Ensure your kids watch this before they marry😭😭😭It is never as sweet as they watch in Telenovela

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025

Комментарии • 396

  • @comradesflavour
    @comradesflavour  Месяц назад +3

    ruclips.net/video/qlTA6Xb7150/видео.htmlsi=4qjz-2xfyVcDRwr1

  • @alftedmuia8559
    @alftedmuia8559 Месяц назад +7

    Cheating is a choice not a mistake

  • @blackbeutyDenmark
    @blackbeutyDenmark 2 месяца назад +57

    Watu kujeni niwaambie kitu very important.....stay true to your partner, it pays alot. Respect and Love. Cheating has conseguences

  • @iglesiaswilliams7161
    @iglesiaswilliams7161 2 месяца назад +18

    Umesave uyu boy big time, imagine angeishi kwa giza na hujui angeletewa ugonjwa gani next na angelea watoto wa nani.Anafaa akushukuru sana

  • @barygarcia3128
    @barygarcia3128 2 месяца назад +23

    The innocent faces are the most dangerous ones😂😂😂 ati wife material ..

  • @martinmurimi1116
    @martinmurimi1116 2 месяца назад +28

    Women a man who gives you time will provide nothing in the house.And a man who don't have time with you has a bright future for all of you

    • @sheillahchepkirui2707
      @sheillahchepkirui2707 2 месяца назад

      Very true,,lkn wasichana tu😢

    • @thukusimon
      @thukusimon 2 месяца назад +1

      Mi hata nashindwa ni time gani na wanalala bed moja.mtu anacheat na yeye wanaonana once in a while.sasa huyo anakupea attention aje

    • @MartinMukhebi-hp5ut
      @MartinMukhebi-hp5ut 2 месяца назад

      Hawaskianga

    • @ErickYegon-t5v
      @ErickYegon-t5v 2 месяца назад

      Dats very true100%

    • @jamsetprecious4474
      @jamsetprecious4474 2 месяца назад

      Say it louder please

  • @HellenJwayi
    @HellenJwayi 2 месяца назад +3

    Team strong say "HI",,Am almost turning 31 bt Sina mbio ya kuoleka pesa kwanza,I build myself then marriage later

  • @samuelotienootieno9200
    @samuelotienootieno9200 2 месяца назад +3

    Well done bro, continue with this work, you are saving many people. Same question: How many people are out there doing same thing secretly? This is sobering! This is one reason why HIV is still a problem in this so called hightech world.

  • @Annwaithira-x2m
    @Annwaithira-x2m 2 месяца назад +3

    hanipei tym will never get old😅😅😅

  • @mantusgitonga6129
    @mantusgitonga6129 2 месяца назад +23

    Wah its a learning process.. "Sasa sio kugongwa ni kupiniwa kwa wall"

    • @dennismajale
      @dennismajale 2 месяца назад +2

      syllabus inaenda mbio...😂😂😂😂

  • @Priscilla-q5c
    @Priscilla-q5c 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂aki Steve..haka nako umekachomea

  • @tonykodes2252
    @tonykodes2252 2 месяца назад +2

    The silence when you know it's BMS is doing his thing

  • @gakiimiriti9809
    @gakiimiriti9809 2 месяца назад +4

    Gosh! shes from Karatina wacha aibu 😅😅 Thanks for advising these young girls BMS haogopi ukimwi weee watuwajipende naniii

  • @ericokeno6559
    @ericokeno6559 2 месяца назад +3

    Waa! Enyewe steve hukupenda hii "Marriage" kabisa. hii hata ukilipwa ufanye follow up sioni ukienda. Hadi mwisho unatupa lecture kwani umekuwa Kifee? Good job bro

  • @GakiiBundi
    @GakiiBundi Месяц назад +1

    Lakini kusema ukweli siku hizi loyal partners ni 1%

  • @MohamedkulmiyeAteyeAteye
    @MohamedkulmiyeAteyeAteye 2 месяца назад +2

    Thank you 🎉 BMS hapo huyo msichana amepata lesson kweli ni mdogo sana isipokua wasichana wakifika hiyo age sio wadogo lakini amepata lesson ya maisha

  • @eunahndambiri2761
    @eunahndambiri2761 2 месяца назад +1

    Ladies if you want a rich man you got to sacrifice your time together. Understand what you want with a man😅

  • @wilsonmaroa
    @wilsonmaroa 2 месяца назад +2

    Shukuru Mungu ulinyimwa bro and take BMS advice pliz

  • @faumash6734
    @faumash6734 2 месяца назад +8

    BMS you're the best 😂😂❤❤

  • @philicemaradi
    @philicemaradi 2 месяца назад +4

    Nyinyi Mnacheat aty hamupewi tym ,,Mm nataka tuh mtu wakuniambia l love u😢

  • @edwardkamau773
    @edwardkamau773 2 месяца назад +13

    ;Her Huwezi nipatia time.
    Me: Same old same old same old chorus.

