Finished Roofing the house of poor Orphan Oroni Nyaundi.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии •

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 Год назад +9

    God's timing is perfect. Now the family can smile. Kindly kaka recognise the villagers there, they are good hearted, not seen such people especially Gusii before.

  • @eleginzaaaaa5030
    @eleginzaaaaa5030 Год назад +9

    Ameeen kaka never lack our tomorrow president

  • @damabosibori4637
    @damabosibori4637 Год назад +4

    Huyu mama aliona kumuona mbele ya watu ndio poa????ama ako na wivu 😮😮😮😮😮style up you shoshi kama uko na chuki na huyu mama hiyo sio njia ya kuambia mtu😢😢😢😢akuna mtu anapenda kua masikini unajipata... umenikela sana wewe mama na hiyo kiburi yako,,kaka may god bless you abundantly ambia huyo mama hawaje mdomo 😢😢

  • @hellenbochere4982
    @hellenbochere4982 Год назад +4

    Gaki kaka mbuya mono ase abaibori Bago Bari bakonyorete you have touched and healed so many souls be blessed❤

  • @ceccy6077
    @ceccy6077 Год назад +2

    Heri tungekua na upendo kama huu... Hii ni ishara ya upendo kwa ndugu na jamaa wanaoishi kwa umoja na upendo heri sisi wote tungeishi iv na majirani zetu.... Mungu tujalie upendo wa kweli kati yetu...... Ibada njema ikaonekane kwa matendo , maneno na mawazo yetu.... Kaka sungura nehema za bwana yesu kristo wingi wa huruma na pendo lake vikaambatane nawe na uzao wako wote ukabarikiwe ...... Heri mkono unaotoa maana umebarikiwa

  • @redemptorndemo3062
    @redemptorndemo3062 Год назад +2

    Umasikini jameni sasa mnamsomea nini surely😢😢😢😢😢😢😢

    • @damabosibori4637
      @damabosibori4637 Год назад

      😢😢😢😢😢😢😢😢nimesikia mbaya sana anamsomea kaa mwenye ako na chuki na yenye

    • @redemptorndemo3062
      @redemptorndemo3062 Год назад

      @@damabosibori4637 na Tena na sauti nashindwa ak c mtu angemkataza

    • @aliceisaac1332
      @aliceisaac1332 Год назад

      Huyo mama walai hajaongea Poa yaani akomosomera 😢😢

    • @redemptorndemo3062
      @redemptorndemo3062 Год назад

      @@aliceisaac1332 gaki amabera but kaka angemwambia tu acha kumsomea

  • @davidc.o.gitanga3403
    @davidc.o.gitanga3403 Год назад

    United we stand divided we fall. This is good to the kisii people, good example. Congratulations.

  • @vanekemu7314
    @vanekemu7314 Год назад +2

    I lack words to say gaky Kaka may God bless abundantly

  • @nathanontegi3222
    @nathanontegi3222 Год назад +5

    God bless you so much,the guy who identified this family never lack be blessed and for those who offered to support this family best of luck 🤞🙏🤞.

    • @jospinemokeira
      @jospinemokeira Год назад +2

      May God bless you Kaka abundantly

    • @rosemathayo5440
      @rosemathayo5440 Год назад +1

      Who told ni basacha ndio walitoa umeongea baya mamaa that’s not right at all

    • @nathanontegi3222
      @nathanontegi3222 Год назад +2

      @@rosemathayo5440 Mistakes are for human beings never worry if you contributed God is gonna to bless you,tenda wema nenda zako.

  • @evanske790
    @evanske790 Год назад +2

    Kaka next time we would like to see her husband and hear his opinion.

  • @janetnyanchera1252
    @janetnyanchera1252 Год назад +5

    Mama mbona uongee mbaya ivo kwni ww unaumwa.wacha madharau na roho mbaya It's GOD is will.

