Moza Theodor - "Yahweh Jina Nzuri" (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 229

  • @Kaske-bleumartin
    @Kaske-bleumartin Год назад +3

    Mimi ndo wakwanza kusikia mwisho huu kwa huu mwaka wa 2024 kama kuna mwengine ambao amisha sikiya huu mwimbo apandishe mikono ✋✋🖐️🖐️ juu

  • @g.p.ubandusa7564
    @g.p.ubandusa7564 4 года назад +13

    Tumeamua kumtanza wazi sasa Queen wanyimno za injili USA is Mocdan media mtusaidie tu kutangaza sabbu yuko vizuri ni composer,singer , dancer, play Guitar why asiitwe Queen Gid bless

  • @naftaliiddi4780
    @naftaliiddi4780 4 года назад +10

    Yaani jamani sio kwa sauti hiyo yaani nimependa umetulia wala huna papara kabisa ongera sana yaani unajuwa sana ww

  • @mwinjilistimarcy8375
    @mwinjilistimarcy8375 3 года назад +3

    😭iyi wimbo sitachokaga kusikiliza Jmn

  • @Genesis-b1o
    @Genesis-b1o 2 года назад +2

    💃💃💃💃💃💃💃💃💃Barikiwa Dada🙌🙌

  • @a.k.astudio5351
    @a.k.astudio5351 4 года назад +4

    Mungu akubaliki queen wa GOSPEL USA 🇺🇸

  • @hussein6238
    @hussein6238 4 года назад +2

    Ubarikiwe wa kwetu ni mwendo wa kusongesha injili mbeleee

  • @othanksamuri5774
    @othanksamuri5774 4 года назад +8

    Ubarikiwe sana moza kazi nzuri sana

    • @ezekieloss2446
      @ezekieloss2446 4 года назад +1

      Umenibariki saaaaaana uko vizuri

    • @MozaTheodor
      @MozaTheodor  3 года назад

      Thanks 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @TabithaDorcas22
    @TabithaDorcas22 4 года назад +7

    Mungu aendelee kukupaka mafuta nakuku bariki sana dadangu wimbo unabariki sana❤😍🙏🙏🙏

  • @esperenceamris
    @esperenceamris 4 года назад +5

    Nimebarikiwa na wimbo huu Mungu azidi kuwainuwa . wimbo umetulia vizuri sana.

  • @othanksamuri5774
    @othanksamuri5774 4 года назад +5

    Unafaha kuitwa queen wa nyimbo za injili

  • @reginaeliasabandelwa5491
    @reginaeliasabandelwa5491 4 года назад +3

    Kaz nzuri sana

  • @gospotv
    @gospotv 4 года назад +11

    Kazi nzuri

  • @nurunewz103
    @nurunewz103 4 года назад +19

    Nice song of the start of 2021, be blessed.
    Please we need more comments and likes for this song.

  • @rehemaolive2815
    @rehemaolive2815 3 года назад +4

    Nyimbo nzuri kabissa I love it ooh ya keep it up love ya'll 🥰❣❤I love your ka voice oo🥰🎊❤❣❣❣

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 4 года назад +3

    Ubarikiwe sana

  • @sistajoy1
    @sistajoy1 4 года назад +15

    Aww its finally out,..Amena kubwa Mungu akubariki da moza 🥰🥰🔥🔥🙏✊🏾🙌!

  • @rizikimk8635
    @rizikimk8635 4 года назад +2

    Amen kubwa

  • @francoisxxx9648
    @francoisxxx9648 3 года назад +2

    Ubarikiwe

  • @emedikamito6
    @emedikamito6 4 года назад +2

    Ubarikiwe sana dada kwa kipaji chako ulichonacho

  • @anastasiakapanda1927
    @anastasiakapanda1927 3 года назад +2

    Bless to you princess dada

  • @mbombokandu1579
    @mbombokandu1579 3 года назад +1

    Mungu akubariki kwa kazi nzuri

  • @gospotv
    @gospotv 4 года назад +12

    Barikiwa sana kazi nzuri mno

  • @emedimtheodor5249
    @emedimtheodor5249 4 года назад +2

    Mungu akutie nguvu dadangu.