  • @mellahdcosta5563
    @mellahdcosta5563 2 месяца назад +1

    BMS: Labda hata ulitoroka home😂😂

  • @mansoordelfuenzo
    @mansoordelfuenzo 2 месяца назад +2

    Kijana bring excitement to bedroom matters and your woman will never stray kama umezoea missionary kwa bed jiangalie ujipange amanamnagan 😮

  • @collinsonano4286
    @collinsonano4286 2 месяца назад +2

    Manually was just chilling 😂😂😂😂

  • @naominjeri4414
    @naominjeri4414 20 дней назад

    Kupiniwa weeeh got me

  • @lambertmkz
    @lambertmkz 2 месяца назад +87

    I grew up at a time when there were no ARVs, getting HIV was a death sentenc😮 Nowadays watu wanakulana raw ovyo ovyo hawaogopi ukimwi

    • @emmaogera3712
      @emmaogera3712 2 месяца назад +10

      Hawa Gen z wanaogopa kusota pekee..otherwise wanapita na kila kitu

    • @mutisyatimothy8199
      @mutisyatimothy8199 2 месяца назад

      ​@@emmaogera3712they don't think properly so the next thing they can think of ni sex

    • @StanNdosi
      @StanNdosi 2 месяца назад +5

      Huku TZ tunasemanga HIV ni sawa na malaria tu

    • @brendakenia
      @brendakenia 2 месяца назад +3

      Manzee😂

    • @bensongithinji6140
      @bensongithinji6140 2 месяца назад +1

      Even getting a +ve result was a death sentence

  • @michaelonyango2711
    @michaelonyango2711 2 месяца назад +5

    Living alone is sweet I only invite when I need it. Nitao binguni staki stress

  • @sylviachepkemoi9948
    @sylviachepkemoi9948 Месяц назад +2

    Aki huyu flavor si anachocha,anafurahia watu wakibreak up

  • @suzzyjonns
    @suzzyjonns 2 месяца назад +27

    Venye kunaenda naona pia shetani akichoka na sisi.

  • @EveIvy-y1q
    @EveIvy-y1q 2 месяца назад +19

    Watu wa 'the shorter the dress ' wamenyamaza mtu anaweza fikiri hawaongeangi.

    • @RoseNanjalawanyonyi
      @RoseNanjalawanyonyi 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂rada

    • @LeshiiJ-fs7cc
      @LeshiiJ-fs7cc 2 месяца назад +2

      😂😂😂 maoni hakuna huyu amewabetray

    • @njambi8572
      @njambi8572 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @tuk_talk
      @tuk_talk 2 месяца назад +3

      Tumechanganyikiwa hatujui tuseme nini

    • @gmlikaka
      @gmlikaka 2 месяца назад +1

      Huyu ametuchanganya sisi Wambea

  • @Steposhina
    @Steposhina 2 месяца назад +1

    Simu na laptop time 😂😂ibaki 2024

  • @beckymaria2125
    @beckymaria2125 Месяц назад +1

    Ni demu mzuri alikunyima asikuambukize STD 's ajitibu kwanza but hajafanya poa mungu ampe huyu kijana gd wife

  • @faithhenry5369
    @faithhenry5369 2 месяца назад +5

    Shukuru Mungu ulinyimwa ungepata infection

  • @THEEGREATHENRY
    @THEEGREATHENRY 2 месяца назад +4

    I like the way BMS anamsomea huyu kidem, malecture tu😂😂😂🔥🔥

  • @esthermaiyo2833
    @esthermaiyo2833 2 месяца назад +4

    Mi kitu nishai piniwa kwa wall ni documents 😢😢😢😢😢

  • @JoelOtieno-t5e
    @JoelOtieno-t5e 2 месяца назад +5

    HAHAHA MAN STEVO, all these people pretending to be married are conmen and conwomen!

