца назад +2

    As Members in a video says, the big deal or a big point to be a full time trader is having this things and if someone thinking like it's not, he/she I'll always end up being a market slaver;
    INVESTMENT ON SKILLS
    INVESTMENT ON TIME FOR WHAT YOU DOING AND
    HAVING STRONG PSYCHOLOGY.
    That's what I got on that matter. 💪💪💪
    very very realistic.

  • @JamilaIsmail-jf8zi
    @JamilaIsmail-jf8zi 3 месяца назад +6

    Well said Mike!! Hii video kwa mtu alieangalia kwaajil ya kujifunza basi kaondoka na vitu vingi sana vyenye tija kama:
    1:Mafanikio hayaji kirahisi ni lazima uyasotee
    2:Ili ufanikiwe jukumu la wewe kufanikiwa ni lipo mikononi mwako tusijenge excuse za kutia huruma kama kweli unahitaji kufanikiwa ni lazima ukomae
    3: kufanikiwa kwenye biashara yeyote apart from Forex ni lazima ujicommit na uwe na discipline na hicho unachokifanya hata kama kidogo ili siku kitakapokua kikubwa uwe na enough disciplne to keep it.
    May we reach our goalz🙏

    • @dxhndc
      @dxhndc 3 месяца назад

      Absolutely! It's a crucial mindset unahitaji pia to keep up.

    • @davekibuti1064
      @davekibuti1064 3 месяца назад

      Indeed 🫡👊🏽👊🏽

    • @davekibuti1064
      @davekibuti1064 3 месяца назад

      Indeed 🫡👊🏽👊🏽

    • @JamesMchomvu-s7l
      @JamesMchomvu-s7l 3 месяца назад

      It’s so damn well said 🫡

    • @lydiamdachi1392
      @lydiamdachi1392 3 месяца назад

      Well said commitment,respect its a most important thing in addition you've to trust yourself first💪n be strong

  • @Generation_Media
    @Generation_Media 3 месяца назад +3

    Knowledge,Patient,consistency and time is key to generate good trading career

  • @Bernardkim-pk6qp
    @Bernardkim-pk6qp 3 месяца назад +5

    Kikubwa nilichojifunza hapo ni
    1.nini maana ya full time trader, beginners wengi tunaamini kuwa kukaa na chart siku nzima ndo chance kubwa ya kupata profits kweny market.
    2.biashara hii inahitaji almost uwe na back up ya kifedha mara nyingi inakuwa ni msaada sana.
    Kupitia ubunifu wako wa kiakili na fikra pata opportunities zinazokuzunguka kutimiza hilo
    3.pia knowledge ni muhimu kuliko execution. Coz wengi tunaamini kupata knowlegde kutoka youtube ambapo(ku strive kivyakovyako😅) ambacho ni kweli tunapata ila sio quality ile ambayo inahitajika. Suala sio mentor ila ni wapi utapata quality knowledge

  • @BahatyIsmael
    @BahatyIsmael 3 месяца назад +2

    Binafsi nimejifunza vitu hivii
    1. Mafanikio lazima upambane kuyapata
    2.discipline kwenye biashara ni kitu cha msingi sana jifunze kuzingatia
    3.invest in knowledge kwasababu ndio key ya mafanikio kwenye biashara yoyote ile
    4.principal hizi zinaweza kuwa applied kwenye biashara yoyote ile
    IMPLEMENTATION NI KUYAFANYA HAYO
    🙏🙏

  • @salimsaid7513
    @salimsaid7513 3 месяца назад +1

    One day I'm gonna make it with FX in shaa Allah save this and I will get back to you sir you give me spirit today 📌📌📌📌

  • @Godlovethe2nd
    @Godlovethe2nd 3 месяца назад +12

    Where there is a will there is a way📌
    Persistence and consistency is key whilst building the required mindset to elevate.🙏🏾

  • @Leelyanga
    @Leelyanga 3 месяца назад +6

    Reality is quite disappointing, for whatever you do, don’t forget to ponder the question "who are you and what makes you different?"…as trader we often overlook this question tunakua na series of unrealistic expectations, tunakua na this mentality ya ku-short things ili upate matokeo ya haraka na kusahau kua tuna-think on emotions mara kingi na ku-recover from emotional pain sio kitu rahisi ni very traumatizing..nam-quote musk alishawai sema kama unachotaka kufanya ni kinaumuhimu sana kifanye ata kama uwezekano wa kukifanikisha ni mdogo pambaniaaa 😂😂 siku ingine nitaji-quote na mie
    #cheersifx