  • @MABOY-MUSIC
    @MABOY-MUSIC 2 года назад +1

    Aleluya

  • @Godfrey1234-j6b
    @Godfrey1234-j6b 4 года назад +7

    Amen 🙏. Nimebarikiwa vyakutosha, nawe ubarikiwe pia; Mungu aweke nyimbo nyingi zaidi moyoni mwako ili ajitukuze kupitia wewe.

    • @MozaTheodor
      @MozaTheodor  3 года назад

      Asante sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @stephanoiddy696
    @stephanoiddy696 4 года назад +4

    INJILI MBELE🎤🎤BARIKIWA

  • @joharibyamungu7307
    @joharibyamungu7307 3 года назад +1

    Ubarikiwe sana dada 🥰❤❤

  • @lameckjonathan9472
    @lameckjonathan9472 4 года назад +2

    Uko vzr my dada

    • @MozaTheodor
      @MozaTheodor  3 года назад +1

      Asante my kaka ila acha niseme asante mingi

  • @mauwasofiakiza1029
    @mauwasofiakiza1029 3 года назад +2

    Nice song inabariki

  • @RIZIKISEMUNAOFFICIAL
    @RIZIKISEMUNAOFFICIAL 4 года назад +3

    Amen Amen Mungu wa mbinguni akubariki sana

  • @mjurmwanapoto6372
    @mjurmwanapoto6372 4 года назад +4

    Butamu sana

  • @fireneil3518
    @fireneil3518 4 года назад +2

    Aww🥺😍🙏🏿 mungu akubariki sana dada🥺🎤🥰

  • @alimasimkyobola3410
    @alimasimkyobola3410 4 года назад +5

    Akuna jina lingine tutakalo hokolewa kwalo bali jina la Yesu! Ubarikiwe da Moza kwa huduma nzuri amen!

    • @MozaTheodor
      @MozaTheodor  3 года назад

      Asante 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @sikitusiri1229
    @sikitusiri1229 4 года назад +3

    Ubarikiwe Sana da moza nyimbo zuri Ila Iyo kwimbo umeimba sauti Ambayo aukukuwa unaimba nyumbani nyarugusu cap ni mimi dada yake na Anto towa sauti dada yangu nakuamini sana

  • @itsmeg6748
    @itsmeg6748 4 года назад +23

    Blessed us with a lovely song 🥰🥰❤️❤️amen

  • @idephoncewilondja9649
    @idephoncewilondja9649 4 года назад +3

    Kazi nzuri sana, ubarikiwe zaidi.

  • @zigashanebaleke7701
    @zigashanebaleke7701 3 года назад +1

    🙏🙏🙏
    Amina kubwa

  • @apolinaayambaofficial7423
    @apolinaayambaofficial7423 4 года назад +5

    Barikiwa sana dada🙌🙏🙏

  • @zainawangu5838
    @zainawangu5838 3 года назад

    Vizuri sana dada mungu akubariki

  • @prosperhosea7966
    @prosperhosea7966 4 года назад +16

    I am blessed with this amazing song,woh Moza you have a beautiful voice for really let Glory be to our mighty God who did put something in you and all it's about His Glory ,may God bless u more,so you can continue to proclaim His name to all the people in the world, those who are in sin then can come to our Lord Jesus.

  • @dieudonne1026
    @dieudonne1026 3 года назад

    Mungu azidi kukubariki yani nyimbo zako zinanibariki sana kweli

  • @Christella_mwali
    @Christella_mwali 4 года назад +2

    Amen ubarikiwe sana kwa wimbo huu mzuri dada

  • @mwavitarehema629
    @mwavitarehema629 3 года назад +1

    Amen ubarikiwe mwanangu

  • @neemasara7552
    @neemasara7552 3 года назад +1

    Hubarikiwe dada ❤️ nice song nimehipenda mno jmn hubarikiwe

  • @fireneil3518
    @fireneil3518 4 года назад +4

    Wimbo Mzuri sana Sauti inaniuwa sauti nziri sana🎼🎼🎸🥁🎤🎹

  • @kakajonas8230
    @kakajonas8230 4 года назад +9

    Amena!😇 Wimbo unabariki moyo God bless you sister moza!

