Bro your are the best Sina mengi ya kusema am deep touched nikiskiza how you put across you points ukitetea music industry ya Kenya nafeel tu kutoa machozi ..that was so deep...ni wapi employee Ako na gutz Hadi ya kutusi employer... This Ezekiel mtu wa(mtua) kiburi should be fired ...
Hapo Sawa nonini it's either watoke kwa io ofisi, walipe vile inafaa ama io mcsk itupiliwe mbali hi story imerndelea for so long 2024 itakuwaje bado wasanii the same nyinyi enzi zenu mulikua munaongelea? Washenzi sana(atwoli's voice).
Nonini well said! 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
💯
Iyo kiswahili jamaa.. noma sana... sasa tutolee taarabu wamombasa pia wasanii wanaumia wanahitaji support💯
Great Job, Nonini! There's talkers and doers. This is actually how you get things DONE.
Kazi safi ... Well done 4 speaking out... Am proud to be your fan.
A new subscriber.i never knew you had a channel
Bigup to yourself nonini,you asked very based questions n this is wat needed to be asked to public workers 💪
Bro your are the best Sina mengi ya kusema am deep touched nikiskiza how you put across you points ukitetea music industry ya Kenya nafeel tu kutoa machozi ..that was so deep...ni wapi employee Ako na gutz Hadi ya kutusi employer... This Ezekiel mtu wa(mtua) kiburi should be fired ...
Imagine
big up mgenge true keep fighting for your rights till the end
I wish this interview was posted in full.
Am watching from Qatar nonini
Nonini😂🙌, facts juu ya facts,huwezi argue na huyu msee, yuko vizuri kiswahili na kizungu atakupiga cha yues.Big up
Wazi Nonini tell them. Kazi huyo mtu anajitibu na pesa za wasani
Apo huyo mzee aligwaya kwelikweli…hawezi kua anajilipa tu apa
Employer ndio anakulipaa weweeee 🔥🔥🔥🔥💯Mzae alikipatapataaa
💯
Nonini ni nini todaaay.....hahaha. Nice one
Nonini ❤❤❤❤ bro
Wah Pro Habo si ulikua umebonda
Hapo Sawa nonini it's either watoke kwa io ofisi, walipe vile inafaa ama io mcsk itupiliwe mbali hi story imerndelea for so long 2024 itakuwaje bado wasanii the same nyinyi enzi zenu mulikua munaongelea? Washenzi sana(atwoli's voice).
Post hii interview full mzee
Courage...ningetamani kujua uyo mtiaji ali respond aje
Kwani ni nini?ni Nonini.
Do you know huu msee ezekiel analipwa na pesa ya wasanii na bado anaiba pesa zao. I mean imagine Huu msee na hii kiburi yote #lipapesayawasaani
+1 subscriber👊
Si unipitie pia juu mimi pia ni content creator
@@GlobalWalkingsdone
Kenya ni system ya majambazi. Left right center.
kataa Hio ......nonini
Nonini simama na wasanii kabisa
Mgenge true ni mjamo2.... Mpaka waelewe2 atakaa hawataki
Mia Mia M21
Biig up Nonini
Kumbe ilikuwa moto 😂😂😂
vile inafaa ..
Bro umenyambisha mtu 😂😂😂😂