HESABU NI RAHISI SANA TAZAMA NJIA HIZI;SEHEMU YA 04 JIFUNZE NA MWALIMU JOHN NJAU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 21

  • @sarahpeter5432
    @sarahpeter5432 Год назад +1

    Hongera sana mwalimu

  • @JasminiKimaro
    @JasminiKimaro 3 дня назад

    Nimependa nimeelewa

  • @tso2022
    @tso2022 Год назад +1

    Njia nzuri tupe ya tarakimu tatu

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 Год назад +1

    Waaah hivi walimu wetu mliotufundisha kwanini mlikuwa hamtufundishi njia rahisi km hizi mlifanya tone hesabu ni somo gumu kupita maelezo

    • @JohnNjau-ey8qc
      @JohnNjau-ey8qc Год назад +1

      Kwanza nianze kwa kukuomba msamaha wa mwalimu alyekufundisha. Huenda alitumia njia rahisi ila wewe ulishaichukia basi naomba ufundishe mwanao au umshirikishe mwalimu anaemfundisha mwanao

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 Год назад

      @@JohnNjau-ey8qc asante sana

    • @phinianirugaimkamu7373
      @phinianirugaimkamu7373 5 месяцев назад

      75/5 ni njia ngumu sana hamna rahisi hapo ina maelezo mengi hatari

  • @adieljoshua640
    @adieljoshua640 Год назад +1

    Ok thank you

  • @yahyagonga
    @yahyagonga Год назад +1

    Safi sana

  • @lilianmasali5783
    @lilianmasali5783 4 года назад +2

    Njia nzuri,lakini naomba uonyeshe na mfano was swali lenye namba zaidi ya mbili.

    • @njaumaster8379
      @njaumaster8379 Год назад

      Nirahisi sana naomba unitumie mfano wa swali

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 года назад

    Thanks so much

  • @yusuphmarka5868
    @yusuphmarka5868 3 года назад +1

    Uko vizur mwalim

  • @wilbertmlyuka5723
    @wilbertmlyuka5723 2 года назад +1

    Hii njia ni kwa namba ndogo tu kama namba kubwa itakuwa changamoto

    • @njaumaster8379
      @njaumaster8379 Год назад

      Namba yoyote itagawanyika hata iwe kubwa kiasi gani

  • @adsonjosephkagiye4909
    @adsonjosephkagiye4909 4 года назад +2

    Nimekupata mwl

  • @asiaogle5832
    @asiaogle5832 Год назад +1

    Atuwezikuchokakuangalua

  • @akramsamil9238
    @akramsamil9238 2 года назад +1

    je ikiwa 45÷4=itakuaje