  • @Ebenezer112-z1g
    @Ebenezer112-z1g 3 месяца назад +5

    Ila mike ushaacha vaa vibukta

  • @nasramussa6021
    @nasramussa6021 3 месяца назад +2

    Nimependa namna gani unamuamko wa kibiashara big up dada ummy😘

  • @RowlandIchiechiek-tb4kt
    @RowlandIchiechiek-tb4kt 3 месяца назад +2

    Wale scalper gonga like hapa tuguane

  • @Respecthumanworld
    @Respecthumanworld 3 месяца назад +7

    Experiences and stories of the hard journey 🙌🏼

    • @HemedHumud
      @HemedHumud 3 месяца назад

      Nimeona bro hawa jamaa wapo vizuri

    • @HemedHumud
      @HemedHumud 3 месяца назад

      👍👍

    • @Respecthumanworld
      @Respecthumanworld 3 месяца назад

      @@HemedHumud Sasa kama hivyo mm sifanyi mentorship unahitaji kujifunza nakushauri jiunge na team yao hawa

    • @Respecthumanworld
      @Respecthumanworld 3 месяца назад

      @@HemedHumud 🤜🏼🤛🏼

    • @ashahemed9610
      @ashahemed9610 3 месяца назад

      ❤❤

  • @dawaassalafiyaahtz4785
    @dawaassalafiyaahtz4785 3 месяца назад +4

    great content💥

  • @Laurence26r
    @Laurence26r 3 месяца назад +22

    Apo bro Mike umeongea point ya kutumia your brain how play with opportunities on get source of income kwa sisi bigginer in the game

    • @LjSpiderman-l7b
      @LjSpiderman-l7b 3 месяца назад +1

      Kwel kbs bro Mike kanena 🙏🙏

    • @Frowiny
      @Frowiny 3 месяца назад +1

      Mike tawire ❤❤

    • @SilverRtid
      @SilverRtid 3 месяца назад +1

      Big bro Mike ata bro Amry kanena pia❤

    • @pantaloons-g8i
      @pantaloons-g8i 3 месяца назад +1

      Sema nn wote na content bro😊😊

    • @Dejavu-n1q
      @Dejavu-n1q 3 месяца назад +1

      Aliyeuliza swal nae awe maua yake coz amerepresent wengi wetu nikiwemo

  • @elvismaisi5172
    @elvismaisi5172 3 месяца назад +2

    I believe kila trader have a story to tell in her/her journey
    But this inspires to move on and not to give up 💪

  • @NnejiMaryann-ld4ty
    @NnejiMaryann-ld4ty 3 месяца назад

    I have always love to know more about forex, I'm glad I bumped into this video.

  • @Respecthumanworld
    @Respecthumanworld 3 месяца назад +3

    NIMEJIFUNZA HAKUNA KITU RAHISI KATIKA MAISHA
    HESHIMU KILA UNACHOKIFANYA TULIZA AKILI YAKO JENGA DISCIPLINE KWA KILA KITU AMA KAZI UNAYOIFANYA
    LEO UNA KAZI NDOGO USIIDHARAU ITUMIE IKUVUSHE HAPA NA PALE NA PIA USIKAE NYUMA FUNGUA AKILI TAZAMA FURSA NYENGINE TOFAUTI HASWA FURSA ZINAZOENDANA NA GENERATION YA WAKATI HUU

  • @petrosakila-dd2xi
    @petrosakila-dd2xi 3 месяца назад +3

    Forex trading, Ni safari ambayo inahitaji uwe committed sana kwasababu ina ups/down nyingi mno ili kufanikisha hilo ni lazima uwe mvumilivu katika safari hii kwasababu matokeo yake yanahitaji muda mwingi wa kutafta maarifa sahihi, Kwa upande wangu nitafanyia kazi Jambo la kwanza ni kuhakikisha napata maarifa sahihi kuhusu hii biashara lakini jambo la pili ni kuhakikisha najitoa sana ili kuwa succesful trader coz everything is possible!!

