EXCLUSSIVE: BOKA ATOA KAULI HII BAADA YA KUKIWASHA/MAXI NZENGELI AGEUKA MTANGAZAJI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 89

  • @aminangano3635
    @aminangano3635 Месяц назад +18

    Nkane endelea kuwafundisha Kiswahili 🎉🎉,Maxi yupo vizuri 👌💛💚💛💚

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g Месяц назад +28

    maxi anaongea kiswahili kizuri sana

  • @RehemaJuma-o3r
    @RehemaJuma-o3r Месяц назад +13

    Max kipmz changu jmn yang tunawatu 💚💚💚💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚

  • @JumaSamson-gn7ov
    @JumaSamson-gn7ov Месяц назад +36

    Like hata 10 jamani congratulations🎉🎉 boka mwamba we tu💚💚🖤🔰

  • @fatmaomar8335
    @fatmaomar8335 Месяц назад +3

    Boka wa 🔥🔥weka mbali na watoto wadogo💚💚💚💚💛💛💛💛

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Месяц назад +12

    Fundiii kweli kweli wa boli chadrack boka🙌🙌😌

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 Месяц назад +4

    MUNGU ni mwema hongera Sana max chadraka kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga

  • @claratango9262
    @claratango9262 Месяц назад +5

    Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏

  • @NailaMickey
    @NailaMickey Месяц назад +21

    Boka atazibeba saana msimu huu hizo tuzo za man of the match

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt Месяц назад +2

    Asanteni kwa kutupatieni point tatu muhimu sana 🎉🎉🎉

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz Месяц назад +1

    Max kiswahili kimenyooka sana congore kwa nkane denis🎉❤

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 Месяц назад +1

    Tunashuru Mungu Alhamndulilah kwakutupatia ushindi wenye mafanikio nakuomba Allah tuzidishie zaid Inshaallah

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif Месяц назад +15

    Ahseteni jeshi langu poti tatu muhimu daima mbele yanga bingwa inshallah

  • @SeuriMollel-im5yw
    @SeuriMollel-im5yw Месяц назад +8

    Hongereni sana wachezaji wetu mwoombeni sana mungu kwani safari hii simba hata afunge goli la mkono lazima wapewe maana tff yote ni simba

  • @mariajames5558
    @mariajames5558 Месяц назад +3

    🧡💚💛 saf sana wananchiiii tunakuombea

  • @NeemaMwera
    @NeemaMwera Месяц назад +10

    Hakuna kuumia wachezaji wetu wanaujua mpira ,ninachojua yanga bingwa.

  • @BizzohFerrar
    @BizzohFerrar Месяц назад +11

    max anajua kiswahil😅

  • @EstherPinda-j5g
    @EstherPinda-j5g Месяц назад +1

    Kumbe mac's anajua kiswahili 😮😮😮

  • @mikanolmwano
    @mikanolmwano Месяц назад +13

    Wakwanz jaman like zang💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚

  • @MnengerwamohamudMnengerwamoham
    @MnengerwamohamudMnengerwamoham Месяц назад +1

    Wachezaji wa yanga kweli wanafanya kazi kwa nguvu kwa sababu boli ikiisha wanapumuwa saana kweli hawa ni watu❤

  • @Najima-r6r
    @Najima-r6r Месяц назад +10

    Boka nayy ajifunze kiswahili sasa maana max yeye kajua

    • @omarkhelaifi5888
      @omarkhelaifi5888 Месяц назад +2

      Maxi kwao kiswahili kipo ni sehem inayoitwa manyema boka naye ni wa kinshasa kule hakuna kiswahili,max na mayele kwao kiswahili kinaongelewa tena Congo sio sehem zote wanazo ongea kiswahili

    • @khamisshaib6218
      @khamisshaib6218 Месяц назад +2

      Max anaongea kiswahili ndo.lugha yake kuu maaan wakongo wengine wanaongea kiswahili

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 Месяц назад +18

    SASA YEYE KILA MECHI ANAKUA MCHEZAJI BORA MWISHO WA MWEZI UTASIKIA MATANGO POLI YA TIFUATIFUA

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Месяц назад

    Pongezi sana wachezaji wetu kwa ushindi huu na benchi zima la ufundi 🎉🎉🎉na pongezi nyingi kwa Boka kwa kuwa man of the match 🎉🎉🎉

