MAZITO NCHINI: SIASA,CHUKI, USALITI, NABII ROLINGA ANENA HAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 20

  • @dravioanjelomgulunde6332
    @dravioanjelomgulunde6332 3 месяца назад +4

    Mungu wetu ni mkuu mno kwakweli tutubu na kuiamini INJILI YA YESU KRISTO🎉AMEN

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 месяца назад

      Yesu ndo nani ww usijidanganye kama yy alishindwa kujinusuru kwenye msalaba ataweza kukunuru ww

  • @Maureenjason9651
    @Maureenjason9651 3 месяца назад +3

    Mungu atuhurumie sana kwa hiki kizazi kisicho mtii MUNGU,

  • @isaacgwams8080
    @isaacgwams8080 3 месяца назад

    Amen! Tunakushukuru sana Nabii wa Mungu kukubali wito wa Mungu, kufanyika chombo cha kunena mapenzi ya Mungu juu ya taifa letu pendwa Tanzania na hata mataifa mengine pia. Bwana akubariki na kukupa maisha marefu yenye afya njema na mafanikio tele.

  • @MaureenNasijays-cr2vz
    @MaureenNasijays-cr2vz 3 месяца назад +3

    Mungu tu atuhurumie sana, maanake sisi wenyewe hatutaki kutubu

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 3 месяца назад

    Bwana Mungu wewe ndiye ya kweli na uzima naomba usitupite bwana katika Hali yeyote mbaya.

  • @FloridaLwaho-mk3sf
    @FloridaLwaho-mk3sf 3 месяца назад +1

    Bwana YESU unisaidie nami nipone afya yangu na elimu yangu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 месяца назад

    Ee mwenyenzi uniokoe na kuniponya maumivu yote mwilini mwangu. AMEEN.

  • @MuniraMaliki
    @MuniraMaliki 3 месяца назад +1

    Najiunga manisha na uponyaji huu wa kichwa na mimi napona leo kichwa changu kwa jina la yesu kila kiungo cha kichwa changu na mishipa yote ya kichwa mpaka utosi unao niuma napokea leo uponyaji

  • @lucashe3252
    @lucashe3252 3 месяца назад +1

    Amen

  • @OlaisMeyasi
    @OlaisMeyasi 3 месяца назад +2

    Naomba uniombee nipone ugonjwa unaonisumbua

  • @NastarLtd
    @NastarLtd 3 месяца назад

    Naamini TU Mungu atafanya

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 месяца назад

    Eee Mungu naomba usinipite naomba uniponye kichwa unifungue kiuchumi napokea kufunguliwa kwa mamlaka kwa jina la yesu

  • @DIANAANDREW-bq6no
    @DIANAANDREW-bq6no 3 месяца назад

    Emungu niponye name

  • @lucymwithi7774
    @lucymwithi7774 3 месяца назад

    🙏🏽🙏🏽

  • @DoraNyandamba7078-ef2rz
    @DoraNyandamba7078-ef2rz Месяц назад

    Ee nabii nisaidie kujua nini kinafanya mwanangu asifanikiwe na je afanyeje atoke kwenye Halifax iyi mm ni baraka singano

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 3 месяца назад +2

    Huyu Ana roho ya mrehemu tb Joshua ni Hatari sana Katika nchi yetu kuwa na manabii kama hawa

  • @omuze1290
    @omuze1290 3 месяца назад

    Hawa wakalimani wa lugha ya kingereza wanaboa sana. Hivi kuwa nao ndio kuwa juu kihuduma? Wangekuwa wanajua basi hivo vingereza vyenyewe.

  • @OlaisMeyasi
    @OlaisMeyasi 3 месяца назад +1

    Amen