JWTZ WATOA KAULI 'HATUTAANGALIA SURA YA MTU'

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 июн 2019
  • Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania 'JWTZ' limesema litaendesha upya shughuli ya uhakiki wa vijana wanaoomba kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa 'JKT' ili kuwabaini wale walioingia kwa njia isiyostahili kuondolewa huku waliohusika kuwaingiza wakichukuliwa hatua za kinidhamu

Комментарии • 122

  • @ahmedyfaiz
    @ahmedyfaiz Месяц назад +1

    Kweli kabisaa mieh naungana mkono na hilo sie wewngine tumefanya usaili zaidi ya mara tatu na hatujapita anakuja mtu na watu wake anapitisha kiurahisi kwahiyo wanategemea sisi wazalendo tunazidi kuhartibikiwa sana huku mtaaani wanatunyonya sana hilo lizingatiwe haswa

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 года назад +2

    Nchi nyingine mtu anaona bora afagie bara bara lakini sio kwenda jeshini

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 Месяц назад +1

    Mficha uchi azai ni kweli kbc kiongoz

  • @ahmedyfaiz
    @ahmedyfaiz Месяц назад +1

    Nataamani siku moja nikuutane na kiongozi haya niyaseme hakika tunaumia sisi wenye ndoto zetu kabisaaa

  • @jumakauli6137
    @jumakauli6137 5 лет назад +3

    ushaur mrudishe mfumo wa zamani mtafauli sana kigezo cha sasa cha elimu kinatumika vibaya

  • @luckyprincejabinho9986
    @luckyprincejabinho9986 5 лет назад +1

    Amene kakayangu kanziya musichinguwe Oote wa nyinyi ko munajenga tahifa mbila nyinyi akuna amani Asante kaka mungu akubariki akuongenzeye Balaka kwakuwa munalinda wtu 🔥🔥🔥🔥💃💃💃❌❌❌🇳🇱🇳🇱🇳🇱👍👍😍😍👏👏👏

  • @nassolotall6272
    @nassolotall6272 4 года назад +1

    Apo sawa mkuu uku mbeya waliokua wanaandikisha wanachukua pesa nje nje akika mkija mbeya nakuonesha moja badala ya moja nilishangaa sana viongozi awapo wapo wenyewe na pesa wamechukua duuu

  • @omarymohamed3353
    @omarymohamed3353 5 лет назад +10

    Nashukuru sana kwa kuliona hilo tulijua labda hamlifaham

  • @angelomedard
    @angelomedard 4 года назад

    Elimu in tatizo mungu tusaidie kila mtanzania anahaki ya kuitumikia nchi yake kwa ulinzi na ujenzi Wa taifa letu.kwahyo kama ni maarifa basi wangechukuliwa kuanzia kidato cha sita pengine watajitambua zaidi kuliko kuchukua kidato cha NNE.mwisho wanakosa maadili ya kazi

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 лет назад +7

    Ewe mwenyez MUNGU mkuu zidi kuyapa nguvu na umakini zaidi majeshi yetu yote

  • @williamngazija7284
    @williamngazija7284 5 лет назад +9

    Utaratibu wa usajili Jeshini razima viogozi wa mitaa waxhilikixhe kwamana wanakaa na vijana mitaani.

  • @enockreubenn9937
    @enockreubenn9937 3 года назад

    Kwann hamkemei tatizo la kutupwa maombi ya vijana wasiokuwa na uwezo wa maisha

  • @mdabukomdabuko6250
    @mdabukomdabuko6250 5 лет назад +4

    watu wameshapiga mpunga hapo tatizo mmebana sana we darasa la saba miaka 16 mpk18 majitu yanafoji 2 ilimladiyaingie2 unakuta jtu lina miaka 32 linafoj lina miaka 18 hii ndo tanzania

  • @rajabuhassani1234
    @rajabuhassani1234 5 лет назад +6

    Ni kweli kabisa kamanda kuna baadhi ya wanajeshi kimuonekano amekaa kama hakupitia mafunzo wanakuwa na vurugu sana mtaani

  • @marthalewis332
    @marthalewis332 3 года назад

    Afadhari mana Mimi mwenyewe naisi jina langu linatumika huko mwenye jina hili halima abdallah ayubu jiandae mana mda umefika 842kj

  • @timothwaitara4458
    @timothwaitara4458 5 лет назад

    kamanda vzr sana japo ni too late ila sio mbaya kubebana sio poa haki itendeke

  • @lucassmapunda6248
    @lucassmapunda6248 4 года назад

    Wazii afande

  • @kunanamna4176
    @kunanamna4176 5 лет назад +2

    kanyaga upya kanyaga🔥🔥🔥🔥

  • @hashimuhehwa3780
    @hashimuhehwa3780 5 лет назад +18

    Yani nitoe hela kwa ajili ya kujiunga na jwtz nimechawiwa ama!