  • @MsEva-wh1gn
    @MsEva-wh1gn 2 месяца назад +13

    the name wife and husband is being misused with this generation. Cohabitation, where a couple lives together in a long-term relationship without being married, is legal in Kenya. However, simply living together doesn't automatically translate to marriage. no wonder!

  • @janewaithes5183
    @janewaithes5183 2 месяца назад +2

    Huu ni mwaka wa wanawake,wooi boy child

  • @dennis5847
    @dennis5847 2 месяца назад +4

    You are right 😢 let's men be serious,,,eti wife

  • @bethwangare1581
    @bethwangare1581 Месяц назад +1

    Enda kwa mwenye anakupea attention. Mama mjinga.

  • @chrrydaba8516
    @chrrydaba8516 2 месяца назад +1

    i think am the only faithful i fear so many things

  • @susanaseyonyundo9689
    @susanaseyonyundo9689 2 месяца назад +11

    Mimi pia nadai mtu anipin kwa wall 😅😅😅😅nisikie vile watu hufeel wakipiniwa😊😊😊😊huyu dem belong to street bro run for your life kama unajipenda🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️🚶🏿‍♀️

    • @LeshiiJ-fs7cc
      @LeshiiJ-fs7cc 2 месяца назад +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @BensonMuthomi-f9g
      @BensonMuthomi-f9g 2 месяца назад

      Mi sikupin nakuanika kwa window hapana tambua

    • @JumaChigiri
      @JumaChigiri 2 месяца назад

      😊😊😊😊😊...njoo huku inje ya camera😂😂

    • @danielaheri5785
      @danielaheri5785 2 месяца назад

      Niko hapa kuja

  • @nancyoduor2182
    @nancyoduor2182 2 месяца назад +3

    Lakini haujamuambia huyo dem poa, sasa unataka aende nyumbani na ashazoea town😂😂

  • @fayatess7263
    @fayatess7263 2 месяца назад

    Stivo you're a good man...unasema ukweli, wanaoania nini , that my quiz to my 21yr old siz amewacha colle ameoleka ma kijana WA nduthi😢😢

  • @Slingshots8
    @Slingshots8 2 месяца назад +1

    "men should stop working and give the ladies attention... God will provide our need and wants!, Ladies raise your hands if you agree "🙋‍♀

    • @sheillahchepkirui2707
      @sheillahchepkirui2707 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂 please stop ....untaka tukufe njaa😂😂😂

    • @Slingshots8
      @Slingshots8 2 месяца назад

      @ mtakuwa tu sawa, mtoto atakuja na sahani yake, alafu baba na mama wataomba mungu, ikiwa ngumu tunakula ya mtoto tukisonga 😁

    • @sheillahchepkirui2707
      @sheillahchepkirui2707 2 месяца назад +1

      @@Slingshots8 😂😂

    • @Slingshots8
      @Slingshots8 2 месяца назад

      @ 🤭

    • @juliewambui2618
      @juliewambui2618 Месяц назад

      God will supply all our needs according to his riches in glory.😅😅

  • @robertkelem5144
    @robertkelem5144 2 месяца назад +1

    malaaya doing her thing

  • @muthoni632
    @muthoni632 2 месяца назад

    You need to treat people with respect!

  • @kadayamademsy3390
    @kadayamademsy3390 2 месяца назад

    Love instead of being sweet it's bitter😋

  • @MishailMuhindi
    @MishailMuhindi 2 месяца назад +10

    STIVO mbona leo umekua mkali hivi? Hiyo msomo? Waah!

    • @joyngakuh7309
      @joyngakuh7309 2 месяца назад

      Amejam mbaya 🤣🤣🤣

    • @Landry-sk8qr
      @Landry-sk8qr 17 дней назад

      Alikua team girl child leo ata yeye alipatwa offguard😂

  • @erickik254
    @erickik254 2 месяца назад +1

    Kwa Meza ya file 😂

  • @phanicemulongo7098
    @phanicemulongo7098 2 месяца назад +3

    Mademu wembamba wanapenda kukongewaa 😂😂😂

  • @Faluthe
    @Faluthe 2 месяца назад

    Chase excellence young man.

