Imani, ukisoma bible, maswali fulani hujitokeza. Je kwa nini vijana ndio waliona tatizo la nyumba Ibada kuwa ndogo?. Kwa nini waliaomba kuambatana na mzee porini kutafuta miti ya kujenga?. Kwa nini shoka ilipozama na kijana kulalamika kwa nini nabii, hakutwambia kijana ajitose kwenye kilindi cha maji?. Uwezo wa kinabii leo hii unafanana na nini walichonacho viongozi wetu?. Vijana wa leo nyumba ya Ibada iliyowabana ni ipi?. Je wakitaka kupanua hiyo nyumba ya Ibada ya leo nani anaambatana nao kwenye msitu wa utandawazi?. Wachache wanaojubali kuambatana vijana huko msituni na shoka likazama je wanamsaada?
Jameni wanakwaya wa Njiro mmefanya jambo bora mno kwa kulete mtandao huu. Mimi ni msikilizaji wa nyimbo zenu kwa wakati mrefu mno. Bwana Yesu azidi kuwabariki kazini mwake na nyumba zenu daima! Kutoka Nairobi Kenya, Kanisa la SDA Kabete Main.
Great men and ladies of God you make alot of peace in my heart whenever. I listen to your songs. All are well built ,God bless njiro from Kenya Mombasa Malindi
This is really spiritual song direct from the Bible let’s keep our faith i listen and enjoy this song every hour at my work place i can say its my best song ever and ever Amen
Mungu wa Mbinguni awabariki sana wimbo mzuri mnoo nabarikiwa sna na unanitafakarisha sna na ninajawa na imani kuu
Imani, ukisoma bible, maswali fulani hujitokeza. Je kwa nini vijana ndio waliona tatizo la nyumba Ibada kuwa ndogo?. Kwa nini waliaomba kuambatana na mzee porini kutafuta miti ya kujenga?. Kwa nini shoka ilipozama na kijana kulalamika kwa nini nabii, hakutwambia kijana ajitose kwenye kilindi cha maji?. Uwezo wa kinabii leo hii unafanana na nini walichonacho viongozi wetu?. Vijana wa leo nyumba ya Ibada iliyowabana ni ipi?. Je wakitaka kupanua hiyo nyumba ya Ibada ya leo nani anaambatana nao kwenye msitu wa utandawazi?. Wachache wanaojubali kuambatana vijana huko msituni na shoka likazama je wanamsaada?
Amen
Kila kilichozama kwenye familia yangu kielee kwa Jina la Yesu
Jamn mbalikiwe sana naupenda sana huu wimbo
barikiwa sanaaa nimezipenda mnoo nyimbo zenu japo mimi ni mkatoliki 🙏🙏🙏
Mungu awabariki
Amina jamani sana jamani tunabarikiwa sana hata ukiwa mpagani ukiusikiliza huu wimbo unakufanya uamini mungu yupo pamoja nasi
2:58
Mkovizuri Mungu wa mbinguni awpiganie muendelee kumsifu na kumwimbia,, Amina
Pongezini waimbaji kwa wimbo wenu mzuri. Hata mimi pia ni muimbaji karibuni.
Aminaa Barikiwa sanaa Mtumishi
Waimbaji mubarikiwe sana, asante MUNGU awatiye nguvu kwa huma
God bless you sana hii choir 🎉🎉🎉mnaimba poa sana na nyimbo zenyewe ziko na message kuu sana❤❤❤🎉🎉🎉
Ndoa yangu iliyosama lasima itaelee huu mwaka Kwa jina la yesu Asanteni sana Kwa wimbo mzuri.
Mungu awabariki maana nmibarikiwa na wimbo huu
Asante wana njiro SDA kwa kushiriki makambi 2023 kanisa la kiadventista Riruta east Nairobi.
Wimbo mzuri..kabla wakate kijiti walimueleza nabii Elijah ambaye aliwaambia wakate kijiti...wimbo mzuri sana
All in all ni TENDO LA IMANI
Elisha ndio aliyekata kijiti na kukitupa juu ya maji. 2 wafalme 6:6
Tafakari imani na kijiti 🙏🏿, kijiti😂na shoka ❤😊
Hakika tunatakiwa Imani kiasi cha ukubwa wa punje ya haradali😊
Kweri tuenderee kujitakasa nakujianda kwenda nyumbani kwetu
Jamani njiro mkija kenya mniambie,lazima niwaone mnavyoimba.Barikiwa!
Wimbo mzuri..tafakari ya maana..keep the spirit
Pongezi kwenu Wana Mt. Cecilia choir kwa uinjilishaji mzuri kwa njia ya Kwaya. Mbarikiwe sana
Jameni wanakwaya wa Njiro mmefanya jambo bora mno kwa kulete mtandao huu. Mimi ni msikilizaji wa nyimbo zenu kwa wakati mrefu mno.
Bwana Yesu azidi kuwabariki kazini mwake na nyumba zenu daima!
Kutoka Nairobi Kenya, Kanisa la SDA Kabete Main.