  • @Ck_world-global
    @Ck_world-global 3 месяца назад +6

    Kwenye hii video nimejifunza swala la commitment , consistency, issue ya mindset, kufanya maamuzi yenye impact na pesa yako, issue ya preferences, swala la risk taking na risk reward ratios.

    • @Ck_world-global
      @Ck_world-global 3 месяца назад +1

      Na pia gharama ya the whole process ni better kuzingatia.

    • @Ck_world-global
      @Ck_world-global 3 месяца назад +1

      Na namna ya kufanyia kazi humu ni kudeal na mindset niliyinayo na kubalidi perception niliojitengenezea kuhusu Forex

    • @K_Global-kg
      @K_Global-kg 3 месяца назад +1

      Nakubaliana na wewe🫵🏾

    • @Ai_Fx
      @Ai_Fx 3 месяца назад +1

      Umekuwa serious na comment kias iki 😂

    • @Ai_Fx
      @Ai_Fx 3 месяца назад +1

      @@Ck_world-global by the way umetake note facts

  • @AugustinoMtweve-w8y
    @AugustinoMtweve-w8y 3 месяца назад +2

    kwanza ili kuingia kweny forex au biashara yoyote inahitaji big research and commitment and and consistency and know wty is your goal

  • @PatriciaSammy-b3x
    @PatriciaSammy-b3x 3 месяца назад

    Kweli kabisa maamuzi yanahitaji muda sahihi kabisa na uvumilivu ukiwepo pia@Godson kashera

  • @THENEXTGEN_forexacademy
    @THENEXTGEN_forexacademy 3 месяца назад +3

    Kwanza forex is not about being right or wrong is about seeing market in probabilities lakini forex is business like other business. Niliyio jifunza 1. Risk appetite kabla hujafanya maamuzi ya kujiingiza kwenye forex make sure risk appetite yako inaendaa na biashara husika
    2. Cheap is expensive, before hujaingia kwenye biashara yoyote angalia kile unacholipia Kama kinaendana na thanani utakayo ipata
    3.time and priorities, ulikua una biashara nying ambazo zinakuitaji ww Kwa 100% lakini uliweza kuzifanya zote ontime na kila kazi ukafanya kwa umakini #cha mwisho nikwamba ukiwa kwenye boti hata uwe na usingizi vipi ili ukiskia naodha anasema chukueni maboya boti imemshinda huwezi kuchagua usingizi mbele ya kifo na ivo ndo namna ya vipaumbele vinavofanya kazi😅.

  • @Risefelix
    @Risefelix 3 месяца назад +3

    Nikweli Kwamba Intelligence Fx ni Jukwaa Ambalo Kama Trader Anataka Kufanikiwa Hasa Hapa Tanzania Basi Hili Jukwaa Ni Sahihi Sana. Binafsi Kila Nikisikikiliza Naelewa Namna Gani Uwe Na Mindset Yenye Kuleta Matokeo Chanya . Binafsi Mindset Ninanayo Ipata Ninaitumia Katika Mazingira Ya Kila Siku Na Ninaona Matokeo Mental Game Ni Ngumu Mno

  • @Brian_techology
    @Brian_techology 3 месяца назад +10

    Tupambane kusakaa maarifaa pesa zinakuja

    • @Maudambwi
      @Maudambwi 3 месяца назад +4

      Maarifa ni kitu cha msingi

    • @Ebenezer112-z1g
      @Ebenezer112-z1g 3 месяца назад +4

      Mbona saa hio retationship hatuion

    • @Ebenezer112-z1g
      @Ebenezer112-z1g 3 месяца назад +4

      Hatujakataaa msingi ndo nguzo ya kutrade ila io relationship sasa😂

    • @BrianSimba-v7y
      @BrianSimba-v7y 3 месяца назад +4

      Ila jamaa kanena freshi tusiangalie matokeo ya harakaaa tuangalie namna ya kupata matokeo ya uhakika

    • @KunzuJack
      @KunzuJack 3 месяца назад +4

      Ifike mahala na mm nijiunge na hii jamii kaka jamii haina mbambamba

  • @ShamimHossen-o3w
    @ShamimHossen-o3w 3 месяца назад +1

    The video is very nice I can learn a lot if there is a video like this I have learned a lot from the video

  • @YunusMali-pd1xk
    @YunusMali-pd1xk 3 месяца назад +1

    Vitu vngi vlivyoongelew kwenye hii video ni vya kweli kabsa na vpo kwenye uhalisia kbisa.
    God bless you Mike

