Mi na kufatilia ndio ila nimeingia kinyongo kwa swala LA Zahir flora taasisi kubwa hukumtendea haki Zahir ila ngoja tuone pumba na mchele upi 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@@maloomaalmnsj5111 Kuna msichana kahojiwa na Zahir akampa msaada WA kumpereka chuo cha urembo na uko kwa Zahir alisema kataka kubakwa hatimae kaenda kwa flora amemchafua Zahir kasema amemsaidia alaf amembaka amemlawit imo humu fattilieni mtaiona
da flora niliishi burundi kweli uyo baba anasema kweli burundi ao wa jabazi wana kujanga wana fugulisha watu usiku , na kujeruhi watu nawengine kuuliwa ao ku uwawa
Poleni na changamoto hizo ila nashanga uhamiaji mko wapi watu wanaingia nchini kiholela holela yani mnaonekana kazi imewashinda na warundi wamo wengi mno humu tz
Mina shangaa n'a hawl ma jamaa 🤔 mbone burundi vitæ îme isha Tangu 2015 wao wame ona vita wapi? Ni Hao wanao taka kwenda ulaya n'a nguvu mimi ni murundi💯💯💯💯💯
ndio kaka wengi wao sio waminifu hata apa congo tuna misitu kubwa Lakini hawa wadugu zetu wafrica wezetu tabia lao niyakushangaza sana hasa wale wana waita thusi tabia lao sijui ya wanyama?, waCongo sio watu wabaya lakini tabia ambao wale watu walitufanyia mpaka leo imekuwa kama uadui, wale wale wa thusi ndo watu wabaya.
Da flora unabugi sasa umesema kuna kelele hapo mlipo afu bado unaweka saut ya kimziki jitaidini muwe mnakatoa ili tuwe tunasikiliza vzur Dada etu jitaidi msalimie dogo seba hapo nyuma ya camera
Yani wame toka burundi mpaka Tanzania sasa ndio wanataka waende Kenya kwa sababu walivo elezwa kuwa Tanzania imejaa wakimbizi so ndio wanataka kuenda Kenya waone km watapokelewa
@@heyumi2340 shida kila nchi inasheria na kanuni zake ndo maana hata kwenye maandiko matakatifu ipo, mfano tiini wenye mamlaka n.k Hadi upate uraia kunavigezo vyake c kiholela wanaweza sababisha chuki Kati ya nchi yao na yetu
@@devothasimbi1055 kwani wao ni simba mbona wahindi wazungu wasomali waarabu wapo tanzani kwani wanann au kwa vile wao wana kipili pili wengine mtelezo
wale wote ni watusi ni watu hatari unakulanaye unacheka naye lakini ndani ya roho lake anakitu flani, leo wanasumbua congo kwa uzuri wa wacongomani kuwapokea leo wana warudishia wa congo ubaya wana sahau namna walipokelewa na wa congo
Kama wewe ukosalama wengine sihivo na mimi ni murundi ila najuwa kama kuna watu wanateseka sana angaliya gisi walivyo warundi hatuna upendo hata kidogo
Ehh Jamani Poleni. Maisha sio rahisi. Mi nilivyo muelewa huyo kaka wanaelekea nchi ya Kenya kupitia Tz.
Poleni sana warundi, dada flora ubarikiwe sana kwa kazi unayofanya
Hao wajafika kenya nina imani kama wngeingia tu kenya sidhani kama wangeachwa wangesaidiwa
Dr flora tunaomba mrejesho
Dah mumy hongera. Kwa kaz yako ya jamiii mbona changamoto xanaaa warundi polen mungu awakumbuke tabu xana
Jamani tanzania wapokeeni musiwarudishee kwao...inasikitishaaa
Subhana Allah watu wamekonda yaarab mungu wangu tustiri waja wako
Poleni sana kwa binatam wenzetu
Pole Sana kwao Asante Dada flora mwenyezi mungu azidi kukubaliki uzidi kutusaidia
Tanzania nchi yangu ilove u
Mungu akubariki dada Flora 😭😭
Nawahurumia watoto jaman jamaniii maisha haya wanasiasaa ona wanavyowapa shida watoto wakina mama
Hongera sana kwa dada mungu atakubarikii
Mi na kufatilia ndio ila nimeingia kinyongo kwa swala LA Zahir flora taasisi kubwa hukumtendea haki Zahir ila ngoja tuone pumba na mchele upi 🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Imekuwaje kwani dear ujue sijaelewa
@@maloomaalmnsj5111 ata mimi sijamwelewa
@@maloomaalmnsj5111 Kuna msichana kahojiwa na Zahir akampa msaada WA kumpereka chuo cha urembo na uko kwa Zahir alisema kataka kubakwa hatimae kaenda kwa flora amemchafua Zahir kasema amemsaidia alaf amembaka amemlawit imo humu fattilieni mtaiona
@@khdigahk4246 asante my
@@khdigahk4246 masikini binadam ni binadam tu hawabebeki kaa kamchafua kaka wawatu 😭
da flora niliishi burundi kweli uyo baba anasema kweli burundi ao wa jabazi wana kujanga wana fugulisha watu usiku , na kujeruhi watu nawengine kuuliwa ao ku uwawa
MASHALLAH MASHALLAH ,Flora wewe kwa kweli Allah atakulipa,una moyo sana dada,ALLAH AKUBARK kwa huruma wako.
