KUNENA KWA LUGHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 сен 2024

Комментарии • 7

  • @elisantennko8222
    @elisantennko8222 4 месяца назад +1

    Topic hii nilifundisha English session ibada ya asubuhi 26.5.2024 TAG pugu. Nilutumia NIV Bible, tupo pamoja Mwl mwenzangu. Amen

  • @audaxemmanuel7927
    @audaxemmanuel7927 8 месяцев назад

    Asante sana na ubarikiwe pia

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 5 месяцев назад

    Hueleweki

  • @dansonmk3926
    @dansonmk3926 3 месяца назад

    Kama mtu akinena kwa lugha, wanene wawili au watatu, si zaidi, tena zamu kwa zamu, na mmoja na afasiri. Lakini asipokuwapo mwenye kufasiri na anyamaze katika kanisa; aseme na nafsi yake tena na Mungu.
    1Wakorintho 14:27-28

  • @irenelucas6323
    @irenelucas6323 7 месяцев назад

    Mtumishi kuspeak in tongues sio kuhutubu. Ninavyojua kuhutubu ni kupreach in tongues.

    • @servantivankibiki768
      @servantivankibiki768  7 месяцев назад

      Preach ni Kuhubiri na siyo kuhutubu. Speak ni kuongea wazi. Mfano:
      Speaker wa bunge anaitwa hivyo kutokana kwamba ndiye mhutubiaji. Kuhubiri ni kitu tofauti na speech

    • @neliusgosbertbaguma8693
      @neliusgosbertbaguma8693 6 месяцев назад

      Hivi RC ikitokea ukanena kwa Lugha haufukuzwi wala kutengwa? Maana CHANGAMOTO tulizokutana nazo tukiwa Karismatik, ilikuwa kutengwa tu, ukijifanya kufundisha Bibilia, nakupongeza sana kwa kuthubutu: