Afadhali sasa muziki wa dansi kiasi flani utarejea maskioni Tanzania. Tatizo kubwa ni wabunifu wengi kurundikana katika bendi moja, mbili, tatu, na bado katika mrundikano huo vita ya "nani staa" imewaacha wengi wakififia sana katika ubunifu. Hongera sana Prezidaa Nyoshi, nategemea tungo makini nyingi zaidi ili wapinzani nao waje juu na kuifanya Dansi-TZ irejee hewani kama miaka flani iliyopita.
Nyoshe upo sawa kabisa nakufata kutoka 🇨🇩 uvira karibu na bukavu
nyimbo naipenda sana mama wakambo alinitesa maisha yangu yalikua magumu
Bhalaaa💥💯
Mmmmmhhhhh hii si tarabu tena
Uyu ndugu ni msani saaana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Boonge la ngoma bogos ni motoooooooooo
Toto kalala...en Action...kandimazi.
Nyoshi ni mwalimu wa manyimbo na mpangilio wa sauti
Napenda Sana nyimbo hii
Yoka mama sebem....respect.
Redock Mauzo très talentueux! Vocal ya kitoko trop! Big up
Afadhali sasa muziki wa dansi kiasi flani utarejea maskioni Tanzania. Tatizo kubwa ni wabunifu wengi kurundikana katika bendi moja, mbili, tatu, na bado katika mrundikano huo vita ya "nani staa" imewaacha wengi wakififia sana katika ubunifu. Hongera sana Prezidaa Nyoshi, nategemea tungo makini nyingi zaidi ili wapinzani nao waje juu na kuifanya Dansi-TZ irejee hewani kama miaka flani iliyopita.
Merci papaa Eliza za ngai motena na bogos eeh fumu ngengi papaa zambe eehh respect
Mziki Mzuri arrangement nzuri ,mixing nzuri video nzuri
hapana chezea nyoshi mambo ni hiviiiii
melody imetulia sanaa
kazi zuri sn
Papaa na stallone,Papaa na blandine...prezidaa
RAIS WA VIJANAAAAAA..!
Kazi nzuri prezidaaa nyoshi el sadaat 👏👏👏 haya ni mapinduzi kwa muziki wa dansi
😄😄👋
rakanto bass mwana ya boggoss
Mambo ni motooo💃💥💥💥💥
Balaaa zitoo
HUWA NAKUELEWA SANA NYOSHI, KAZA BUTI BRO.
Bonge la ngoma kweli we rais
Mzee nyoshi
Safi sana kijaja wangu Kelly mapesa unajua sauti nzuri kaza
Powa powa
Sawa sawa
Prezdaaaah
Watajua hawajui! Safi Sanaa
Big up #nyoshi na #thebogosiband
Malgré langue mobulu mais maman na nkunga le raïs el sadaat
Soit bénis mon frère
Kazi nzuri nyoshi
Mziki mzuri shyda ni kikosi kikubwa sana ktk soka la leo atagombana na wanamuziki
uko juuuu mkuùuu
Asanteni sana
binge la chuma
Big up nyoshi el sadat
Mziki mzuri
Big up nyoshi kazi nzuri sana
Kaz nzur
Nyoshi umechemka ngoma ya kawaida sana mzee na ww umezingua akuna ulicho imba zaidi yao wezako upo angalia mutaendelea kumsindkiza bella tu
Nice song papa nyoshi
Kazi mzuri siku zote ahinaga comment
Umewonae
Kazi kali
hii style ni kama ya Werrason kuwa nyanyua vijana
Debby mwaka ila Nyoshi yuko juu mno👍🏾
lakanto bass
Nimekuelewa uncle some
hongera sanaaa
Asante sana
Asante sana
Nice music classic music
😍😍😍🤩🤩
Safi sana sésé seko le président
Hatariii sana
Zuchu
🔥🔥🔥🔥🔥💪
Nawapenda san wacongo
❤❤
Asante sanaa KELLY
wata pata tabu sana
that my bro william MK
Nice song
Thanks
❤️❤️❤️❤️🙌🏼👍🏻👍🏻👍🏻
goo d song
Big Up !
🔥🔥🔥🔥🔥
Kabastone shantel ya kilo mingi muviree sauti ya papy tax ya Drc
burudani iko apa
Sawa sawa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