Mwongo ,toka pepo.Kwa hiyo siku hizi Siri za wagonjwa zinatangazwa mitandaomi siyo!!!!!!!!!!!!☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️,peleka bangi kuzimu huna hadhi ,muone lisura baya Kama maneno yake.nyooo.
wa vijana wengine waoneye apo mapenzi ya pesa ni mawiĺi labda kwenda ku fremason na ukimwi hivi sasa anapata byenye alikuwa nata futa abaki sasa na uyo bibi yake wa ukimwi
Jamani kwanza nicheke hodaktari anaharibu sifa ya daktari ningeomba serekali ichukuwe hatua wanachafua sifa ya serekali huo ni uongo mtupu kazi ujinga tu
Huyu sio daktari na elimu yake ni ndogo sana kwaujumla .Anasema HIV in ugonjwa unaoletwa na bakteria. Hivi kuna asiejua kwamba ni virusi? Hivi ni vichekesho
Bibi inanatakiwa amfungulie kesi huyo doctor,kwani ulimpima Ili utoe habari na mlikubaliana au ndio kaZi yako inavyoruhusu na kama ni hivyo Anika na wengine wewe sio doctor hata kwa muonekano tu msichafue watu na maradhi muogopeni mungu hata mwenye tatizo Hilo hakuliomba
Ukisikiliza maelezo ya baba Wa kijana na ukisikilza huyo mwanamke anaesema kazaa na huyo kijana na sasa huyu dokta feki ni wazi kwamba haya ni maigizo kama Yale ya MTU kugeuziwa miguu ya mbuzi. Huyu kama no daktari basi kazi hana na ana kila haki ya. Kufikishwa mahakamani na kufungwa na huyo bibi anaemchafua.
Kiukweli kwa.huyu.dakktari nimegundua hii ni Sanaa mnakula MB zetu kwanza dk ana huruma gani hata awatafute watu mtaani kwenda kuwapima huo ni uongo mkubwa sana
Familia nzima ya huyi bibi ni hamnazo haya mambo ni ya aibu hayakupaswa kujianika kwenye RUclips pia watoto wake hawana akili kweli wanadiliki kumusapoti mama Yao kwa ujinga kama huu lo kweli ni mwisho wa
Mngeeti move aisee mngekimbiza kuliko hizo kiki mnazofanya ni ujinga tu
MPAKA HAPA STORY YA BIBI NA KIJANA NI UWONGO DAKTARI HARUHUSIWI KUTOA TAARIFA YA MGONJWA.HAYA NI MAIGIZO MMEFANIKIWA KULA MB ZETU.
Mwongo ,toka pepo.Kwa hiyo siku hizi Siri za wagonjwa zinatangazwa mitandaomi siyo!!!!!!!!!!!!☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️,peleka bangi kuzimu huna hadhi ,muone lisura baya Kama maneno yake.nyooo.
Doctor commed
Uyu hana vigezo vya udoctar hapo mmechemka
Acheni uongo toka lini doctar akatoa Sili za wagonjwa
Kusoma atujui picha atuoni uyu dokta muuza kahaw😅😅
Ukweli kabisaaaa,, huyu ni hawker wala si daktari,, upuuzi ,,aede huko na hiv zake,,,,,,
🤣🤣🤣🤣
Mbona wengine mkiwapima na kuwakuta wana ukimwi hamuwatangazi
wa vijana wengine waoneye apo mapenzi ya pesa ni mawiĺi labda kwenda ku fremason na ukimwi hivi sasa anapata byenye alikuwa nata futa abaki sasa na uyo bibi yake wa ukimwi
Mov ndo inazid kuwa mbayaa kwakwer daaah
Mpakahapa Hii nimuvi yauongomnee
mwanakulipata mwanakulitafuta duh 😢😢
ila media iz
Pumbavu zenu Docter gani wa hivi!!!!
Mnajitahidi kusumbua watu kuwafatilia kwa mambo ya hovyo
Kamata sweka ndani docta wa mchongo macho kumchuzi
Ukikamatwa utailamu serikali?
Jamani uongo wa hali ya juu tangu lini docta anatoa majibu ya mgonjwa mitandaoni duuu Tanzania kiboko
Sio kweli kabisa hii niuongo ,majibu Gani yaukwimwi yatolewe hadharani hivyo ,wapuuuzii tu
Doktor wa kuekti kwanza amejirekodi kwa simuyake.
Umbea Doct saut mbayaaaaaa mmetuibia mb saweni tuuu Huna loloteee unaect
@@juliethmakala5593 Huyu naye apimwe akili.Haiwezekani aongee.utumbo au achukuliwe hatua.
Hakuna dr hapo ujinga tupu
Kwani unatokea kwa kila video ,uongo huo
Heee huu uonge mh tushusheni Kwa kutunga stori mko vizuri dokta gan anaongea kama charahani way to 😂
Wewe si daktari. Daktari gani anaetoa siri za mgonjwa. Hifai.