Ndio wanakujaga hivo muwe makini .inchi yenu iko atarini hivo.
Shirika LA UNHCR LIKO KWA AJILI YA KUSAIDIA WAKIMBIZI Ukiwarudisha kwao NI HATARI FLORA.
Da Flora ubarikiwe kwa moyo huo wa upendo kwa kazi nzuri unayoifanya katika jamii,na hao Warundi nawapa pole sana.
Mungu akulipe flora inaumiza sana
Da Frola Sasa bona una piga music uku mkiongea Sasa tutaelewaje
Hongera sana
Poleni sana Warundi ALLAAH awalinde Insha Allaah
Poleni na changamoto hizo ila nashanga uhamiaji mko wapi watu wanaingia nchini kiholela holela yani mnaonekana kazi imewashinda na warundi wamo wengi mno humu tz
Mungu wasaidie wafike makwao salama 🤲🙏🏼
Wasirudiii watamalizwa wakabidhini SHIRIKA LA WAKIMBIZI TANZANIA WAMESHAFIKA MIKONONI MWENU WAKABIDHINI HUKO PLEASEEEE
Huwa kuna NCHI ZIKO TAYARI KUWAPOKEA KAMA NORWAY SWEDEN DENMARK AUSTRALIA WATAWACHUKUA WOTE NAONGEA NIKIWA NA uhakika
Mungu akubariki dafrola 😍😍😍🥰🥰🥰🥰😘😘
Polenisana nduguzangu burundi
Sisi kwetu Burundi kuna Amani nzuri sana 🇧🇮🇧🇮 family zetu siziko Burundi 😏😏🇧🇮🇧🇮 🧕🙌🙌🙌abarundi muzotumara maza kweri ni mureke kuza muduteza urubwa😚😚😚😚
Sasa bamekinbiya Amani,🙄🙄🙄🙄vugamake
Mungu akubariki sana😘😘
Wapelekwe UNHCR TANZANIA
Mungu aeabariki
Flora mungu akutie guvu saidi
Jamaniii. Warudi walikotoka kweli? Hawa wanashida. Wanahitaji usaidizi, wahifadhike
Waongo hawo warudi Burundi kuna amani
Mnachoka kwel Mungu awa saidiye
Mina shangaa n'a hawl ma jamaa 🤔 mbone burundi vitæ îme isha Tangu 2015 wao wame ona vita wapi? Ni Hao wanao taka kwenda ulaya n'a nguvu mimi ni murundi💯💯💯💯💯
Jamani watu wanateseka, Mungu watetee.
Ni muongo jamani Burundi akuna vita kama anataka musaada akaombe kwaingine njia 😏😏
Unauliza maswali mengi kama kuwasaidia wasaidieni hata chakula mnashindwa kuwasaidia Acha kuuliza maswali mengi
Piga simu UNHCR TANZANIA PROTECTION SECTION
Poleni san watu wa burundi
Flora nakuomba ukiwa unamuhoji mtu toa hiyo nyimbo
Jamni ukiona mzazi anahagaika na mtot na njaa ujue anashida binadamu tunatesana sana
Hao nawenyewe watawauwa jamani nawaonea huruma hao wameisha ooh my God.
Ss. Mbon. Saizi. Burundi🇧🇮. Hakuna. Vita. Uyo. Kwau. Niwap. Hasa🤔
Majirani watanzaniya mumuerewi kweri anaco kizu ngumuza vitæ iliyopokwasasa Burundi niyaupfico nawatu wanategetea kabisa nahata wakwetu waripoterea kwenyenjiya yakutatanisha
Waongo Hao warudisheni kwao
Tatizo sio.kuwapokea Ila wengi.wao.si waaminifu tuna ardh.kubwa ya kuwahifadhi Ila tatizo ni hilo
ndio kaka wengi wao sio waminifu hata apa congo tuna misitu kubwa Lakini hawa wadugu zetu wafrica wezetu tabia lao niyakushangaza sana hasa wale wana waita thusi tabia lao sijui ya wanyama?, waCongo sio watu wabaya lakini tabia ambao wale watu walitufanyia mpaka leo imekuwa kama uadui, wale wale wa thusi ndo watu wabaya.