  • @estherayieni9131
    @estherayieni9131 Год назад +1

    Thank you Kaka but mama county has gone overboard to lecture the ophan ...she dd not deserve

  • @mirsinmonon66m89
    @mirsinmonon66m89 Год назад +2

    Next time ambia huyo mama achunge mdomo wake angemsomea kando. otherwise kaka ubarikiwe mpaka ushangae

  • @dorothykerubo5862
    @dorothykerubo5862 Год назад +1

    Ni kwaneema ya mungu God bless you more kaka

  • @sabinajoy2911
    @sabinajoy2911 Год назад +4

    Sorry to say this but please mwambie afanye family planning. Hao watoto ako nayo for now wametosha please unless u are rich enough to take care

  • @nyabokepassy5278
    @nyabokepassy5278 Год назад +2

    Huyo mama mbona anamgombanisha

  • @media1international279
    @media1international279 Год назад +1

    God is good! Kaka and everyone who who showed love be blessed abundantly.

  • @nyamwayanyamwaya9479
    @nyamwayanyamwaya9479 Год назад

    Pia mungu akukumbuke kwa unyonge wako brother 🙏

  • @norahmogiti6849
    @norahmogiti6849 Год назад

    Happy is the woman who bore you,God Bless you kaka

  • @winfridahkwamboka5562
    @winfridahkwamboka5562 Год назад

    Amen 🙏🙏🙏 Kaka never lack

  • @neza5980
    @neza5980 Год назад +1

    Thanks kaka but huyo mama akosea kidogo kumsemea mbele ya watu akimasaidia mtu usijingambe huyo mama no

  • @rehezirehezi8563
    @rehezirehezi8563 Год назад

    Amembiwa reality which is good,kei tata

  • @felixombati
    @felixombati Год назад

    Great work

  • @slynyams254
    @slynyams254 Год назад +1

    Very impressive work kaka ominto❤ be blessful always

  • @Nani-ww8yg
    @Nani-ww8yg Год назад +1

    Honestly huyu mama ako na wivu ya juu sana .mbona unamusomea ivo kwani ni mtoto wacha msdharau na ujiesimu

  • @enockmoseti90
    @enockmoseti90 Год назад +1

    Hongela kaka but so called mama county" aombe msamaha, akisema nyumba yake alistugle bila sapport ya mwanaume anamaanisha nini?alikua wapi huyo mama akinyeshewa?

  • @nancymoraa6085
    @nancymoraa6085 Год назад

    Good work kaka God bless 🙏🙏

  • @Esther-vk1uh
    @Esther-vk1uh Год назад

    May God bless everyone who supported kaka never lack be blessed for your good work

  • @spinicahakama4500
    @spinicahakama4500 Год назад +1

    Wow a happy to see this progress may God bless you 🙏🙏🙏💜🙏

  • @odiliaelangwe5435
    @odiliaelangwe5435 Год назад

    God is awesome and blessed those who did this beautiful job. 😍

  • @teresianyamiobo6027
    @teresianyamiobo6027 Год назад +1

    Congratulations 👏👏👏 for the good work may God bless you kaka🙏🙏

  • @Damakemmy254
    @Damakemmy254 Год назад

    Kaka God bless you and our team from USA may their pockets never lack❤

  • @dianakwamboka1918
    @dianakwamboka1918 Год назад

    Good work you never lack kaka may God bless you alot🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @georgesagwe6703
    @georgesagwe6703 Год назад +1

    Great work,keep going,never be tired to do good work

  • @dorisnyakerario2624
    @dorisnyakerario2624 Год назад

    Amen next kijana ongea tumuone❤❤❤❤

  • @calleng8495
    @calleng8495 Год назад +3

    Sijapenda vile unamsomea😢

    • @hylinenyangenyo6709
      @hylinenyangenyo6709 Год назад +1

      C poa kusomea MTU hivyo ako supposed kumuongelesha in a polite way

    • @redemptorndemo3062
      @redemptorndemo3062 Год назад +1

      Kumbe ata we umeona

    • @redemptorndemo3062
      @redemptorndemo3062 Год назад +1

      ​@@hylinenyangenyo6709 umasikini n mbaya
      Ak huyu mama ametulia yaani wanamsomea 😢

    • @rebeccaonyando7214
      @rebeccaonyando7214 Год назад +1

      Huyo mama ako na wivu mbaya. Hata kama alijijengea yake afai kusomea mwingine hivyo.

  • @beatricemogusu5525
    @beatricemogusu5525 Год назад

    Vmay God bless u Kaka

  • @stellabwari9077
    @stellabwari9077 Год назад

    Surely let God bless you for that kind heart.

