Nimependa sana Hili somo naamini litanisaidia sana kwenye tatizo langu la kuandika Kiarabu kwa makosa ikiwa siangalii maandishi, maana Kiarabu ukiandika kutoa kichwani ni shida
Nimependa sana Hili somo naamini litanisaidia sana kwenye tatizo langu la kuandika Kiarabu kwa makosa ikiwa siangalii maandishi, maana Kiarabu ukiandika kutoa kichwani ni shida
Allah awalipe kheriy walim kwajihada zenu mzuri amiiiiyn
Jazakallah khaira 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
MashaaAllah darsa zuri sana nimependa mwalim
ما شاء الله بارك جزاك الله خيرا
جزاك الله خيرا
Mashaa Allah shukrani sana Allah awalipe khery 🤲🤲
Masha'Allah somo zuri naomba Allah anipe wepesi wa kufahamu yarrab Aamiyn
@@datitisahal9575 آمين يارب العالمين 🤲
Shukurn mwalim naomb nijue kuandika na kusoma inshaallah
Bismillaah mashaaAlllaah,, jazzak Allaah khayran
Wallah nafaidika Allah akuzidishie
maaa shaa Allah fundi wangu ahmad
Ma sha Allah ustadh wangu Allah akulipe yalio mema ammen
Aaaamin aaaamin kwa sote pamoja 🤲 🤲 🤲
Mashallah barka Alla mwalimu
Tabaraka Allah
assalamu aleikum warahmatu allahi wabarakatu
Kwa nn katika kilma مائة iko na alif
Mashaallah shukuran sana kwa somo zuri ALLAH akuzidishie mengi ya kher
Aaamin aaamin kwa sote pamoja 🤲
Hali
MashaAllah nimejifunza Alhamdullillah
Shukran
Karibu sana
Shukrani, darsa ni mzuri
Allah akuhifazi tueendelee
Aaamin aaamin kwa sote pamoja 🤲
جزاك الله خيرا يا معلمني🌱🇹🇿
Mashaallah
Nimependa sana Hili somo naamini litanisaidia sana kwenye tatizo langu la kuandika Kiarabu kwa makosa ikiwa siangalii maandishi, maana Kiarabu ukiandika kutoa kichwani ni shida
Basi Karibu sana maana hilo ndio lengo letu hasa kufundisha vipi utaweza kuandika Maneno ya Kiarabu kwa uhakika bila kutizama popote
MAA SHAA LLAAH
Masha aa Allah
Unaonaje ukatufungulia darasa maalum ktk wasap na kutupa kazi
Nimependa sana Hili somo naamini litanisaidia sana kwenye tatizo langu la kuandika Kiarabu kwa makosa ikiwa siangalii maandishi, maana Kiarabu ukiandika kutoa kichwani ni shida