Dokta gani ujiga tu hauna lakusema una wivu ww
Mh dokta gan alieka hivi
wewe unaushaidi gani kuwa bibi ndio kamuambukiza.huyo shein ni kilukanjia hata yy anaweza kumuambukiza bibi
Jamani kwanza nicheke hodaktari anaharibu sifa ya daktari ningeomba serekali ichukuwe hatua wanachafua sifa ya serekali huo ni uongo mtupu kazi ujinga tu
doktaa gani muongoo machoo pembeni unaonaa nini msenge kweri wewe
Daktar gani huyu asiyeficha Siri ya wagonjwa
Kiki tu nyiee!! Hamna lolote
Daktar wa mchongo huyo 😂😂😂
Muvi inakaribia kurikodiwa mmeonaaa
Mwisho wa DUNIA Umefika Sasa.
Huyu sio daktari na elimu yake ni ndogo sana kwaujumla .Anasema HIV in ugonjwa unaoletwa na bakteria. Hivi kuna asiejua kwamba ni virusi? Hivi ni vichekesho
Huyu sio dokta bwana kidokta gani kichovu iki cha muhimbili
Bibi inanatakiwa amfungulie kesi huyo doctor,kwani ulimpima Ili utoe habari na mlikubaliana au ndio kaZi yako inavyoruhusu na kama ni hivyo Anika na wengine wewe sio doctor hata kwa muonekano tu msichafue watu na maradhi muogopeni mungu hata mwenye tatizo Hilo hakuliomba
huyo sio docta huyo ni mshenzi wa tabia tu .kweri bibi amfungurie kesi kwa kumzalilisha
Ukisikiliza maelezo ya baba Wa kijana na ukisikilza huyo mwanamke anaesema kazaa na huyo kijana na sasa huyu dokta feki ni wazi kwamba haya ni maigizo kama Yale ya MTU kugeuziwa miguu ya mbuzi. Huyu kama no daktari basi kazi hana na ana kila haki ya. Kufikishwa mahakamani na kufungwa na huyo bibi anaemchafua.
Nyie waandishi acheni uongo hakuna Daktari anaruhusiwa kutoa majibu ya mgonjwa wapumbvu sana nyie
Bongoo bhanaaa yaani kila kukicha hakuishi vtuko yaani rahaàaaa snaaaa mpka nacheka mwenyewe..😂😂😂😂
Nivizuri dakdari kuweka mambo atalani
Wao wapo hivyo wewe unanini kazi ni uongo daktari kujishuhulisha na ujinga huo sipendi kusikia uongo wahezhimia wapewe
Kwendeni zenu
Kiukweli kwa.huyu.dakktari nimegundua hii ni Sanaa mnakula MB zetu kwanza dk ana huruma gani hata awatafute watu mtaani kwenda kuwapima huo ni uongo mkubwa sana
Eti,,,, ametumwa huyu,, anelipwa huyu,, ama anatutania,,,,,,,😮😮
Wapumbavu wotee mimacho kama kenge dr gani wewe mnywa gongo tu wewe mnatufanya hatuna akili hizo drama zetu pelekeni huko
Huyu daktari fake hamna daktari anae toa taarifa za mgonjwa publicly mwongo ww
Familia nzima ya huyi bibi ni hamnazo haya mambo ni ya aibu hayakupaswa kujianika kwenye RUclips pia watoto wake hawana akili kweli wanadiliki kumusapoti mama Yao kwa ujinga kama huu lo kweli ni mwisho wa
Wapenda ngono condom zimeletwa kwa ajili yenu
Dawa tunazowapaga!
Madaktari ni wasomi hawawezi kutamka hivyo!
Huyu NI Dr wa MCHONGO
uongo hakuna cha docta wa nn
Shetani we we watafungatu
Mbona unaangalia pembeni
Dr uchwala
Tunaomba ushauri mwengine dokta
Ebu na atuonyeshe ushahidi WA udaktari wake,, Baji, barua picha ya chahada ,,e t c,, wacha zako wewe dokta,,,,,
Hadi nimechka kwa sauti Dr wa mchongo
Makubwa haya
Duuh vijana tunaangamia kwa kutofuata ushauri wa madaktari
Kabisa
Mmmmmmmm makubwaaaaqa
Acheni uongo
Acheni hizo
Diktat feki
Story yenu ilikuwa nzuri lakini mmekosea Wahusika
Kabisaaa,, wanataka tufanye nini na yachaamwagika,,, tena hatujui kama anelipwa awaharibie majina,,, na tutawashtaki kutangaza magojwa y wenyewe 😓😓😓😓
Uyu kijana c alijifanya mwanae!!😢
Ndiyo
alijifanya mdogo wake
alisema yy ni mdogo wa bwana harusi
Sasa wewe umekua daktari lini?si ni wewe ukakuja ukatuambie yakwamba wewe ni mtoto wa bibi
Ni DOKTA pia
Doctor kwa kweli una dissapoint,hufai kutoa tarifa za afya ya MTU hadharani kwa kutaja majina..Unaweza kuchukuliwa hatua.Iwe ako Nayo au LA...
Tayari maisha yake yameshaaribika
KWAKELI TAMAA SIO NZURI
Unaamini taarifa ya uwongo ,?
Fake doctor infact anaisoma
Dk fek wewe
Ujinga mtupuuu😮