  • @felistuskemunto3511
    @felistuskemunto3511 Год назад +1

    May you never lack 🙏🙏🙏

  • @fridahbosibori1458
    @fridahbosibori1458 Год назад +1

    God bless you so much continue with that spirit more and more blessings kaka ❤

  • @boslayogero8329
    @boslayogero8329 Год назад +1

    Mungu anatenda kikweli,but uyo mama hiyo nyumba hawec boma peke yake gak n kubwa na ako na watoi,watu wajitoke waurudie kutoka hapo sasa ajipange

  • @carolinenyangaresi
    @carolinenyangaresi Год назад +1

    Mungu Ni mwema

  • @DeeRaha01
    @DeeRaha01 Год назад

    Anen amen and thanks for a good job! But how i wish you could make it big like 36 iron sheets,ikuwe spacious ndani! Just an opinion.
    Asante sana kaka. Keep doing it! Blessings

  • @edinahkerubo6628
    @edinahkerubo6628 Год назад

    Well done 👏 stay blessed 🙏🏽

  • @gladyskerubo7804
    @gladyskerubo7804 Год назад

    Kaka be blessed

  • @geoffreymoranga522
    @geoffreymoranga522 Год назад

    Nothing to say Kaka. God bless you.....

  • @orokokemunto4769
    @orokokemunto4769 Год назад

    Wonderful 😊

  • @naomiapoko9404
    @naomiapoko9404 Год назад

    Never lack Kaka ❤❤

  • @dennisondieki2412
    @dennisondieki2412 Год назад

    Good work Kaka God bless you abundantly

  • @roseobara9091
    @roseobara9091 Год назад

    God bless your goodwork Kaka

  • @Callenkwamboka1204
    @Callenkwamboka1204 Год назад

    Kaka sungura God bless you

  • @Jackillyne
    @Jackillyne Год назад

    your tomorrow is great kaka❤

  • @perismatoke9240
    @perismatoke9240 Год назад

    God bless you kaka but huyo mama county amemsomea na wivu fulani. Kwani what will she do if she fails to kooma enyomba? First ako na mtoi mdogo anafaa kutake care na ni kwa raha zake atamaliza nyumba mos mos abanyakenyoro tari bonsi bakoigwa buya. Omwana bunoywo otabwati yanga konya agosekererwa nabanyakenyoro. Anyway let's surrender everything to God. Nyasae agosesenie omwana ominto.

  • @themesonditi5797
    @themesonditi5797 Год назад

    You are the best kaka be blessed

  • @zipporahnyaboke5846
    @zipporahnyaboke5846 Год назад

    Amen my God remember you brother kaka

  • @willfredrogena4323
    @willfredrogena4323 Год назад

    Be blessed kaka

  • @damag5498
    @damag5498 Год назад

    Good work,God bless you kaka sungura

  • @llya951
    @llya951 Год назад

    Good work kakasungura

  • @MoraaJudy-ee8ey
    @MoraaJudy-ee8ey Год назад

    Good work kaka God bless you so much

  • @dominicbosire8130
    @dominicbosire8130 Год назад

    Good work kaka be blessed

  • @loicerogito5781
    @loicerogito5781 Год назад

    Thanks from those churches ❤❤

  • @veronicahnyakerario7997
    @veronicahnyakerario7997 Год назад

    Amen Amen Mungu ni mzuuuuri

  • @winnienyaboke5625
    @winnienyaboke5625 Год назад

    God bless you all

  • @damarisfirstdaughter
    @damarisfirstdaughter Год назад

    Barikiwa Kaka

  • @joo3839
    @joo3839 Год назад

    God bless you 🙏🙏🙏🙏

  • @faithgichana1345
    @faithgichana1345 Год назад

    God bless you.

  • @alexinamaina794
    @alexinamaina794 Год назад

    Gaki don't forget abana bagende esukuru ne chianka

  • @faithgichana1345
    @faithgichana1345 Год назад

    Good work kaka.