  • @manonisita1302
    @manonisita1302 5 лет назад

    Nakubali Jeshi

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 5 лет назад

    mungu tusaidie ambao hatuna hela yakuhonga ilitupite

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 3 года назад

    Kwaza mungewatowa awo mlowaajiri walokuwa hawana cheti maana ayo mambo nazani hayakuaza leyo

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 лет назад +1

    Hilo nalo neno kweli kabisaaa maana kwa Siasa hizi za sasa na watu walivyokua na uchu Wa madaraka lazima watazalisha vikundi vya kijeshi ulio kwenye mafasi hizo za kupokea vijana muwachunguze zaidi ili tuepupe madhara wanayoyataka wengine maana Tanzania Maisha Amani ni muhimu kuliko watu Fulani

  • @veronicamachugu9080
    @veronicamachugu9080 5 лет назад +2

    Ww umesaidia wangapi kwa njia hiyo

  • @petermarco9559
    @petermarco9559 5 лет назад +3

    Tatizo lenu mlimsubiri magufuri aje na ninyi eti ndo mnajifanya kuongeaongea apa,hiko kipindi cha nyuma mlikuwa mnapiga pesa tu

  • @ramadhanfupe2669
    @ramadhanfupe2669 5 лет назад

    Nikweli kabisa tumeonewa Sana hasa wilaya ya uyui mkoa wa tabora haikutendeka haki kabisa kunajamaa mmoja kachaguliwa kisa huwa anamfundisha mkuu wa wilaya pikipiki tena anaambiwa mbele yetu kuwa wew umepita uwa unanifundisha pikipiki hivi hiyo nihaki kweli usaili ungeludiwa katika ngazi ya Wilaya ili nasisi Watoto wa masikin tupate haki yetu

  • @raziambwana2145
    @raziambwana2145 5 лет назад

    Watoto wamasikini Siku hiz hawapati nafas za jeshi kamanda sema, ukweli wote wototo wengi wenye nguvu nauzalendo wanasumbka sana shuka kwny kata navijiji ukusanye RARIFA.

  • @boskomwandemwa7234
    @boskomwandemwa7234 5 лет назад

    sana pot wengine tumekosa nafasi wanachuliwa ambao awana afya

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 5 лет назад +1

    Kama wanaweza kazi wape kazi .

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 5 лет назад

    Haya mambo ya makundi mabaya isije tokea kama Uturuki jaribio la kuipindua nchi jamaa walitumia zaidi ya miaka 30 hadi 50 kutengeneza makundi ndani ya jeshi

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 3 года назад

    Ebwana ehhh

  • @user-zs1nd1fx7s
    @user-zs1nd1fx7s 5 лет назад +1

    Hii kazi ya mtu kuleta vija watatuingiza ktk MATATIZO ndani y nchi yetu

  • @blastermkama9805
    @blastermkama9805 5 лет назад

    Hivi kweli nijeshi la wananchi

  • @bernadpatrick8337
    @bernadpatrick8337 4 года назад

    sio wao tu hata baadh waliomo jeshen wamefoji vyet

  • @saidkanjitvonline5927
    @saidkanjitvonline5927 5 лет назад

    Leo iyo zama za uwazi

  • @enockreubenn9937
    @enockreubenn9937 3 года назад

    Na walioachwa na wanadocument kila kitu lakini wameachwa itakuwaje

  • @mamaally6134
    @mamaally6134 5 лет назад +1

    ni sawa kabisa lakini waajiri na waliopo jeshini mnawapa mafunzo alafu kazi hakuna ninawaomba na hilo liangalie kwa jicho la tatu

    • @mohammedjumaali4951
      @mohammedjumaali4951 4 года назад

      Afande mficha uchi hazai Na mficha maradhi kifo kinamsubiri

  • @benedictkihombo348
    @benedictkihombo348 5 лет назад

    Hapa tunapigwa changa la macho maana mwaka ule kila nikikumbuka hua nalia sana

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 5 лет назад +6

    Afande kunywa soda nitalipa🤣🤣uwiii umenikosha

  • @williamngazija7284
    @williamngazija7284 5 лет назад +6

    Jeshi nalipenda san, nimetafuta nafasi lakini sikubaatika kuchaguliwa, Nalipenda cn jexhi.