  • @BullahSambiga
    @BullahSambiga Месяц назад

    Max nakupenda sana unajua kutupa raha💚💚💛💛

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад +2

    💚💚🖤🖤🖤💛💛mungu awatunze wachezaji wetu wote

  • @bongovevotv1532
    @bongovevotv1532 Месяц назад

    Max ni linguistic

  • @ShukuruMgimba
    @ShukuruMgimba Месяц назад +2

    Nani namba 8 bora Kwa sasa Aziz au pacome? Vigezo vitano hivi hapa
    1.Uwezo wa kufunga
    Aziz 52% pacome 48%
    2.kukaba
    Aziz 35% paco 65%
    3.kumiliki mpira
    Aziz 37% pac 63%
    4. Assist tamu /Mayai /maziwa [Kama pacome akipunguziwa majukum]
    Aziz 49% pacome 51%
    5.kujituma
    Aziz 32% pacome 68%
    Kwa hiyo namba 8 bora ni
    pacome 59% Aziz 41%

  • @AnthonyShirima-z6v
    @AnthonyShirima-z6v Месяц назад

    Namkubali Nzengeli sana yaan i wish ningepata 1 pic nayeye

  • @ShukuruMgimba
    @ShukuruMgimba Месяц назад +1

    Boca ni mzuri sana kwa mpira ule wa pasi mbili goli, Kibabg ni mzuri wa ule mpira pasi, sasa inategemea unataka kucheza mpira gani

  • @JosephMhoja-k4h
    @JosephMhoja-k4h Месяц назад

    Dennis nkane amejitahid hongera yake ❤🎉

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule Месяц назад +1

    Team Yetu Now Sijui Ndo Wachezaji wamechoka Au raah

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 Месяц назад +2

    Abdul-Aziz naye pia anazungumza kilingala

  • @IssaKhamis-v9y
    @IssaKhamis-v9y Месяц назад +3

    Itaview mzima swali ndo Hilo Hilo moja na jibu ndo hilohilo moja

  • @ShukuruMgimba
    @ShukuruMgimba Месяц назад +1

    Boca que ressentez -vous en jouant à Yanga ?

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 Месяц назад +9

    Viongozi tunaomba dua jwangani maana tunaumia mashabiki

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Месяц назад +2

      Angalieni ligi ngumu mwaka huu timu nyingi zinazuia idadi kubwa ya magoli ndo maana wote wanabaki nyuma muhimu hatupotezi tushukuru

    • @RhodaMloge
      @RhodaMloge Месяц назад

      ​@@fettiemaganza1484tatizo wanabaki nyuma kwa yanga wapuuzi hawa😂

  • @sumaidgasto4721
    @sumaidgasto4721 Месяц назад +3

    Anaongea lingala na france

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 Месяц назад +1

    Allaah Akbar

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Месяц назад +2

    Boka tutakushtaki unaizidi mwendo SGR ya Mama 😂😂😂😂😂

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 Месяц назад

    ❤❤❤❤kipanduka upo byee kwa franch

  • @OscarOkran-m4c
    @OscarOkran-m4c Месяц назад

    Boka anafanana na Mondi mwonekano wa sura.🎉

  • @GibusoniBoniphasi-cy4gd
    @GibusoniBoniphasi-cy4gd Месяц назад

    hongela wananchi kwaushindi

  • @scopy0428
    @scopy0428 Месяц назад +1

    Yanga inapaswa kulifanyia kazi suala la mipira iliyokufa miongon mwa sifa za timu kubwa ni pamoja na kutumia vizur mipira iliyokufa

  • @tabithakitundu8736
    @tabithakitundu8736 Месяц назад

    I love Max

  • @JenniferJoseph-q8f
    @JenniferJoseph-q8f Месяц назад

    Mungu ibariki yanga

  • @ShukuruMgimba
    @ShukuruMgimba Месяц назад +1

    Kikosi cha 5G kwa mimi kwa sasa ni
    Mzize 10
    Max 11. Zizu 8. Muda 9
    Kibab 2. Auc 6. Jesh 3
    Bacc 4. Job 5
    NB
    Zizu apunguze kidoogo chenga

  • @Veni584
    @Veni584 Месяц назад

    Vijana wetu mko vizuri

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania Месяц назад +1

    Watu wanaroga sana IRA hakuna cha kushindikana kwa Mungu makisi kusawazisha gori tunashukuru mungu

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s Месяц назад

      Max kasawazisha goli kwani tulikuwa tumefungwa?? Mbna mechi iliisha yanga1 kmc 0??

