Kila la kheri kazi njema MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awape nguvu afia na uzima tele awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga
Mwisho strikers wawe😢 creative kila wakati wanapo fanya movement wanapaswa wa check keeper yupo vipi golini na shoot kutoka mbili hapa mfano ni goli la Mudadhiri na Fei toto😅
Kila la kheri kazi njema MWENYEZI MUNGU awe Nanyi nyote awape nguvu afia na uzima tele awapikanie awashindie awaweseshe vyema katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana Yanga
Mungu bariki chamalangu kesho lifanyekweli AmaniStadium
MUNGU awatangulie ktk mchezo wetu wa kesho awape afya njema wachezaji wetu na benchi zima la ufundi tupate ushindi kesho ameeen
Hongera kwa mwandishi uliouliza swali la mwisho....very relevant and professional
Timu ya yanga na utaifa zaidi,kazi iendelee
Kila La Kheri Young African 🔰💚💛 Mpate Ushindi Mnono Na Kuvuka Kwenda Group Stage 👋
Asante baca, waje kwa heshima
Ukitaka kugombana n wakristo wambie yesu sio mungu utawasikia watavyo kasirika
Yanga bingwa liwalo naliwe afe mtu au daima mbele nyuma mwiko
Viva Gamondi,Viva Wanainchi,daima mbele nyuma mwiko.
Baca nakukubali sana
Jambo lingine strikers washirikiane kama mchezaj strker anapaswa atoe pasi kwa yule aliyepo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufungua goli😊
Hiyo T-shirt aliyovaa Gamondi sh ngapi jamani naitaka ni nzuri mno
Hiii ndio yanga is the best
Dua kwa Yanga yetu.
Bao moja tu linawatosha hao CBE wa Ethiopia. Labda kama wachezaji wanataka pesa zaidi za mama. Hakuna haja ya kujiumiza.
Kuna nafasi zingine za wazi mno kukosa magoli wachezaji wawe more clinical sio sawa kabisa mchezaji kubaki na goli alafu anapiga nje au nguzo
msafiri tokamwanza kesho kunavua ya magli kwani ata mchezo wakwanza wagefugwa zaidi ya 6 kwaiyo wajipage kuna. vua yamagoli. dube hasichezee nafasi kama vipi palebele hasimame baleke ama mziize dube atokee bechi gamodi fudi kweli. kweli
Mwisho strikers wawe😢 creative kila wakati wanapo fanya movement wanapaswa wa check keeper yupo vipi golini na shoot kutoka mbili hapa mfano ni goli la Mudadhiri na Fei toto😅
Kesho gor 3
kesho hao watapokea package ya goli 5
Kesho Inshallah tutashinda ila si kwa goli nyingi
Kuna watu wanaweka simu zao kurecord wanatuharibia utulivu! wakileta simu zao basi waziweke silence. au wasilete kabisa. yanga oyee! ushindi ni lazima
Piga hao wahabeshi warudi Israel
Nani mwingin anasema gili zipo za kutosha
Fungeni magoli mengi vijana wetu
Kila la kheri yanga Africa wafungeni hao goli 3 kwenda mbele