Shukran sana Allah bareeq feeq lakini tungependelea hivi hivi ulivoweka kwa mpangilio ila uweke episode 1 or episode 2 3 4 kama ivo ilitusipate tabu kutafuta ipi inaendelea shukran Allah akulipe kheri dunia na akhera Ammeen
waalekum salam warahmatullah bila shaka kama aliamrishwa achukuea viumbe wote pea basi na chakula walibeba ikiwemo matunda mimea na kadhalika. Allahu aalam.
ili kudownload video youtube laima utumie software nyengine , unaweza kujaribu njia hiinakuelekeza katika ile URL ya video yako unaandika ss baada ya www. mfano www.ss
Allah akupe maisha marefu shekh othman Bin maalim
Wallah yan sh othman jins anavoelezea unajihisi kama unaona live Masha allah allah Akupe afya njema uzid kutukumbusha.
Mashallah ❤
Mungu akupe kila LA kheri
Alhamdulilah for blessing of being muslimah🎉
.b
Shukranii sana shekhe wetu Allah akuifadhi insha'Allah
Aamiin
Maashallah
🙏
Napend sana visa va mitume
Alla akujaalie kaulithabiti
Shukran sana Allah bareeq feeq lakini tungependelea hivi hivi ulivoweka kwa mpangilio ila uweke episode 1 or episode 2 3 4 kama ivo ilitusipate tabu kutafuta ipi inaendelea shukran Allah akulipe kheri dunia na akhera Ammeen
shukran nimepokea ushauri wako
salamu aleikum
Waalekum salam
Hiki kisa nikiwaga na mawazo ya dunia nasikiliza hiki kinaniliwaza sikat tamaa
ASSALAM ALAIKUM NAAM MASHALLAH SHEKH WANGU UTHMAN MAALIM. ILA SWALI HILO JE KWA MDA WALIOKUWA NDANI YA JAHAZI NA VIUMBE TOFAUTI .JE WALIKULA NINI ?
waalekum salam warahmatullah bila shaka kama aliamrishwa achukuea viumbe wote pea basi na chakula walibeba ikiwemo matunda mimea na kadhalika.
Allahu aalam.
Mm najatibu kudownload mawaidha siwez nitumie njia ipi ili nikikosa bando niwe nasikiliza tu
ili kudownload video youtube laima utumie software nyengine , unaweza kujaribu njia hiinakuelekeza katika ile URL ya video yako unaandika ss baada ya www. mfano www.ss
Tumia vidmate
Ppp