YA Allah mlinde senior Dave popote alipo, angalia kazi yenye anafanya kuokoa watu .Ya Allah muokoe pia kwa mikono ya madui . Ya Allah we believe in everything shall be well insha Allah
WATU SIO WAJINGA BANA FINALLY Kijana kwa hizi vipindi zako zote uliamua kabisa hutawahi tufanyia moja pia wewe ubebebwe ama uende kwa kichaka, Kila saa unafanyanga tuu watu wa kazi ndio wamebebwa ? champee akampeleka kichaka, mpizzy ukapeleka kichaka, Mark ukapeleka juu ya miti Tom ukapeleka kwa dam, Fred ukampeleka Mombasa, Jeremy ukajaribu kumpeleka Lake Victoria ma-fans wakachanuka ukawachana nayo. Yani bado hauja-give up uamini na ukubali ma-fans walishajua hii kipindi yako na munataka tuu PESA ZA MAFANS muende mkapige sherehe na ku-swim na kulala 5-star hotel ma mpande ndege mukitumia pesa ya muchango. Hakuna fan ako na shida na nyinyi kwenda kupiga sherehe Mombasa/Kisumu/Zanzibar/Tanzania/Ngeria/Dubai ama ata Us lakini mtumie pesa ZENU Starehe iko na gharama sio kukuja hapo ku-confuse innocent fans na vipindi hazina mwelekeo na miguu na michango leo na michango kesho. ya kufunga mwaka moja Kisumu kisha ingine Mombasa(2) . ata nyinyi kuweni serious kidogo. watu sio wote wajinga hiyo design. Mshaita pastors wakuje wawasaidie kukuja kutaja PESA otas kama tuu kawaida. Hiyo pesa mnataja hapo raundii hii mtaona moto, kama ndio mumepangia Christmas mtapepea vibaya . Tumieni zile mumekuwa mki-con innocent fans from January Watu sio wajinga hivo munafikiria 'ati kila siku kazi nikujifisha hapo nyuma ya camera na kudanganya ma-fans ati mumekuwa abducted. idiots Wajinga waliisha bana
Watu sio wajinga hivo munafikiria 'ati kila siku kazi nikujificha hapo nyuma ya camera na kudanganya ma-fans ati mumekuwa abducted. idiot Na kila siku munaita pastor hapo akuje kuuliza 'abducters wanataka Pesa ngapi😂😁😁 Wajinga waliisha bana..
@@JacyQueen-r4x ikiwa elvisi ana mwanamke basi shampee anafaa kuoa huyo msichan aki nimzuri .waksaedie pia wasimuachilie aende shampee pia Hana mke huyu mdada NI mpole mzuri
I truly agree with the pastors..prayer ni ya muhimu..and they should be led by the holy spirit and not emotions..that's what the office needs to adopt..prayers and calling Jesus and the holy ghost in every situation because prayers do wonders and it will arrest those enemies..in Jesus mighty name.

God we call upon your name🙏God go and rescue senior Dave wherever he is cover him with the blood of Jesus Christ 🙏🙏 we rebuke evil spirit that they are planning against his life🙏🙏🙏
Our heavenly father in the mighty name of Jesus we commit senior Dave into your caring hands we pray that no evil formed against him shall prosper in the mighty name of Jesus Dave your at good and truly man of God you have help many people and many families no weapon of the enemy formed against you shall prosper you will be found safe and sound in Jesus name 🙏🙏🙌
God in heaven will take care of senior Dave in the mighty nam e of Jesus Christ. Wambui when you end up your prayer let it pass through the name of Jesus Christ because He is the one who interccend for us.
Huyu champee simuoni pia,,anaulizwa ako wapi hataki kusema,,ati wakuje wampeleke hos i kwanza.hamuezi ona kuna kitu anajua? kaeni hapo tu Dave ameuzwa na champee.
Kweli director uko nyuma,,unaanbia pastor muende wapi mkiomba,,bona hamuulizi champee kwenye ako kwanini? tokeni niende na barabara mmtafte.wee huna plan yeyote ata kureport bado na unasemam mtoke tu sijui muende wapi.
Kumbe wee director ni mjinga hivi? Unasemam mpesne Njeri akauawe ndio Dave aachiliwe..kwani uko aje,wambu usikumbali Alice atoker hapo, Dave si mtoto atajitoa.
Nyinyi mko na mchezo Sana ,kazi ni kushinda mkitafta mapastor,,bona hampigii champee simu amuonyeshe hio kichaka alisema aliona Dave akipelekwa? Tena alichukua simu ya nini na hii ingempeleka mahali Dave ako.tena mriport halafu maombi.champee atamuonyesha mambo mkicheza na yeye.
