Hadhi Maalum (Special Status) kwa Watanzania waliochukua uraia wa nchi zingine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @MRST_1662
    @MRST_1662 2 года назад +3

    Yup! That why Hata mimi sina nyumba Tanzania. Can’t wait for that to happen. Soon as they allowed it I will be in kuwekeza!! Well said Kaka 💕🇹🇿🇨🇦

  • @karthala6676
    @karthala6676 4 месяца назад

    Asante sana kwa maelezo. Sasa lini tunaweza kuomba Hiyo haki mpiya. Asante

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 2 года назад

    Mwenyezi mungu aku baliki sana

  • @Wamichiligallery
    @Wamichiligallery 2 года назад +8

    Dah yani unaongea vitu muhimu sana brother, lakini itatuchukua mda mwingi sana kukuelewa kaka, Tanzania ni nchi ya ajabu, mtu kusikiliza video kama hii anaona anapoteza mda🤦🏾🙏🏾.

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 2 года назад +2

    Hii hati maalumu, itatambua watoto wetu

  • @Zimwilishe
    @Zimwilishe 11 месяцев назад

    Watanzania inabidi tuamke, mambo ya kizamani sana ya kuzuia haki za watanzania walioko nje ya nchi. Tuangalie faida ya nchi

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 3 месяца назад

    Ametumbuliwa January Makamba (waziri wa mambo ya nje) na katumbuliwa pia Jerry Silaha (waziri wa ardhi) kisa hii hadhi maalumu na tuhuma za kutaka kuuza inchi yetu kwa wageni hasa mabeberu wenye vinasaba vya Tanzania.

  • @nibahati
    @nibahati 2 года назад

    Thank you brother

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 2 года назад +1

    Dual citizenship became nightmare

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 2 года назад +2

    Kwani endapo itaruhusiwa hiyo hadhi maalumu je kwa raia aliyopo Marekani akaamua kuja Tanzania labda kuwekeza itambidi kuomba viza ya Tanzania?

  • @Bagenzi4life
    @Bagenzi4life 2 года назад

    Asante tena baba mkuu

  • @romaningowi1564
    @romaningowi1564 2 года назад

    Broo umefuta ila video ya fursa ya kuja kwa summer camp

  • @da2jamhuri418
    @da2jamhuri418 2 года назад

    Kiongozi nakufatilia sana,ila hili LA Norway kutoa elimu bure,je nawezaje kupata connection ili nipeleke mtoto?na unaweza kunifanyia mchakato huo,kama hutojali.

  • @mashachaney2048
    @mashachaney2048 Год назад

    Atleast Kuna kamwanga kanaaza..

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 2 года назад

    Kiongozi ikiwa hivyo itakuwa poa sana!!!$$$$$!!!!

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Год назад

    Acha kutumia neno la kuukana Utanzania, hakuna mtu aliyeukana Utanzania watu wamechukua fursa

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Год назад

    Ipo wapi hadhi maalumu?
    Ita wapa ipo wapi?

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 2 года назад

    Kaka wewe ni kichwa sana

  • @peacesamula9497
    @peacesamula9497 2 года назад

    Nimefurahia uthamini wako kwa watanzania wenzako. Ombi,
    Naomba unisaidie nifundishe Kiswahili huko

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 2 года назад

    Makulila acha kuendekeza mambo ya sheria zilizopitwa na wakati.

  • @kokolocinemasstudio
    @kokolocinemasstudio 2 года назад

    Instagram unatumia jina gani kak

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Год назад +1

    1.5 Mil diaspora Ni wengi saana watoe vitambulisho husika na waruhusiwe kupiga kura online za Urais, ukisikia kuiba kura kisomi ndio hivi Sasa , sio kuiba masanduku na Polisi, kwenye kutangaza kura za Rais , mnasema Kura za Diaspora CCM 1.3 mil , Chadema 1ml,ACT 55,000 , n.k who cares hahahahahaha baadhi ya Nchi Raia zake hupiga kura ya Rais kokote Duniani

  • @erickemanuel1171
    @erickemanuel1171 2 года назад

    Nahitaji WhatsApp nomber kwa ajili ya biashara

  • @peacesamula9497
    @peacesamula9497 2 года назад +1

    Nimefurahia uthamini wako kwa watanzania wenzako. Ombi,
    Naomba unisaidie nifundishe Kiswahili huko