Why are peope hating on the beautiful ikoh. If she is there, its because Hannah wanted there. Anytime people call others viherehere it comes from a place of insecurity/ low self worth. Heal
You guys ikoh was just helping her come on...pretty sure hakuwa na any bad intentions besides video ikianza hannah ndio alimshow amsaidie stop hating kindly
Why are you guys hating on that girl !? She's so excited for her !?? She's just happy to be there!?? Msi judge aki !? 😊spread love and not hate 🎉happy birthday hannah ❤😍
You guys kama Hannah mwenyewe ameita huyu girlfriend wake amsaidie kufungua gifts,who are you to judge... Let her be... Hannah happy belated birthday. Next time mfungue hizo gifts tu na huyo bbygal.
Hannah the gifts are all yours, but next time jua kujifungulia gifts zako, not someone else bbygal, your funs wamecomments Sana kuhusu uyo dem kiherehere sna. Anakaa roho chafu kabisa.
Poooooo,sasa mlikua mnataka huyu dem afanye aje sasa? alikua arukeruke ndio mjue Ako Sawa?marelatives wa RUclips mnafurahisha sana😂😂😂 Hanna don't hate your friends juu ya Hawa mashosh huku
2:03 i clearly hear hanna telling her friend to open it for her,,so why are people hating on her,,hanna wanted her to be there so you should all stop hating on her...hating people you don't even know clearly shows low self esteem or jelousy
Hananbenta amepewa gift za teddy bears the helper angewacha azifurahie then yy achukue ashike, sasa yy amechukua ameihug kabisa una ona hanna anatamani kuishika ,vitu zingine ni common sense alafu helper anaenda kwa gift next n a bado hanna na anafurahia the other gift .ni sawa hanna amemuita lkni sio akue ivo sasa helper ndio the first to touch the gifts not good but its something petty ya kukasirisha watu tunasonga tu
Mwache uongo, she's happy for her friend and that's why she gave her gifts too, they're close,you others don't allow your friends to touch your gifts,leave her alone😢
Hannah benta,your helper hapo akona kiherehere sana as if gifts ni zake,mtu asaindiangwi kufungua gifts zake na anakupeleka mbio sana,hizo chocolate asijaribu kuzikula si zake,then the person who gifted you those red sneakers you can talk to him/her muende mahali alibuy for exchange instead of selling
I luv everything about the video buuuttt uyo mdame aki....😢😢😢 Naskia urudie video tena ukiwa pekee yako,pole pole bila haraka❤ Anyway happy birthday benta🎉
Watching from tv ikabidi nkama apa . Aki huyo Dem Ako na kiherehere ama ni muhahe na vitu sio zake😏. Mpaka video ikianza Ako mbele ya Hanna en she's tall
Hanna huyu dem anajitawala aje ni kama gift ni zake next ukiwa na gift jifungulie mwenyewe kako na kiherehere sana....anyway im happy for you hanna you are a vibe❤❤❤
i find it weird babygal...when you open chocolate and you complain...its a gift na you have to be happy aki the gifter asifeel vibaya next time...alfu mnaharakisha hii video inafaa kuwa refu kulingana na izo gifts zote
Y'all should chill on the bitterness towards ikoh. They are good friends and shooting RUclips video ya unboxing si rahisi ofcos she needed assistance kuunbox haraka that's why ikoh is there. Kenyans kenyans.
Ako kako hapo kando kiherehere punguza gifts sio zako..na hii tabia ya kuomba omba ooh nguo ikuwe ndogo upewe ,unaomba handbag ni tabia mbaya sana..😅😅😅 happy birthday Hannah
Happy birthday Hannah may this new year be full of blessings, happiness more money and good health happy birthday ♥️♥️ lakini I wasn't happy with the gift that your best best friend give you...na vile we huwagift na roho moja😮but keep up with your good heart mwaaa💜💜💜💜
Uwiiiiii sikua niwatch until kila comment naona ati mtu anafungua zawadi za watu. Uwiiiiiii utamu wa gifts nikujifungulia acha fungulia mwingine gifts. Komaaaaaaa nani🤣🤣🤣🤣
Why are peope hating on the beautiful ikoh. If she is there, its because Hannah wanted there. Anytime people call others viherehere it comes from a place of insecurity/ low self worth. Heal
Thanks for this comment😊
You guys ikoh was just helping her come on...pretty sure hakuwa na any bad intentions besides video ikianza hannah ndio alimshow amsaidie stop hating kindly
Thank you...am also wonder why people are hating on her na vile ako happy for her....l wouldn't mind a friend helping me open gifts
Kwanza nakapenda nakaitaga twiga
True
Ni vile tu hapei mwenye gift time😅😅
True 💯
Why are you guys hating on that girl !? She's so excited for her !?? She's just happy to be there!?? Msi judge aki !? 😊spread love and not hate 🎉happy birthday hannah ❤😍
You guys kama Hannah mwenyewe ameita huyu girlfriend wake amsaidie kufungua gifts,who are you to judge...
