Presenter Ali mungu akubariki wewe na familia yako nawapenda sana pia mkumbushe huyo ndugu anaetumia mkono wakushoto katika kula niharamu labda alikua hajui ila mkumbushetu kwaajili ya Allah
Sue ni hatari sana kwa kupika very natural ,we will buy hizo delicious food for Ramadhan hope she has hotel or contact address we will subscribe for visiting this good Family Ramadhan Kareem
Afwan sio haram kulala kwa kushoto ila ni ktk sunnah mwisho kutumia kulia kwa kila jambo ila kuingia chooni au kuvua nguo au viatu tunaanza na kushoto.na hayo ni ktk mapambo tu
"When any one of you eats, let him eat with his right hand , and when he drinks, let him drink with his right hand, because the devil eats with his left hand and drinks with his left hand". (Narrated by Muslim, 3764)
Not really..kama uliona wakati analishwa kuku alie mlisha alikuwa amevaa culture ya kenya mkononi..but ao walio walioneshwa live apo hakuna mwenye nacho mkononi
Thank you so much for watching please do subscribe ❤
This what we call Ikramul Muslimin...May Allah(S.W.T) accept your saum inshallah 🙏
Amin ya Rabi
This was amazing ❤
Na si ulikua njaa kwa hiyo video😅
Si ni Ramadan 😃@@ruthmutuma1174
Presenter Ali mungu akubariki wewe na familia yako nawapenda sana pia mkumbushe huyo ndugu anaetumia mkono wakushoto katika kula niharamu labda alikua hajui ila mkumbushetu kwaajili ya Allah
This is the most encouraged brotherhood in Islam Alhamdullillah ❤❤❤❤
Love it and the lady is a real chef, enjoy
Mashallah Ramadhan Karim wasamul maqbul all Muslim
Ramadan Kareem Wa Saum Maqbul 🤲🏽
Mbna nafeel nkma sue na mesina wako related 😊
Medina**
MashaAllah Ramadhan Kareem
Ma Shaa Allah tabarak Allah
Sue is really talented when it comes to cooking
So huyu ndiye bwana wa sueh🎉😊
Ama amficha Kwa MDA sana
Pia mimi naomba fundishwa kupika sue
Leo tumeona " My husband" 🎉🎉🎉
Umeona to mkono
😂😂😂😂l know
Beautiful families ❤
Mashallah thabarakallaah
Sue ni hatari sana kwa kupika very natural ,we will buy hizo delicious food for Ramadhan hope she has hotel or contact address we will subscribe for visiting this good Family Ramadhan Kareem
Mashallah mashallah ❤❤
The meals look so delicious and well set
Ramzan Kareem wa Saum Maqbul.
Banger after banger
Wacha kula na left hand Jama mwenye kofia use right hands please I hope umefahamu.
Ni husband wa sueh
Mbona anakula na left bwana suuh
Nipitieni niwapitie kindly
Haiya, i didn't know Sueh was a Muslim! The food looks so delicious 😋
She is a catholic
@medina Makena,,, the way you are drinking that African tea,,,you are loooving it,,,
Blessed dam,, May Allah bless u
Mlisema hatutawai ona sura
Si huyu anaonekana ama waliexchange ni yy anashoot 🤣
Ni kama he's the one shooting @@electinewenganga5009
Kama sura ya mtoto wa The Wajesus ilileak ata hii italeak tu😂😂😂
Ramadan karim madina
Presenter Ali kindly advice ur friend to eat with the right hand
Sueh❤❤
Kindly support me dear
GUYS😂😂😂 BWANA YA SUEH NI HUYO MWENYE AMEMUUMISHA KUKU AKO NA BRACELET YA KENYA ....HAWAJAMUONESHA USO I THINK NDIYE ANACHUKUA VIDEO😂😂
Nashangaa,wengine sijui wameona nini😂😂
Bwana wa sue hapendi kuonwa😂 yy alikua na kanzu
True
Huyo ndugu wa kofia tu ndio atumie mkono wa kulia kuanzia wakati ataona hii comment. Asante.
Kumbe umeona
Hajakaa kiume vile inapaswa akae akiwa chini kile kikao cha kiume
i think ni cameraa hukua flliped? so if you are using right itakaa unatumia left . inaitwa mirroring
Masha Allah happy family❤❤❤
Nipitieni Leo,medina your videos are so good girl keep going
Done nipitie pia
Done nipitie pia let's grow together
❤
Mnipitie pia
Nipitieni
Saum maqbul ❤
Saum Makbur 🙏🙏🙏
First time kuona bwana wa Sueh
Umemuona wapi na hajaonekana?
