MUME WA DIVA ATOA MANENO MAZITO NASEMWA VIBAYA KULIKO MEMA YANGU ...!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 140

  • @shyakaeric2444
    @shyakaeric2444 Год назад +1

    Hivi pamoja na mapungufu ya huyu kaka munakumbuka Diva ata kuosha vyombo, kupika, kudeki vyote hawezi tatozo kubwa kwanza hilo mwanamke mchafu unategemea kuoga kwenyewe ni rahisi kiukweli musihukumu upande mmoja

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg Год назад +1

    Mbona kimekondeana hivyo siku hizi😂😂😂😂😂

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 Год назад +2

    Uwiiiiii tapeli wa mapenz ni dhambi saana kutumia neno la Mungu kuwadanganya wanawake

  • @Semenhahemed-lf5om
    @Semenhahemed-lf5om Год назад +17

    Acheni kumuhukumu huyu mwanaume mmeegemea upande mmoja tu kwani huyo Diva ni malaika au

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 Год назад +2

      Huyu kuna wawawake wawili wameshamlamikia huku mitandaoni na watu wengi wanamjua ni mjanja mjanja huyu Kaka.

  • @goodluckivan-ph2mc
    @goodluckivan-ph2mc Год назад +4

    Uyu Jamaa nimswaili sana alfu nitapeli me ua namfatilia xana diva amejitaidi kamvumila sana

  • @FarajaOmary-qf2ge
    @FarajaOmary-qf2ge Год назад +7

    Hahahaha diva haikua hakili yake alirogwa tuu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Год назад +1

    Sijui Macho yangu yananidanganya,Abdulrazak amekonda sana

  • @madinazugybi2537
    @madinazugybi2537 Год назад

    Wew kwanza wanziya kwamukewako aca maneno unajitapa sana wew manikini 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮wew ndo unatama

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 Год назад +5

    Watu wengi wanaojifanya washauri wa ndoa ndio wahuni hakuna kama hao wadangaji 😂

  • @FarajaOmary-qf2ge
    @FarajaOmary-qf2ge Год назад +3

    Sema dah mwanangu ww ni bonge la tapeli wa meno

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 Год назад +3

    Ndoa za wanaume wa sasa na wanawake ni mtihani tu bora kufunga tu

  • @samniza1763
    @samniza1763 Год назад

    Eti mzungu sana, ushamba sio uzungu sana.

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 Год назад +3

    Tamaa Sana awa viumbe baazi Yao Ni walaku wa kipnd

  • @pillyolsen6346
    @pillyolsen6346 Год назад +6

    Huyu baba ni tapeli kwakweli ana tamaa ya pesa anayafuta mwanamke mwenye pesa tapeli sana🙊🤭🤭🤭

    • @AliKhamisi-f4m
      @AliKhamisi-f4m Год назад

      true

    • @devaxtz
      @devaxtz Год назад +1

      Mbona nanyie wadada mnatafuta wababa wenye hela mbona hatusemi acha ngoma iwe drow 😂😂😂😂😂😂

    • @MTONDOZINESAEED
      @MTONDOZINESAEED Год назад

      😮😮😮

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 Год назад

      😂😂sasa na pesa nikigezo Cha kuolewa pia il mtume saw alisema Bora mwenye dini

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 Год назад +1

    Hii ya zaman😂😂😂

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 Год назад

    Huyu jamaa kwanza ni muongeaji sana tapeli wala hana ushekhe wowote tapeli tu

  • @neemakwanama3370
    @neemakwanama3370 Год назад +2

    DIVA WANGU HAPA ULIJICHANGANYA KIPENZ CHANGU HUYU BWANA WAKO MDANGAJI MZURIII TUUU

  • @chemstry409
    @chemstry409 Год назад +1

    DOMO KUBWAAAA....MNAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANA KUMUITA SHEIKH NA WAKATI SIO SHEIKH....SHEIKH NI CHEO KIKUBWA SANA...LAKINI HILO NENO MNALICHUKULIA JUU JUU TU MNAWAPA MATAPELI MATOKEO YAKE WALIKUWA MASHEKH KWELI WANADHARAULIKA, TUACHE TABIA HIYO.

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Год назад

    Eti watoe hela 😂😂😂😂

  • @pastorydaudi1388
    @pastorydaudi1388 Год назад

    Huyu alimfata diva apige tu bas na aweke history

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 Год назад

    Bro unajuwa sana bora umemtema

  • @SaidAL-SHARJI-j6m
    @SaidAL-SHARJI-j6m Год назад +12

    Wewe nijizi saana kweli kazi zako zawongo na kwiba watu hela zao

    • @MwanaidiRulimbiye-uf1mr
      @MwanaidiRulimbiye-uf1mr Год назад +3

      Mmja wao aliyenitapeli mm wallah sitamsamehe tena nilikuwa mgojwa kanitapeli

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 Год назад

      😂😂😂😂tapel lamapenz hili mramba lips jahhhhh

  • @faridahalil4456
    @faridahalil4456 Год назад +1

    Namuina kama amepungua na ana kibri sana akijiona ni mzuri na wanawake watampapatikia, simuoni na uzuri wowote, zaidi ni "user" yaani anamtaka mwanamke mwenye pesa amtumie, sio eti mwanamke mwenye akili.