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 Месяц назад

    Sasa kama kila mechi atachukulia serious itakuwaje 😂😂

  • @HanzKisanga
    @HanzKisanga 26 дней назад

    🙏

  • @odasiuspaschal5527
    @odasiuspaschal5527 Месяц назад

    👏👏👏👏 bravoo

  • @MussaAbel-t9b
    @MussaAbel-t9b Месяц назад

    Congrats👏👏

  • @aminaabasi2146
    @aminaabasi2146 Месяц назад

    Ila max jmn 💚🔰

  • @rachelcheyo-p5z
    @rachelcheyo-p5z Месяц назад

    Love yanga

  • @WinKunambi-mx1xk
    @WinKunambi-mx1xk Месяц назад

    Namkubali sana boka

  • @FridaBabes
    @FridaBabes Месяц назад

    💚💚💚💚💚

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 Месяц назад +1

    Tuachani maneno yakusehma muhn point 3 yes twakubali ila mwisho wa msimu tukilingana point basi bingwa atapewa juu ya magoli😢😢😢 cjuii wachezaji wetu wanashida ipi....michezo 3 magoli 4 sio ujinga n nn...kolo game 3 alikua tayr n magoli 9 jana amefikisha point 12 na goli 10...ila yanga imekua yaovyoo sana huna msimu..embu viongozi kaeni chinii muangalie suluwisho 😢team ndogo ndio zaa faha magoli mengi😢ken gold tungepata ata goal 4 ama 5 den jana tukapta goal 3 ila ujinga tu team imekua yaovyoo kisenge

    • @AmourMohammed-m3p
      @AmourMohammed-m3p Месяц назад

      Point 3 ni muhimu. Hesabu ya magoli hadi point ziwe sawa. Sasa huyo mwenye magoli mengi nae anatupa point zetu. Au una hofu na hilo?

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 Месяц назад

      @@AmourMohammed-m3p dear tukileta masihara ubingwa tunaukosa for sure...wachezaji wamechoka yan ile hari ya ngao ya jamii tungerud nayo uku wallah tungekua mbali sana

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo Месяц назад

      Halima, uliwahi kucheza mashindano ya ligi ya mpira wa miguu?

    • @terrence9477
      @terrence9477 Месяц назад +1

      Acheni maneno mabovu na yasiyojenga, wenye HEKIMA huiombea timu badala ya kuilaani. Tunawashukuru wachezaji wetu kwa kutupatia ushindi

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 Месяц назад

      @@SylvesterKameo yes

  • @neemadaniel6233
    @neemadaniel6233 Месяц назад

    Pia tuache maneno mengi kabla ya mechi ushindi wenyewe hivyo kolo katupita goal 6 mpk Sasa,

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 Месяц назад

      Very true ety muhm point 3 na mwisho wa msimu tukiwa tumelingana point wanangaliaa magoli

    • @neemadaniel6233
      @neemadaniel6233 Месяц назад

      @@halimasawa611 yap

  • @GodfreyKarino
    @GodfreyKarino Месяц назад +1

    Bokaaaaaa mtu hatari sana

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 Месяц назад

    Kweli kàbisa😊

  • @innocentmacha5716
    @innocentmacha5716 Месяц назад +1

    Alistahili kipa wa kmc a
    Au jamaa mwenye plasta shavuni

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter Месяц назад

    jaman nmesikia boka kasema kolo

  • @AlexAlphonce-w9i
    @AlexAlphonce-w9i Месяц назад +5

    Ongela boka

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye Месяц назад

    💚💛

  • @Halima2023-br4ff
    @Halima2023-br4ff Месяц назад

    💚🔰💚

  • @DanielSimon-s8c
    @DanielSimon-s8c Месяц назад

    Anastaili kwakwel

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Месяц назад

    Jini katika mganga hoi

  • @ShamisBinassaa
    @ShamisBinassaa Месяц назад

    Boka ni mtu na nusu

  • @amanizavala
    @amanizavala Месяц назад

    Utopolo hamna timu nyie kenge nyie

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 Месяц назад +3

      Na ww kolo uliyedhurumu gooli ?? Penaity ya mchongo kwa nini usiiongelee Ile.

    • @NoelMussa-k7o
      @NoelMussa-k7o Месяц назад +1

      Umeonaaa eeee😂😂😂😂😂😂😂😂 wazee wa kubebwaaaa wanafurahia kubwbwa kwa pernat​@@awetumtengera1147

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 Месяц назад

    Kwan boka mkongo nae