  • @danielolekurarukuraru2247
    @danielolekurarukuraru2247 Месяц назад

    Mwenye anakula uyu Hadi ana huruma😅😅😅😅

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 2 месяца назад +1

    My brother ran for life this woman bext ni HIV utaletewa

  • @beckymaria2125
    @beckymaria2125 Месяц назад +1

    What is the time all ladies are talking about eberynight u are sleping wth him time like this they were together on the road which time again😂

  • @adhiamboangeline85
    @adhiamboangeline85 2 месяца назад +1

    Ati wacha kwanza ningojee watu wangu😂😂😂😂

  • @johnyjoe2894
    @johnyjoe2894 2 месяца назад +1

    N the way she acts innocent 😮😮

    • @juliewambui2618
      @juliewambui2618 Месяц назад

      The word is " ACTS".most people are simply wearing a mask.camouflage is the name of the game.most people are living with a version of an individual they've created in their own mind.They have allowed outward appearance to be their guide but are not able to discern or able to read their partners.They hadly use their intuition,gut feeling or energy to get to the truth.The redflag s are always there but people choose to ignore.just listen and observe and the truth will always reveal itself.

  • @barnesmalimbe9232
    @barnesmalimbe9232 2 месяца назад +12

    Nowdays watu hawaogopi ukimwi...Itabidi tutafute pesa tu mapenzi zii

  • @cesslesly
    @cesslesly 2 месяца назад +4

    Najua haiwahusu lkn nshabuy nguo za kwenda ocha kutesa na gari ya car hire sema furaha

    • @maazuu-dm7zr
      @maazuu-dm7zr 2 месяца назад

      😂😂pin location nanii usiwe mchoyo

  • @nyolod
    @nyolod 2 месяца назад

    Where do we go from here. I gave up with relationships 😂😂😂😂

  • @lightmanmwangaza9389
    @lightmanmwangaza9389 2 месяца назад +2

    Bro run quick fast, huyu atakumaliza na ukedi. Huyu wachia Evans, hakuna kitu ya kuongea kwa nyumba. Shida kubwa ni ati haoni kitu kubwa nitext tu kwake. Bro jenga maisha yako hapa hakuna bibi. Wacha Evans ampatie time ile humpatiangi.

  • @Martha-w6h
    @Martha-w6h 2 месяца назад +4

    Na niulize hii attention inakuaga gani juu hata mimi sasa sielewi 😂😂😂😂😂

    • @MaxwellKiptoo-y6c
      @MaxwellKiptoo-y6c 2 месяца назад

      Ukikosa Doo anasema alicheat juu ya Doo hukiwa na Doo wanasema huna time, what a fuck are this ladies 😅😅😅😅

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 2 месяца назад +1

    Let her go to her new boss to be that’s if he gives her the job he might hv time for her😅😅

  • @hassinho1061
    @hassinho1061 2 месяца назад +5

    Wanaume tumeona moto hii 2024. 31st December tunangoja tukiga nduru

  • @OdindoIrene
    @OdindoIrene 2 месяца назад +1

    Two months is a very short time hauwezi jua mtu within that period.

  • @lordmaina2432
    @lordmaina2432 2 месяца назад

    😂😂😂 red flag ."deleted messages "....

  • @danigi316
    @danigi316 2 месяца назад

    BMS, you had to mention Karatina? That's my hood.

  • @erickik254
    @erickik254 2 месяца назад +1

    Nikakonde na bado kanapewa sti.. atabaki mifupa.

  • @williamotunga8733
    @williamotunga8733 2 месяца назад +1

    Waaah, huyu dame anaitwa Rhoda from Nyeri.....anakuanga na kachally chokora anakaa Canopy Zimmerman

  • @paulthuo2780
    @paulthuo2780 2 месяца назад

    girl child, mmerepresent...wueeh

  • @ireneondimu5416
    @ireneondimu5416 2 месяца назад +6

    Wanawake mkicheat muache kusema amupeangi time ama attention,,sema tu sex ndio mnataka kwani Iko nn 😢

  • @LenaQui
    @LenaQui 2 месяца назад

    Underline :mnaoania nini😂😂😂

  • @aliceshiku420
    @aliceshiku420 2 месяца назад +1

    The innocent face i didn't see this coming

  • @asiyanyasiri4219
    @asiyanyasiri4219 Месяц назад +1

    Na wazazi hudanganywa cz msichana ako Nairobi, Hana kazi na anaishi na boy? 🤔

  • @joycendichu3443
    @joycendichu3443 Месяц назад

    Good advice 💯💯

  • @lordmaina2432
    @lordmaina2432 2 месяца назад

    Alaah 😮😮 sauti weka ya Atwoli..

  • @kindhrtdiscoveries4581
    @kindhrtdiscoveries4581 2 месяца назад +1

    Trust God pekee man..... Trust nobody !!!