Mpishi hodari weee
Team makena. Pitieni kwangu mnifikishe 1k subscribers guys. Ukinipitia nakupitia thanks sana
Pitia kwangu pia nitakupitia
Done ✔️ nipitie pia
@@NaomiKatui done mamaa
@@OfficialFayTv-q2p done
Done nipitie pia please
Mashallah
Bona mnafanya Niskie Njaa banah...🥲🥲hizi ndio stivo simple boi huita Mapocho Mapocho ama?
😂😂😂😂ndizo hzo naona hvyo pia 🤣🤣
Uyu ndo anashindanga ametuuzia uoga ati my husband
Sio yeye huoni tumechezwa alienda behind the camera
Ramadan qareem waswaum maqboul kindly pitieni kwngu pia show love
Sue anajua kupika😊
Support me dear nimekupitia
Nipitie jaman muweze kunifikisha ndio naanz hapa from zero guys🙏🙏🙏🙏
Pitia pia
Done nipitie pia
@@rebeccamokaya7311nipitie pia nmekupitia
Hi team i do loyalty test naomba mnipitie pia
Done dear support me too
Team makena nipite nikupitie
Done nipitie pia
@@OfficialFayTv-q2p subscriber number 205
Done ☝️ nipitie pia
@@akwilinadominic5392 nipitie pia nmekupitia
Done nipitie pia
Masha Allah ❤
Nipitie pia dear
Leo nimeona our husband
Mbona mimi nimeona mikono peke yake?
lets grow together guys nipitienii
Mashallah ♥️♥️
Someone was using the left hand
Ndugu wa koffia atumie mkono wa kushoto sio vyema kwa uislamu
Yani bwana ya sueh amemuumisha na akaondoka😂
Pia wewe umenotice😂 he left the chat😅
Wambui Nipitie ruclips.net/video/S0-VtVStANk/видео.htmlsi=eNd7GZEsau-tth5H
@@phaniceakinyi8821Nipitie ruclips.net/video/S0-VtVStANk/видео.htmlsi=eNd7GZEsau-tth5H
Done
Naomba subscribers pia, nitashukuru
Waislamu Ni kukumbushana Kukula Kwa Mkono wa Kushoto Ni Haramu Alafu Kuvaa Hizo Vibuli Za kenya pia Mkonono Haifai
Afwan sio haram kulala kwa kushoto ila ni ktk sunnah mwisho kutumia kulia kwa kila jambo ila kuingia chooni au kuvua nguo au viatu tunaanza na kushoto.na hayo ni ktk mapambo tu
I didn’t know sue was a Muslim
All this time I thought your sister is a Nigerian kumbe wewe ni mkenya😂😂
Nice one
❤
Huyu n bwana ya sue❤😊
Bracelet iko wpi siye,sue aonyeshe mpoa wake sura😂 ng'oo
Asalaam alaikum first person to comment ❤ na mpitie kwangu pia❤❤
Done nipitie pia
Presenter ali huyo wa kofia hamjamuona anakula na left kisha hamjakaa mkao wa kiume wakati wa kula haswa kama mnakaa chini
❤️❤️keep going gaawl
Nimekupitia dear support me too
Nipitieni aki😢
Done. Nipitie pia
@@margiejesterskitchen6964 done nipitie pia
Done nipitie pia
@@eunicecliff done done
Nipitieni
Saum maqbul
❤❤❤
He he he!
😋😋😋😋😋😋😋😋😋🚴🚴🚴
"When any one of you eats, let him eat with his right hand , and when he drinks, let him drink with his right hand, because the devil eats with his left hand and drinks with his left hand". (Narrated by Muslim, 3764)
Leo tumeona the husband to Sue owino🤩🤩
The comment I was looking for 😂😂
@@NaomiKatuime too
Not really..kama uliona wakati analishwa kuku alie mlisha alikuwa amevaa culture ya kenya mkononi..but ao walio walioneshwa live apo hakuna mwenye nacho mkononi
Imgine❤❤
@@MagdalenaOloodwaambie, nashangaa wameona nini na mimi nimeona mikono nyeupe tu
❤❤❤❤