  • @MaxEmpire13
    @MaxEmpire13 3 месяца назад +4

    Nimejifunza kuto chukulia pow biashara zingine japo fx ndo chaguo kuu

    • @SkylandMovies
      @SkylandMovies 3 месяца назад +1

      really you dont need to under rate what youve doing before

    • @Ramadhan-l1e
      @Ramadhan-l1e 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂kwa mara ya kwanza kupata profit ya 500$ nikaacha kazi baada ya hapo yalonikuta mungu anajua

    • @MaxEmpire13
      @MaxEmpire13 3 месяца назад

      WTF😂😂😂😂😂​@@Ramadhan-l1e

  • @agathavieira-os4qc
    @agathavieira-os4qc 3 месяца назад

    What great content! You explained so clearly and in detail about Forex trading Utafeli Kama Hujatambua Haya ,Thanks for the tutorial!!!

  • @alexmwaniki1069
    @alexmwaniki1069 3 месяца назад

    Well explained. Invest what you can afford to lose.

  • @Zannatul67
    @Zannatul67 3 месяца назад

    This video is one of the best important & helpful video. We need more this type video. Thank you

  • @lionsontv946
    @lionsontv946 3 месяца назад +1

    Well said...
    Knowledge/Maarifa sahihi ...Ni Muhimu sana ili Kuchomoka kwenye Trading/business..Piaa inahitaji Kujitoaa na Uvumilivu sana Mpaka kitu kitokeee...Unaweza kukata Tamaa .but mafanikio yanahitaji kujitoaaa❤🎉🎉

  • @Awaiskhan-b1w
    @Awaiskhan-b1w 3 месяца назад

    I think that in today's life,we have to fight against panicking,especially forex❤❤❤

  • @KelvinMkojera
    @KelvinMkojera 3 месяца назад +1

    Forex trading life inaweza kuwa na ups and downs, ikitegemea discipline yako na risk management. Watu wanapaswa kuwa na financial literacy ya kutosha kabla ya kuanza. Mara nyingi watu hupoteza pesa kwa sababu ya emotional trading. Hivyo, ni muhimu kuweka strategies thabiti, kufuatilia market trends, na kuwa na subira ili kufanikiwa katika safari ya forex trading.

  • @fatahsuleiman3774
    @fatahsuleiman3774 3 месяца назад

    Towards success, you have to be positive minded 👊

  • @hasoraso
    @hasoraso 3 месяца назад +1

    Very nice project

  • @Shai24-y8j
    @Shai24-y8j 3 месяца назад

    I love this video, this help me a lot about forex trading.

  • @derickdidacus6100
    @derickdidacus6100 3 месяца назад

    Ni kweli forex inahitaji right mental paychology inahitaj patience, consistency na sacrifice na unahitaji usiwe na tamaa kwenye hii biashara

  • @judex97
    @judex97 3 месяца назад

    Very good information, it's great. I support every word.This worked a lot for me to make the right decision!

  • @chengumaster
    @chengumaster 3 месяца назад +1

    Forex trading needs readiness one love folex

  • @yudageorge1183
    @yudageorge1183 3 месяца назад

    TRUE....... BROTHERS THE DISTANCE BTN DREAMS AND REALITY IS ACTION

  • @rsrabbyrs6821
    @rsrabbyrs6821 3 месяца назад

    This is really a very useful video. You have clearly explained the facts under this topic. Thank you very much for presenting such an important video.

  • @ankitachakrabortty3371
    @ankitachakrabortty3371 3 месяца назад

    Very good video...very useful and interesting video..i really like it.. thanks for sharing this video..good job

  • @johnsonjoshua6707
    @johnsonjoshua6707 Месяц назад

    Good job Vijana....safi sana!

  • @CryptoHandlerFI
    @CryptoHandlerFI 3 месяца назад +2

    See you to the top...