  • @FarajaOmary-qf2ge
    @FarajaOmary-qf2ge Год назад +1

    Hahaha jiji la darsm litabaki kua darsm watu wanaishi kupitia utapeli na maisha yao yanaenda vizuri

  • @farajajosephat6022
    @farajajosephat6022 Год назад +3

    YOU ALWAYS FALL IN LOVE EASILY 😂,,THAT IMPLIES THAT YOU DON'T HAVE TRUE LOVE BRO,,

    • @youngjaywinfrey9854
      @youngjaywinfrey9854 Год назад

      😂😂😂😂 siyo ivo, ikitokea Kwa mtu ni type yake, na siyo Kwa kila mtu ata mimi ni ivo ikitokea ni mtu type yangu nampendaga gafla tena MaPenzi ya Ukweli! Watu utofautiana

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Год назад

    Ni kweli kaka utachukia wangapi kwenye dunia hii

  • @annamariamakula3853
    @annamariamakula3853 Год назад +4

    Sasa wanaume ndio wanadanga zaidi

  • @mohammadfahad3186
    @mohammadfahad3186 Год назад

    😅 Leo nimeamini huna akili bro

  • @marthagodwin9913
    @marthagodwin9913 Год назад +4

    Sema tuu mwenye akili za maisha iliulelewe

  • @ruthcharles2074
    @ruthcharles2074 Год назад

    Sio kweliiii men ndo wanaongoza kucheat

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Год назад

    Umenikumbusha 500million 😂😂😂😂😂

  • @tushuhassan3809
    @tushuhassan3809 Год назад +1

    Uyu jamaa ajatulia bado mapepe sana.

  • @neemalema5312
    @neemalema5312 Год назад +2

    Naomba nisiseme chochote 😅

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express Год назад +1

    Bila shaka hii video ni ya zamani. Hapo alikuwa na Diva

  • @FarajaOmary-qf2ge
    @FarajaOmary-qf2ge Год назад +20

    Na huyu jamaa hakufata mapenz kwa diva wala ndoa alifata umaharufu ili kazi zake za uganga ziende vizuri

    • @MassoudAlly-c9e
      @MassoudAlly-c9e Год назад

      Hana ata uganga 1 huyu basi tu

    • @michaelmymy1307
      @michaelmymy1307 Год назад

      Naminimewaziaga ivo for long time

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 Год назад

      Kweli huyu tapeli tu

    • @Semenhahemed-lf5om
      @Semenhahemed-lf5om Год назад +3

      Acheni kumuhukumu hamjui walipotokea mapenzi hayana fomula mtakuja kuaibika hakuna mkamilifu kwenye mapenzi kwani huyo diva ni mtakatifu sana au mnaropokwa tu acheni maneno

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 Год назад

      Tapeli huyo hata maneno yake Tu

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Год назад

    Kiboko wa kigagula😂😂😂😂😂

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Год назад +3

    😂😂😂 Dunia ya motor Sasa hivi Mungu atuhurumie

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 Год назад +3

    Wewe mwenyewe akili huna

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 Год назад

    Wkt mpo vzr mbona ulikuwa unapigiwa cm hata katikati ya Interview unapokea ahahahaa leo hii unapangia watu cha kuongea HAUJASEMAAAAA....BADO HUJASEMAAAAA NA UTASEMAAAA

  • @uwasesifa7563
    @uwasesifa7563 Год назад

    Still together it's kiki tu

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 Год назад

    Tatizo alianza na gia ya utajiri kumbe mapenzi hayana formula

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel Год назад +1

    Tatizo nihuyo mke wako ndo kaleta shida zenu kumitandao . Huyo Diva kwanza miye nilikuwa najuwa tu hataweza kuolewa ju anajifanyaga yy ni mzungu

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Год назад

    Wewe no mchawi bana kwendraaa halafu unaonekana una njaa balaa yani unataka umaarufu na pesa huna😂😂😂😂

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 Год назад

    Huyu si sheikh ni choko🤬🤬

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 Год назад

    MKUYATI😂😂😂 IMEPENYA HIYO

  • @azamazam3279
    @azamazam3279 Год назад +1

    Diva hakua mke wakuolewa uzungu mwingi ustaa mwingi

  • @royalpriestsmusic5685
    @royalpriestsmusic5685 Год назад

    Kwa Mungu kinacho tenganisha ndio ni uasherati na kifo Tu isipokuwa ivyo ni Uzinzi labda ubaki bila mahusiano mengn

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 Год назад

    Mbona limekonda hivo domo sasa meno yamekaaa holelaholela

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 Год назад

    Blo, jamii inahitaji kujua pia mazuri na mabaya ya ndoa!