Mungu hawezi kubali Dave wetu apate shida mlinde pahali ako in Jesus mighty name
Mungu pahali dave ako mlide kumbuka kazi mzuri amefanya ameokoa wengi
YA Allah mlinde senior Dave popote alipo, angalia kazi yenye anafanya kuokoa watu .Ya Allah muokoe pia kwa mikono ya madui . Ya Allah we believe in everything shall be well insha Allah
Ameen Ameen ya Allah 🤲🏽
Aamiin INSHALLAH ni ukweli ame saidia wengi
@BariisSamatar Alhamdulillah Mungu n wetu sote kila kitu kitakuwa salama insha Allah
Sasa hizi nazo ni gani surely,,,,Baba Kafue and ur team (Wanawake)kama kitu itafanyikia SD hatutawasamehe ,
Nimeogea na True k anasema amepata Fred DCI na mwingine wanakuja huko studio. So be calm Jehova atawapigania
WATU SIO WAJINGA BANA FINALLY Kijana kwa hizi vipindi zako zote uliamua kabisa hutawahi tufanyia moja pia wewe ubebebwe ama uende kwa kichaka, Kila saa unafanyanga tuu watu wa kazi ndio wamebebwa ? champee akampeleka kichaka, mpizzy ukapeleka kichaka, Mark ukapeleka juu ya miti Tom ukapeleka kwa dam, Fred ukampeleka Mombasa, Jeremy ukajaribu kumpeleka Lake Victoria ma-fans wakachanuka ukawachana nayo. Yani bado hauja-give up uamini na ukubali ma-fans walishajua hii kipindi yako na munataka tuu PESA ZA MAFANS muende mkapige sherehe na ku-swim na kulala 5-star hotel ma mpande ndege mukitumia pesa ya muchango. Hakuna fan ako na shida na nyinyi kwenda kupiga sherehe Mombasa/Kisumu/Zanzibar/Tanzania/Ngeria/Dubai ama ata Us lakini mtumie pesa ZENU Starehe iko na gharama sio kukuja hapo ku-confuse innocent fans na vipindi hazina mwelekeo na miguu na michango leo na michango kesho. ya kufunga mwaka moja Kisumu kisha ingine Mombasa(2) . ata nyinyi kuweni serious kidogo. watu sio wote wajinga hiyo design. Mshaita pastors wakuje wawasaidie kukuja kutaja PESA otas kama tuu kawaida. Hiyo pesa mnataja hapo raundii hii mtaona moto, kama ndio mumepangia Christmas mtapepea vibaya . Tumieni zile mumekuwa mki-con innocent fans from January
Watu sio wajinga hivo munafikiria 'ati kila siku kazi nikujifisha hapo nyuma ya camera na kudanganya ma-fans ati mumekuwa abducted. idiots Wajinga waliisha bana
God is good
❤
My the Lord protect senior wherever he's.
Track simu ya champee😢😢 God cannot leave Senior Dave, he does good job saving lifes 😢😢
Watu sio wajinga hivo munafikiria 'ati kila siku kazi nikujificha hapo nyuma ya camera na kudanganya ma-fans ati mumekuwa abducted. idiot
Na kila siku munaita pastor hapo akuje kuuliza 'abducters wanataka Pesa ngapi😂😁😁 Wajinga waliisha bana..
Huyu msichana anaheshima .anafaa kuwa mke w elvisi❤
Na mimi nilisema kimoyomoyo
Na Elvis apeleke huyu wake wapiii😂😂😂
@@JacyQueen-r4x ikiwa elvisi ana mwanamke basi shampee anafaa kuoa huyo msichan aki nimzuri .waksaedie pia wasimuachilie aende shampee pia Hana mke huyu mdada NI mpole mzuri
It's not tm for marriage pls, tm to save SD
😂😂😂😂😂😂😂wote wawili@@JacyQueen-r4x
I truly agree with the pastors..prayer ni ya muhimu..and they should be led by the holy spirit and not emotions..that's what the office needs to adopt..prayers and calling Jesus and the holy ghost in every situation because prayers do wonders and it will arrest those enemies..in Jesus mighty name.
Watu sio wajinga hivo munafikiria 'ati kila siku kazi nikujificha hapo nyuma ya camera na kudanganya ma-fans ati mumekuwa abducted. idiot
Na kila siku munaita pastor hapo akuje kuuliza 'abducters wanataka Pesa ngapi😂😁😁 Wajinga waliisha bana..
mungu amlinde dave popote ulipo
Mungu asimame na Dave ambiance kwa jina la Yesu kristo
But definitely it's Alice's boss who is behind all this.
Hope he'll be fine,,then after amekuwa safe,,atafute security wawe wanamjulisha kabla anybody aingie plz🙏
God please protect them 💪🙏🙏🙏
Mungu tangulia kwa senior dave kamutete mabaya walio panga yashindwe katika jin la yesu
Amen
Senior Dave wherever you're Neema ya Mungu ikutosye in Jesus Name
Wherever he is God protect senior Dave in Jesus name
Mungu saidia Dave mahali popote alipo,kumbuka vile ameokoa wengi jeova jire.
God we call upon your name🙏God go and rescue senior Dave wherever he is cover him with the blood of Jesus Christ 🙏🙏 we rebuke evil spirit that they are planning against his life🙏🙏🙏
God will help him. He is doing God's work by helping the needy hence He will also fight for him.