  • @JamesManang-mx1lp
    @JamesManang-mx1lp 3 месяца назад +1

    When you have too much expectations you're setting yourself up for disappointments

  • @mathiasmsami-v6k
    @mathiasmsami-v6k 3 месяца назад

    Nimejifunza kitu kizurii apa kwanza forex is expensive so inahitajii pesa so ni vizurii kutafuta chanzo Cha kipato kiwe kama ngazii katika kufikia malengo ya forex 👍 brother Michael umepambana sana kaka

  • @kangsuprichanel1564
    @kangsuprichanel1564 3 месяца назад

    I like forex trading but I lose a lot of money, good video for me

  • @musudas5484
    @musudas5484 3 месяца назад

    It is an amazing video. It contains valuable and useful information
    It clearly defines everything

  • @enoquequepha1552
    @enoquequepha1552 3 месяца назад +1

    Watching from Kenya... enjoyed the session ❤❤

  • @ahmedmohamed-gb4pt
    @ahmedmohamed-gb4pt 3 месяца назад

    what a best tutorial video keep going

  • @Familyu6
    @Familyu6 3 месяца назад

    You share this at the perfect time. Thank you, I need the info on this topic.

  • @ChaelesPyegon
    @ChaelesPyegon 3 месяца назад

    Such an excellent Vedio.its truly educational and informative on way of generating income.

  • @yahmazy5863
    @yahmazy5863 3 месяца назад

    Trade is like ladder, going up and down you to be conscious step by step

  • @abforexpro3303
    @abforexpro3303 3 месяца назад

    Jambo muhimu zaidi katika biashara ni mtazamo wako wa pesa. Na udhibiti wa hisia. Uchambuzi wa kiufundi ni muhimu, lakini sio kila kitu GOOB JOB

  • @FavourOfuegbu-fr3tz
    @FavourOfuegbu-fr3tz 3 месяца назад

    To earn in forex you really need to be a risk taker and be patient,that's something I'm still trying to learn

  • @frankjoseph7109
    @frankjoseph7109 3 месяца назад

    One of the best video 🔥Well said brother Mike , forex need time to be profitable, all in all is the game of mindset especially for beginners

  • @Maitreyee-y4n
    @Maitreyee-y4n 3 месяца назад

    This is informative video, absolutely amazing, thanks for sharing this video with us.

  • @user-mj5kl8gy5c
    @user-mj5kl8gy5c 3 месяца назад

    It is a very good video thanks friend for that video

  • @brokedemo1965
    @brokedemo1965 3 месяца назад

    Sijawah kuwa mmoja wa member wa intelligencefx but nìmejifunza haya
    1.huitaji capital to make capital unahitaji brain na hii ni kwa aspects zote za maisha
    2.visiting chart should be on a everyday do to list
    3. Provide value kwenye opportunity
    4.invest muda on different things
    Lastly I really wish kuwa mmoja kati ya members wa intelligent fx one day

  • @kingmakertz
    @kingmakertz 3 месяца назад

    Very informative. Kudos sana for the content!

  • @QueenJoseph-v3w
    @QueenJoseph-v3w 3 месяца назад +1

    In forex, many people enter with the mindset of achieving quick success, expecting to see results within just one month. However, this is not realistic. Trading requires patience, time sacrifice, and a high level of consistency. Before starting any business, it’s essential to research what is needed to grow and achieve your business goals. In this video, I’ve gained new insights on the importance of having the right mindset and dedication for long-term success in forex trading.

  • @FrankFidelis-t8f
    @FrankFidelis-t8f 3 месяца назад

    It's good advice kiukwel nakubal

  • @djamelbouchaiba7205
    @djamelbouchaiba7205 3 месяца назад

    Very helpful video. Thanks for sharing

  • @Onetgen
    @Onetgen 3 месяца назад

    Nilichojifunza kwenye maisha ili uweze kufanikiwa ni lazima uwe risk taker , pia usichague cha kufanya maanake kila kitu ni fursa inategemea wewe una tafsiri vipi , na kwenye maisha pia akuna mtu wa kupigania ndoto zako isipo kua wewe mwenyewe ,
    Pia kwenye biashara yoyote lazima uwe na maarifa, ujifunze kila wakati bila kujali hali yako ulio nayo ya uchumi pia
    Consistent, destination, focus , dispiline, vision na bila kukata tamaa ndivyo vitakavyokupa mafanikio

  • @RazakiShomari
    @RazakiShomari 2 месяца назад

    Ni kweli Mik

  • @christalized
    @christalized 3 месяца назад

    Nilichojifunza ni;
    1. Patience is key, you need to invest your time to learn any business, hata kama mtu akikupa experience yake, kuna efforts behind
    2. Small losses accumulate to large expenses
    3. Diversify your business portfolio
    4. Not all social media posts reflect reality
    5. Signals business might ne emotionally stressing
    6. Business opportunities are there, depends on our daring and our brain use

  • @akleshyadav6920
    @akleshyadav6920 3 месяца назад +1

    Risk appetite kabla hujafanya maamuzi ya kujiingiza kwenye forex make sure risk appetite yako inaendaa na biashara husika

  • @Dreamviewpodcast
    @Dreamviewpodcast 3 месяца назад

    Umegusa mambo ya msingi sana brother.