  • @rehemasumaili2711
    @rehemasumaili2711 3 года назад +1

    ubarikiwe sana

  • @kingmedros2121
    @kingmedros2121 4 года назад +5

    Ubarikiwe 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @fahiladominic8971
    @fahiladominic8971 4 года назад +2

    Wow ubarikiwe

  • @marcelinebyamungu3463
    @marcelinebyamungu3463 3 года назад +1

    Ubarikiwe sana dada kwa uduma zuri

  • @rozaulywa9918
    @rozaulywa9918 4 года назад +1

    Ubarikiwe sana moza mungu akubariki

  • @costaziamaneno1854
    @costaziamaneno1854 4 года назад +8

    WOW SO CUTE 😍❤️😍😍 ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @DallasFiladelphiaChoir
    @DallasFiladelphiaChoir 4 года назад +5

    Mungu awabariki ❤️❤️❤️🙏

  • @vumiliaaliamtu6380
    @vumiliaaliamtu6380 3 года назад

    Jina lipitalo majina yote nikiwa na uchungu moyoni mwangu nitalitaja jina lako amen 🙏 naurudiya kama kote napenda sana jamni Mungu awazidishiye

  • @fadhilifadhili6012
    @fadhilifadhili6012 4 года назад +1

    Mungu akubarikia Sana dada

  • @estherqueen9058
    @estherqueen9058 3 года назад

    🙏 🙏 🙏 🙏 amen ubarikiwe

  • @daphnelovely7280
    @daphnelovely7280 4 года назад +1

    Nimependa kiukweli ❤️❤️

  • @Lasiproduction
    @Lasiproduction 3 года назад +2

    nyimbo hii imenipa wokuvu, kwakuwa nilikuwa nafanya vitu vyangu mwenyewe bila kushirikisha yesu kristo
    ubarikiwe sana dada yangu
    amen

    • @MozaTheodor
      @MozaTheodor  Год назад

      Ubarikiwe sana Ndungu yangu kwakupata wokovu Yesu Anakupenda 🙌🙌

  • @saintstephanie7369
    @saintstephanie7369 4 года назад +4

    Best melodie neema iwe nawe 🙌

  • @dieudonnamisi563
    @dieudonnamisi563 4 года назад +1

    Amen ubarikiwe sana dada

  • @adakenzo1264
    @adakenzo1264 4 года назад +6

    God bless you demai 🙏

  • @furahaalenga9546
    @furahaalenga9546 4 года назад +2

    Ubarikiwe ❤️🤞🙏

  • @JennyOmary1030
    @JennyOmary1030 4 года назад +5

    Amen sana sister nice song 🎶 and great voice ❤️🔥Ubarikiwe sana

  • @jennymfaume
    @jennymfaume 4 года назад +4

    Amen sana sis mungu aku bariki sana ❤️❤️❤️❤️

    • @MozaTheodor
      @MozaTheodor  3 года назад

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @kalutaselemani5770
    @kalutaselemani5770 3 года назад