WE are all so sorry all will BE OK 😮😢😢😢and Papa kaufue ist in this ❤❤❤❤❤.Go Go Go for Dave😱🙏🙏🙏God blees you💯
God protect him in the name of Jesus Christ
Dave na yeye anachukuanga kila mtu anampea kazi..hajui huyu mwanaume pengine niyeye amepanga hayo maneno
I hope Dave alipatikana😢😢😢😢God we trust you
Jesus's christ of nazaret 😢😢 kunaenaje naingia online napatana hii lord remember dave popote alipo mungu amfiche na damu ya yesu
Amen...thank u jesus
God help team senior Dave please. They're passing through alot😢😢😢
Our heavenly father in the mighty name of Jesus we commit senior Dave into your caring hands we pray that no evil formed against him shall prosper in the mighty name of Jesus Dave your at good and truly man of God you have help many people and many families no weapon of the enemy formed against you shall prosper you will be found safe and sound in Jesus name 🙏🙏🙌
Amen
May God protect him wherever he is
God protect Dave
Continue to pray wambui na Alice please!!
Mungu saidia Dave mambo ikuwe sawa
God protect dave in jesus name.
pigia pastor joshua guys kwa maombi pliz God protect senior dave
Ripoti police saa hii pls na muombe kwanza
God in heaven will take care of senior Dave in the mighty nam e of Jesus Christ. Wambui when you end up your prayer let it pass through the name of Jesus Christ because He is the one who interccend for us.
May God protect him
Waah! May the Lord 🙏 preserve his life wherever Dave is. God remember good job Dave has done
God pls protect them
Let them explain to us exactly what happened? We are praying for SD and champe
God please protect them😭😭😭😭
God protect him in Jesus name 🙏
So painful 😢😢😢😢 May Allah protect him
May God protect our senior dave
Mungu umuszidiye deved
N Jeremy alikuwa wapi
God protect your son
Woooi mungu amlinde na hawatafaulu katika jina la yesu Kristo
Amenb
Pls call the pastor and pray pls
Mungu akaonekane ktk hili pia
Huyu champee simuoni pia,,anaulizwa ako wapi hataki kusema,,ati wakuje wampeleke hos i kwanza.hamuezi ona kuna kitu anajua? kaeni hapo tu Dave ameuzwa na champee.
God protect our Dave senior family in the blood of Jesus Christ.
Jamn mungu Linda devi
Nawaulizeee,huyo new director ni Dante ama me dio naona zangu? Kama ni yeye how comes anakaa hapo!!!!!
Powerful prayers 🙏 all shall be well 🙏
God of Abram Isaac Jacob help Dave wherever he is I pray for you protection in JESUS Christ.
Huyu champeeee naye ni confused
Kweli director uko nyuma,,unaanbia pastor muende wapi mkiomba,,bona hamuulizi champee kwenye ako kwanini? tokeni niende na barabara mmtafte.wee huna plan yeyote ata kureport bado na unasemam mtoke tu sijui muende wapi.
What!!????,, mungu anawaona
Is this Dante? God protect senior dave
Let us know ni Nini mmeona nje? Talk to us, explain everything
Plz guys start praying maombi yenyu itazuia mambo mingi mkiendelea kungoja pastor
May God protect Senior Dave wherever he is🙏🙏
Husikii ana anajifanya ati amecahapwa apelekwe hosi kwanza ndio mission ikamilike.
Before useme hivo chunguza plz . Senior Dave God is protecting him wherever he is he is doing great job to help innocent souls
God guide protect Dave
God be with them🙏🙏
God protect Dave wherever he is
Kumbe wee director ni mjinga hivi? Unasemam mpesne Njeri akauawe ndio Dave aachiliwe..kwani uko aje,wambu usikumbali Alice atoker hapo, Dave si mtoto atajitoa.
God protect him im shoked
Nyinyi mko na mchezo Sana ,kazi ni kushinda mkitafta mapastor,,bona hampigii champee simu amuonyeshe hio kichaka alisema aliona Dave akipelekwa? Tena alichukua simu ya nini na hii ingempeleka mahali Dave ako.tena mriport halafu maombi.champee atamuonyesha mambo mkicheza na yeye.
Mungu Linda senior Dave damu yako na huruma yako wacha imuzingire
God protect you all and we pray for you
May God protect seniour dave wherever he is..🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
God protect sd where you her
Our God father remember sinior Dave
Inform wazazi wa hawa msichana please
N huyu kijana ni wa wapi
Chapee nayo 😢😢😢
Mwambie venye unamwambia sio nakwambia aje io ai make sense,jast say what yu what
Yaani wewe upelekwe hospital.Wakati Dave hajulikani acha usaliti.😢
Hio simu imewachwa maksudi ili isitrackiwe! We are not stupid!
Mungu muweza wa yote mkumbuke senior dave
Dante si mclear if he know something aseme
🙏🙏🙏🙏🙏
Wah woi senior Dave wacha live ya usku woi
Hawezi sikia amejalibu kukanywa haskii
😢😢😢
God protect your Son
God plz protect them
😢😢