  • @judymoraamachongo99
    @judymoraamachongo99 Год назад

    Blessings kaka

  • @ruthbosibori1482
    @ruthbosibori1482 Год назад

    Good job

  • @evansmichira5428
    @evansmichira5428 Год назад

    Mzeee wake Ako wapi kaka good work 👏

  • @loicerogito5781
    @loicerogito5781 Год назад

    Sending love ❤❤

  • @dennismorogoro6759
    @dennismorogoro6759 Год назад

    Neighbours congratulations walai

  • @DoreenKwamboka-c9k
    @DoreenKwamboka-c9k Год назад

    Good job kaka

  • @lordbroly2642
    @lordbroly2642 Год назад

    wow let those supported naver luck

  • @nelsonandjeff1663
    @nelsonandjeff1663 Год назад

    God help u kaka

  • @johnsonkingoina5115
    @johnsonkingoina5115 Год назад

    ❤❤❤....kaka u made the video short today ungetuonyesha mkibreak nyumba 😂😂iyo mbuzi

  • @dorothykerubo5862
    @dorothykerubo5862 Год назад +1

    Nikama ako namimba ama naona vimbaya

  • @rosemathayo5440
    @rosemathayo5440 Год назад +3

    Woman that’s not right kabisa ama uko na kitu kwa roho unaficha

  • @johnjonuonga
    @johnjonuonga Год назад

    Oroni mwenyewe hawezi kuonekana hata mara moja aambie Watu ahsante ?

  • @DominicOrenge-r7z
    @DominicOrenge-r7z Год назад

    Omongu abakwe smstu onsi

  • @euniceouko4066
    @euniceouko4066 Год назад +2

    Mama county shld style up kaka anamsomea ya nn kwani huyo mama n mtoto s kupenda kwake kukaa maskini,otiso agoteba okwenyora, akisema eti chinda kwani hiyo nyumba ya kitambo ilikua nayo ametoa wapi mambo na jiggers otherwise huyo mama n msafi n umasikini ako nayo aache kidomo .anamsomea karibu alie,kwanza anaongea na mahasira😢 n kama amesikis wivu watu wanapenda kuona wengine wakiteseka Shame
    on you,otherwise kaka may God bless you na huyo kijana mwenye alikupigia

    • @damabosibori4637
      @damabosibori4637 Год назад +2

      😢😢😢😢Hawa ni wale kila kitu wanajifanya na akuna kitu anasaidia 😢😢😢😢sasa kama akua anataka huyo mama ajengewe sii angesema wamama wengine sijui wanatumia akili imeoza ama😢😢😢😢huyu mama ni msafi alikua wapi kutoka mwanzo???sahi ndio anapanua mdomo kubwa hapo wivu wivu tuuuuuuu.

    • @gladysnyabuto763
      @gladysnyabuto763 Год назад +1

      Hata mimi hajanibamba vile amamuongelesha

    • @enockmoseti90
      @enockmoseti90 Год назад

      Sure

    • @euniceouko4066
      @euniceouko4066 Год назад +1

      @@damabosibori4637 true amesaidia nn surely kumdimea public ndio nn kama s kunyenyekea huyo mama alinyenyeka ningekua yeye ningempa slap moja Hadi ajikocholee

    • @euniceouko4066
      @euniceouko4066 Год назад +1

      @@gladysnyabuto763 anajifanya kimbelembele sana eti s unanijua useless woman int the village

  • @evalineatuma8298
    @evalineatuma8298 Год назад +1

    Mwambie kado mama

  • @PMNTV1
    @PMNTV1 Год назад +1

    Am i the only one who's annoyed with the speech of this woman?🤔🤔🤔

  • @Callenkwamboka1204
    @Callenkwamboka1204 Год назад

    Wewe mama mtu ambiwi ivo unafaa kumwambia kado ya camera

  • @NakhleTelecom-qw7nn
    @NakhleTelecom-qw7nn Год назад

    Amen my God bless you more and more blessings from my said juu umefanya kazi poa sana mungu akubariki sana🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙏💕💕💝💝❤❤💝💝🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙌🙌🙏🙌🙌🙌🙌🙌

  • @GladysKwamboka-i1l
    @GladysKwamboka-i1l Год назад

    Good work kaka God bless you

  • @lydiakemuntonyabuto7343
    @lydiakemuntonyabuto7343 Год назад

    Barikiwa kaka

  • @purity134
    @purity134 Год назад

    Blessings kaka

  • @judymonyangi7971
    @judymonyangi7971 Год назад

    Wow good work kaka my God bless you so much

  • @elizabethjoseph1408
    @elizabethjoseph1408 Год назад

    Wow good work kaka God bless you so much