    • @elinashenry2448
      @elinashenry2448 5 лет назад

      Ndo hvo mkuu a

    • @peteradriano2353
      @peteradriano2353 5 лет назад

      Jeshi lipi kiongozi magereza, Jwt, jkt au

    • @erickmassawe5107
      @erickmassawe5107 5 лет назад +1

      @@peteradriano2353 ili uingie jwtz lazima uingie jkt kwanza ndio ukifuzu unaajiriwa jwtz lakin jkt haiajiri ni kitengo cha mafunzo wanajexh wote wameajiriwa jwtz

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 5 лет назад +2

      Lazima upite kitengo cha JKT, ndipo ukaajiriwe JWTZ, FIRE, UHAMIAJI, POLISI, MAGEREZA.

  • @jazirshabanishabani6962
    @jazirshabanishabani6962 4 года назад

    Nice

  • @lexchumajr6732
    @lexchumajr6732 4 года назад

    Nilitegemea jeshi kuwa makini zaidi kuliko vitengo vyote, hivyo nilitumaini pasingekua na press kama hii hapa, matumaini yangu jeshi lingefanya maamuzi kulingana na taratibu na msahafu wa jeshi huko huko. Kuja kuyaongea haya inaweza leta picha kwamba kuna vitu au watu wa namna hiyo walishapitishwa sana ndani ya jeshi na mpaka sasa ni wanajeshi. Ila anyway Mungu awaongoze na kuwapa hekima msije kengeuka ikawa balaa

  • @justusbengesi3798
    @justusbengesi3798 5 лет назад +13

    Hahaha haya mabo anayo yaongea yalikuwepo siku nyingi sana. Sema tu kipindi hiki cha magufuli kila mtu anataka aonekena anafanya kazi sana publicity to the BOSS.

  • @kibellamussa3965
    @kibellamussa3965 5 лет назад

    je mmefanya uhakiki wa wanajeshi wote kuwa wana vyeti halali?

  • @paulngalagala4009
    @paulngalagala4009 4 года назад

    Mimi naombatu waludie usahili upa maana kunavijana wameachwa na sifa zote vinakizi

  • @domedeus3488
    @domedeus3488 5 лет назад

    Mmmh! Siku hz nao hawa wameanza ngojera!?, c mngefanya tu!, c tukaona Matokeo tu!, ama kwel yanayokuja.....!

  • @mdabukomdabuko6250
    @mdabukomdabuko6250 5 лет назад

    mkitumbua mtumbue na op iliyopita mtakuta watu hawajatimiza vigezo vya miaka na elim pia tumbuuuuuaaaaaaaaaa

  • @alriyamy613
    @alriyamy613 4 года назад

    Jamaa mpemba ila kakomaa

  • @enockreubenn9937
    @enockreubenn9937 3 года назад

    Na ambao hawajapitishwa wilayan inawekwaje hapo

  • @maulidmohamed4494
    @maulidmohamed4494 5 лет назад

    Kuna wengine ni majeshi kabisa ambao walibaina foji zao kwenye mchakato wa vitambulisho vya taifa inakuaje nao

  • @charlesjustus4162
    @charlesjustus4162 4 года назад

    2nawaomba muwe serius yastokee ya bashite

  • @ngatomasanja4260
    @ngatomasanja4260 5 лет назад +6

    Sidhani kama ni sawa mambo ya jeshi kua public kila wakati, mnge solve tu likaisha mkafanya mambo mengine.

    • @evaristmandilindi6147
      @evaristmandilindi6147 5 лет назад

      We nae mshamba flan issue ka hii ni serious so must be publicly so as people can be very far and fear to cheat , kimya kimya ni kupotezea watu muda badala ya kudili na mipangilio yenye weled unataka kila mwaka wawe wanafanya usaili na huku wanapitia vyeti fake Kaz ngapi hizo kupifia upya Mara kwa Mara, means kutangaziwa ndo fresh

  • @sakinamahmoud7665
    @sakinamahmoud7665 5 лет назад

    Namna hiyo

  • @pricejr2621
    @pricejr2621 5 лет назад +2

    Good sana 👏👏👏

  • @gabrieljesus1018
    @gabrieljesus1018 5 лет назад

    Kwanini tusingebadili tu utaratibu tuwe kama Korea rep kijana akimaliza form 4 jeshi!!