  • @centinoyonah56
    @centinoyonah56 3 месяца назад +2

    1.Forex inahitaji mda and lazima ulipw gharama kufikia mafanikio unayoyataka.
    2Tumia biashara nyingine as steping stone usijiweke mwenyewe kwenye box while thing aziko okay financially.

  • @felicianfelician1922
    @felicianfelician1922 3 месяца назад

    ety wanachukua sifuri zao😂😂😂.....but a lot of info💯💯

  • @indranighosh-gw3zm
    @indranighosh-gw3zm 3 месяца назад

    Uhakika bro

  • @AndersonLangat-e9u
    @AndersonLangat-e9u 3 месяца назад

    Ni ukweli kabisa kiongozi

  • @shemulkabir8123
    @shemulkabir8123 3 месяца назад

    good video. very useful and interesting video.... Thanks a lot for this service that you are doing..

  • @jasonclacks229
    @jasonclacks229 3 месяца назад

    Thank you so much for sharing this informations with us

  • @TuzeelaMemon
    @TuzeelaMemon 3 месяца назад +1

    Sure

  • @RupiSing
    @RupiSing 3 месяца назад

    Thanks for sharing this video...thank u so much

  • @ibrahimshita0122
    @ibrahimshita0122 3 месяца назад +1

    Nikwel kabisa brooo

  • @SumaiyaSultana-xo5lu
    @SumaiyaSultana-xo5lu 3 месяца назад

    This video is very helpful, I love this video

  • @Nuwan-sk3ee
    @Nuwan-sk3ee 3 месяца назад

    This video is a very valuable video. Thank you

  • @MdHumaiyun-g2s
    @MdHumaiyun-g2s 3 месяца назад

    your video is amazing Very helpful thanks sharing

  • @FarajaWilliam-l5q
    @FarajaWilliam-l5q 3 месяца назад +1

    Wale scalper gonga like hapa tujuane😂

  • @moumitapaul6179
    @moumitapaul6179 3 месяца назад

    Very helpful video.Thanks for sharing.

  • @nurybuyah3743
    @nurybuyah3743 3 месяца назад

    To be honest,i know nothing about forex trading,but what i learned trading needs to be invested kiakili zaidy,na kifikra.....patient is the first priority...

  • @mrcarter9860
    @mrcarter9860 3 месяца назад +1

    Hìi video ni muhimu sana kwenye safari hii📌

  • @allen9k
    @allen9k 3 месяца назад

    I learne a lot from you guys since you drop first video on you tube , i even save it , i keep repeating when I'm studying fx, ifx , guys your so different things i fail previous on trad , now i can manage on 50%.. because of you guys appreciate so much big up , amsary and mike ...

  • @Agathe-dk8ts
    @Agathe-dk8ts 3 месяца назад

    This video is very nice .Thaanks for sharing to us

  • @_Jayreally1
    @_Jayreally1 2 месяца назад

    Nimekuwa nikifatilia sana majukwaa kazaa ya forex ila hili jukwaa limekuwa likinipa elimu na hasira ya kuendelea kujifunza zaidi. Nimezingatia vitu vingi sana kwenye jukwaa naendelea kujipa muda naamini nitakuwa na uelewa mkunwa sana kupitia jukwaa hili

  • @Hasoraso-nc5gu
    @Hasoraso-nc5gu 3 месяца назад

    Very nice 😊

  • @GodsonKashera
    @GodsonKashera 3 месяца назад +2

    Maamuzi sahihi,muda,kujitoa bila kuchoka,uvumilivu ndo vitu vya msingi saana kwenye FOREX...

  • @PrabhatikaSarker
    @PrabhatikaSarker 3 месяца назад

    This video is wonderful.

  • @BijoyJana750
    @BijoyJana750 3 месяца назад

    Nakubaliana na wewe