Let her be...
Hannah happy belated birthday.
Next time mfungue hizo gifts tu na huyo bbygal.
Hadi anapima nguo😅😅😅😅
Mm hakuna makosa naona qwa huyo dame she just helping her to open it nothing bad nimeona amefanya
Wooiye hata mimi ndio naendelea ku watch, sijaona ubaya wake, she is just helping❤
Imagine mm pia nashangaa watu wakimrushia mawe na vile anasaidia mwezake jmn
Ako na kiherehere
Na kwani tuliambiana tununue Teddy bears🤣🤣😂
😂😂
❤❤❤thank you babe n Kama mlijua nko lonely
Ikoh anaboo na kiherehere ,ako kila mahali kama mkono ya choir master nkt
Nipitie dear❤ nimekupitia
Hannah the gifts are all yours, but next time jua kujifungulia gifts zako, not someone else bbygal, your funs wamecomments Sana kuhusu uyo dem kiherehere sna. Anakaa roho chafu kabisa.
Alf kanakaa kuskia wivu 😢
Ann mostly friends ua jealousy only Mary ua naona ako honest
@@jacklinekinya9800was t say so
Sana aiii tunaongea ukweli
Poooooo,sasa mlikua mnataka huyu dem afanye aje sasa? alikua arukeruke ndio mjue Ako Sawa?marelatives wa RUclips mnafurahisha sana😂😂😂 Hanna don't hate your friends juu ya Hawa mashosh huku
2:03 i clearly hear hanna telling her friend to open it for her,,so why are people hating on her,,hanna wanted her to be there so you should all stop hating on her...hating people you don't even know clearly shows low self esteem or jelousy
Hananbenta amepewa gift za teddy bears the helper angewacha azifurahie then yy achukue ashike, sasa yy amechukua ameihug kabisa una ona hanna anatamani kuishika ,vitu zingine ni common sense alafu helper anaenda kwa gift next n a bado hanna na anafurahia the other gift .ni sawa hanna amemuita lkni sio akue ivo sasa helper ndio the first to touch the gifts not good but its something petty ya kukasirisha watu tunasonga tu
Stop being harsh on her kwani alikukosea Ikoh is so good and a good friend to Hannah
Nilikuwa ni type kiherehere wacha kufungua gifts za wenyewe there is joy in opening own gift. Nikakumbuka ni RUclips
Comment section wamekasirishwa na huyu opener 😂😂😂wewe opener wait for your own ....
😂😂😂
Huyo dem ukonaye hapo anaboo...kiherehere sana....anaharakisha kufungua gift as if ni zake 😏😏😏😏😏
Navenye ako na mwili kama msumaaaa
@@marywanga4959eiishiii was msumaa.necessary😂😂😂
Nimekupitia nipitie dear❤
Huyo dame ni kihehere sana...c awache ufungue gifts zako😮😮😮
Uyo dem anakaa wivuuuu ama naona zangu ...
Anaboo utadhani gifts n zake
I can see that too
Anataka agawie gifts
She's not happy for her friend..the face tells it all
Mwache uongo, she's happy for her friend and that's why she gave her gifts too, they're close,you others don't allow your friends to touch your gifts,leave her alone😢
Wenye mnaongea mbaya about ikoh mmfanya nikawatch yote sio anything wrong 😊
Hannah usipeana kitu hapo ,naskia ako kadame kakisema izo tunachukuwa ,
Usipeana your blessing mamii
kanabore
angefugua pekee aki.. madem n walewale
😂😂
Mama t♥️♥️♥️♥️❤️ much love dear 😘 Dem wa fb awache ujiga yke continue confusing him,,
Hako kanyakanga kako na kiherehere😂😅you might think the gifts were meant for her
Umeona pia😂😂
😂😂😂😂😂
Nimeona pia😂😂😂
weh,adi anaharibu unboxing.next time akae nyuma ya camera
Walae vile kanakaa kanyonde
weeh, c pesa hupenda kwenda tu kwenye kunazo, so happy for you gal, may also God remember us and happy birthday
Me watching na sijai pokea a gift from anyone 😢....count yourself lucky....best wishes girl 💘
usijali mko wengi
Huyo dame Ako na kiherehere 😂😂😂
I saw the same thing,,uyu si ikohrose
huyo sio rafiki lol😂😂😂
😂😂😂sana kiherehere kama bibi ya chief
😂😂😂😂😂😂niuee@@jeropkutto3975
Sanaa😂😂
There's nothing wrong with Iko, Y'all need to stop the hate esp body shaming.