  • @maazuu-dm7zr
    @maazuu-dm7zr 2 месяца назад

    MUNGU WANGU KUMEINGIA VIRUS GANI II JAMENI KILA MAHALI MY GENDER MME DECIDE ROYAL NIWE ALONE, REJOICE GUYS HEAVEN IS REAL HELL IS REAL LET'S HAVE THE FEAR OF THE LORD.MUCH ❤ BRETHREN

  • @mercytarus7922
    @mercytarus7922 2 месяца назад

    😂😂😂😂.....haki comrades na hawawasherati😅

  • @Evans-u6i
    @Evans-u6i 2 месяца назад

    Ungempea huyo dame fare Stevo..

  • @ednahmose5590
    @ednahmose5590 Месяц назад +1

    Ladies ladies mnataka time Gani na mnalala na bwanazenu Hadi asubuhi

  • @Lizz-b9s
    @Lizz-b9s 2 месяца назад

    Bro , shukuru mungu alikunyima 😅

  • @franciskimemia621
    @franciskimemia621 2 месяца назад +2

    Etiiii uyu poko aliacha ex wake juuu alicheat na uku ndie sneaker😅 kinayaa bana bro run very fast as early as possible 😊

  • @kadetenyar6597
    @kadetenyar6597 2 месяца назад +1

    Welcome back stivo ,,am waiting

  • @bruce001
    @bruce001 2 месяца назад +1

    It was just ones ,,hivo okedi inajua ni mara ngapi isingie

  • @ErickYegon-t5v
    @ErickYegon-t5v 2 месяца назад

    Kijana,umsafirishe huyoDem kwao mbio mbio..ovyo kbisa

  • @eliasnjuki5508
    @eliasnjuki5508 Месяц назад +1

    Direct to the point ,direct karatina.cheating is a choice.

  • @رحيمهموينديموتو
    @رحيمهموينديموتو 2 месяца назад

    Kuna yule msee huact na Mr.Mbilimbili adi sauti😂😂

  • @sheguworldgraphics
    @sheguworldgraphics 2 месяца назад

    Men, don't marry if you are not giving these ladies attention.

  • @dru1331
    @dru1331 2 месяца назад

    I feel truly sad for the Dating Market now & in future years time to come. Is there truly any love out here or anywhere else in the world? Is there hope for generations ahead to come?...

  • @MAKAVELLI207
    @MAKAVELLI207 2 месяца назад +1

    Mmefanya Stevo atupee lecture ya bure.

  • @douglasmabuka3834
    @douglasmabuka3834 2 месяца назад

    Hii life NI unfair kweli.. unajituma kuprovide na kumake mama comfortable but she will wail that haumaptii attention.. attention na kujituma na vitu ngumu lazima kukaa kwa kikapu moja

  • @duncanNjuguna-k8d
    @duncanNjuguna-k8d 2 месяца назад

    Mm hii kupewa pewa ata imenibore...kusalimia tu mtu anakupea..Aiiiii madem kuweni serious 😊

  • @stevybill
    @stevybill 2 месяца назад

    Mmesema hio ndio mwili ya dera😢😢😢 acha sasa niende nijipimishe😅😅

  • @GitauMoses
    @GitauMoses 2 месяца назад

    btw u have a point bro....not everyone will wait for you ukue stable..work on yourselves kings.

  • @denniskmusyoka4094
    @denniskmusyoka4094 2 месяца назад +1

    Mnaenda huku mkidate watoto na nliwaambia a wife must be at least above 35 years of age.

    • @LenaQui
      @LenaQui 2 месяца назад

      Tell them.. They leave us for this things under 20

  • @Paulinebarasa501
    @Paulinebarasa501 2 месяца назад

    Alinipromise kunipea job😂😂, sasa anyone atakutana naye ampromise kumpee pesa au gari atalala na yeye

  • @tinakaitsa7334
    @tinakaitsa7334 2 месяца назад

    Kuna watu wanaomba doa uku nje 😢 aki 😢😢

  • @Chrys25452
    @Chrys25452 2 месяца назад

    Hii time people complain hawapewi...😂😂ni time ya kufanya nn yet mnastay pamoja....ingekuwa long distance rshp je???😂😂😂wueh

  • @syliviahokero2311
    @syliviahokero2311 2 месяца назад

    😅😅😅sasa ni nani amecheat na huyu 😂😂 anyways unacheat juu ya time asif huyo wa kucheat na yeye atakupa time nonsense