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 Год назад +1

    Katika Masheikh huyu msimtie hana lolote bure kanisa .

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Год назад +2

    Yaani ww puuuu umemdanganya diva kumbe sio muoaji tapel 2

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Год назад

    Ndy nani huyu na anafanya shuguli gani

  • @wanguiwanjiru5320
    @wanguiwanjiru5320 Год назад

    Tapeli😢

  • @HalifourHassan
    @HalifourHassan Год назад

    Oya Om boi diva alikushobokea mwenyewe Na ukampa haki yake bro tafuta ELA achana Na Hao kaka shaur yako

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 Год назад

    mkwiati ni nini tenaa!!!!

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 Год назад +3

    Huyo mwanaume ni Tapeli tena gaidi

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Год назад

    Langu jicho mkono nashavu

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Год назад +1

    amewatapeli nyie acheni ujinga msio jua kurukia maisha ya watu wao walivyo kutana na kupendana mpaka wakaowana mlikuepo au nanyie ndo wale wale maji kufata mkondo dini ilisha sema kabla ujaowa tazama mwanamke wa kuowa sio uzur au mwanamke mwenye kupenda maisha ya Dunia Hana stara mavazi yake nusu uchi asali uyo ataweza kulea watoto wako kweli majigambo mengi mwisho wake ndo huo nakuzarau watu

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt Год назад

    Amekonda waaaa bado mpaka ibaki mifupa

  • @marthagodwin9913
    @marthagodwin9913 Год назад +1

    Huna lolote wew tafuta ganda la ndizi lingine domo lile huyu anapenda kitonga

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Год назад

    Huyu mganga namuonaga tapeli tu cijui kwa nini

  • @likeleshungu9159
    @likeleshungu9159 Год назад

    Hawa ni wale waganga wa mjini wezi wa Hela za watu

  • @kamarhelo
    @kamarhelo Год назад

    Huyu kaka hajielew

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад

    Uso kama ngombe kwa umalaya

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo Год назад +1

    Wew mganga wa kienyeji una laana za wake zako ulowaacha tu unanini ulikua unatafuta wateja mpaka kiwalani huna lolote

  • @FarajaOmary-qf2ge
    @FarajaOmary-qf2ge Год назад +1

    Unamkumbuka yule mwanamke wa kiarabu .mwanza ulimlubuni na kumzalisha mtoto ukamuoa na mwisho wasiku ukaja kumuacha kisa diva na ukaongopea jamii kua yule mwanamke wakiharabu muongo

  • @vero57
    @vero57 Год назад

    Mbona maneno megi, mgaga, umekonda kime baki kichwa na domo, TAPELI MKUBWA!!!

  • @subirachuttar7181
    @subirachuttar7181 Год назад

    Wanaume ambao meno yao yameachana achana hawajawahi kuwa wakweli kwenye hii dunia!!
    Nilitaka kushangaa Diva Kama angemaliza miaka na wewe!!!!!!

  • @tinamon7913
    @tinamon7913 Год назад

    Mambo ya ngoswe mwachieni ngoswe mwenyewe !!!

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt Год назад

    Apana uyo diva mwenyewe anangebe baligo yamemzidi sana analinga kama kazaliwa ulaya analinga sana

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 Год назад

    Shekh wa mapenz kaachwa iv wap alikwama ?😂😂😂

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 Год назад

    Wewe binafsi una tamaa tapeli huna akili

  • @loyceackim4296
    @loyceackim4296 Год назад

    Amekondaa lakin

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад

    Na meno yake kama punje za ubwabwa,,,,Nitapeli la maneno hili balaaaa,, alikua anatafuta umarufu na kazi wasafi yule dada mwenye mtoto alisema lakin

    • @florangido202
      @florangido202 Год назад

      😂😂😂😂 Ni kweli, Nakumbuka mkewe alisema anatafuta Umaharufu, kwahiyo kashaupata..
      Ila Dida anyamaze aliwavuruga wanawake wenzie na kutamba kuwa washahachwa, mi nafurahi yali6omkuta😂😂😂😂

    • @stellah3844
      @stellah3844 Год назад

      @@florangido202 Alichokipata Diva ni karma alimchamba yule dada kwenye interview kabisa hadi Mange akamsaidia yete akawa anafurah yule dada analia na mtoto wake