Happy birthday Benta❤❤
Very true
Ikoh is so loving wenye wivu wajinyonge
Honestly ..naah..Ikohs behavior zii..u can't tell if it's kiherehere or not genuine happy or primitive 😢😅
@@Angi_ewaambie ukwel
That's true n Ile watu Wana wivu huku nje
Hannah benta,your helper hapo akona kiherehere sana as if gifts ni zake,mtu asaindiangwi kufungua gifts zake na anakupeleka mbio sana,hizo chocolate asijaribu kuzikula si zake,then the person who gifted you those red sneakers you can talk to him/her muende mahali alibuy for exchange instead of selling
Hannah is okay with that who a you to complain
Wewe Kuna Yako gani umepeana to write this paragraph?some people with entitlement 🚮🚮🚮🚮
I believe there's a special joy in opening your own gifts.
True
Sure 😂😂😂
I was afraid of reading such a comment 😂😂😂
Exactly with your own privacy!!..
@@kahigascholar9631😂😂😂
I see nothing wrong with ikooh ama ni juu nampenda sanaa😊😊
Same here
Weee si huyo dem ako na kiherehere si ata atulie jameni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂behave you girl
😂😂😂😂😂😂mbn mko n makasiriko n uyu dem
Sijapeda huyu dem 😂😂😂jifugulie next tym.hanna😊
Sio wivu bt mtu anafaa kujifungulia gifts zake..huyo dem next time asifanye hivo,ati mpaka anasema ati nguo ikose kutoshea hannah.....thats a big no
Ako na kilembelembe sana....happy birthday Hanna
Akiii iyo kiherehere huyo dem ako nayo
Huyu dem anakufungulia gifts mbona
I was looking for this comment,ameudhi sana btw who opens people's gifts?Hannah hapo napo huyo dame amekufanyia injustice
@@sumsum483akiii adi mimi ameniboo hafai kuwa hapo ata
Uyo dem anabooooo 😮unafunguaje gifts za wenyewe nikama ni zako nkt!!
Anakaa kikiruiii
I luv everything about the video buuuttt uyo mdame aki....😢😢😢
Naskia urudie video tena ukiwa pekee yako,pole pole bila haraka❤
Anyway happy birthday benta🎉
Anabooh
Walai anasinya
Ameboo
Mnasinyika na mwenye alimuita hajacomplain😂😂...
Nimekupitia nipitie pls dear❤
Guys wacheni hizo,sioni ubaya wa huyu dem she is just helping plz.
Watu mlisema hannah akupewa gifts hapa n wapy naulizia
Uyo dem akona kiherehere sana jifugulie gifts zako annah
I just love hanabenta coz her love for others is always genuine and she is so real,keep winning girl🥰🥰🥰🥰🥰
Mama kiherehere next time dont try that gifts mtu hujifungulia mwenyewe najua utasoma coments
Tell her
😂
😂😂😂😂
Mbona
This lady is taking things mbiombio kiherehere tuliacha ushago yawaaaaaa l come in peace though 😅😅,
Ata mm ameniboo
Mi ata naskia akiniboo tu
Me naskia kugonga ako ka skeleton kofi..😂
@@adamkithinji9852 waah be kind kidogo tafadhali
Kanasinya aki hawajamalizana na moja kamerukia ingine na si zake mcheeew
Watching from tv ikabidi nkama apa .
Aki huyo Dem Ako na kiherehere ama ni muhahe na vitu sio zake😏.