  • @coachtemba6002
    @coachtemba6002 5 лет назад

    Nimecheka hapo kwenye mapenzi kabla hajazaliwa.

  • @norman4332
    @norman4332 5 лет назад +2

    Jifunze PHOTOSHOP kwa KISWAHILI, bonueza profile picture yangu itakupeleka kwenye channel yangu. Pia usisahau ku SUBSCRIBE

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 лет назад +1

    Safi sana Wengine tulisumbuka kufanya Interview Za bure tu pia Na vigezo vyote vlikuwepo lakini cha ajabu wakapita watu ambao hatuwajui hata Wilayani kwetu, Bora mmeliona hilo,

  • @makangeomary8052
    @makangeomary8052 5 лет назад +1

    Jeshi limenoga

  • @alvingideon2085
    @alvingideon2085 5 лет назад

    Duh hatar

  • @peterkitura5946
    @peterkitura5946 5 лет назад +5

    Kamanda tena mngekuja mwanza nyamagana ndo tulifanyiwa hivyo yani unapiga usail kinacho kuja kutokea sasa

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 5 лет назад

    Mbona hata hilo zoezi linaloendea huku mtaani wenye vigezo hatulijui kwa msingi huu kwer watu wachacha kuwatumikia viongozi? maana bila kumtumia kiongozi utakuja kusikia tu mwaka jana watu walichukuliwa bila wewe kujua.

  • @hawajoseph4450
    @hawajoseph4450 5 лет назад +3

    Kumbe wameanza kuleta majina tangu zaman.. Kwanini unasema Leo. Sikh zote ulikua wapi mzee baba.

  • @kingQueen-tl5jk
    @kingQueen-tl5jk 5 лет назад +2

    Hahahaha jeshi anaongea mwandishi wa kike anajishebedua dah

  • @yusufuchinunga2620
    @yusufuchinunga2620 5 лет назад

    Sindano imeingia mahali pake hadi nafasi za jkt mlungula mmmhhh

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 5 лет назад

    Hii AWAMU NYINGINE WALJZOEA SAF SANA HAPA KAZ TU YAAN NINA testimony NYINGI ZA KUTOSHA WATU WALIMALZA NG' OMBE ZIZINI KISA NAFAS YA JESH APATE ASEE INASIKITSHA

    • @davidjackson5896
      @davidjackson5896 5 лет назад

      Unafurahia, Ngoja Ifike zamu ya watoto wako Kutafuta Kazi. Utalia

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 5 лет назад +1

    #Limbukeni akipata matako hulia mbwata

  • @dorismamf7404
    @dorismamf7404 5 лет назад +6

    Kila secta wanafoji vyeti wanaowaunganisha wanapewa hela nabado hawajatumbuliwa wapo kazi bilapesa hupati but maskni mwenye chetichake halali hanapesa kinakua chakua ndanitu hanawakumsaidia

  • @abdallahrashid2457
    @abdallahrashid2457 5 лет назад

    Good kamanda

  • @luckyprincejabinho9986
    @luckyprincejabinho9986 5 лет назад

    Asa

  • @lukadelik3652
    @lukadelik3652 5 лет назад

    Ujue kiongozi kaleta maombi. Kwakua yeye kiongozi. Ujue kachukuanpesa. Wafuate kanuni na talatibu sio kwa sababu wewekionhoz utumie madaraka vibaya. Tusaidieni lasaba. Jamani

  • @derealdav3485
    @derealdav3485 5 лет назад +11

    Awe ameombew awe ajaombew km anafaa wachukuen sitak kuamin mlioko apo wote hamjapita huko🙄

    • @Donald22ist
      @Donald22ist 5 лет назад

      That is the point!

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 5 лет назад

      Anaefaa ni yule aliepitia process zote na akaitwa kwenye usahili, kufaulu na kuchaguliwa kujiunga hata hapo wanaofaa watachaguliwa, hawataki wanao ombewa...