  • @geofreykalo
    @geofreykalo Год назад

    Kwani huo diva ana nn c mtu wa dharau tu yule

  • @SaidAL-SHARJI-j6m
    @SaidAL-SHARJI-j6m Год назад +2

    Ulijifunza wapi mambo ya wizi na umalaya mganga wa diva

    • @Semenhahemed-lf5om
      @Semenhahemed-lf5om Год назад +1

      Alishawahi kukutongoza kwani mpaka umuite malaya kwani wewe ni malaika au huyo Diva ni malaika acheni hizo

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Год назад +1

    watu wanaiga maisha ya kizungu wanata kuishi kizungu kava kizungu pombe kweli kutakua na ndoa hapo wazungu awana madili ya kulea watoto wala dini nasisi ndo tumefata huo mkumbo je kwa akili zako kuna ndoa ya kheri Katika maisha yenu hapo

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Год назад

      Nani kakuambia Wazungu hawana maadili umewahi kuishi na familia za wazungu au unawajua vizuri Wazungu , sasa mimi nikuambie familia za kizungu wako strict kuliko hata familia za Kitanzania na wana maadili yao mema tu kama familia

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Год назад +1

      Wengi wanaoiga Maisha ya kizungu wala hawayajui na wala hawajui chochote kuhusu Wazungu , familia za kizungu wana maadili yao mazuri tu

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Год назад +2

    KUMBUKA INTERVIEWS ZENU,WE NA X WAKO,,,KUMBUKA VIZURI, INASAIDIA SANA

  • @williamiteba7013
    @williamiteba7013 Год назад

    Eti mambo matano siutwa huo

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 Год назад

    Nyie mnamtukn uyu kka iv mnamwona diva anastahili kuwamke?au mnajua tuh kumtukn kk wawatu kilamwanaume natak mwanamke anaejieshim nakumweshimu ss mnaon hao wasanii wanastahili kuwa wake?

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 Год назад +2

    Kwahiyo unatuaminisha Diva hana akili

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 Год назад

    Dume jinga huna jipyaa uongee watu wakuelewe wewe ni tapeli😂😂😂😂😂

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 Год назад

      Tapeli Kivipi Kwa hiyo mwanamke kuongea vile umeamini wewe unafikiri kwa mwanamke wa Kitanzania akiachika atasema kosa ni lake mwanamke

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 Год назад

      @@kabwelasutiviraka4765 demu wake aliyezaa nae uliwahi kumsikia akihojiwa na ICU,kama ulishamsikia utaelewa

  • @macmalick1522
    @macmalick1522 Год назад

    Una kitu acha maneno mengi nothing?

  • @esthermutabuzi4582
    @esthermutabuzi4582 Год назад

    Hana lolote huyu mnampa airtime ya bure tu ili aendelee kuongea ujinga na kuipotosha jamii. Hajua chochote kuhusu mahusiano na ndio maana yake yamemshinda...anaongea tu tapeli huyo😂😂

  • @judahwillgofirst7964
    @judahwillgofirst7964 Год назад

    Hold on, so you married her to prove a point, this is simply disgusting,, ati you have encouraged young men,

  • @nsiamushi5363
    @nsiamushi5363 Год назад

    Mbona kama kakondaa

  • @munirachangawa2928
    @munirachangawa2928 Год назад +1

    Ni kweli alovyosema dalali maneno unaramba midomo utafkiri Huna vitamin c 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.Huna lolote

    • @jamilahabibu9299
      @jamilahabibu9299 Год назад +1

      Hakuxi kunukq😂😂😂😂😂xijui dd alipenda nini oh🙌

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 Год назад +1

    😂😂😂😂

  • @JeniphaEdward-w2b
    @JeniphaEdward-w2b Год назад

    unajiona mjanja kushikwa mkono

  • @HawaSadiki-o6k
    @HawaSadiki-o6k Год назад +1

    Lako lenyewe tatizo kwenye society lazima lidiscussiwe Yani anavyoongea na hayo Meno yako kama punje za Mchele stupid🤮

  • @AliKhamisi-f4m
    @AliKhamisi-f4m Год назад +1

    Mangi alisema huyu anatafu umaarufu

  • @salimalrashdi1937
    @salimalrashdi1937 Год назад

    Muongo ww abdulrazak mnafiki ww unachezea dini ww kwa kuroga watu umemchezea Dive ww nii mtu wa motoni kafiri ww

  • @mwajumahussein5171
    @mwajumahussein5171 Год назад

    Mbona kakonda jmn

  • @stellah3844
    @stellah3844 Год назад

    Hili ni tapeli tena sugu kabisa

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk Год назад +1

    Shoga ww

  • @bobjoy9279
    @bobjoy9279 Год назад

    Wewe jizi kubwa mbwa wewe