Unaeza enda Mbinguni Kuona Makosa Yako - Story Za Jaba
HTML-код
- Опубликовано: 13 сен 2024
- Like and follow my FaceBook page via
/ vinniebaite
Follow me on Instagram via
/ vinniebaite
Follow me on Twitter via
/ vinniebaite
#VinnieBaite #Subscribe #AkiliMtuWangu
😂😂😂💯 the real Vinnie Baite who we knew from before is back we are happy sir we love this 😂
Likes for the "Hio ni kweli" guy😂😂😂
Iyo ni ukweli😂
Hyo niukweli pia mm nilijarbu 😅
Huyo jamaa wa 'hio ni ukweli' ameweza kabisaaaa😂😂😂😂😂
Ako sawa kabisa, haezielewa
Point za Vinnie lazima ukue mjanja ndo uelewe....
Coz ukae chini ufikirie chenye amesema..akona point😂
😂😂😂😂lakini kuna wazimu duniani kweli I can't wait to see this conversation ya mbinguni walai
My favorite content creator... hizo akili zinafaa zinyolewe ju zimekuwa mingi😂😂
Huyu jamaa wa kuandika hakuna kitu atawai kataa😂😂 ata kuandika hiyo yakumsaidia last year but one.. But wisdom in you Vinnie!!😂😂😂
Sana 😂😂😂
What a starter! Shell_fish, Total n Tosha in line, bigup Vinnie 👌👌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣..... Zidi kutupa burudani brother @vinniebaite. Let's show some love, Kama video imekubamba gonga like
Mamboz
And the moses‘ tablet joke wins the day for days 😅
Powerful content creator
😂😂😂 mambo n matatu binguni ama ukufe Jaba hii n Kali Vinnie baite unachekesha saaana walai 😂😂😂 napenda saaana story za Jaba Leo ataenda
This guy is very brilliant, what an interesting story
Who noticed the guy was writing with the pen upside down 😂😂
😅😅
I also noticed that
Also Wanted to ask this 😂😂
,yeah even last episode😂😂😂😂
I noticed that😂😂
This guy is very wise,
Baite is back in full force😮😮😮😮
The guy seated on Vinnie's right zake hazishiki mbona😂😂
Hii ni kweli kabisaa 😂😂😂, I love you baite❤❤❤
huku ndo kwènyew tunataka tuwekee vitu kama iviii tunapenda story zako
To get his jokes you need to have a high iq ama zitakupita tu😅😅"sasa juu wewe unaishi kimbo unadhani uko na mafuta"took me to the floor🤣🤣🤣
Wachana nayo
@@mercymamboleo 😅
"hazina tyre,, zimewekwa ndio uone,,😂 " ~Baite Street Philosopher🔥
balenciaga guy lines zake zina hit hard 👏👏
Ndio nimetoka mbinguni kuuliza kama maombi yangu imefika thanks kwa pikipiki za stima 😂😂😂
endelea na hizi story za jaba, wewe na hio crew yako mnakuanga mmeweza sana🤣🤣
When we were young we used to belief that the athletics more so the Kalenjin wako na mbio ju magoti zao zilitolewa😂😂
😂😂😂😂too much wisdom from leaves😂😂
Bana
huyu jamaa anaandika notes pen ikiwa upside down😂😂😂
😂was looking for this comment
The guy with a book is always a vibe😅😅😅
masomo ya chekechea io
anaandika kalamu ikiangalia juu😅😅😅😅
Io ni ukweli 😂
Kana flow na itakusaidia last yr.akili kichwani mtu wangu. 😂😂😂
Elijah hakuenda heaven na horse bana..ilikua Chariot of fire 😂😂😂💯 t
Aty hiyo point itakusaidia last year 😂😂
Kanafloo😂😂😂 Vinnie we ni moto
Ety stima za loan iwezi beba watu wawill juu yaa? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Napenda hiyo flow👏👏
Wisdom will kill this man one day.....