Mpaka video ikianza Ako mbele ya Hanna en she's tall
Hanna huyu dem anajitawala aje ni kama gift ni zake next ukiwa na gift jifungulie mwenyewe kako na kiherehere sana....anyway im happy for you hanna you are a vibe❤❤❤
Kanaudhi😂😂😂
Kumbe umeona
Yaani Tiff alibuy tu perfume na chocolate shually na vile yy aligiftiwa gift kubwa🤌🏾😂😂
Kiherehere ya uyu dame iko Wapi si watu mko na wivu she's a vibe,akinyamza mseme ako na wivu mwendaga atia
I wonder too😊
amemsaidia wanasema ako n kiherehere angekaa kando wangesema ako n wivu watu nanii wacha tu😂😂😂😂😂😂
@@hellenkarisa639 Aki Watu sijui wanatakanga ajy😅
Sijaona gift ya Baba T
Yuko nacho.. Hana natural reaction.. It's for the camera tu
Waaah!! Huyo dame 😮😮😮anaharakisha maneno,next time try kujifunguloa gift,
Tell this lady aache kiherehere mwenye gifts ajifungulie
Huyo dem akona kiherehere ni kama gifts ni zake 😅si poa pea hanna ajifungulie gifts
Thats why hanna had her help opening the gifts and not you😂😂😂ebu breath in and out kama yoir fellow humans na uache wivu
Huyo dem petite mnipee baba😂❤... Na msimtusi tena tafadhali 😅😊
The helper behaving as if the gifts are hers😂
Ako na kiherehere
Anaboreee😂
😂😂😂aki mpaka anaboo😅😅hata hawezi Acha mwenye gift to enjoy the unboxing
Ameboo sanaa🚮
Huyo naye c anakeraa😢..
If kiherehere was a person. .then iko roz is the one Wueh behave girl 😊
If kiherehere was a person huyo dame zii anakaa kama gifts ni zake adi anaendea next gift... karibu zote ndiye anatoa😅😅
Ikoh ndo maana uliwachwa iyo kiherehere yako mtu hawezi kaanisha nayo ni mingi kuliko ya mwenye gifts unaboo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hako kasichana kako na kiherehere si aache ufungue gifts zako tu😢😢
Though happy belated birthday ❤❤
I felt the same way
hannah i came across your channel today but you are a good person love you so much
i find it weird babygal...when you open chocolate and you complain...its a gift na you have to be happy aki the gifter asifeel vibaya next time...alfu mnaharakisha hii video inafaa kuwa refu kulingana na izo gifts zote
Huu dem anakaa mwizi 😂😂😂😂😂kiherehere overloaded
😢
Uyu na yeye ako na kiherehere si angoje na si zake 😮😅😅
😂😂😂
Y'all should chill on the bitterness towards ikoh. They are good friends and shooting RUclips video ya unboxing si rahisi ofcos she needed assistance kuunbox haraka that's why ikoh is there. Kenyans kenyans.
Why are you all hating Ikoh...ako sawa...msm mbona hamkuitwa msaidie.......bitrr souls
But that's bad let's talk the truth
I wonder... madem wanakuwanga na wivuuu sana
Kumbe u can sing...I saw u singing kwa chira's funeral preparation...it was lovely
New subscriber. The gal is kimbisharing us. Happy birthday 🎉
Ako kako hapo kando kiherehere punguza gifts sio zako..na hii tabia ya kuomba omba ooh nguo ikuwe ndogo upewe ,unaomba handbag ni tabia mbaya sana..😅😅😅 happy birthday Hannah
Aambie watu wake wamgift😂😂
@@LISAHDELEON kabisaaaa 😃😃
Hanaah huyo dame hapana....
Weeeuh❤❤❤Hannah naeza kujia teddy bear moja😊
Haka kanaangukia teddy bears na si zake naskia kukaekela kofi. ..hiyo kiherehere itaisha
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 anaboo
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Huyo dem ananiboo.. gifs ni zako n you have all the time,mbona anatuharakisha 😮
Shelly presents made u soo happy the only present have seen u excited
All of us are God's image acheni kuchukia huyo dame she just help Annah to open her gift hajafanya kitu baya hata cjasikia akiongea vibaya
Enjoy gal,you deserve all the happiness,
Uluya in me saying si hizo Doli zikue converted to unga🙄🤣😂🎉 happy birthday once again Ann❤
Aki girl are very funny ona vile teddy bear imemfurahisha😂😂😂I love teddies too though 🥺
Ukijaona yangu I'm 5'7 tunatoshana 😂😂😂😂😂they way I love it❤😂😂Teddy ni zuri dear
Walai huyu d3m ako kiherehere nkama n yy mwenye gift 😅😅😅😅😅😅😅😅😅kwanza hanna akifungua hako kacotton.....kanabooooooo
Hii skeleton inatupeleka mbiombio imetoka wapi😏😏
If you’re reading this acha kiherehere gifts sio zako
N gifts sio zako 😂ako na kiherehere sana
😂😂😂anafaa akuwe ameketi akikula kimbelembele front akae kando hataki tuone
😂😂😂weeh aty nini😂
Mbna nikama amujui hivi vikode vina kiherehere sana,shingo na mikono the same
ak Kenyans😅😅😢
Mimi mabesti nawajua😂😂😂tunafungua tunapata chocolate tunakula ndio tuendelee kufungua😂😂
😂😂
@@jayne208 Alf wanabeba karibu zote kama birthday ilikuwa Yao😂😂😂
Na si huyu Dem akona kiherehere sasa yy do anafungua ni kama ni zake
Aki girl you are so funny... ati "kwani hamjui nakulanga white chocolate" 😂😂😂😂
I wish u opened the gifts alone...ako kasichana kako na kiherehere saàaaaana huh!!!!!!!!
