Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Waooo, nyimbo nzuri sana,mwenyezi Mungu azidi kukuongoza vyema na kukutia nguvu Zaid ili uweze kutulisha neno la Mungu
Nina uhakikaa na kaz zako Kaka mungu kashakupaka mafutaaa hakika ubarikiwe mno💕💕💕
hakika ijapokua magonjwa yatainuka juu yangu kumbe Mungu atatenda ooh Mungu tenda juu ya maisha Yangu barikiwa Sana mtumishi wa Mungu ujumbe mzur Sana Mungu awe apande wako kuitetea huduma yako Ameen
Amina napokea kwa jina la Yesu, Asant sana mpendwa
Ubarikiwe Sana mtumish kazi nzur
Tenda baba maishani mwetu hakikaka wewe ni mwaminifu kwetu mungu mbaliki kaka Paul Joel hakika unatenda
Amina Asante sana dada yangu
Nishandwa cha kusema......Nakuona katika Viwango vingine....Kazi yako ni njema mno
Amina Mtumishi wa Mungu Asant sana ni maombi yenu tu
Mungu azidi kukuinua kaka yangu ❤️ sana katika maisha
Amina
Unaweza kaka ubarikiwe
MUNGU akutangulie usichoke endelea kupambana mdogo wangu ongera sana tuko pa1
Amina Asante sana kaka
Kaza kaza mtumishi kazi nzuri sanaa barikiwa mungu akuinue kwa viwango vyajuu by makobero jr
Jaman napokea kwa jina la Yesu
hatua nzuri sana kijana mungu akuongoze katika mwanga wa mafanikio
Amina Asant
Dogo siamini hiki ninachokiona hakika mungu ni mwema kwako nimefurahi sana kuona upo katk huduma hii
Utukufu apewa Mungu aliye hai kwake yote yanawezekana ndugu
amen kaka 🙏 mungu atusaidie ❤️
Nakuona mkuu wangu! Injili isonge mbele, Mimi nazifuatilia kazi zako
Amen Asant sana mpendwa nisaidie ku share pia usisahau ku subscribe
Sina wasiwasi na kazi zako#God bless u to another level 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Amen Sana ndugu
Ameeeen, Mungu atende hakika
🤝🤝 kazi nzuri kaka angu... Zidi kuinuliwa amen...
Amina dada yangu
Baba atende kweli
Vzr sana kaka Angu Kwa kazi Nzr Mungu akubariki sana
Amina Asant sana mpendwa
Barikiwa Sana mtumishi kwa wimbo mzuri tena sana
Amina amina Mtumishi wa Mungu Asant sana
Mungu akutangurie mtumishi kazi nzuri sana 🙏
Amina Asant sana Mdogo wangu
Mungu azidi kukubaliki kaka kazi nzur sana
Amina Asante sana
Hongera kazi nzuri🙏🙏🙏
Amen
Mungu akubariki xaan mtumishi mwezngu
Amina Asante sana Kijana
Ni kwelii baba tunahitaji msaada wako
Unanipa faraja sana kaka mungu awe nawe
Kaka Mungu azid kukusimamia hakika unaujumbe mzr.
Amina Mtumishi Mdogo wangu nakupenda Asant kwa hilo
@@pauljoel 2ko pamj kaka
Kaka nakuona mbali sana kupitia huduma hii ya uimbaji......mimi nakuombea mungu azidi kukuongezea uzidi kuwa imara katika kazi zako
Amina umejua kunifurahisha ndugu, Asante Sana napokea
Hongera mtumishi
Amina mpendwa
Honger kaka angu
Asant sana
Hongera, ni hatua
Amina Mtumishi wa Mungu, nisaidie ku share na wengine wapate
Amazing. Hongera
Asant
Umwema
Woow amazing 🔥
Amen mtumishi
💥💥
🔥🔥
🙏🙏
🙏🙏🙏