Kwani kugombea uenyekiti ni kosa ,nini maana ya demokrasia ? Askofu wa kanisa na mambo binafsi ya chama yanakukera nini. Acheni demokrasia ndani ya vyama ifanye kazi
Mwamakula ndiye anaye faa kwasasa kuwa Mwenyekiti wa Chadema wengine hawa wanatumia vyeo vyao kwa maslahi binafsi( mafisadi na wanatugawa kwa masilahi binafsi)
Ameogea poiti kwani kugombea uenyekiti unapewa na katiba unajinadi Kwa wajumbe Sisi wananchi tunaitaji tuone upinzani imara ili chama tawala kisibweteke madarakani
KWELI SACCOOS NI CHAMA CHA KANISA 😢😢😢😢😢😢MAASKOFU WAMESAHAU KUHUBIRI
Lisu hapo si mahali pako. Hamia ACT mapema
Wewe bagonza bora ugombee wewe uache kanisa naona inakukela sana 😂😂😂😂😂 mpaka mseme
Yeye mwenyewe huyo asikofu anachawa wake anaemkubali
Bagonza ni muhuni alikula hela za samia uongo au ukweli
Mbowe hajasema kama anagombea,huu mnyukano unatoka wapi?Ninyi sio waandishi wa habari wa habari,na huu sio uandishi
Yaani kila wakt siasa siasa siasa hebu hubiri injili au uache hiyo kazi uingie kwenye siasa tujue moja
Lisu anauraia pacha ndio maana haoni shida kuchafua nchi au chama
Kwani kugombea uenyekiti ni kosa ,nini maana ya demokrasia ? Askofu wa kanisa na mambo binafsi ya chama yanakukera nini. Acheni demokrasia ndani ya vyama ifanye kazi
Hizo ndio maana ya si hasa yani siyo hakika fungukeni
Mzee anahekima sana
Kazi ya uaskofu imekushinda maadili katika jamii yameshuka sana, Achana na siasa
Lisu atauwa CHADEMA alafu atakimbilia Belgium
Lisu ogopa anauraia pacha.mke nawatoto amehamisha kwahiyo hajali watu wakiuana au watu kufa wake hawapo nchin
Lisu ataua watu ndio maana familia yake ameshaitoa nchini, lisu ogopa anauraia pacha kwahiyo hatojali watanzania safe yeye apte utais
Ndiomana mkiambiwa mnavyama mnabisha
Huyu anachama chadema Ila timu mbowe
Bagonza nimwana hadema timu mbowe
Aliesema viongozi wadin wasijihusishe nasiasa hawakuwa wajinga,angalia wameshindwa kuLea jamii ktk maadili Leo watu mashoga wao sadaka tu nasiasa
Chadema mlikuwa mnawatetea Hawa maaskofi waliokuwa wanaambiwa wasiingilie siasa kwasababu waliokuwa wanawatetea kumbe timu mbowe
Kwani kutangaza kugombea kuna shida gani!!? acheni agombee nitashangaa sana kama chadema watagawanyika
Bagonza na wewe sasa umezidi hebu hubiri injili sio lazima kila mara kizungumzia habari za wanasiasa na wala usijifanye sasa unajua sana siasa.
Machawa wa CCM wanataka mbowe abaki ni mwepesi Kwa maridhiano.
Mwamakula ndiye anaye faa kwasasa kuwa Mwenyekiti wa Chadema wengine hawa wanatumia vyeo vyao kwa maslahi binafsi( mafisadi na wanatugawa kwa masilahi binafsi)
Ameogea poiti kwani kugombea uenyekiti unapewa na katiba unajinadi Kwa wajumbe Sisi wananchi tunaitaji tuone upinzani imara ili chama tawala kisibweteke madarakani
Mbowe .hamechoka