Sasa huyu ndiye Vinnie baite tunajua sasa
Amazing..hiyo ni kweli 😂😂
Imetokaa...😂😂io ni investment 😂😂
This guy is always making me chuckle
Our most learned guy is writing with the pen inverted🤣🤣
Amazing ❤❤❤
"Ju ulipewa alone" is my catch word😅😂
Hawaitajii ujuzii wanaitaji usasa😂😂
Hiyo point itakusaidia last year 😅😅
Na baite nimekupea onyo ya mwisho contents tunazitaka kwa wingi nasikubembelezi tumia talent yako
So good and interesting Vinnie 👍👍👍👍👍
Who notice that Vinnie Baite was drinking the Coke while the bottle was closed... Hii Imeenda
Zii imetobolewa kwa funiko
Oh damn it. Taxii ya mchinese ni kubwa sana. Uko sure kesho ataweza kukula kitu? I mean the guy next tu mwenye amekalia mtungi. Punguza hiyo taxi jameni 😂
Tunargue juu ya muaka😂😂😂
Vinnie on top😂😂😂
The song for me🎶🎙️ Chocha za Vinnie Baite👯♂️💃 #Vinniecomedy
😂😂
@@leilasaraiThat songs hits nice....vibe
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌itakusaidia last year
Si uinclude ile ya ..."hauskiziiiii...... Inafaa uskizeee ndio upate moral lesson😂😂😂 kanaflow....... achana nayo😅😅😅😅😅 alafu unafukuza kila mtu😂😂
Itakusaidia last year
Has Anyone Noticed Vinnie Baite with one Stocking on one leg 😂😂😂
Andika hiyo itakusaidia last year 😂😂😢😢😅😅
Vinnie u wonna kill me..itakusadia last year😂😂
Lakini budaa, vaa socks ngine, ni kama umesahau moja😂
Meeeeehn 😂😂😂 pure talent u always gat over there. cracking ribs as usual 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
is the huezi elewa for me😂😂
Tuned
I love ❤❤ coz of his creativity
Walai imeweza♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥👊👊👊👊
Itakusaidia last year😂😂😂💔 aje sasa
Mnasumbuliana mwaka😂😂😂😂
Napenda hizi story
Kuwa...
vinnie nimsee genius sana..si ati nini
Huyu jamaa wa Hiyo ni kweli anakunywa maji na hayafunguliwa😂😂 cjui yako na wireless
So nice
Horse power😂😂
😂😂 I just wish to meet baited in real vile ni muongo haki
this guy who is always feeling anabebwa ufala.
_Watu wako Kimbo wasifikirie wako na mafuta😂😂_
Stori za jaba 2.0😂😂😂😂bila izi stori pale baze ni kumaanisha hakashiki 14:28 mjamaa alipigwa na butwaa "Alaaa"😂😂😂😂😂😂😂😂😂vinnie baite umeweza
Juu ya hizi story ju tunazitaka Sana . Uko na akili mingi
Ju Tulitaka tuandamane ju ya wewe kuacha hizi story
Aminia 🙏🙏
😂😂😂 zako zimeshika
Wow ❤
I'm that guy on the right amongst my friends, "lakini budaa..."
Ako dunia yake
Achana nayo huwezi elewa
Kalamu ya mwandishi inaangalia juu
😂😂😂😂😂nduthi ya stima inatumia token
Ati niliambiwa na flying squad. Hiyo ni kweli
V interesting. Keep it up guys
hii umeniua otherwise welcome back
Daah... appreciate sana baite
Nimekwama hapo kwa uyu wa kuadika 😂😂
Adi mm😂😂
Good one I love the background track music
You earned a subscriber from this video 😂😂
There's those two guys pointing the head 😂😂😂
Hio ni kweli!!
Huyo jamaaa anaandika kweli
Izi point zinaoana
the fuel station convo is dope
Vinnie baite nataka kolabo na wewe mwanangu nko mombasa nkipiga jaba langu pia mimi huwa nafikiria kama wewe 😂😂😂😂
The huyu ni ukweli guy😂😂
I LIKE THE CONFUSED GUY
😂😂😂😂 uwagaa baadad...pikipiki azina "“horny""usherati imepungua 😂😂🎉🎉🎉🎉
Akili mtu wangu😂😂
😂😂😂😂..... creativity 💯
Wah had pen inaandika ikiwa imefunikwa
Na nikifika pale mbinguni nijikute Niko kwa reception