    Wimbo una gusa moyo

  • @laurentmenge644
    @laurentmenge644 4 года назад +3

    Alleluyaaaaaa

  • @staffupdatehaiti7171
    @staffupdatehaiti7171 4 года назад +4

    Good djob

  • @rusielombelo4985
    @rusielombelo4985 4 года назад +5

    Amin 🙏🏿🙏🏿❤️

  • @emmanuelelekamo5728
    @emmanuelelekamo5728 3 года назад +1

    Namber4 🥰🥰

  • @alisamlondani4598
    @alisamlondani4598 3 года назад +2

    Hi l love the music👍❤

  • @masokahussein9217
    @masokahussein9217 4 года назад +3

    Amen

  • @rehemajassica2761
    @rehemajassica2761 3 года назад +2

    Amen 🙏🏿 🥰🙌

  • @uniquesisters6585
    @uniquesisters6585 4 года назад +3

    Hubarikiwe da moza 🥰

  • @tundabilombele50
    @tundabilombele50 4 года назад +3

    Ubarikiwe shangazi yake M

  • @Chui_lama_chui
    @Chui_lama_chui 4 года назад +4

    My favorite 😍 song

  • @mcmrishobrown5792
    @mcmrishobrown5792 3 года назад +1

    Wow nice be blessed queen

  • @rahabuselemani6882
    @rahabuselemani6882 4 года назад +5

    Amen 🙏🏻

  • @solangejacques6065
    @solangejacques6065 4 года назад +5

    Ameeen🔥🔥🔥😍😍

  • @onorinawashikala9645
    @onorinawashikala9645 3 года назад +2

    amen 😍😍❤

  • @rizikigilbert3972
    @rizikigilbert3972 3 года назад +1

    Amen Amen God bless you dada

  • @carinehelen400
    @carinehelen400 4 года назад +3

    Ubarikiwe sana Mo wangu 🔥🔥🙏

  • @bintipascal6499
    @bintipascal6499 4 года назад +3

    Nice song 💝💝 I’m bless with your song 🎵

  • @elizabethasani4685
    @elizabethasani4685 4 года назад +1

    🙏🙏🙏💪💪💪Jina kubwa ni ilo tu. Be blessed sis.

  • @lindajeremiah35
    @lindajeremiah35 4 года назад +4

    Nice song keep going 😍

  • @mpjrtv1260
    @mpjrtv1260 4 года назад +6

    Ma mo kill it ❤❤

  • @malkiafuraha9694
    @malkiafuraha9694 4 года назад +8

    Great song. It is on repeat for me. The beat the beginning kills me. 💗

  • @Daccoh_
    @Daccoh_ 4 года назад +1

    Mbona kama mpo wawili ambao mmefanana hivi ni wewe MTU mmoja au anyway ngoma imenibariki kbs

  • @a.k.astudio9976
    @a.k.astudio9976 4 года назад +5

    Nice song I like it

  • @selemanifanikiwa
    @selemanifanikiwa 2 года назад

    Hooo wimbo uwa naupenda sn 🙏🙏MUNGU atu Linde na atu weke

  • @sofiabyumbuka5363
    @sofiabyumbuka5363 3 года назад +2

    Amen 🙏 I love this song 🥰❤️💕sana mungu awabariki

  • @AsendeAndre-g6k
    @AsendeAndre-g6k Месяц назад

    amen 🙏 🙏 🙏 ubarikiwe sana dada moza 🎉🎉🎉🎉

  • @AlmaCisse
    @AlmaCisse 4 года назад +1

    Acha Waseme Video is now out link👇
    ruclips.net/video/QW9s96MUsLI/видео.html
    #AlmaCisse
    #Bingwa✊

  • @jeannebyamungu2819
    @jeannebyamungu2819 4 года назад +2

    Mubarikiwe sana ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @pendezamelix2586
    @pendezamelix2586 4 года назад +5

    ❤️🙏🎶

  • @mamyjoharisifa1301
    @mamyjoharisifa1301 4 года назад +4

    Amen 🙏

  • @Soundtolyrics
    @Soundtolyrics 2 года назад

    Jina nzuri Nila Yesu tu ubarikiwe@🙏🙏🙏

  • @lucmtembezi4420
    @lucmtembezi4420 4 года назад +5

    Amen ❤️

  • @joharibyamungu7307
    @joharibyamungu7307 3 года назад +1

    ❤❤🥰🥰🙏🏿🙏🏿

  • @africacelebct
    @africacelebct 3 года назад +2

    Good music 🔥