Amen
Mubarikiwe Sana,Mumeliimba NENO la MUNGU
Amen ujumbe mzuri huu
Pongezi kwenu nyimbo nzuri sana sana duh
Nimebarikiwa xaaana tena saana. Nina furaha
Nyimbo zenu ni nzuri sana jamani mungu awe nanyi
After kukirusha kwa maji next words wah! Hapana sikia. Punde ... ...
Shoka likaelea…kuelea as in “ float “😊
ebu tafakari juu ya kijiti na shoka ,du
Nawapenda Sana na nyimbo zenu iko na mafunxo mazuri sana
Great men and ladies of God you make alot of peace in my heart whenever. I listen to your songs. All are well built ,God bless njiro from Kenya Mombasa Malindi
Nabarikiwa sana kwa nyimbo zenu
Amen! Mahubiri kweli. Be blessed
Mungu awape nguvu nakuenderea nakaziyake maana hio ndokazi itakao Baki mbinguni
Wimbo una mafundisho makubwa, hogereni
This is really spiritual song direct from the Bible let’s keep our faith i listen and enjoy this song every hour at my work place i can say its my best song ever and ever Amen
Mungu ni mwema
God bless you🙏🏻 mmenibariki sana na hii nyimbo🥰 Imani isiyokua na mashaka☺️
Barikiweni wimbo mzuri
A big Amen, only a bit collection prophet Elisha cuts a stick and threw it there and made the iron float
Ata na sisi tumebarikiwa na kutiwa moyo kwa hizi nyimbo zenu amina
Kiliazimwa kile
njiro mnanikosha na farijika kila muda na kazi zenu mungu awabariki sana
Na wapenda sana mana wimbo huu unanibariki mno❤ Mungu wambinguni azidi kuwainua zaidi
Great song.... majirani tunabarikiwa pia.
Mungu awatie nguvu watumishi
Hallulujah 🙏🙏🙏🙏
Ameen 🙏
Great Song.Keep the fire burning.From Nairobi Kenya
Amina ,nabarikiwa sana kwa utunzi na uimbaji wa kipekee.
Amina.ndoa yangu ikaelee kwa jina la yesu
Amen,tamu sana ujumbe wa imani
Mungu wambingu awabariki kwa nyimbo nzuri
❤nyimbo zote zanibariki
Ahsante kwa wimbo mzuri na Mungu awabariki
Oh Mungu mkuu. Kibarua changu kinazama naomba kielee kwa Jina la Yesu🙏🙏🙏
jaman mungu awabariki sana huu wimbo unafundisha sna
YAANI MUNGU AZIDI KUWAPA UPAKO ,MNAIMBA VZR MNOO💪
aminaa
All your songs are of higher level.God bless you
Nawapenda.mungu akubariki
Good song
Uimbaji mzuri sana, ila muwe mnabadilisha muondoko mara moja moja
Kivipi?unataka wacheze kam rose mhando
Nice song
We are Adventist we don't dance
@@nancykerubo7952 But they are dancing here.
Barikiwen sana kwa wimbo mzur
Nabalikiwa sana na nyimbo zenu!
The song is powerful am blessed 🙏
I got song the song at my advanced level KG ooooh l couldn't study without listening to the song
Kuna muimbaji mmoja amefanana na aliyekuwa Rais wetu❤
Ooh Kumbee
Raisi WA Wapi ??
@@njirosdachurch6802 mwendazake... Kuna muimbaji wanefanana mno
Thanks for prophecy
You never disappoint
Imani nimamboyote tukiamini mungu
Loving it every day as I listen it every day the great message a get
Mkatoriki lakini natamani!
Napenda sana nyimbo zenu Mungu awabariki
Asante sana Honesta, Glory to God.
Doubtless Faith.......ujumbe mzigo. Mbarikiwe sana.
mzito**
MUNGU awabariki Sana, nyimbo zenu zimebeba ujumbe mzuri,Asante kwa mtunzi wa wimbo huu.barikiweni
This song is powerful be blessed wherever you are
Nawapenda sana good song l like it
So touching song kuwa imani isio na mashaka
Mbarkiwe san nabarkiwa jumbe za nyimbo zen
MUNGU AWABARIKI
Being blessed every Sabbath by the song❤
Waaacha weeeee hadi raha
Wimbo mtamu sana barikiwa
NICE SONG. anyone to provide the lyrics kindly
God bless you,this song is educative and inspiring. Let's continue serving God
Who else watching this morning!🥰
I love this song inanipa hopes when I m hopeless
Mnanibariki sana wapendwa.
Powerful message to us📕📖📖
Mbarikiwe kwa nyimbo nzur za matumaini
Good Voices God bless you
Barikiwa san
I'm, very blessed with this powerful song
Nivizuri Sana
God bless you because your doing good things in singing
Tutafakari Imani yetu amen
This my song for real, I can't get enough of it🥰🥰
Amen brethrens let the heavenly upper father continue to minister in this ministry of singing
Amina mbarikiwe sana, lkn sion video ya majitu maref jamaniiii
Nice I'm blessed
Amen Mbarikiwe sana
mungu awabariki
Barikiwa
I love it.Mbarikiwe sana
Karibu sanaa
All your songs are full of inspiration keep doing what you are doing for the Lord
Amen
Thank you Roselyne, pray for the choir.