Nimetokwa machozi mwenyezi wapenguvu waja wako watoto wadogo wanateseka
Jamn inauma sana 😢🙏
Shida ipooo burundi mwenye hayajamfika ndo anasema USALAMA upooo hakuna usalama
Kbs
Jamni watanzania tutuzeni amani ya nchi yetu
Da flora unabugi sasa umesema kuna kelele hapo mlipo afu bado unaweka saut ya kimziki jitaidini muwe mnakatoa ili tuwe tunasikiliza vzur Dada etu jitaidi msalimie dogo seba hapo nyuma ya camera
Frola wimbo huo wa nitetee sauti ni kubwa mume mnapunguza jamani mnatuchanganya
Mungu atakulipa da flora kwa moyo unawo 🙏
Kuipa mzigo serikar tu mnazurula nini harafu huku mnawagonjwa serikari ianze kuwatibu
Yani wame toka burundi mpaka Tanzania sasa ndio wanataka waende Kenya kwa sababu walivo elezwa kuwa Tanzania imejaa wakimbizi so ndio wanataka kuenda Kenya waone km watapokelewa
Wapeleke Uhamiaji hao.
Jamani.Tanzania tutunzeni amani yetu
Hiyo nikweli kabisa Burundi kukohivo warundi wanahiyo tabiya ya kuuwana kwa siasa Niliishihuko niliona hizotabia mpakahivi wangalikihivo
Kwa kweli ni huruma hakuna namna nyingine ni kumuomb sana Mungu
Uyu baba akifika burundi ataulia mna wanatuakikishia kunausalam nahakuna usalam
Mungu wasaidie jamani
sehemu ya vita nivita tuuu poleni warundiiii
Wizi uko kenya sana tunaibiwa ata askari akiwa hapo juu wako kiru moja
Jamani wanatia huruma jaman mpk unalia
Ee MUNGU ifiche Tanzania YETU na mabaya yote🙏🙏
Mmmmmh mtarudishwa Tena hukohuko na hivi mmejionyesha
Naskia washarudishwa
kwa nn wasipewe uraia tu waishi mungu atawalipa popote ardhi ni ya mungu
@@heyumi2340 shida kila nchi inasheria na kanuni zake ndo maana hata kwenye maandiko matakatifu ipo, mfano tiini wenye mamlaka n.k Hadi upate uraia kunavigezo vyake c kiholela wanaweza sababisha chuki Kati ya nchi yao na yetu
@@heyumi2340 wapewe uraia ?hivi unaelewa Tanzania haijaruhusu hâta raia pacha?
@@devothasimbi1055 kwani wao ni simba mbona wahindi wazungu wasomali waarabu wapo tanzani kwani wanann au kwa vile wao wana kipili pili wengine mtelezo
Bodaboda mlio nyagya pesa mungu anawaona mtaazibiwa hapa dunia haki akhera hamkuwa hata na huruma na watoto
Bodaboda mnachinjwa kumbe nihaki, hamuoni huruma kuwaibia watu kama hawa
😭
Watanzaniya hutesa sana warundi tunajuwaa mungu anawaona nyiye
Jamni kwani hapo wameteswa au kusaidiw kila nchi inasheria zake
Duuuh?
Da filo naomba hiyo kufiya mamy 9
Ira kicwa camaneno hakiendani namaelezo
Musiwawonyeshe sura jamani hao ndio basitena.
Washaindie
From 🇧🇮 Saudia Lada ni kijijini mimi family yangu iko salama
Mimi kama mimi umeniuthi sana
Kwani imekuwaje
Poleni Kwanza kwa matatizo wapelekwe kambini wapewe hifanzi hao watu wanateseka Kweli Kweli mummm😭😭😭 watusi na wahutu wana vita ya chini chini
wale wote ni watusi ni watu hatari unakulanaye unacheka naye lakini ndani ya roho lake anakitu flani, leo wanasumbua congo kwa uzuri wa wacongomani kuwapokea leo wana warudishia wa congo ubaya wana sahau namna walipokelewa na wa congo
Wanajuwa kutupatisha haya awo watu sisi wa Burundi mbona tuko na usalama wakutosha kwetu Burundi
kwa hiyo hawa ni waongo
Kama wewe ukosalama wengine sihivo na mimi ni murundi ila najuwa kama kuna watu wanateseka sana angaliya gisi walivyo warundi hatuna upendo hata kidogo
@@evewinny5798 ndio kbs hatuna upendo
Nipeni huyo mdichana anisaidie kazi ntamlipa