    • @husseinmtima6106
      @husseinmtima6106 5 лет назад

      umesema kweli kikubwa awe na uwezo!mbona wengi wameingizwa kindugu toka nyakati za nyuma huko huo ndo mfumo wa tz kila taasisi

    • @LUPPER.
      @LUPPER. 5 лет назад

      @@husseinmtima6106 huo mfumo Sasa hivi ndio unatakiwa kukomeshwa hasa Kipindi hiki cha siasa chafu, uroho wa madara na rushwa iliyo kithiri

    • @husseinmtima6106
      @husseinmtima6106 5 лет назад

      @@LUPPER. operation za kweli huwa hazitangazwi unawafanya wahalifu waongeze mbinu za kujikinga

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 лет назад +2

    MKUU MBONA TUNAKUSHA
    NGAA.SANA. AU UNADHANI.WATANZANIA WAJINGA?! AU KWA VILE KAIRUKI HAKUWAKAGUA VYETI VYENU 😂😂😂😂😂😂 KWA TAARIFA YAKO KAIRUKI ANGEKANYAGA JESHINI ROBO 3 MGEKUWA MNAUZA UBUYU HIVI SASA. TUMAWATAZAMA.TUUUU.

    • @kibellamussa3965
      @kibellamussa3965 5 лет назад

      Rahima Aaaa wafanye uhakiki wa vyeti ndio tutawaelewa

    • @masomekipanga2311
      @masomekipanga2311 4 года назад

      Hao sio wafanyakaz hadi wakaguliwe wewe hao wamejitolea kukulinda wewe ukiwa umelala na mmeo punguza muwasho

  • @kelvinkaniki7186
    @kelvinkaniki7186 5 лет назад

    Hao viongozi watajwe majina hadharani ili waumbuke

  • @fedrickamosy2190
    @fedrickamosy2190 5 лет назад +2

    Good

    • @diolojuma4533
      @diolojuma4533 5 лет назад

      kamanda upo sawa pia nashauri pitia namajina yaliyoachwa utagunduwa wapo waliyoachwa wakati vigezo wanavyo

  • @idrissajumakona5871
    @idrissajumakona5871 5 лет назад +2

    😰😰😰

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 лет назад

    Kamateni fasta hao

  • @AD-mj4pg
    @AD-mj4pg 5 лет назад +9

    yaaan ili mradi na nyie muonekane mnaongea

  • @gabrieljesus1018
    @gabrieljesus1018 5 лет назад

    Maana siku hizi hata mgambo nayo ni mambo ya undglizesheni...

  • @kudramponda1611
    @kudramponda1611 4 года назад

    Kila kheri ninyi viongoz wetu katka operation hii ila tunaomba umri uongezwe iwe 18-25 kujiunga na Jeshi la kujenga taifa

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard907 5 лет назад +1

    Mficha uchi............😁😁😁😁 mtamalizia

  • @philipomichael3533
    @philipomichael3533 5 лет назад

    Hata wewe unakuta ulipitia ujanja ×2 leo hii unawakazia wengine

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 лет назад

    Viongozi wengi wa Tanzania wanamtindo huo Hakuna utaratibu wa watanzania halisi kujiombea kazi ni kizungumkuti tuu Tanzania huwezi kupata kazi bila kuwa umeegemea kwa wakuu. Wakuu wote ndio wanaoyatumia madaraka Yao ili kuingizana kazini wenyewe kwa wenyewe. Ni aibu nakama mmeyaona basi mjuwe kuwa mfumo wanaotumia CCM ni kulipeleka kubaya Taifa lenye ubaguzi hayo yako kila idara katika nchi.

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 5 лет назад +2

    Ilaaniwe vikal kiongoz anapoleta watu wake kweny jeshi wengi uwa na interest zao. Mapinduz y kiasi ndiko kunako anzia

  • @michaelmakenzi908
    @michaelmakenzi908 5 лет назад

    Haiwezekani depo nzima wakosekane watu wa kuombewa na viongozi au kutoa rushwa hiyo ongeeni tu lakini nafikiri hata ninyi mnalijua vizuri sana

  • @edwardcabanga6083
    @edwardcabanga6083 5 лет назад +2

    sass hivi ndo mmejua ilo ,wengiwenu mlipitia uko uko

  • @peteradriano2353
    @peteradriano2353 5 лет назад

    Mkuu huyo wa pembeni yako ulipotaja neno utapeli mbona amekuangalia sana machoni mkuu

  • @nassolotall6272
    @nassolotall6272 4 года назад

    Mbeya wamechukua rushwa aswa akika wenye vyeo ya kawaida bola mngekua nyinyi mabosi ndy mfanye inactive