Huyo dem anaharakisha nikama anafukuzwa, weeeuh Hannah be careful when around such people
Hannah you deserve it🎉🎉🎉na mnachukia huyu dem mnatoanga ito nguvu wap surely
Ndo nashangaa aky ady sioni shida yake woyee watu wanasema aty ako na kiherehere si poa aky na vile nikarembo❤❤
Huyo Ako na keherehere,mwambie gifts ni zako
Kumbe gift zilikuwa Tu mob 😂😂😂watu wa tiktok walituonyesha vitu ndogo ndogo
tiktok ni wivu tupu😂😂😂
Huyu msichana mkonde akona shingo refu next time wacha kukimbilia kufungua gifts sio zako... You are all-over pthooo
😂😂😂😂woiye
This lady ako na roho Gani hiyo gifts si zake bt kuongea pwooo
Kiherehere tu
hanna you are loved by money ❤❤❤❤❤ happy birthday gal nipitienii please team hanna
Happy birthday Hannah may this new year be full of blessings, happiness more money and good health happy birthday ♥️♥️ lakini I wasn't happy with the gift that your best best friend give you...na vile we huwagift na roho moja😮but keep up with your good heart mwaaa💜💜💜💜
I hope huyo dame ataona hii.."wacha kiherehere na vitu za wenyewe aiii unaharibu video aiii..roho chafu kiherehere
😂😂😂
Acheni roho mbaya😂😂😂😂huyo dem ameongezea Benta likes
Huyo dem mwingine kiherehere 😂😂
Huyu Dem Ako na maharaka ya kufungua gifts yawa..w😅😅 wait Hannah benta atuonyeshe vizuri
Ghaaaiiii huyo dem n kimbelembele akiii.....hao ndo huitwa destiny distractors.....jealousy is filled allover her face
Aki anabore
First celebration birthday, then destiny obstacle ina appear pap,,
Huyo dame kiherehere anakaa kuomba hizo gifts 😅.aaah anabore
In 2024 am manifesting for such friends😂si wale wa a queen was born 😂
Me too 😄 🤣
Na si huyu mdame ako na kiherere Wish zingekuwa zake but wivu is all over her eyes
Benta siku igine huyo dem asikuwe hapo anaruka haje na gift yamtu nauko hapo ww ndio unafaa kushika kwaza
Alafu kuna mimi kutoka nizaliwe now am 25 sijawai buyiwa ata sweet,God bless me one day
Ikoh Roz wacha kiherehere gifts sio zko unataka kuona ata before mwenye ametumiwa azione
Hii yake imezido aki
Huyu Dem mkonde anareceive gifts aje ni kama ni zake😂😂😂😂atulize mk****.
Everything is perfect. But huyo msichana apunguze kiherehere waaah ...
Wow nisambzie kahandbag nakaperfume pia mim ninukievizuri pliz team strong lets go mnipitie mnacomment ndio nijue
Nimekupitia nipitie dear❤
Why are y'all hating on this girl?and the way she's happy for her
Uwiiiiii sikua niwatch until kila comment naona ati mtu anafungua zawadi za watu. Uwiiiiiii utamu wa gifts nikujifungulia acha fungulia mwingine gifts. Komaaaaaaa nani🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Ikoh akona kiherehere😂
MSAIDIZI WANGUUU JUUU YAKE👀👀🤔🤔🤔🤔😅😅😅😅😅😅AMA YEYE NDIO ALIKUA MWENYE BETHIDAYI.